Mwakole x3. Ngoma ni nzuri sana. Ushauri wangu tu ni kwamba, munafupisha sana chorus (kiitikio) Mfano: 1) WAHISE’ELELWA ni roho na mwanga wa Africa. Munge himba hata x5 2) Tumepewa sisi uhuru wa roho, munge himba hata x5. Hizi chorus (viitikio) ndo vinapeleka mziki viral. Asante. Na hitwa BULÉLÉLA Mwandja from USA 🇺🇸
❤❤❤
Vraiment courage,mokole mara tatu mfalme wababa Malembe ❤❤❤
Mwakole x3
Okx3 ❤❤❤
Ni hatari moto kweli 💥💥💥💥, hii ngoma inatoka kali sana WATATA malembe ulikuaga wapi Baba
Mwakolé x3 degeumbere bi'esse nakubali iyo ❤ kweli ♥️ Kazi njema kweli
@@MasukuRamazani bùbasha bùbasha bùbasha Mara tatu WATATA 🙏🙏👈
Munahimba vizuri, sauti zinapangwa vizuri, pia ngoma inasikilika vizuri sana. Merci X3
Mwakolee kwakazi kubwa kaka🙏🙏💃💃
GOOD JOB MICRO ❤
Buradani nzuri sana wa Tata mwakole x3
Mwakole Mara tatu
Tunashukuru kwa wimbo. Ila nasisi muwe natutaja mu nyimbo zenu ju tunafanya promotion siye bote.
😂😂😂😂 bùbasha bùbasha bùbasha Mara tatu WATATA 🙏🙏🙏 nashukuru nakuahidi wimbo wa pili hii wiki ivi nitakutaja jina lako , HAKIKA
MWAKOLE X3
Nyimbo yote iko na sauti moja ya wanahume tu za wanawake zimetoka kwa mbali tena ni mmoja
@@BwisengoAlinoti bùbasha 👏
Nice song watata🎉🎉🎉🎉
Temporisé bravo
MAMBO YAKO POWA
WIMBO HUNAFUNDISHA KWA WATU AMBAO WANA MACHO YA MUNGU
Tunawakaribisha kwa ushauri, malalamiko, pongezi na Nini tufanye, ndugu mfalme wa BABA 🎉🎉🎉
merci sana watata tunashukuru sana vraiment courage sana
Ujikaze utoshe video 📷📷 kk
@@thedonRafiki tuko mu maandaluzi ya kutoa vidéo
Mes félicitations à vous, je m'incline vous êtes vraiment fort, que Tata continue à vous inspirer. Coup de chapeau 🎉
@@JudithNgandwe merci MAMA 💥💥👏👏🙏🙏🙏 nous remercions que TATA vous accompagne aussi dans vos affaires quotidiennes
Ubarikiwe mfalme
Vraiment, je suis convaincu
dinamic kazi nzuri sana taratibu tutafika mnzehe watata wahiseelelwa
@@ChireziBiess-p1e bùbasha bùbasha bùbasha Mara tatu 🙏🙏🙏🙏
Iko vile baba, mhh kitu amazing. thanks
Bobasha bobasha?mungu wa bakwalufu akuzidishie kipaji chako
Nivile malembe
mwakolex3
MWAKOLE X3 ABARI INAZIDI KUTANGAZA KUPITIA NYIMBO
Bùbasha bùbasha bùbasha 👏👏👏👏
Mwakole x3.
Ngoma ni nzuri sana.
Ushauri wangu tu ni kwamba, munafupisha sana chorus (kiitikio)
Mfano: 1) WAHISE’ELELWA ni roho na mwanga wa Africa. Munge himba hata x5
2) Tumepewa sisi uhuru wa roho, munge himba hata x5. Hizi chorus (viitikio) ndo vinapeleka mziki viral. Asante. Na hitwa BULÉLÉLA Mwandja from USA 🇺🇸
Bùbasha Bùbasha bùbasha Mara tatu WATATA 🙏🙏🙏🙏, tunashukuru kwa ushauri wako, tutaufanyia kazi
Ni vumbi kuruka
Bùbasha bùbasha bùbasha Mara tatu WATATA ❤😂🙏🙏🙏🙏
Tunashukuru kwa wimbo lakini sauti ya wanawake hahisikiliki hiko chini sana
@@UhuruAbedi-kx1de bùbasha Bùbasha bùbasha TATA 👏👏👏👏 tutarekebisha wimbo unaokuja
Bobasha mfalme wababa
@@MarieMtange bùbasha bùbasha bùbasha 🙏🙏🙏🙏🙏
Mwakole x3
Mwakole maratatu
@@SaliyaJerome bùbasha bùbasha bùbasha Mara tatu MAMA yetu, 👏👏👏👏