2021 still captivated by this extraordinary song!! Neema umetunukiwa talanta ya ajabu sana. Please tumemiss uimbaji wako. Kuja tena na nyimbo zingine. We love you Watching from Kigoma Tanzania
ENGLISH VISION Lead.1: My heart Jesus is full of your desire My tongue Jesus eh used to singing to you My ears are used to hearing you Oh Jesus eh eh eh love of my heart ah ah Chorus: My heart Jesus is full of your desire My tongue Jesus eh used to singing to you My ears are used to hearing you Oh Jesus eh eh eh love of my heart ah ah Lead.2: Just say one word, my heart will be healed Say just one word, my life will change You have the last word in my life Oh Jesus eh eh eh love of my heart ah ah Chorus: Just say one word, my heart will be healed Say just one word, my life will change You have the last word in my life Oh Jesus eh eh eh love of my heart ah ah Lead.3: Praise(s) of my heart, flower of my heart Where I trust this Jesus oh oh I love you with all my heart I have chosen you for the rest of my life Oh oh Jesus eh eh love of my heart Chorus: Praise(s) of my heart, flower of my heart Where I trust this Jesus oh oh I love you with all my heart I have chosen you for the rest of my life Oh oh Jesus eh eh love of my heart Chorus: Hallelujah ah ah ah ah ah Glory to me eh eh Amen eh eh eh eh (...x)
Mie ule wa takaseni mioyo yenu huwa unanibariki tangia niujue miaka 7 Sasa ila bado unanibariki hebu ufanyie video upya naimani utainua wengi na kuwaludisha katika Yesu tena
Neema UNA ANOINT YA AJABU NYIMBO ZAKO ZZOTE KARIBUNI UMEIMBA KWA MAFUTA YA ROHO MTAKATIFU NA UMEMAANISHA MBELE aza MUNGU KULIKO KUUZA SURA KAMA AMBAVYO WENGINE HUFANYA.UMENYENYEKEA NA BWN ATAKUINUA SANA.NINAKUPENDA NEEMA NINAKUOMBEA.HUJAJIINUA JAPOKUWA HUDUMA YAKO NI KUBWA NA IMEGUSA WENGI.AMEEN BWN AKUBARIKI SANA!
Najua sijui lingala lakini IPO CONECTION YA ROHO MTAKATIFU NA KILE KINACHOIMBWA.WIMBO HUU NASIKIAGA KUWEKA AGANO LANGU NA MUNGU THABITI KAMWE HATA KAMA INGEKUWAJE SIWEZi mwacha YESU.nikiusikiloza nasikia kuzama vilindini kuyoa heshima zangu kwa Mungu baba niko mbele ya kiti cha enzi.aamen!!
dada ulitubariki watu wa sinai church nd this is one of the song i like in ur album. ila bado nigali na sikiliza zengine. please come back to south africa once again,god blessed u nd ur husband in jesus name we all say amen.
Neema napenda ULIVYONYENYEKEA KWA BABA YAKO AMBAYE NDIE MUNGU BWN AKUTIE NGUVU MTUMISHI WA BWN AAMEN.OMBI LANGU,,NAOMBA UTUWEKEE JLE WIMBO WA TUMRUDIE MUNGU KTK TOLEO LA KARIBU ROHO.ACHA HUU ULIOURUDIA KWA MARA YA PILI.TUTAFUTIE ULE WA MARA YA KWANZA.UUWEKE UTUBE.ASANTE
Thanks 😊 I love the song and we'll orchestrated voices..I am learning Lingala Gospel.so these song and all the Swahili ones are my favourites.iplay this one every day in my Car Towards and from work..God bless Your Ministry 🙏 always.
@@liliannachalwe7435 I am able to pick a few words. Its all about Jesus the love of my heart, given the mouth to sing to Jesus, ears to listen to Jesus etc..... God Knows the message is sinking in despite the language barrier.
Nyimbo zako nazipenda saaaaana,ila naomba ubadilishe studio kuanzia audio na video quality sio nzuri kabisa naomba ubadilike Dada,wengine wanakuonea aibu lakini Hata WAO hawapendi,barikiwa sana songa mbele na kazi ya Mungu
J'ai découvre cette Chanson Para Saré Comme ça mais C parmi meilleur Chanson gospel Congolaise C'est aujourd'hui que j'ai découvert merci né change pas m'a Sœur 🙏🙏 S'il-vous-plaît 😔
neema cizungu,nafuatilia sana mziki wako,naupenda sana wimbo wa motema na ngai,nime ufanyia cover inaitwa Mkombozi tembelea kwa page yangu...Mungu akubariki kwa kazi zako nzuri...
❤❤❤❤ love this song ♥️♥️ mubarikiwe na Mungu 🙏🙏🙏🙏
Dada mungu akubariki kabisa yimbo za ko zibariki
Huu wmbo ni mzur jaman khaa!!
Nakupenda Sana huu wimbomungu akubariki newma
Am blessed by the song,God bless neema
Una sauti nzuri na mashairi yenye kujaa neno la uweza wa Mungu .biti au melod za nyimbo zako zziko safi sana.barikiwa mnooo
The vocalist wow 👌 glory be to God
Nzambe apambola bino mingi. Oyo eza nzembo malamu.
Ma sœur cette chanson me met devant Jesus christ! 🙏🙏
Bonge la ngoma kutoka Congo...
2021 still captivated by this extraordinary song!! Neema umetunukiwa talanta ya ajabu sana. Please tumemiss uimbaji wako. Kuja tena na nyimbo zingine. We love you
Watching from Kigoma Tanzania
Bien mm nzembo ya kitoko mini mm nasepeli mingi penza nanzembo .
ENGLISH VISION
Lead.1: My heart Jesus is full of your desire
My tongue Jesus eh used to singing to you
My ears are used to hearing you
Oh Jesus eh eh eh love of my heart ah ah
Chorus: My heart Jesus is full of your desire
My tongue Jesus eh used to singing to you
My ears are used to hearing you
Oh Jesus eh eh eh love of my heart ah ah
Lead.2: Just say one word, my heart will be healed
Say just one word, my life will change
You have the last word in my life
Oh Jesus eh eh eh love of my heart ah ah
Chorus: Just say one word, my heart will be healed
Say just one word, my life will change
You have the last word in my life
Oh Jesus eh eh eh love of my heart ah ah
Lead.3: Praise(s) of my heart, flower of my heart
Where I trust this Jesus oh oh
I love you with all my heart
I have chosen you for the rest of my life
Oh oh Jesus eh eh love of my heart
Chorus: Praise(s) of my heart, flower of my heart
Where I trust this Jesus oh oh
I love you with all my heart
I have chosen you for the rest of my life
Oh oh Jesus eh eh love of my heart
Chorus: Hallelujah ah ah ah ah ah
Glory to me eh eh
Amen eh eh eh eh (...x)
THANK YOU!!!
Thank you!
Amen Sis Neema. Am ever blessed by this wonderful song
Thanks for that information
@HakikaRuben Asante sana kwa translation😅😅,, nimebarikiwa❤❤
Ameeeen mjakazi wa Bwana, kitoko makasi...
Jamani mama neema yani wimbo uhu kila ninapo isikiya najiaikiya furaha yahajabu sana heee mungu unaeishi mahali pajuu ubariki kipaji ya mama neema
2024 qui est encore là ??? je viens à peine de découvrir cette magnifique chanson 😍😍😍
Mimi apa 14/05.❤
je suis là
Toujours là ✌🏽🔥❤️
Motema nangai nakupenda yesu wangu
Mie ule wa takaseni mioyo yenu huwa unanibariki tangia niujue miaka 7 Sasa ila bado unanibariki hebu ufanyie video upya naimani utainua wengi na kuwaludisha katika Yesu tena
Matondo mingi soeur na biso.
Tuna burudika na sauti yako kabisa.
Sifa kwa BWANA
Nice songs , nyimbo nzuri Sana dadake, imetulia jaman ,mung akuzidishie kipaji chako, ingawa hatuelewi sisi wamoja Ila inagusa myoyo yetu
I like this song more than I do God bless you❤
I love this song I lost in my CD now I found you on TH-cam.🙋🙋👍👍
Neema UNA ANOINT YA AJABU NYIMBO ZAKO ZZOTE KARIBUNI UMEIMBA KWA MAFUTA YA ROHO MTAKATIFU NA UMEMAANISHA MBELE aza MUNGU KULIKO KUUZA SURA KAMA AMBAVYO WENGINE HUFANYA.UMENYENYEKEA NA BWN ATAKUINUA SANA.NINAKUPENDA NEEMA NINAKUOMBEA.HUJAJIINUA JAPOKUWA HUDUMA YAKO NI KUBWA NA IMEGUSA WENGI.AMEEN BWN AKUBARIKI SANA!
Amen ubarikiwe mtumishi
Wimbo mzuri sana huu
Yezu bolingo y’a motea❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾💖💖💖soyez béni abondamment couple de serviteurs de Dieu assumani🎊🎊💖💖🇨🇩
Wimbo mzuri sana ubarikiwe naupiga kwa gari yangu sichoki kuusikiliza
Amen , unaeza nitumiya nayo ku Whatsapp ndgu ?
Naomba wimbo wa TUMRUDIE MUNGU WA TOLEO LA KARIBU ROHO.sio huu uliouimba mara ya pili!nitafurahi sana mtumishi dada mrembo
This is a masterpiece and a lovely praise and worship song 🙏🏾😇
naiskia toka 🇳🇬
Ubarikiwe sana mum.
Ne change pas, tiens toujours comme ça. Gloire à Dieu.
Ubarikiwe sanaaaaaa
Ubarikiwe sana dada neema mungu hazindishe kipaji yako
ingawa sielewi lugha but nasikia bolingo motema na ngai kama sikosei inasema moyo wangu wakupenda Yesu
Yes dada, ina maanisha Yesu kipenzi cha roho yangu 💖🙇
Niulizie ivi iyi wimbo tunaeza funguwa nayo piste siku ya marige
Najua sijui lingala lakini IPO CONECTION YA ROHO MTAKATIFU NA KILE KINACHOIMBWA.WIMBO HUU NASIKIAGA KUWEKA AGANO LANGU NA MUNGU THABITI KAMWE HATA KAMA INGEKUWAJE SIWEZi mwacha YESU.nikiusikiloza nasikia kuzama vilindini kuyoa heshima zangu kwa Mungu baba niko mbele ya kiti cha enzi.aamen!!
Dit juste un mot ma vie sera changer matondo mingi nzambe apambola yo lisusu apambola libala n'a yo
Li jitu lenye neema yake.uma aninting mdada mzuri
Inakubalika sana Hii nyimbo, ingawa hawajuwi lugha unaimba...
Barikiwa Dada Neema
l love this song n l can't get enough of it God bless you neema
Butamu ya wimbo haiishe jameni💃💃💐💐💐
Munnu akubariki sana mtumishi
Neema kwakweli MUNGU akuinue zaidi dadangu,
Mwaka mpya dada vrement iyi moya inanitiyaka chini sana
Amen ime nibariki Sana ❤️❤️❤️❤️❤️
Dada Nelly Cizungu,mpo na ngai, nzembo oyo eleki ba nzembo na yo nyonso .Mungu ashukuriwe saana kwa kukupa ile akili.Nakutakiya mema.
You sing well madam Nene l love you in my heart your songs are very very well from Canada.
Merci na nzembo mm nzambe apambola bino
dada ulitubariki watu wa sinai church nd this is one of the song i like in ur album. ila bado nigali na sikiliza zengine. please come back to south africa once again,god blessed u nd ur husband in jesus name we all say amen.
Amen
wimbo nzuri dada. ubarikiwe
Goma zuri sana,Barikiwa Dada Neema Nelly Cizungu...
Nakupenda sana nataman nielewe
😅😅 mi pia
You always my great role model mama Cizungu..my prayer for you always is that may Yahweh defend you always.
Neema you are blessed please bring more of this song waaa so good
Ubarikiwe sana kweli napenda sana nyimbo zako
I love you so much My Sister Neema Cizungu.....nice song.....good music....and the vocals👌👌👌👌🎹🎹🎼🎼🎼🎤
The voice alone blesses my day.....beautiful song.
Even of sielewi but I get blessed every day l listen to this song
Neema napenda ULIVYONYENYEKEA KWA BABA YAKO AMBAYE NDIE MUNGU BWN AKUTIE NGUVU MTUMISHI WA BWN AAMEN.OMBI LANGU,,NAOMBA UTUWEKEE JLE WIMBO WA TUMRUDIE MUNGU KTK TOLEO LA KARIBU ROHO.ACHA HUU ULIOURUDIA KWA MARA YA PILI.TUTAFUTIE ULE WA MARA YA KWANZA.UUWEKE UTUBE.ASANTE
Que le SEIGNEUR JESUS CHRIST vous benissez
2020...Dunia ni mapito tu! Amen
Amazing song Mungu akubariki wish I had the lyrics
Wimbo mzuri sana
Kitoko mingi nzambe apambola yo
I love this song ,may God bless you my sister 🙏
nzambe apambola yo❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
ubarikiwe sana kwa huduma yako ya uimbaji!
I feel in the presence of the Lord... I'm blessed...
hallelujaaaah.a blessing indeed 'motema na ngai'
Neema merci bie
Dada yangu unanijenga sana na nyimbo zako. barikiwa
Nzambe apambola yo soeur na ngai pona banzembo yayo ezo ko pesa nga mapamboli ebele
Thanks 😊 I love the song and we'll orchestrated voices..I am learning Lingala Gospel.so these song and all the Swahili ones are my favourites.iplay this one every day in my Car Towards and from work..God bless Your Ministry 🙏 always.
Décembre 2024 , on est là
This is the tenth time am listening to this song
I love ur songs sijui ulipotelea wapi.
Que Dieu te bénisse maman Neema
Ohhhh Jesus the Love of My Heart!!!!
Pour Quoi il n'a pas la place de télécharger la chanson motema nanga yesu? Pourtant c'est une très bonne chanson
I really love this song eish!!!I can't stop listening to it#🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Same here.... I am abusing the repeat key
Hahahahaha really made my day
@@liliannachalwe7435 I love the Rhumba beat too..... Halleluhya Lokumu Epayi Nayo Ehhh .......
Oh yes me too though I can't get a thing 😂😂😂😂😂just feeling the rhythm
@@liliannachalwe7435 I am able to pick a few words. Its all about Jesus the love of my heart, given the mouth to sing to Jesus, ears to listen to Jesus etc..... God Knows the message is sinking in despite the language barrier.
nice song I like that be blessed my sister
Uhu mwimbo unakuwaka mupia kwangu kila siku❤
Sana Yani
I like your song keep going forward with in GOD
This song blesses me daily. I remember on my wedding day niliingia church na huu wimbo back on 10/11/2018.
Nyimbo zako nazipenda saaaaana,ila naomba ubadilishe studio kuanzia audio na video quality sio nzuri kabisa naomba ubadilike Dada,wengine wanakuonea aibu lakini Hata WAO hawapendi,barikiwa sana songa mbele na kazi ya Mungu
michael daimon du
Slyvester Chaula VP kaka mbona umeguna
you're blessed me sister. I always love your songs they really bleeding me. love you sister and may god continue blessing you in your job.
nice song kitoko makasi
Amen and God bless you
This song never get old, is just so beautiful 👏👏
J'ai découvre cette Chanson Para Saré Comme ça mais C parmi meilleur Chanson gospel Congolaise C'est aujourd'hui que j'ai découvert merci né change pas m'a Sœur 🙏🙏 S'il-vous-plaît 😔
Congrats may God bless you
Elengiiiiiiiiiii
Nzur
haleluya aaaa ameeni nabarikiwa sana hata kama sielewi
I love this song it is favorite song
Yasolo yaya
neema cizungu,nafuatilia sana mziki wako,naupenda sana wimbo wa motema na ngai,nime ufanyia cover inaitwa Mkombozi tembelea kwa page yangu...Mungu akubariki kwa kazi zako nzuri...
The best one
Nice song Dada I really like this song...i even sing in my church...Good bless you
I fill God.
Mais j'ai autant cherché iyi bor...Que seul Dieu vs défende