PASTOR DICKSON KABIGUMILA atembelea kanisa la Baba wake wa Kiroho ASKOFU GWAJIMA | ASEMA HAYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @winfridahaule4364
    @winfridahaule4364 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nimejifunza ujasiri wa kujiombea mwenyewe Asante sana pastor Gwajima

  • @sirgcomedian4499
    @sirgcomedian4499 10 หลายเดือนก่อน +2

    Amen...Ni hakika hii hekima Tosha, ASKOFU GWAJIMA Ubarikiwe mno na ASKOFU KABIGUMILA Ubarikiwe mno, yaan Nabarikiwa sana hakika Tanzania itaenda Next level

  • @winfridahaule4364
    @winfridahaule4364 10 หลายเดือนก่อน +2

    I love you Dady Gwajima

  • @samsonkazimili2221
    @samsonkazimili2221 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tulifurahi sana kumtembelea Babu yetu wa kiroho....Mungu awabariki watu wa Ufufuo na Uzima nyinyi ni watu wakarimu sana

  • @preciouslissahparis1352
    @preciouslissahparis1352 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeen,ameeeen,baba yangu ni mkuu sana

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nampenda.sana askofu gwajima niliomba upako.wa askofu gwajima unijie kwa sehemu heeeeeeee ulinijia nahubiri hatari ni mwanamke ila nahubiri hatari nimemuomba Mungu aje anikutanishe na gwajima kwanza niliomba awe kaka yangu kiloho ikawa kitu kikitokea nikisema ss ukoo wetu una nguvu akiwemo.kaka yangu gwajima.naamuru.kupita.kwa.jina la yesu ghafla lile jambo linaisha saizi nahubiri sana

  • @StevenMunugwa
    @StevenMunugwa 9 หลายเดือนก่อน

    Hii Safi Sana. Imekaa vema mnoo

  • @piusnkwale
    @piusnkwale 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ushuhuda Mkubwa sana ,hongera sana pastor Dickson

  • @preciouslissahparis1352
    @preciouslissahparis1352 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen,ameeen,baba JG WEWE NI MSINGI WANGU,TOKEA NAOKOKA MPAKA LEO

  • @Janeth_Eric_Shoo1972
    @Janeth_Eric_Shoo1972 9 หลายเดือนก่อน

    Askofu Gwajima Wewe ni mfano wa kuigwa ❤

  • @emmanueldionismbena3461
    @emmanueldionismbena3461 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji Gwajma nimefurahi sana umekuza na umezaa wengi mpaka wengine umewasahau

  • @monicahenrry8215
    @monicahenrry8215 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ametupa Baba JG

  • @victorialubwaza1583
    @victorialubwaza1583 10 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @zakariaandrew1314
    @zakariaandrew1314 10 หลายเดือนก่อน

    Ameni

  • @-lameckvitalis
    @-lameckvitalis 10 หลายเดือนก่อน

    Amennnn🎉🎉🎉🎉

  • @nassibuduma7162
    @nassibuduma7162 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nimashine sana huyo

  • @sirgcomedian4499
    @sirgcomedian4499 10 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @PendoSamson-rr8uy
    @PendoSamson-rr8uy 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tumepata baba Bora kuliko wote hilo ni kweli kabisa

  • @sharafisaidi7999
    @sharafisaidi7999 10 หลายเดือนก่อน +1

    Na Mimi nafatilia wewe kama unapofuata gwajima