TANZANIA KUMEANZA KUCHANMKA, MPINA AFICHUA VIONGOZI SERIKALINI AMBAO SIO RAIA WATANZANIA, WAONDOLEWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 374

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 3 วันที่ผ่านมา +38

    Ni kweli umeongea jambo zuri sana hongera sana kaka

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 3 วันที่ผ่านมา +25

    KULA SATO na vyakula vya asili akili NYINGI, GENIUS MPINA..

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 3 วันที่ผ่านมา +15

    GOOD POINT

  • @Fredymwanzo
    @Fredymwanzo 3 วันที่ผ่านมา +31

    Asante sana watazania sisi huku congo tuliwakaribisha congo wakati walipinga Rwanda kwasai ao do wanataka kupidua serekali ya congo apa congo tumeteseka sana kwakukarisha wakibizi kutoka Rwanda watusi mungu aone

    • @philiplugalia3724
      @philiplugalia3724 2 วันที่ผ่านมา +1

      Jipange muwe na umoja mpige Hao magaidi

  • @EliezaMdakilwa
    @EliezaMdakilwa 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    BIGUP MPINA AND REAL ADVICE TAPED FRM CDF GEN..MK

  • @masikitikomwakyonde1259
    @masikitikomwakyonde1259 3 วันที่ผ่านมา +31

    Dah yaani hapo tunaweza vamiwa kirahisi na kuwapa kazi ngumu sana wanajeshi wetu dah kiongozi wetu mpina unachokiongea watu wanaweza wasikuelewe lakini ukweli ndo huo.

    • @SaleheNgoli
      @SaleheNgoli วันที่ผ่านมา

      Kiongozi wa familia yenu sisi kiongozi wetu ni Rais Samia

    • @valenakomba7686
      @valenakomba7686 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      NA JINSI TULIVYO WAZEMBE BORA TUU JESHI LIINGILIE KATI.😢

  • @JosephTherathini
    @JosephTherathini 3 วันที่ผ่านมา +18

    Mmmh hapo ni kupashugulikia haraka sana

  • @FaustineLuanda
    @FaustineLuanda วันที่ผ่านมา +2

    Naomba serikali iwafukuze tutapotea

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 2 วันที่ผ่านมา +7

    Asante sana mpina kwa kila siku unazidi kutukumbusha🙏

    • @Clex-f5s
      @Clex-f5s วันที่ผ่านมา

      Tuanze na waliochoma soko 😢

    • @ShugweHusna
      @ShugweHusna 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Ww kaka mungu akujaalie sana na akurinde

  • @vt-kn6qf
    @vt-kn6qf 3 วันที่ผ่านมา +10

    Wapo wengi Sana brother , ili swala la congo na tanzania msipo kuwa makini litatokea hadi jeshini wapo muwemakini Sana

    • @isaacpatron7428
      @isaacpatron7428 วันที่ผ่านมา

      lakini nyinyi munakuaga natuma neno ya chuki ya kuchukia wanyarwanda acheni ujinga wanyarwanda hawana chochote wanataka Tanzania.

    • @henryking6070
      @henryking6070 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@isaacpatron7428 Watusti siyo wanyarwanda

  • @dicksonsambala7756
    @dicksonsambala7756 3 วันที่ผ่านมา +6

    Mh: Mpina hongera...sote tunahitajika kuwa wazalendo. Ipo siku yatakwisha ila tusiache kutamka huo ukweli kila mara

  • @mogrosso3500
    @mogrosso3500 3 วันที่ผ่านมา +22

    Kwakweli muwe makini watusi sio watu wazuri congo tumejufunza kupitiya kuwapokea kwetu

    • @kivuswahilitv6833
      @kivuswahilitv6833 2 วันที่ผ่านมา +1

      Hata wa Congo nao ni hatari pia kwanza tarifa hio inalenga sana wa Congo maana wao ndio wanafanya kazi kama migration na mengine ni mganda na ni viongozi wa kubwa
      Kunbuka wa Congo wengi kigoma hugeuka wa Maniema na ndio sababu hata mh zito kabwe ndugu zake fulani Magufuli aliwafudisha Congo ili waje kuomba urai vizuri

    • @YassipiNebukadinezar
      @YassipiNebukadinezar 2 วันที่ผ่านมา

      Sio WATUTSI wote niwale ambao wali nyonya matiti ya Dhambi za kagame nafikira zake za ujinga wa ukatili kama walivyo jiita killing machine yaani kumwaga damu ndiyo KUSUDI la RPF INKOTANYI sisi wanyarwznda tulikufa tulioza kama munajuwa ID AMINI nakundilake liliongozwa na MALIAMUNGU ni Sawa Sawa kbsa nakagame nakundilake .

    • @mutabazijustin-x2v
      @mutabazijustin-x2v 2 วันที่ผ่านมา +1

      Hhhhh Uwe unasema Wanyarwanda bro siyo Watusi Watusi niwatu kama wengine bro Tanzania tunaiheshimu kira upande ijapokuwa Vitu vya Siasa kiserikali lakini Bba wa Taifa Kambarege na Muheshimiwa Mzee All Hassan Mwinyi niye Wanajuwa bro, Watusi siyo watu wabaya ispokuwa wanaonewa kura Upande bro

    • @YassipiNebukadinezar
      @YassipiNebukadinezar 2 วันที่ผ่านมา

      @mutabazijustin-x2v hawaonewi kamwe Ila wao wanajidai nakuhitaji kumaliza watu wa aina tofauti nao kwasababu ya mipango ya ujinga yakagame nawale wanataka kujenga Tutsis HIMA EMPIRE Mpango Pana kbs lakini wa ujinga Ili kuishi kwaamani nikufukuza Kagame na RPF INKOTANYI Killing machine

    • @CharlesKalisa-p1g
      @CharlesKalisa-p1g 2 วันที่ผ่านมา

      Jamani watu wanasubuka na nini katka Dunia hii mbona kila mmoja akifa anazikwa kwa shida iko na aridhi hajawahi kumkataa mtu

  • @HansChuma
    @HansChuma 2 วันที่ผ่านมา +5

    Mm nasema hv watolewe mapemaa tuchunguzane vizur lasivyo ohoooo

  • @NeemaMateleka
    @NeemaMateleka 2 วันที่ผ่านมา +4

    Mungu akulinde baba

  • @yusuphyusuph4334
    @yusuphyusuph4334 3 วันที่ผ่านมา +14

    Hii taarifa ifanyiwe kazi

  • @amanrashid7061
    @amanrashid7061 2 วันที่ผ่านมา +1

    Duuuuuuh Dunia ina mambo yaaan mtu sio Raia sahihi wa Tanzania alf anapewa ajira na wazawa wanahangaika naajira na vyeti yao mtaani duuuuuuh 😢😢

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 2 วันที่ผ่านมา +4

    Yani taarifa imetolewa na jeshi afu bado aijachukuliwa atua 😳😳

  • @SuleimanSalum-ck1ws
    @SuleimanSalum-ck1ws 2 วันที่ผ่านมา +2

    Hiyo point kubwa kupitiliza tuweza kujikuta tuna raisi mkenya wakatuibi nchi😎😎😎

  • @abuubaya7614
    @abuubaya7614 3 วันที่ผ่านมา +11

    Hii nchi ni ya Ovyo sana

    • @DudddyWhyCant
      @DudddyWhyCant 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@abuubaya7614 nenda kwenye nchi ambayo siyo ya ovyo, wengine akili zenu kama za kuku, huna point ya kuchangia unabaki kutukana eti hii nchi ya ovyo

  • @ramadhanimmana3829
    @ramadhanimmana3829 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Duuuuh mm sina mwanasheria kwa kweli

  • @JosephSanka-y4q
    @JosephSanka-y4q 3 วันที่ผ่านมา +2

    I like this sistrment.. we need to do. Noted:

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 3 วันที่ผ่านมา +5

    Hii ni hatar kubwa sana kwa taifa dah R.I.P magu

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 3 วันที่ผ่านมา +21

    Shida ya Tanzania ukiwa msema ukweli huwezi kuelweka mapema,zaidi n8 upigaji tuu,hii ni hatari sana kwa nchi,jaribuni kuwa mnamuelewa Luhaga,kila anachokipigia kelele please

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 2 วันที่ผ่านมา

      Nchi huundwa kwa uhamiaj kutoka maeneo mbali mbali ya dunia kilicho asili kwenye ardh husika ni miti mawe na nyasi lakin kwa binadam hapana ndo maana kuna historia ya mlikotoka ya miaka ya nyuma kwa kila kabila hata huyu mpina anahistoria ya kabila lake lilikotoka huko ardh ya mbali na si Tanzania kwahiyo acheni kufuata umbumbu mtaumiza watu na umimi wenu wa kipumbavu

  • @ce-08
    @ce-08 3 วันที่ผ่านมา +7

    Mpaka wa Rwanda uangaliwe sana maana watutsi wanatabia yakujifanya wanaingiza kuchunga nakutoka kuchunga na kutoka wanaanza kujenga vibanda vidgo mwisho unakuta Kijiji tayar

    • @husseinc
      @husseinc 2 วันที่ผ่านมา +1

      Kama kuna kiongozi wa nnchi jirani ana mpango wa miaka mingi wa kupora ardhi ya tz kwa hawa viongozi tuliokuwa nao mpango wao unaweza kufanikiwa. viongozi wakiingia madarakani wanaza kuiba maisha ya kifahari akuna mwenye uchungu na nchi.

  • @Allyiddsud
    @Allyiddsud 2 วันที่ผ่านมา +4

    Jamani wafukuzwe araka. Ao ni watusi wanapenya mchini kwetu. Jamani mweshimiwa kikweta aliliona ili mapema san. Mama chukua atua Rais wetu..nawengi wapo jeshini . Nautawasikiq wakidai ni waaha wengine eti ni wahaya , wengine ungia eti wakenya ila sio wakenya. Na wasomali ange san watu awa.. mpina mungu akubariki mzalendo wakweli tz

    • @Angelo-v6c
      @Angelo-v6c วันที่ผ่านมา

      Wende huko Wewe interahamwe FDLR wandugu zako wa FDLR Wana pigwa kama umbwa

    • @isaacpatron7428
      @isaacpatron7428 วันที่ผ่านมา

      Watanzania wenye wako Rwanda wafukuzwe waende kwao, Rwanda ibakie ni nchi yawayarwanda na wengeni afrika pasipo kua ndani watanzania kwa sababu ya chuki yenu na ukabila na ujinga. nyinyi niwakorofi

    • @SakinaValy
      @SakinaValy 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Subiri siku wageuke tutaelewa hapo sijui mtaridhika wamama kutembea na furushi na watoto mikononi,,hii kitu mi naomba mungu aepushe

  • @OscarNshimirimana-y1i
    @OscarNshimirimana-y1i 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kudadeqi viongongozi muda mwingine mnajikuta kwamba hamtakufa muda mwingine mnakera sana😎😎😎

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 3 วันที่ผ่านมา +6

    Huyu mpina ni traore wa Tanzania kasoro hanapisto kiunoni atapendwa sana na watanzania akekuwa laisi nikijana mwenye dam ya magufuli msemakweli mpina usiludi nyuma songa mbere

    • @edwardjohn1507
      @edwardjohn1507 3 วันที่ผ่านมา

      Haya mbona watanzania harari hawapo fatiria vizuri kikwete mbona wanasema ni murundi au wazanaki wanasema chimbukorao ni rwanda muniambiye ukweri uko wap?

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 3 วันที่ผ่านมา

      @@edwardjohn1507 Hatuongelei chimbuko tunaongelea raia wa Tanzania
      Kikwete ni mtu wa pwani hana uhusiano na huko Burundi usilete hoja za kishamba

    • @RonnieBertin
      @RonnieBertin 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@edwardjohn1507 acha usenge siku kikiumana wewe wa kwanza kulia

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 3 วันที่ผ่านมา +3

    Duh, sikuwaza haya… mpina apewe ulinzi. 🫡🫡🫡

  • @NassourJuma
    @NassourJuma 2 วันที่ผ่านมา +3

    uyu mtu ni hazina kubwa ya nchi yetu ila nawashangaa sana Watanzania wenzangu kwa kumchukulia ni mtu wa kawaida uyu mtu, ila mm nakupa respect sana kaka na mungu akupe maisha marefu ili uitumikie nchi yako kwa weledi wa hali ya juu. Aamin

  • @PascalChimatu
    @PascalChimatu 3 วันที่ผ่านมา +8

    Tanzania inacheza mchezo hatari sana viongozi mtakuja kutufanya wananchi kujuta kuweka wageni kwenye nyazfa mbali mbali ikiwa wazawa wanateseka mitaani na elimu zao

    • @CharlesKalisa-p1g
      @CharlesKalisa-p1g 2 วันที่ผ่านมา

      We jamaa inabidi uelewe vzr ,sote tunajua kuwa uzalendo ndo jambo la kwanza ktk maswala ya uongozi ila sasa mimi kinacho nipa hasira ni watanzania wangapi ambao wameshindwa uzalendo mchana kweupe na kuiba mali za umma wazi wazi na wanakua sio wachapa kazi ,ila sasa nenda kafuatilie vzr hao viongozi ambao tunadhani kuwa sio wazawa wa Tz uone jinsi wanavyo chapa kazi kwa uadilifu na uzalendo.

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 3 วันที่ผ่านมา +5

    Jamani tuwe makini sana hata Trump anazingatia sana hili

  • @HawaNangasu
    @HawaNangasu 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ee Mungu tusaidie

  • @ngoshamedia1
    @ngoshamedia1 วันที่ผ่านมา

    Hapa Bashe inamhusu😂😂

  • @FestoAlladi
    @FestoAlladi 2 วันที่ผ่านมา

    Mama anateua watu wangapi? Anawajua wote?

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga 2 วันที่ผ่านมา

    Kwahiyo mitano tena?

  • @IreneMacha-g8o
    @IreneMacha-g8o 2 วันที่ผ่านมา

    Sema nii mimi namkubali sana MPINA

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mnakurupuka saana , Watanzania wote wa mipakani huchafuliwa kisiasa kuwa sio raia, au akiwa shombe shombe tu sio raia. Nchi Ina utulivu saana Mhe Mpina tena saana haya unayo Yaleta hayana tija kwa Taifa.

    • @gervaskasala7321
      @gervaskasala7321 2 วันที่ผ่านมา

      Kwahiyo mkuu wa majeshi pia alikosea kusema huo ukweli?!! Acha kukaza fuvu

    • @mohamedhozeni
      @mohamedhozeni วันที่ผ่านมา

      Wewe amekugusa tetakufatilia

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x 2 วันที่ผ่านมา

    Jamani jamani jamani.Tz tunaelekea wapi

  • @JOSEPHKAJORO
    @JOSEPHKAJORO 3 วันที่ผ่านมา +2

    Dar hiyo mbona hiyo hatari

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 วันที่ผ่านมา

    Sijui walifikaje mpaka kufikia hatua hiyo! Sidra kama watatajwa.

  • @Azza-o8c
    @Azza-o8c วันที่ผ่านมา +3

    Anza na Philip mpango😅

  • @abuumkumbalu9123
    @abuumkumbalu9123 3 วันที่ผ่านมา +17

    Rais mwenyewe sio Mtanganyika awezi kuwa na uchungu

    • @HansChuma
      @HansChuma 2 วันที่ผ่านมา +4

      Kweli kichwa kibovu unaambiwa watuwasio watanzania haijaongeleka habar za uzanzibar nautanganyika issue nikutokua Mtanzania

    • @MichaelMathew-j3f
      @MichaelMathew-j3f 2 วันที่ผ่านมา +2

      Zanzibar ni Tanzania, sasa nakushangaa aise!!

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 2 วันที่ผ่านมา

      Hakuna Rais wa Tanganyika,, kuna Rais wa Tanzania

    • @OthmanJuma-e8s
      @OthmanJuma-e8s 2 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe Sio Mtanzania

    • @abdullahannabhaniy2283
      @abdullahannabhaniy2283 2 วันที่ผ่านมา

      Kwani huyu mama ni raisi wa Tanganyika?

  • @HekimaSalama
    @HekimaSalama 3 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 2 วันที่ผ่านมา

    Wangekuwa Masheikh hapo...!
    Laakin kwavile ni Viongozi wa Serikali...

  • @erastomwambeje9920
    @erastomwambeje9920 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa qamefikajw hapo ? Mpaka hapo kuna Bunge sasa ?

  • @AllyStephen-h5w
    @AllyStephen-h5w 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila nimeshuhudia misiba ya kifahari ikisindikizwa kwnda rwnda

  • @agnettakamugisha4984
    @agnettakamugisha4984 วันที่ผ่านมา

    Kwani walio waajiri hawakujuwa?

  • @EnthusiasticAtv-gn6pb
    @EnthusiasticAtv-gn6pb 3 วันที่ผ่านมา +3

    Mtanzania Halisi ni Mimi hapa. Nilizaliwa Tanzania, nikasomea Tanzania. Sipajui kule wala kule kwa sababu sijawahi kwenda nchi yoyote ya nje isipokuwa ZANZIBAR TU

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 2 วันที่ผ่านมา

    Mh mpina pokea 🥀🥀 yako mapema maana kwenye ukweli unasema ukweli

  • @samwa9496
    @samwa9496 3 วันที่ผ่านมา +2

    Wanakuja kwa gear ya kuowa watz na wanawake wana bweteka kumbe wanaume hao walisha uwa makwao wabebe wanawakeza zao waondoke na kitendo hiki alikifanya marehemu kwa kujihami alichukiwa wajeshi.wa kule na wamemramba

  • @saliminyusuph6122
    @saliminyusuph6122 วันที่ผ่านมา

    Huku kwenye ma Babarshprp yenyewe wacongo ndio wengi sana.

  • @ElizabethJohndotto
    @ElizabethJohndotto 2 วันที่ผ่านมา

    Kweli

  • @bakarithegeoinformatician7406
    @bakarithegeoinformatician7406 2 วันที่ผ่านมา +1

    Vipi kuhusu wamakonde waliopo kwenya na wamepewa uraia wanawezaje kurudi Tanzania na wataanzia wapi? Acheni ubaguzi ukiangalia kwa asilimia kubwa Tanzania wakazi halali wa kwanza ambao historia yao inaelezeka ni wakazi wapwani tu

  • @fatumahamadi1379
    @fatumahamadi1379 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kw kweli Waondolewee n walio kuwa wameajiliwa nafasi z Walimu au Mahoteli waondolewe Vizazi vyet vinakosa Ajira

  • @alexsimon5576
    @alexsimon5576 3 วันที่ผ่านมา +2

    Ivi hakuna msomali🙆🙆🙆

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln 3 วันที่ผ่านมา

      Msomali ndio ww

    • @alexsimon5576
      @alexsimon5576 3 วันที่ผ่านมา

      @salehkhamis-ob8ln sio kwa UBAYA🤣🤣🤣🤣

    • @alimuse6980
      @alimuse6980 วันที่ผ่านมา

      Umekosa la kusema au momali alikufira

    • @alexsimon5576
      @alexsimon5576 วันที่ผ่านมา

      @@alimuse6980 hahaaahah jaman wasomali sio kwa UBAYA🤣🤣🤣🤣

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln วันที่ผ่านมา

      @@alexsimon5576 haya sasa hao makafiri wenzenu wanatafta nchi ya kwenda kwao kuna fujo wapokeeni sasa

  • @AllyStephen-h5w
    @AllyStephen-h5w 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tanganyika ni shamba la bibi wan cuma wanapeleka kwao na niwengi sn hawana huruma na mtanganyika wanacojari na maslihi Yao binafsi

  • @martinnkuba6683
    @martinnkuba6683 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa ana DNA za U chadema ndani yake, 💪💪💪💪👋👋👋👋

    • @DavidCurtis-e4c
      @DavidCurtis-e4c 2 วันที่ผ่านมา

      Ndio akili yako ilipofikia hapo sio? Ok hembu maikilize vizuri sana anachoongea na anasema wazi maneno hayo yametoka kwa mkuu wa jeshi yeye anashauri tu ila maneno yameshasemwa na video pia imeonwshwa hapo ila bado unaongea unachojua

    • @martinnkuba6683
      @martinnkuba6683 2 วันที่ผ่านมา

      @@DavidCurtis-e4c kwani kukumbusha ni kosa maana labda ameona hakuna kinacho fanyika be analytical minded my friend

    • @ukuntusataniarigukora.8482
      @ukuntusataniarigukora.8482 2 วันที่ผ่านมา

      Chadema wengi wao watusi kumbuka kipindi Rwasa alikuwa aki take achaguliwe ile ilikuwa njia nzuri sana kagame kuingia Tz birashida maana wanajuana sana. Tz mwe macho mtakuja kuvamiwa na wa tusi maana wamwjaa kila kona tz.

    • @AllyStephen-h5w
      @AllyStephen-h5w 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Aca ujinga anaongelea swala la inchi

    • @AllyStephen-h5w
      @AllyStephen-h5w 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwn mafisadi wote siwako kwny selikar tawala na cama cao ua akili umekopesha

  • @DaudFataki
    @DaudFataki 3 วันที่ผ่านมา +1

    Wengine wanajiita mpaka wamanyema kwenye miziki af tunawaacha tuh

  • @CharlesDaniel-e8z
    @CharlesDaniel-e8z 3 วันที่ผ่านมา +6

    Jeshe letu na police wetu wafanyiwe uchunguzi wengi wao sio laiya wa inchi yetu ya Tanzania

    • @georgesolos344
      @georgesolos344 3 วันที่ผ่านมา

      Kulikuwa na mkuu wa kituo Cha Police hapo ikungi Singida yule mnyarwanda kabisa bila chenga.

    • @section8ight174
      @section8ight174 วันที่ผ่านมา

      ‘Laiya’ ndio nini?

  • @laiserkuyan6075
    @laiserkuyan6075 2 วันที่ผ่านมา

    Mimi uwa Nakukubali mpina lakini serikali ya Samia Aoni iyo mtu zio Rai ya Tanzania Apukuswe kwao hao ndio wanaleta ugaidi Tanzania

  • @MsengiShila-v1t
    @MsengiShila-v1t 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kaka umeona mbanl sna ila mungu akusimamie kwenye hil

  • @jumasuleiman7171
    @jumasuleiman7171 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa mbona hamuwatajiiiiiiiii ya keshaaaa

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 วันที่ผ่านมา

    Mtihani haki

  • @SbOm-b7k
    @SbOm-b7k 3 วันที่ผ่านมา +11

    Tatizo Tanzania munapenda kukumbatia vitu,, watuwanje mumewapa kipaumbele Sanaa kuliko wazawa

    • @CharlesKalisa-p1g
      @CharlesKalisa-p1g 2 วันที่ผ่านมา

      Acheni nyie watu gani wa nje has waliopewa kipaumbele kuriko wazawa?

    • @SbOm-b7k
      @SbOm-b7k 2 วันที่ผ่านมา

      @CharlesKalisa-p1g wamasai wamasai wametimuliwaa kwaajili ganii ?? Na eneo nilao au wao hawanahaki kama wananchi na Watanzania??????

    • @scoreupdate4591
      @scoreupdate4591 วันที่ผ่านมา

      Mtu wanje c pamoja na ww charles kalisa

  • @josephmturi6936
    @josephmturi6936 3 วันที่ผ่านมา +1

    Wataje kaka Ili kila kitu kiwe wazi

  • @Lo-33
    @Lo-33 วันที่ผ่านมา

    Viongozi Wazalendo kama Mpina ni wachache sana duniani.

  • @israeltemu356
    @israeltemu356 3 วันที่ผ่านมา +3

    Kitu hatari sana kwa usalama wa nchi tis wanyeni kazi yenu na hatua zichukuliwe

  • @muyongahassan2188
    @muyongahassan2188 2 วันที่ผ่านมา +1

    Msiwapokee kabisa uwongoz w Tanzania kwa ajiri y waraiya wa Tanzania tuwemakini sn wanainyemelea Tanzania kazitu mm nipo bujumbura najuwa tabiazao na mwenemdowao

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 3 วันที่ผ่านมา +1

    Ukweli. Kabbisa

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 3 วันที่ผ่านมา

    Fact bro watoke wanatuekea kiwingu wengine tuking'atwa nanyoka mpaka 150000 ndio tutibiwe kweri hao madaktari niraia wa🇹🇿😪😪

  • @b-creative4662
    @b-creative4662 วันที่ผ่านมา

    Mku......😂

  • @HenrickMangula
    @HenrickMangula 2 วันที่ผ่านมา

    Inawezekanaje jmn Intelligence ya nchi yetu ndo imekuwa dhaifu hivi

  • @maresianantibakazi-yh4qd
    @maresianantibakazi-yh4qd 3 วันที่ผ่านมา

    Hii ifanyiwe kazi

  • @NicodemBarantanda-ud7qy
    @NicodemBarantanda-ud7qy 3 วันที่ผ่านมา +1

    Ndiyo maana kumbe watu wanapotea hatuoni ushirikiano wa vyombo vya usalama hata wanaoshauri mikataba tuna raumu VIONGOZI tuliowachagua kumbe na raia wasio wa nchi YETU wameajiriwa mpaka ngazi za maamzi,Ere Yesu tusaidie si kwamba Congo ni laana wanaweza kuwa walikosea sehemu

  • @stevenkampaun6384
    @stevenkampaun6384 2 วันที่ผ่านมา

    Kazi za Samia izo

  • @niccomedia3147
    @niccomedia3147 3 วันที่ผ่านมา

    Duh kweli hii ndio TZ

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 3 วันที่ผ่านมา +2

    Watu kama hawa wasikilizwe

  • @rashidkachaa3666
    @rashidkachaa3666 วันที่ผ่านมา

    Kama wapoi aise ni hatar sana

  • @Rojo_Rojo
    @Rojo_Rojo 2 วันที่ผ่านมา

    sio rahisi kuzinidi

  • @ClarenceHilaly
    @ClarenceHilaly วันที่ผ่านมา

    Nikwer hata Samia masauni mbalawa sio raia wa tanganyika ila wapo kwenye nafasi za juu za maamuzi na ndio maana wanauza bandari za tanganyika bila hofu Kwa kua sio zao wakiacha za kwako za kule Zanzibar zikiwa salama na ndio maana wanawateka watanganyika na kiwauwa bila huruma Kwa kua sio ndugu zao

  • @huyu1993
    @huyu1993 2 วันที่ผ่านมา

    Mimi wewe jamaa sijawahi kukuunga mkono ila leo nakuunga mkono umeonge point sana Mungu akupe Moyo uwo uwo

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 2 วันที่ผ่านมา

    Nikweli huyu mbunge asipuuzwe kaongea kitu kikubwa sana wanadukua sir zetu siku tukihitirafiana watatumaliza kabisa Siri zetu ziko kiganjani mwao

  • @LuckmanJuma
    @LuckmanJuma 3 วันที่ผ่านมา

    Sawa we endelea

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 3 วันที่ผ่านมา

    Ukweli baba unaua naongopa sana mdema kweli huwa anachukiwa

  • @samadoushujaa7028
    @samadoushujaa7028 วันที่ผ่านมา

    Hawa wasenge hawana jema na Tanzania yetu.. juzi tu Kuna mnyaturu kagawa Uraia kama Kuma. CCM toeni fomu ili wenye nia njema walitetee taifa letu.

  • @adamsimba4886
    @adamsimba4886 2 วันที่ผ่านมา +1

    Waondolewe hao wanyaruanda waizi

  • @brunolwambano6752
    @brunolwambano6752 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kibuli cha kagame kipo apo anajua kuna wanya Rwanda wengi tz

  • @JimmyMtere
    @JimmyMtere 2 วันที่ผ่านมา +1

    iv kama kwer hao syo raiya na wamepataje ngaz za juu zamamuzi

  • @RizikiMlela
    @RizikiMlela 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mkunda hirijina nirakirundu kwao niburundi atakuweje ukuu wamajeshi tanzania kwanihakuna watanzania harisi mbona mnatakakureta matazizo

    • @zerbabelnyabenda7007
      @zerbabelnyabenda7007 2 วันที่ผ่านมา

      Wewe mwenyewe murundi:jinsi unavoandika kiswahili kunathibisha !
      Unatumiya R badala ya L
      Tufahamiane mapema,please

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 2 วันที่ผ่านมา

    Wapo wengi sana ndo wanouwa kama

  • @HakuzwebirindaImmacule
    @HakuzwebirindaImmacule 2 วันที่ผ่านมา

    Wa zungu wametugawa sana.Tunataka Aftika itueleze sisi wana wake tuendr wapi

  • @FredyUrio-u7u
    @FredyUrio-u7u วันที่ผ่านมา

    Ata mwijaku

  • @EnthusiasticAtv-gn6pb
    @EnthusiasticAtv-gn6pb 3 วันที่ผ่านมา

    Ni KWELI ndugu yangu Mpina

  • @TalibMtalika
    @TalibMtalika 3 วันที่ผ่านมา +2

    Afu kuna wa Tanzania wanakosa ajira kumbe ajira wanapewa wakimbizi duhh tena kwenye sekta muhimu za nchi

    • @CharlesKalisa-p1g
      @CharlesKalisa-p1g 2 วันที่ผ่านมา

      Hahahaha....kazi kuwaza ajira mchana kutwa toka using usingizini ukafanye kazi achana na mambo ya hayo kwani hayatakusaidia kimaendeleo 😂😂😂

    • @NasraNasra-l9q
      @NasraNasra-l9q 2 วันที่ผ่านมา

      Wewe ndo mkimbizi uliejitoa kupinga hoja za wazalendo wa Nchi yao eeee
      ​@@CharlesKalisa-p1g

  • @LuckmanJuma
    @LuckmanJuma 3 วันที่ผ่านมา

    Tanzania unaijuwa vizurii

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 2 วันที่ผ่านมา

    Naona mnajitia vidole mkijinusa .. wamepitaje hao raia haramu mpaka kufikia kutoa maamuz ya nchi.. achen ushamba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @habibumnibo4000
    @habibumnibo4000 3 วันที่ผ่านมา +1

    True

  • @AntonDeus-ds9ns
    @AntonDeus-ds9ns 2 วันที่ผ่านมา

    Watanzania wenzangu niwakumbushe kitu hofu lazima tuwe nayo lakin mkumbe kuwa bala lafrika mulundibunamkuta tanzania mtanzania unamkuta malaw muganda unamkuta kenya munyarwanda unmkuta burundi kama nivyo kwamaam eace aw bala lafrica 5 contrue walikubaliana kama vimebadilika kilamtu aludi kwao namipaka wifunge je tutafaulu? Jibu nihapa

  • @NungulaRais
    @NungulaRais 2 วันที่ผ่านมา

    Hiyo

  • @JehhusRaoul
    @JehhusRaoul วันที่ผ่านมา

    Watusi wengi