TCRA Mnaona uchonganishi uo Mungu anawaona msikae tu kunawatu wanachokonoa wenzao. Mama waambie wapige kazi na utapeli unaendelea kwa wanao kitaa wanapigwa sana.
HIYO NOTI IMEJAA LAANA. TUNATAKA HELA YETU NYEKUNDU. HUYO MAMA ANAPENDA SANA MISIFA. HIYO NI LAANA KUBWA HIYO NOTI ITUPILIWE MBALI HATUITAKI. KAWEKA UTALII WAKE ILI WAJUE KUWA ANA HELA. Hafai hata kwa lolote.
Say that everything that is planned has its purpose, if it is true money 💰, this caliber exists, we will not only use it from the U.S.A I love MaMa🔙💯💯🔥❤....
Ikiwa wanyama wamewekwa ktk pesa za tz na hamukuongea lolote wa tz haha hili linawachukiza Nini wacheni chuki tz nchi ya amani munatuambia wenyewe ombeni maendeleo TU dios fitna atakae wekwa yoyote anafaa❤ we love tz
Kazi ya pesa hasa noti ni.pamoja na kuhifadhi historia muhimu ya nchi. Historia ya Makamu wa Rais wa kwanza mwznamke ilifaa kuwekwa ktk noti. Si hili tu Rais wa kwanza mwanamke. Si hili tu Amiri jeshi mkuu wa kwanza mwanamke nk. Hengera BOT kwa kuhifadhi historia ktk pesa zetu.kwa njia ya sarafu na noti. RIP Mwalimu, Mzee Mwinyi, Karume na sasa Mh Samia. Historia inawabeba kukaa ktk pesa zetu.
Watanzania hivi mtabadiri hera mpaka lini nilifikilia hera ya Tanzania mtapunguza masifuli ndio mnakumbuka noti mpya hivi hamuoni aibu taifa kama tanzania hera yake haina samani
Acheni kuichezea Tanzania bado hajaqualify kutokea kwenye hela kwani yeye bado si rais mchaguliwa bali kwa mujibu wa katiba jamani hatukuwahi hata kuzusha kwa watu wa maana kama Magufuli eti leo kigezo cha unauke iwe kisingizio acheni hata kuzusha
Huku ni kujidhalisha tu na kunitoa maana yaani iwepo sura ya mwana make kwenye Hela yaani niujinga wa Hali ya juu mbona mkapa kikwete hakuweka sura zao huyu mama ndio nini
Yani raisi SAMIA kafanya nini? Kwenye taifa letu mpka atoe noti yake? Yani tunalia bandari yetu kawapa waarabu""" wamaasai wanafukuzwa kama mbwa tumeshuhudia mukaguz wa serikali (CAG) mabilioni yametafunwa kuko kimya kazi uchawa na kuwadidimiza masikini wazidi kuwa masikini zaid? Jalibuni kumogopa MUNGU hatakama hamumuoni!!!!
Alfù kwa upumbavu huu kwa uchawa uliopitiliza sasa , yani huyo samai amefanyakitugani hasa, yani huyo alifanya hiyo kazi daah akili zake zipo kwenye kishundu
Jamani watanzania wenzangu Mimi naomba kuuliza kwani hiyo noti imetoka wapi? Maana naona kama imekamilika Kwa Kila kitu alafu mara Tena eti siyo taarifa rasmi zipuuzwe naombeni kujuwa Hilo ndugu zangu.
@@jamesbobwine2017 siko hapa kidini Niko hapa Kwa fact mbona ujerumani ilikuwa inaongozwa na mwanamke kwanza hiyo ni bahati majirani zetu wanalia wanaona wivu Kwa sababu nchi yetu inaongozwa na mwanamke.nani alikufundishakula kuvaa Acha kulala this is2024 wake up bro
TCRA Mnaona uchonganishi uo
Mungu anawaona msikae tu kunawatu wanachokonoa wenzao.
Mama waambie wapige kazi na utapeli unaendelea kwa wanao kitaa wanapigwa sana.
Nakuombea ufaninike mama itapendeza sana wekundu wa msimbazi unanikera
Tuko Pamoja Sana Noti iwe Ile Ile tu
Hapana Mama apo utatusamehe, elfu kumi ni ile nyekundu tulioizowea miaka na miaka.
Sana Sana nyerere ndo awekwe kwenye hiyo noti
Hapo mmechemka,,,
Taifa letu limevamiwa kwa kweli. Kama ni kumbu kumbu tumkumbuke kwa lipi kwamfano
Uko sawa sana
Ila kwamimi nnavyo jua vyote vilifanywa na jpm basi Sina mengi Asante
Mama hakuna mwanachi yoyote anaye kuhitaji Allah asema mke ni pambo la home sivinģinevyo inamana mwanaume hakuna dahh Allah Atakujibu
hii serikali ni kidemocrasia inamaanisha siya kiislamu kwa maana hiyo Samia ndio Urais ndio mahala pake
Naomba hiyo pesa ikitoka mimi nisiitumie
Nn maana yakubadli fedha,, wnabadili picture au, au pesa tuwekeni waz je, kama nihvyo maisha yatapungua garama au😊
HIYO NOTI IMEJAA LAANA. TUNATAKA HELA YETU NYEKUNDU. HUYO MAMA ANAPENDA SANA MISIFA. HIYO NI LAANA KUBWA HIYO NOTI ITUPILIWE MBALI HATUITAKI. KAWEKA UTALII WAKE ILI WAJUE KUWA ANA HELA. Hafai hata kwa lolote.
wewe mbwa wewe.. Acha kukurupuka.. sikiliza habari mpaka mwisho ndio uongee..
@@ibrahimally8073😂😂😂😂😂😂😂
Tanzania yani tunafali hatakama
Sawa
Bora wangetoa sh 20 1
Iyo noti nimeipenda
Say that everything that is planned has its purpose, if it is true money 💰, this caliber exists, we will not only use it from the U.S.A
I love MaMa🔙💯💯🔥❤....
Mi siitaki
Ikiwa wanyama wamewekwa ktk pesa za tz na hamukuongea lolote wa tz haha hili linawachukiza Nini wacheni chuki tz nchi ya amani munatuambia wenyewe ombeni maendeleo TU dios fitna atakae wekwa yoyote anafaa❤ we love tz
We angewekwa mkristo ungesemaje
Kwani Nyerere muislam?@@DaudiMakaza
Wambie Bwana hawa watu wanachuki zao
Tena ingependeza sana
Good
Aaaaaaw mwekundu r.i.p jamen ata halifanan
Picha ya Raisi wa kwanza kutolewa kwenye noti haijakaa vizuri kwangu mm
Atuwez kbar mam akae hpo
Imekapoa
Kazi ya pesa hasa noti ni.pamoja na kuhifadhi historia muhimu ya nchi. Historia ya Makamu wa Rais wa kwanza mwznamke ilifaa kuwekwa ktk noti. Si hili tu Rais wa kwanza mwanamke. Si hili tu Amiri jeshi mkuu wa kwanza mwanamke nk. Hengera BOT kwa kuhifadhi historia ktk pesa zetu.kwa njia ya sarafu na noti. RIP Mwalimu, Mzee Mwinyi, Karume na sasa Mh Samia. Historia inawabeba kukaa ktk pesa zetu.
Waweke na ya mke wako wa kwanza😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂🎉🎉@LatifaCharles
@@NoelaWilliam-z1d 😀😀😀😀😀😀😀yaan uyu wa Kumchamba kbs
😎😎😎😎
Auna oja wewe
Aina haja kuitoa
Watanzania hivi mtabadiri hera mpaka lini nilifikilia hera ya Tanzania mtapunguza masifuli ndio mnakumbuka noti mpya hivi hamuoni aibu taifa kama tanzania hera yake haina samani
Mhuu shana.
Kwl
Mama yuko sawa tu
Mh kiukweli hatujaielewa kabisaaaaa km ipo
Tamaa kimadaraka
Mmmh mawazo ya wasomi wetu ni ovyo hayana hoja za msingi ila ni hoja za kichawa tu.
Uongooo
We don't want that,that's ridiculous
Hyo apo apana
Wala Haina MAANA yoyote noti HIYO YAANI uongozi HUU hovyo kabisa
Edwin
Ila taifa letu kwa awam ii imevamiwa kwa kweli imevamiwa kabisa
Hatutaki kubadilisha badilisha hela zetu sisi ndo tunatumia Simba ndo fahari yetu msimbazi
ni jambo jema kuweka mlima na bwawa lakin picha ya samia iondolewe
Acheni kuichezea Tanzania bado hajaqualify kutokea kwenye hela kwani yeye bado si rais mchaguliwa bali kwa mujibu wa katiba jamani hatukuwahi hata kuzusha kwa watu wa maana kama Magufuli eti leo kigezo cha unauke iwe kisingizio acheni hata kuzusha
Nyny wabong acheni ushamba miak mingap munaongoz leo hii kuongoza mzanzibar kila k2 nitabu bac 2vunjeni muungano kila mmoj abak na kwak
Sisi watanzania tunamuomba mama samia aende nyumbani akapumzike hatutaki atuongoze tena uwongozi wake hautufai sisi watanzania
Waweke hela ya picha za maraisi woteee
Jpm awekwe kwenye hiyo noti
Sisi wananchi hatuna mamlaka ya kupinga kitu,Tukae kimya tuwe na subra,
Chakumshauri agetengeneza noti ya elf 20 ingependeza sana na siyo 10. Tena kwasababu elf 10 tayari tunayo
ii mbay kiukwer bol yazaman
Nimeipenda ragi yake rangi yapeponi
Tengeneza yako weka ndani
bola awekwe ha P.didy kwenye hiyo noti.
Mmmh
@@YusufuRichardYusra4409 🤣🤣🤣
Sijuyi tunaperekwa wapi
Tunaviongozi wajiga san wala hawajielew
Itakua nzuri imependeza
Uongo utakupereka wapi
Wa Tanzania mume vamiwa muwe makini wabunge muyibebe taifa mume ingiriw amefanya mangapi
Naona haina shida
Mbn magufuli akufanya hivyo yangu macho
Huku ni kujidhalisha tu na kunitoa maana yaani iwepo sura ya mwana make kwenye Hela yaani niujinga wa Hali ya juu mbona mkapa kikwete hakuweka sura zao huyu mama ndio nini
waache mambo yao wasitualibie hela wamuache huyo huyo aliewekwa baba wa Taifa
Hapana haiwesekani kwakweli
Acheni usenge wenu
Yani raisi SAMIA kafanya nini? Kwenye taifa letu mpka atoe noti yake? Yani tunalia bandari yetu kawapa waarabu""" wamaasai wanafukuzwa kama mbwa tumeshuhudia mukaguz wa serikali (CAG) mabilioni yametafunwa kuko kimya kazi uchawa na kuwadidimiza masikini wazidi kuwa masikini zaid? Jalibuni kumogopa MUNGU hatakama hamumuoni!!!!
Wivu unasumbuwa watu.mama piga kazi
Huo ni ushamba ulio pitiliza kabis
Elfu 10 itafananej kam mia 500 ya zamn hapn bhn hawez kutupeleka anavy taka apeleke zanzibar
Alfù kwa upumbavu huu kwa uchawa uliopitiliza sasa , yani huyo samai amefanyakitugani hasa, yani huyo alifanya hiyo kazi daah akili zake zipo kwenye kishundu
Ata mm namkubali nyerere na rangi nyekundu ndiyo yenyew msituwekee langi za ajabuuu atuitaki na wala atuna ajaa ya kuona rangi nyinginee
Kwanzaa hainawasis wainchi
🤔 Mhmh,
Wekeni mlima kilimanjaro acheni kiweka picture ya raisi.Wekeni vivutio vya utalii.
Mimi najiuliza kitu! Kwan serikali wakiweka ndio hiyo note hutatumia. Ujinga mzigo
Hii sibukukabisahii
Kimwag
Kama mm sijaona sawa wahache tu ileile
Maisha yenyewe magumu alafu mnachukurihaje CC WANANCHI TOWENI OJANYENGINE KISELEKALI SII KUBADILI PESA NI.NGUMU MNOO
Huu ni ushamba
linoti baya kweli.yani elfu isipokua nyekundu hata haitakua na hadh
We Simba.❤❤❤❤❤❤❤😂
Kwa kuwa Ni Mwanamke wa Kwanza kutawala nchi.ni nzuri kwa kumbukumbu
Bora BOT wametoa tamko nilisha panic et😂
Hata mimi nilikuwa nimepanic jaman hivi nani anapotosha hivyo?
Mweken magufuri hta kama ametangulia mbele za upeo wa macho yetu
Hawawezi kupost tu ujue IPO hata kama hapo inakujana itakuja
ya nn sasa
Iyo noti hatuitaki
Naunga mkono hoja
Hatuitaki😂😂😂😂😂
siitaki hiyo inatosha iliyeko
Apana mbaya sana rangi gani iyo jamani au ndio mambo ya ccm
Bola umesema wewe 👀👀👀 kwa kweli Ni mbaya sana
Jamani watanzania wenzangu Mimi naomba kuuliza kwani hiyo noti imetoka wapi? Maana naona kama imekamilika Kwa Kila kitu alafu mara Tena eti siyo taarifa rasmi zipuuzwe naombeni kujuwa Hilo ndugu zangu.
Hizo picha zimeeditiwa kwa AI akioi bandia machawa wa RAIS wamefanya hivyo
Atenge neze nyekundu amuweke magufuli
Waachemambo yakichoko notiganiiyo tumkumbuke kwalipi wakumukumbuka nababawataifa pekee nasio mwanamke anaevaanguonyingi
ukatolikiumekushika
Wajomba duuuh hii mbona mpya aseee hiyo noti cyo mbaya ninzuri Ila awekwe raisi nyerere, au magufuri
Awepo Mugufuli wetu . Tusije msahau kafanya mengi.
Izi Pesa zote ziwe na picha ya mama
Kwalipo halilo lifanya
Ambaye hakuzaliwa na MWANA MKE Nina?
I Real Dont Know Who Put Her In Our Money???
Nchi kuongozwa na mwanamke ni ishara ya udhaifu na laana...
Watu wenye fikra finyu n kama wewe unavyo waza 😊
Vipi kuhusu ujerumani
kisamzanzibariingekuwamwanamkelakinmkiristomwenzenumusingesemakitu
@@jamesbobwine2017 siko hapa kidini Niko hapa Kwa fact mbona ujerumani ilikuwa inaongozwa na mwanamke kwanza hiyo ni bahati majirani zetu wanalia wanaona wivu Kwa sababu nchi yetu inaongozwa na mwanamke.nani alikufundishakula kuvaa Acha kulala this is2024 wake up bro
@@kibayunikibayuniHuyo mwndiko mwee!!Hata space hamna!?😅😅😅😅
Ndy
Nyie tuchanganyeni tu huyo Samia na nyie BOT msiwe machawa wa huyo mama mmekosa picha ya kuweka kwenye noti ,
we fala acha kukurupuka.. sikiliza habari mpaka mwisho ndio uongee..
Serikari ilikataa kuweka picture ya rais Tena kwenye noti.kwani Kila rais atawekwa?
Sioni km kuna maana yyt, mwakani asipopita mtabadilisha tena au itakuaje?
mwanamkewamwanzoTanzaniakuaRaisnikumbukumbunzuri