Mchawi Huuwa Mwanae Kwa Masharti Haya- Sheikh Mpendu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ส.ค. 2018
  • Masjid Mtoro Online Tv

ความคิดเห็น • 84

  • @hassanwaswa4675
    @hassanwaswa4675 5 ปีที่แล้ว +5

    Allah awahifadhi mashekh zetu awaxidishiye ilim ili mtuelimishe nasisi

  • @shabanmsago3227
    @shabanmsago3227 4 ปีที่แล้ว +5

    Shehe uko sahihi kabisa ila kwa kuwa wengi na asilimia kubwa wako hivo hutasapotiwa Allah akuripe heri

  • @aboumaburaramadhan4188
    @aboumaburaramadhan4188 5 ปีที่แล้ว +3

    Subhanaalh mungu atunusur WATU WANAKUFURU VIBAYA KUKOJOLEA MASHHAFU TENA DHU KWA KIP HATA UKUFURU KIASI HICHI

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 ปีที่แล้ว +4

    Jazakhallahu kheiri MashaAllah,Allah akukinge 🙏🙏🙏

  • @bahatihadijabahati7456
    @bahatihadijabahati7456 5 ปีที่แล้ว +5

    Shukuran sheikh wetu Allah akuzidishie in shaa allah

  • @mohamedbinfadhil1396
    @mohamedbinfadhil1396 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashaalah bakwata wanashindwa kuwa na online tv kama hii jamani hatuwasikii mpaka kuandama kwa mwezi.

  • @saidaabdalla2854
    @saidaabdalla2854 5 ปีที่แล้ว +5

    JazakaAllahu kheir,

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah shukrani ya sheikh

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah akujaalie kher na Baraka sheikh wetu wajazakumullah

  • @ummyremmy3803
    @ummyremmy3803 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah sa shida zote za nn...ya Allah tunusuru na haya majanga mwanga na mchawi ni adui hta akiwa mamako mzazi

  • @mkuchikaentertainment
    @mkuchikaentertainment ปีที่แล้ว +2

    Insha Allah mungu Yu mwema

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah, mungu atunusuru inshaallah na balaa hii.

  • @user-yy1oh3iv6x

    Shekhe naomba unisaidie

  • @yukundapeter8200

    Yaani lichawi liko radhi kuuwa watoto wa wa2 wivu,Mungu auwe mitoto yao.Tumeteseka.

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 5 ปีที่แล้ว +3

    Allah atujaalie mwisho mwema

  • @mira-gq3qg
    @mira-gq3qg 5 ปีที่แล้ว +4

    Allah akulipe kheri kwa kutuelimisha

  • @user-rn5ov9lr4v

    Kwa kweli sheikh tunaomb namb yk

  • @user-rn5ov9lr4v

    Sheikh mung akupe maish maref

  • @samwaoo995

    Ata kama ni tapeli ila allah ametukataza kutoa aibu ya mtu yy mwenyewe ana tujua aina haja kuwa mshirika wake