MWANASHERIA WA FOUNTAIN GATE AWEKA WAZI UKWELI WOTE SAKATA LA KAGOMA NA YANGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 42

  • @FaridaMwamlima
    @FaridaMwamlima 12 วันที่ผ่านมา +6

    Wamelew mihogo haooooooo😅😅😅😅😅 uto wenye hakili wawili t

  • @JustinMwakalukila
    @JustinMwakalukila 12 วันที่ผ่านมา +4

    Mwanasheria wa CLUB kubwa kama YANGA anakuwa mwanasheria wa mchongo dah,mbna ishu inajieleza kabsa iko CLEAR kaaibisha Taasisi na wakiendelea na chokochoko huko mbele watakutana na kitu kizito

  • @elkanangosha9588
    @elkanangosha9588 12 วันที่ผ่านมา +4

    April mpaka July haujalipa malipo bado unakuja mbele ya kioo ukijinadi unajua sheria YANGA Vilaza kweli

  • @abdulikilala5902
    @abdulikilala5902 12 วันที่ผ่านมา +3

    Yanga ni machoko sana akili hawana hata kidogo

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 12 วันที่ผ่านมา +3

    Yanga hapa wamechemsha

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 9 วันที่ผ่านมา

    Nimepata picha sasa,fitna ya mpira imeingia kati kumbe!

  • @sebmalunde5945
    @sebmalunde5945 11 วันที่ผ่านมา

    Yaaani YANGA ni full UTOPOLO

  • @maclaudismail6606
    @maclaudismail6606 12 วันที่ผ่านมา

    Ngereza na yule mwenzake alikuwa anashinikiza singida waishitaki yanga wkt suala halijasikilizwa na tff. Mbona munachuki sana nyi tv3

  • @migosmigo8099
    @migosmigo8099 11 วันที่ผ่านมา

    Hiyo benki mnayoitumia hameni.....huwezi deposit ela benki bila descriptions....labda kama nyote mnatudanganya!

  • @drjbmsige4098
    @drjbmsige4098 11 วันที่ผ่านมา

    Mashabiki wa makolo mko na hasira na vipigo vitatu mfululizo mnaendelea kutema povu kila mtaa 😂😂😂😂

  • @IsayaShokaulaya
    @IsayaShokaulaya 11 วันที่ผ่านมา

    Ushauli kwa yanga wamwajili mwamba huyu kuwa mwanasheria wayanga ili kuepuka haibu wanazo kumbana nazo mwamba ni mwanasheria safiiiii

  • @migosmigo8099
    @migosmigo8099 11 วันที่ผ่านมา

    Contextualization inasema SFG wamekuwa wahuni tu.....angekuwa JUDGE ndo anasimamia hii case msingepona kabisa.....

  • @ValentinLuísMualabo
    @ValentinLuísMualabo 11 วันที่ผ่านมา

    Yanga walevi tu,hawajui Kireno.

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 11 วันที่ผ่านมา +1

    UTOPOLO WAMELAANIKA WAKAMUOMBE RADHI MZEE MAGOMA TENA HADHARANI 😂😂😂😂 KURUJUWANI OYEEEEEE OYEEEEEE

  • @MuhamedHassan-l5u
    @MuhamedHassan-l5u 11 วันที่ผ่านมา +1

    Kurjuan sio mchezo

  • @ministererickluhanga810
    @ministererickluhanga810 11 วันที่ผ่านมา

    Hakuna anayejua ukweli Wa hili watanzania jueni SFg itavutia kwao Na Yanga watavutia kwao tuache vyombo vya Sheria vifanye kazi

  • @saimonrodgers8262
    @saimonrodgers8262 11 วันที่ผ่านมา

    Hakuna meanasheria pale uto 😂😂😂

  • @hamisitoky6724
    @hamisitoky6724 11 วันที่ผ่านมา

    Yanga awezi kushinda kesi kwaivyo sisi ndo tutamshtak

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 11 วันที่ผ่านมา

    Mwanashelia wa yanga atakua mwana familia ila kwenye akili hayupo bola hata wangempa mzee magoma anaweza au mm

  • @ministererickluhanga810
    @ministererickluhanga810 11 วันที่ผ่านมา

    Kama mkataba ulivunjwa pesa mngerudisha kwanini mpange matumizi Biashara Ni makubaliano swala linautata

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 11 วันที่ผ่านมา

    Viongozi Yanga wahuni kabisa

  • @danielgeorge2766
    @danielgeorge2766 11 วันที่ผ่านมา

    Huyu mpuuzi pia hauwezi kutumia busara kwa Kibabage na ukatumia sheria kwa Kagoma hapo kwa sababu makubaliano yalifanyika juu ya wachezaji wawili ni either mikataba ya wote wawili iwe imevunjika au iendelee. Kwa Fountains Gate kuweka mashariti mapya kwenye mkataba wa awali hiyo ni COUNTER OFFER ambayo ni sawa sawa na Bleaching of contract. Hapo Yanga bado wako sawa Fountains Gate wamechemka.

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 11 วันที่ผ่านมา

      @@danielgeorge2766 Yanga walishindwa Nini kulipa hela kadiri ya mkataba? 😢

    • @hajikatanje5961
      @hajikatanje5961 11 วันที่ผ่านมา

      @@danielgeorge2766 huyu sio mpuuzi bali singida walikuwa na nia njema na yanga hawakuhitaji kuwatia yanga aibu nandio maana ukimsikiliza singida wao walifanya suluhu ya kimkataba ili yanga wasiwakose wachezaji wote ila yanga ndio wajinga kwasababu ustaarabu walio ufanya singida yanga hawakuuthamini maanayake mikataba yote m2 wa kibabage na kagoma kisheria yanga walisha shindwa masharaiti outomatical singida ilikuwa inawasomba wachezaji wao

    • @kelvinnjau641
      @kelvinnjau641 11 วันที่ผ่านมา

      @@danielgeorge2766 ndugu counter offer inatolewaje na upande wa fountain gate na ndo wanaouza tunaomba utufahamishe zaidi tusiojua nilitegemea yanga waki introduce offer mpya ndo iwe counter offer

  • @ministererickluhanga810
    @ministererickluhanga810 11 วันที่ผ่านมา

    Nimemsikiliza Na kagoma anaongea different story Ayn hadith hi azifanani

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 11 วันที่ผ่านมา

    Pale yanga mwenyr akili kwa sasa ni mzee magoma

  • @Husseinbakari-k6v
    @Husseinbakari-k6v 11 วันที่ผ่านมา

    Pumba tupu kilichotokea nijanja katiya singida na simba

  • @GeorgeNtugwa-bk7dr
    @GeorgeNtugwa-bk7dr 11 วันที่ผ่านมา

    Mwanasheria wa yanga mbona anachanganya mambo?

  • @SaidiNguyu-mx8er
    @SaidiNguyu-mx8er 11 วันที่ผ่านมา

    Mwanasheria wa yanga alikurupuka Kuwa mwanasheria baada ya kutoka chuo bila Kupitia na kuwa chini ya Wanasheria nguli,na inaonekana hata field hakufanya

    • @lawimanumbu5103
      @lawimanumbu5103 11 วันที่ผ่านมา

      Shida nikwamba baadhi ya viongozi Tanzania ni wasomea mitihani tu.

  • @SalummuhammadOmar
    @SalummuhammadOmar 11 วันที่ผ่านมา

    Yanga wanajua uchawi tu hawajui chengine chochote

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 12 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi ndo mnaharibu mpira mnauza wachezaji mara mbili

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 11 วันที่ผ่านมา

      ⁠@@majaliwabwitonde6900 mchezaji hajauzwa mara 2 ila kipindi wanamuuza kwa simba,mkataba ulivyunjwa na Yanga wenyewe,au wewe hujaelewa wapi

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 11 วันที่ผ่านมา +1

      KAPIME MALARIA UKIAMBIWA HUNA UJUWE KURUJUWANI IMESHA KUPIGA 😂😂😂😂 KURUJUWANI OYEEEEEE OYEEEEEE 😂😂😂

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 11 วันที่ผ่านมา

      Nyie ndio hata darasani mlikua mnapata mbili ya mia maana hata umbiweje au ulekezwe vipi huelewi

  • @Peninandembo
    @Peninandembo 12 วันที่ผ่านมา

    Mpumbavu wewe simba ndio choko subiria kesho mtapata aibu Libya atawanyoosha

    • @TeddyElisha
      @TeddyElisha 12 วันที่ผ่านมา

      @@Peninandembo yanahusika nn hapa ya Libya hapa 2naongelea mkatab wakagoma mbna kam unatok nje ya maada

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 11 วันที่ผ่านมา +2

      YAMEKUWA HAYO 😂😂😂😂 MACHOOKO NYE

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 11 วันที่ผ่านมา +2

      Yanga wenye akili ni wawili tu, mh. Kikwete na Sunday Manara wengine ni choko tu

    • @mohdhaji550
      @mohdhaji550 11 วันที่ผ่านมา

      @@laninjeje8290 hahahhahahaha