VITUNGUU SWAUMU EKARI MOJA FAIDA MILIONI 40 MIEZI 4 VANILLA VILLAGE NJOMBE 0629300200

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • Vanilla village kilimo cha vanila ,kilimo cha parachichi ,kilimo vitunguu swaumu.unalipa fedha unalimiwa uakabidhiwa faida na mtaji,vanilla vilage kuna mandhari nzurii kiutalii maporomoko ya water silence falls ,lavanilla hoteli na vanilla view inayowavutia saana wengi

ความคิดเห็น • 43

  • @user-rl9sn2cm6d
    @user-rl9sn2cm6d หลายเดือนก่อน

    Asanteni sana kwa kujitolea kutupa elim nzuri kama iyo na mungu awabariki

  • @harunisimkonda6873
    @harunisimkonda6873 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri,kwa kutoa elimu hii

  • @amashapatrick211
    @amashapatrick211 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbegu inapatikanaje kwa eka unatakiwa kupanda mbegu kiasi gan mnauza shingapi

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 ปีที่แล้ว +2

    Yani Raha yangoma uingie uchezee 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @funnyVids_001
    @funnyVids_001 2 ปีที่แล้ว +4

    Wasanii sana hawa jamaa.. epuka matapeli

    • @davidkilimotips6276
      @davidkilimotips6276 6 หลายเดือนก่อน

      Jaribu ,,mimi naamini ila ni mtaji tu

    • @happinessshija5136
      @happinessshija5136 หลายเดือนก่อน

      Kilimo kinahitaji mtaji sana,la sivyo utaona ni utapeli

  • @sabrinasaleh-xe9ei
    @sabrinasaleh-xe9ei 4 หลายเดือนก่อน

    Good idea

  • @yolandaliyoya1839
    @yolandaliyoya1839 2 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana

  • @MagenLucas
    @MagenLucas 6 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba nambazenu

  • @user-jo1pd1fk1w
    @user-jo1pd1fk1w 5 หลายเดือนก่อน +1

    Je kama mm nipo nje ya mkoa wa njombe nikiwa nkiwa na zao hilo soko ntalipataje

  • @tadeusimlimakifi4676
    @tadeusimlimakifi4676 ปีที่แล้ว

    Namba zenu

  • @williamshenyagwa6658
    @williamshenyagwa6658 ปีที่แล้ว

    Superb

  • @lawrenciamkolwe796
    @lawrenciamkolwe796 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbegu ipi zuri pia Mimi Nina bonde kubwa nataka nilime je soko lipo wapi pia mtaji shingapi mpaka kuvuna

  • @emmanuelbenjamin4186
    @emmanuelbenjamin4186 2 ปีที่แล้ว

    Tunawapataje

  • @streetshot8963
    @streetshot8963 2 ปีที่แล้ว

    Nyie watu mna lugha za kilaghai Sana. Mmetangazia watu vanilla faida hafi milioni kwa kilo kumbe uongo watu wamewekeza wamepata hasara sasahivi mmeiacha vanilla mmehamia vitunguu na parachichi tena

  • @yolandaliyoya1839
    @yolandaliyoya1839 2 ปีที่แล้ว

    Nitajitahidi nilime

  • @nashonjoel20
    @nashonjoel20 หลายเดือนก่อน

    Kigoma, Buhigwe kuna BARIDI kama NJOMBE, je Saumu inaweza kubali wilayani hapa?

  • @yolandaliyoya1839
    @yolandaliyoya1839 2 ปีที่แล้ว

    Mtanisaidiaje jamani niko tayari kulima

  • @harunisimkonda6873
    @harunisimkonda6873 หลายเดือนก่อน

    Naweza kupata namba kwa mawasiliano zaidi

  • @gracebenjamin6564
    @gracebenjamin6564 11 หลายเดือนก่อน

    Kama nahitaji kulima natakiwa niandae sh. Ngapi hadi mavuno?

  • @dunstanbalthazary9444
    @dunstanbalthazary9444 2 ปีที่แล้ว +2

    Wewe unayeongea kupata milioni 40 una milioni ngapi umepata ? Acheni kuwadanganya wakulima kilimo kina changamoto sio kirahisi kihivyo wote tungekuwa mabilionea acheni kauli za waganga wa kienyeji kukufanya kuwa tajili wakati yeye ni masikini anapigia hesabu ela zako

  • @joycekatangwa8263
    @joycekatangwa8263 2 ปีที่แล้ว +2

    Nikitaka kuwekeza hiyo ekari moja gharama ni shilingi ngapi?

  • @hafidhikassim8675
    @hafidhikassim8675 2 ปีที่แล้ว

    Gharama ya kulima ekari 1, kiasi gani?

  • @yussufhashim4472
    @yussufhashim4472 ปีที่แล้ว

    Naomba namba zenu

  • @josephatmtweve6534
    @josephatmtweve6534 ปีที่แล้ว

    Tunaomba namba yenu

  • @egbertruhasha6841
    @egbertruhasha6841 2 ปีที่แล้ว

    Tunaomba contact zenu

  • @raheemaathumani8663
    @raheemaathumani8663 2 ปีที่แล้ว

    Naomba contact zenu nataka nilime njombe

  • @gilbercarlo325
    @gilbercarlo325 2 ปีที่แล้ว

    Tuwe na aibu jamani miezi mitatu milioni ngapi hahahaaaa

    • @njbtv2982
      @njbtv2982  2 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😆😀😀😀😀😀😁

  • @marrymauki2147
    @marrymauki2147 2 หลายเดือนก่อน

    Niliwekeza tangu mwaka juzi, kwenye Vanilla, karanga, lan,g lang Vitunguu saumu nilitakiwa kuna vitunguu saum mwez wa 2 mwaka jana lkn naendelea kupigwa kalenda mpaka Leo cjui hatma yangu . Vanilla na Lang lang ilikuwa tuvune mwaka jana mwez WA 12 Mkurugenxi ukimpigia haupokei cm. Bac hata WEWE unaetangaza bac tujibuni wateja wenu. Turidhike.😂😂😂😂😂.

    • @njbtv2982
      @njbtv2982  2 หลายเดือนก่อน

      Mimi nilipenda kuandika tu HABARI sijui chochote nakushaur kama unadocument naenda court

  • @dixonmalaki4826
    @dixonmalaki4826 2 ปีที่แล้ว

    Naomba ur contacts

    • @bickosteven3485
      @bickosteven3485 ปีที่แล้ว

      Matapeli hawa

    • @blackfire6208
      @blackfire6208 ปีที่แล้ว

      Mm mkulima waivo vi2 ila milion 40 uwongo ekal 1

    • @angelmlay4173
      @angelmlay4173 11 วันที่ผ่านมา

      ​@@blackfire6208naomba no yako

  • @lawrenciamkolwe796
    @lawrenciamkolwe796 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namba zenu