NILINUSURIKA KUWA TAPELI WA INJILI|| ASKOFU DICKSON KABIGUMILA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • NILIVYONUSURIKA MTEGO WA KUWA MTUMISHI TAPELI WA FEDHA NA MALI ZA WATU
    HUYU MTUMISHI YUPO HATA SASA ANAVYO VITU NA MALI, YEYE ALIENDELEA NA NJIA YAKE, NA AMECHAGUA HIYO KUWA HATMA YAKE,
    MTUMISHI KIJANA SIKILIZA HII KWA UMAKINI, UIPONYE KESHO YAKO NA UMILELE WAKO,
    1 Timotheo 6
    6 Walakini utauwa pamoja na kuridhika ni faida kubwa.
    7 Kwa maana hatukuja na kitu duniani, tena hatuwezi kutoka na kitu;
    8 ila tukiwa na chakula na nguo tutaridhika na vitu hivyo.
    9 Lakini hao watakao kuwa na mali huanguka katika majaribu na tanzi, na tamaa nyingi zisizo na maana, zenye kudhuru, ziwatosazo wanadamu katika upotevu na uharibifu.
    10 Maana shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha; ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani, na kujichoma kwa maumivu mengi.
    11 Bali wewe, mtu wa Mungu, uyakimbie mambo hayo; ukafuate haki, utauwa, imani, upendo, saburi, upole.

ความคิดเห็น • 19

  • @danielelisante8094
    @danielelisante8094 19 วันที่ผ่านมา +1

    Songa mbele mtumishi wa Mungu...ihubiri kweli ya Kristo Yesu bila kupepesa wala kupindisha Neno kwa maslahi ya tumbo.
    Na dhawabu yako ni kubwa duniani na hata mbinguni kwa Baba.

  • @agabomwajeka2342
    @agabomwajeka2342 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe BISHOP BABA YANGU

  • @SilvesterPascal
    @SilvesterPascal 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeen Sana baba angu napenda kukusikia kwani umekwa ukiniindpire mno

  • @maryalbert31
    @maryalbert31 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna kitu kibaya Kama kufanya huduma bila kua na mwenye huduma 💪.
    Asante Baba

  • @Werema3760
    @Werema3760 2 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏🙏🙏🙏 Be blessed baba!

  • @stevensahani7834
    @stevensahani7834 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana Bishop kwa kutushirisha hili. Ni kweli kabisa huduma za watu wengi huchafuliwa kwa sababu ya kuiga huduma za wengine kwa tamaa ya fedha na kutaka ukumbwa na umaarufu. Moyo wangu unafurahi kuwa umeina hii tanzi ukaikwepa mapema.
    Naiomba hii neema ya kuona

  • @RobertEmmanuel-pl9jj
    @RobertEmmanuel-pl9jj 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana baba hakika umebarikiwa najifunza mengi kupitia wewe

  • @zitashio7920
    @zitashio7920 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @maryalbert31
    @maryalbert31 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂

  • @Peaceman-S
    @Peaceman-S 2 หลายเดือนก่อน +1

    Baba tunaomb uwe unatuwekea mafundosho full hii kidogo kidogo wanao wa online unatuacha na njaaa Please uwe unatuwekea full wengine ndio tunapona hivyo 🙏🙏

    • @kabigumila
      @kabigumila  2 หลายเดือนก่อน

      @@Peaceman-S Sawasawa! Somo lote lipo kwenye akaunti hii ya TH-cam, ni semina ya Arusha DAY 01, juzi 06.08.2024

    • @Peaceman-S
      @Peaceman-S 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@kabigumila asant Baba Mungu aendelee kukutumia

    • @luciadominik1626
      @luciadominik1626 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mkija kanisani mtaenjoy zaidi

    • @luciadominik1626
      @luciadominik1626 2 หลายเดือนก่อน

      Mie nimeend Leo TU lakini natamani niende ten

    • @apostle-musakagazi1576
      @apostle-musakagazi1576 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@kabigumilaShalom...
      Ninaomba kuonana na mtumishi wa Mungu. Naomba maelekezo.

  • @asifiwemwilasege5998
    @asifiwemwilasege5998 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen