Huu wimbo naupenda sana na umebeba historia kubwa maishani mwangu. Popote nitakapousikia utanikumbusha tu yale ambayo Mungu amenitendea. Tunamshukuru Mungu kwa kukuinua tunafarijika sana kupitia nyimbo zako Neema. Mungu azidi kukuinua.
Amen My Beautiful sweet Queen 😍😍😍😍😍anafanya njia pasipokuwa Na njia👐hata Coronavirus itapita ila Yesu Ni iko pale pale kufanya njia yakuondowa Coronavirus 😍our Lion King Jesus christ his in control 😍😓😍😍👐👐👐👐 God Bless you sweet sister princess Neema Cizungu.Love you sweet sister 😍
Aksante kwa Mungu kwa gisi anaendelea ku tumisha watuyake, je suis tellement édifié par cette chanson. Sina machaka na amini na mimi atani tendea, ata fungua jia , na kuleta solution kwa itaji zangu
Nyimbo zako zote zinanibariki mpaka nahisi nguvu ya Mungu ikitenda kazi ndani yangu ! Mungu amekubariki kwa jinsi ya ajabu ! Mungu azidi kukuinua Neema Cizungu !!
Heeee mungu faza ji kwa wana wako wa Congo
Barikiwa Sana mwajina
Kwakweli yeye ni mition maker mwaminifu, yake hai feli. Can’t stop listening since until now 2023
Kama ume kubali wimbo
Gonga like hapo chini
Huu wimbo naupenda sana na umebeba historia kubwa maishani mwangu. Popote nitakapousikia utanikumbusha tu yale ambayo Mungu amenitendea. Tunamshukuru Mungu kwa kukuinua tunafarijika sana kupitia nyimbo zako Neema. Mungu azidi kukuinua.
Kwa kweli hata Mimi unanikumbusha mbali mno kweli Mungu hufanya njia
wimbo Wangu pendwa siku zote ,huwa unanipa faraja sana wakati wote
Have try to download but ime kata this song make me cry every day i love this song be bless Neema, am from kenya kisumu country
Amen My Beautiful sweet Queen 😍😍😍😍😍anafanya njia pasipokuwa Na njia👐hata Coronavirus itapita ila Yesu Ni iko pale pale kufanya njia yakuondowa Coronavirus 😍our Lion King Jesus christ his in control 😍😓😍😍👐👐👐👐 God Bless you sweet sister princess Neema Cizungu.Love you sweet sister 😍
Nilianza kusikiliza nyimbo zako Neema my sister 2015 hadi sasa 2021 bado zinanibariki. Cool heal music. Continue blessing Dada yangu.
MERCI JESUS, UNATENGENEZA NJIA MAHALI PASIPO NA NJIA, super chanson, Merci NEEMA CIZUNGU.
MUNGU ni mkuu anaweza yote njia make ni tofauti na njia za wana damu
Katika album hii nyimbo zote ni za baraka sana... ubarikiwe
Huyu producer anafanya kazi nzuri Sana napenda kweli fm 2
This song make me fill safe in the hand of my maker our God
kwa kweli dadangu mungu amekupa maneno yakuhudumia watu wakeup ubarikiwe
Kuna nyimbo ambazo hazina wakati . Unatengeneza njia ni moja wapo . Nabarikiwa sana. Mungu yupo.
Who is listening to this beautiful song in 2019 like me🙏🏽be bless sis🙏🏽🙏🏽🙏🏽
This is good song ever God bless you
Ok
Here we are in 2024
Umurundi wacu komera mumana 🇧🇮 we love you
Nabarikiwa sana wimbo huu
First time kusikiza nyimbo zako nilikuwa chini kimaisha ziliniencourage sana thank God this far glory to God
Nimebarikiwa sana mtumishi wa mungu ❣️❣️🙏
Wimbo wangu wa wakati wote na sasa 2025
Asante kwa wimbo. Be blessed madam
Whenever I need to pray I look for this song. May God how inspired you keeps blessing you
Cizungu kweli minafurahi Sana
Unanibariki Sana mtumishi kwa uimbaji Mungu akubariki
Naamini kabisa Mungu ata fanya njia merci beaucoup da nene
Uwezo wako Bwana ni MKUU SANA!!!!
Aksante kwa Mungu kwa gisi anaendelea ku tumisha watuyake, je suis tellement édifié par cette chanson. Sina machaka na amini na mimi atani tendea, ata fungua jia , na kuleta solution kwa itaji zangu
Namwelewaga sana Huyu mdada, barikiwa Neema!
Mungu akubariki sana dada neema❤️❤️
Moyo wangu unabubujika kila ninaposikiliza huu wimbo nasikiya kumsifu Mungu pamoja nanyi wapendwa😘😘😘
Mungu akupe maisha dada
Kweli.yesu.ni.njia.ya.kweli.na.uzima.haleluyaa
Uwezo wako Mungu ni Mkuu
Nakupenda saaana
2024 and this song still blesses my soul. I cry each time I listen to it.❤May God bless you @Neema Chizungu for blessings us with your ministry.
Ameeeeeen my sister your songs are very nice.
amina mama yetu. hakika anatengeneza njia pasipo na njia(mungu)amina sana,barikiwa mama
Mistari Yako imenikosha
Vraiment,Que Dieu bénisse notre soeur neema chizungu
Mungu azidishe kipaji dada
Ameen!! Ubarikiwe mrembo naipenda huduma yako.kila muimbaji ana upekee ambao ameitwa kwa jinsi yake,,navutiwa na uimbaji wako sanasana mama.
Barikiwa sana mamaaa
Merci seigneur
Jamani napenda huu wimbo
I love that part kuwa, Mungu ume sema mwenyewe uta fanya njia, wana wa Israel ulifanya njia kwao
Kweli mungu ana tengeneza njia
I like this song ❤️ courage ma coeur
Kama kuna wimbo mzuri wa Neema, ni hiyo!!!!
Kwagisi unatubariki nanyimbo zako asante sana mungu azidi kukubariki na wewe Pia mung akupe mwisho mwema🙏🙏🙏
Amennn merci YAHWE 🙏🙏🙏
Je suis en France et j écoute vos chanson soyez bénis abondamment
Dada neema yr so blessed mamy.i real love you.i pray for you always
Kwakweli mungu nimpaji bless sister
nime barikiwa kupitiya iyi wimbo Amen
Amen Amen. Such a good song with a powerful message
Nimkuu saana 🔥💪❤
Naam hii kwl nyimbo ya dini ivutia ubarikiwe mwimbaji unakibaji
Sjui nsemaje abt u neema......
Mungu akubariki dada🙏
Yesu wewe u mwema
Huyo ndiye Mwenyewe Mungu wa Israeli wala kwake hakuna shaka jameni😀😀😀👌👌
Bien faite ma sœur
Naupenda sana,ubarikiwe dada Neema chizungu
Amen 🙌
neema napenda sana nyimbo zako MUNGU akupe kibari mapema kutangaza falme yake hapa Duniani
I don't understand this song but every tm i listen to it i also sing along...praise b to Mungu .....
Wonderful song my sister
Mozori😊
Merci bcp ma sœur mina barikiwaka saana n'a nyimbo za kwako surtout iyi mungu akubariki zaidi
Kwaukeli dadangu Mungu akuinue zaidi kwa ajili ya utukufu wake.
Barikiwa sana
Nimebarikiwa sana
Mungu wangu nifanyie jianamimi kwakweli uwimbo uwananifariji kilasiko mungu akubariki dada yangu
Anafanya njia mahali pasipo na njia 🔥🔥🙏🙏
We serve GOD of impossibilities Amen
Nabarikiwa 2021....Mungu azidi kukunehemesha dada Cizungu
Neema endelea mbele Mungu yuko na wewe.nimebarikiwa sana na songs yako.(Milton, Nairobi Kenya.
Nakupenda San neema
Nakupenda sana dada mbona izi siku hautoshe tena nyimbo yaani tunakumisi sana
Dada unanibariki sana
Nyimbo zako zote zinanibariki mpaka nahisi nguvu ya Mungu ikitenda kazi ndani yangu ! Mungu amekubariki kwa jinsi ya ajabu ! Mungu azidi kukuinua Neema Cizungu !!
Penda sana my ww unanibaliki sanaaaaaaaaaaa mwaaaaaaàaaaaaaaaaa.
God bless you. God of Victory✌
Una tengeneza njiya baba
Hallelujah 🙏
Asante mama yangu. Ndombe kutoka Tanzania
God bless you 😇
Dada mungu akubariki sana yimbo his zinanijenga sana wakati wote na sikiliza
Still at it in 2021, still awesome
Unatengeneza njiya Baba mahali pasipo na njia tangu 2015 🙏🙏🙏Asante Mungu wangu le 15.8.2022
Yesu ❤
Wimbo Zur
dear God🙌🙏
MUNGU nimwema kwangu lazimaatengenezenjiya
Neema hongera sana na MUNGU akuinue zaidi,
Asante mungu
For sure our God is so powerful
God bless you I'm blessed 🙏
Vraiment cette chansond Beaucoup heureux .
Hakika Mungu anafanya njia pasipo njia. Ni Mungu wa miujiza Siku zote
I lovee u much Neema ur voice blss m mch
Je suis beni avec cette chanson qui me met en présence des miracles de Dieu