ASKOFU MWANAMAPINDUZI ANAJIBU HOJA; JE TUNDU LISSU KUGOMBEA UMWENYEKITI CHADEMA NI UHAINI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 90

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 10 วันที่ผ่านมา +5

    Lissu anafaa sana kulingana Hali ya siasa zetu mtu kama lissu anatufaa sana.naomba kwa upendo na heshima kubwa wa jemedari wetu mbowe na kwa kuwa amemwandaa vyema lissu basi angemwachia tundu lissu ili tuweze kubadili uwelekeo wa kisiasa. Asante kwa kupokea ushauri wa hekima sana.

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 9 วันที่ผ่านมา +1

      Mbowe amuithinishe lissu kugombea uwenyekiti, mbowe abaki mshauri mkuu ndani ya chadema

  • @charlesshitobelo6870
    @charlesshitobelo6870 10 วันที่ผ่านมา +10

    John Heche atafaa kuwa Makamu. Ila Chama kitambue kazi nzuri ya Mbowe na ikiwezekana atoe baraka zake kwa mabadiliko hayo. Vinginevyo kutakuwa na makovu yatakayokiathiri Chama.
    Mimi ninaamini Mbowe akiridhia Chama kitabaki salama. Tumpe heshima mwenyekiti wetu Mbowe.

    • @samsonpaschal5044
      @samsonpaschal5044 10 วันที่ผ่านมา +2

      Either Heche au Lema- binafsi Heche ni Msumari wa Moto na combination ya wawili hao lazia nchi iwake na wazee wa ccm wapumzike

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 9 วันที่ผ่านมา +2

      Heche akipewa umakamu chadema imefufuka

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 9 วันที่ผ่านมา

      ​@@samsonpaschal5044heche na lema wanatosha Sana kwa nafasi ya makamu mwenyekiti

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 5 วันที่ผ่านมา +2

      Mpaka Lissu ametoka na kuongea vile ujue Mbowe amesha bariki. Ni process wanaicheza tuu Ili baadae waseme mnaona demokrasia ?

    • @samsonpaschal5044
      @samsonpaschal5044 4 วันที่ผ่านมา

      @@1961nungwi mbowe afanye kama Putin na Medvedev, achukue form ya Umakamu na baadae arudi tena

  • @LarryJade-k1u
    @LarryJade-k1u 10 วันที่ผ่านมา +4

    John Heche makamu mwenye kiti anatosha ana ujasili wa kukabili na kutoa maamuzi 15:53 15:56

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 9 วันที่ผ่านมา +2

    Mh. Lisu unafaa sana kuwa mwenyekiti ila kama watakosea naamini chama kitakosa mvuto, ila nachowashaur viongozi wa chadema wasikosee kabisa.

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 9 วันที่ผ่านมา

      Mbowe awekwe bodi ya wadhamini na mjumbe wa kudumu kamati kuu

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 9 วันที่ผ่านมา +2

    John Heche anafaa Umakamu.

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 10 วันที่ผ่านมา +2

    Makamo wa mwenyekiti. 1 Bonifasi 2 Lema. 3. John heche. Katibu mkuu abaki kama alivyo. Wazungu wanasema Pamenent Secretaris.

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 10 วันที่ผ่านมา +5

    Mbowe apumuzike abaki mshauli. Wa chama. Lissu achukue kijiti. Makamu wake awe heche

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 9 วันที่ผ่านมา +3

    Tatizo ni je akiingia Lisu ndiyo mtatoka kuandamana?

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 9 วันที่ผ่านมา +1

      Lissu anaaminika Sana hata nje ya chadema amino hiyo

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 10 วันที่ผ่านมา +3

    John heche anafaa kuwa makamu mwenyekiti.

  • @ukululegeorge9309
    @ukululegeorge9309 9 วันที่ผ่านมา +1

    lisu anasitaili kabisa kuwa m/kiti wetu chadema.

  • @officialkinghimself2637
    @officialkinghimself2637 10 วันที่ผ่านมา +2

    Baada ya lissu aje Jonh heche

  • @silaslubisu6921
    @silaslubisu6921 10 วันที่ผ่านมา +4

    John heche anafaa kuwa makamu

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 10 วันที่ผ่านมา +4

    Kutaanza kuchangamka mda si mrefu, mbowe aachie nafasi kweli!

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 9 วันที่ผ่านมา +1

      Ukitaka kujua mziki wake, makamu apewe heche, ccm haitalala

  • @jumajukikoti8133
    @jumajukikoti8133 10 วันที่ผ่านมา +2

    Golirea anafaa sana kuwa katibu! John Pambalu anafaa sana! John Heche anafaa sana kuwa makamu mwekiti bara

  • @ElizabethSulle-y6s
    @ElizabethSulle-y6s 9 วันที่ผ่านมา +1

    Ila naomba Dr slaa awe katibu mkuu wa chama

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 10 วันที่ผ่านมา +4

    MDUDE NYANGALI PIA ANASTAHILI. ILA JAMANI TUSEME TU UKWELI WANACHADEMA WOTE WANAFITI UONGOZI MAANA UKISIKILIZA HOTUBA ZAO. ZIMESHIBA SANA....MWENYE ENZI MUNGU ATUONGOZE

    • @GaradiGaradi-zq1wf
      @GaradiGaradi-zq1wf 10 วันที่ผ่านมา

      Au tumpe makamu mwamba mdude nyagaru

    • @evelina9621
      @evelina9621 10 วันที่ผ่านมา

      Msiwape.ccm.mambo.yenu.mazuri.hata.yesu.aliwaambia.walewasikia.nenolake..kulipokea.aliwaita.wasio.pokea.awaita.hawezi.kuwapa.chakula.chake.chama.Mbacho.hakitunzi.wAnanchi.hakifai.kupewa.maradarakaa

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 9 วันที่ผ่านมา

      Lissu anaaminika Sana, makamu wakampa lema au heche, weee😂

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 วันที่ผ่านมา

      Kweli gowekogoweko

  • @bonifaceluzwilo2851
    @bonifaceluzwilo2851 9 วันที่ผ่านมา

    God bless Lema

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 9 วันที่ผ่านมา

      Lema au heche apewe umakamu, chadema itakuwa imefufuka rasmi

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 9 วันที่ผ่านมา +2

    Demokrasia ianzie ndani....😂

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 5 วันที่ผ่านมา

      Exactly. Ngoja tuone kama wataruhusu Kila atakaye achukue form

  • @boniphacemaseromwtta7048
    @boniphacemaseromwtta7048 10 วันที่ผ่านมา +3

    Andaeni kadi za kutosha sasa

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 9 วันที่ผ่านมา

      Sana, mie lissu akishinda nawatafutia wanachama 200

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 วันที่ผ่านมา

      ​@@dennisungonella205hahahahaaaaa😂

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 10 วันที่ผ่านมา +3

    Angaliyeni wapinzani wenu ccm muwe macho .mbowe alishidwa kununuliwa. Kwa ghalama yoyote. Msije mukaweka watu wakinywa chai Ikulu basi anakuwa amenunuliwa.

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 9 วันที่ผ่านมา +1

      Lissu ni solid zaidi ya mbowe, ccm kwa lissu kuwa mwenyekiti hawatalala.

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 10 วันที่ผ่านมา +1

    Akigombea ni vizuri tu. Au anzisheni.muundo kama wa ACT awepo m.kiti na.pia kiongozi wa chama

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 9 วันที่ผ่านมา

    Mwenyekiti wa kweli niyule ambae akitamka jambo hata serikali inaogopa au akisema kwamba kesho ni maandamano hata serikali inaogopa
    Sasa nambie licha ya kwamba alifanya maandamano alienda yy na mtoto wake wakakamatwa wote. Sasa huyo nimwenyekiti gan

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 10 วันที่ผ่านมา +3

    GOD BLESS LEMA ANAFAA KUWA MAKAMU MWENYE KITI

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 9 วันที่ผ่านมา +1

    Katibu abaki Mnyika, au Pambalu

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 10 วันที่ผ่านมา +2

    Yuko wapi Heche? Wapambe tuachane nao.

  • @AndrewKisava
    @AndrewKisava 10 วันที่ผ่านมา +2

    Ndugu ni wasihi sana,sana kulingana na hali ya kisiasa na uchaguzi umekaribia niwasihi achaneni na uchaguzi mimwache mbowe aendelee sasa hivi ninyi kazi yenu kubwa iwe nikujipanga kwaajiri ya uchaguzi hivyo kwepeni mtego na hila za maadui wa chadema maana maadui wachadema agenda yao ni mbowe aondoke na mkumbuke mbowe ni mtu mwenye uwezo wakuongoza ni mtu jasiri na ni mtu asiyehongeka wala kurbuniwa kwa vipande vya fedha kwakuwa mbowe fedha kwake haitafuti mababu na wazazi wake walisha muwekea misingi na vyanzo vikuu vya kifedha hivyo muwe makini mno kumbukeni wote munaye bwabwaja hum kwenye mtandao ninyi mmejulikana kupitia mbowe wala hakuna aliye kuwa anawajua hivyo msijifanye viherehere ndugu zangu mwacheni mbowe aendelee wacha aendelee ,ninyi acheni vurugu jipangeni kwaajiri ya kuiondoa CCM basi

    • @DavidDanken-uf7kp
      @DavidDanken-uf7kp 10 วันที่ผ่านมา

      Hahaha aaa😂😂😂 wewe ni mjanjamjanja 😂😂😂😂

    • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
      @yosephatMasanyiwa-oh1rl 9 วันที่ผ่านมา

      Umeongea la maana sana Mdogo wangu

    • @ElizabethSulle-y6s
      @ElizabethSulle-y6s 9 วันที่ผ่านมา

      @@AndrewKisava anafaa sana kuongoza chama

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 5 วันที่ผ่านมา

      Amekaa muda mrefu mno aonyeshe demokrasia ndani ya chama kwanza, apumzike!

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 9 วันที่ผ่านมา

    Lissu nenda popote mimi ntakuunga mkono katika yale ya haki ya watanzania, chama ni kibali tuu ya kusimama kwenye siasa ,ila usiende chama cha kwenda kua chawa ila uende kwenye chama ambayo utatetea haki na maendeleo ya watanzania na kupinga rushwa ,usije kua kama mchungaji kwenda kujikuta anaongelea chama cha mapinduzi tuuu na kuukosoa chadema na kuacha kudeal na haki zetu na maendeleo ya Tanzania

  • @VolvoMwamakula-ci2we
    @VolvoMwamakula-ci2we 2 วันที่ผ่านมา

    Saf sn nakuunga mkona askofu

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 9 วันที่ผ่านมา +1

    Tundundulisu is the right pasonol to chadema first is the education of democracy in Tanzania has capacity of understand thing has been known by world has power capacity of first any condition into Tanzania politics has straight first any pressure from ccm leadership

  • @RajabuSeify
    @RajabuSeify 10 วันที่ผ่านมา

    Je unafiki lisu huujui ,ongoza bibilia. Usituvuruge😊😊😅😊😅😅 14:36 14:38

  • @hassankidilikia5566
    @hassankidilikia5566 9 วันที่ผ่านมา

    Makamu anafaa Lema mwamba kijiti Arusha

  • @mxfsedtirz
    @mxfsedtirz 10 วันที่ผ่านมา +2

    Ninyi kama akili zenu hazipo kwenye macho tu na siyo kichwani: Tundu Lissu kama Makamu Mwenyekiti amekisaidiaje CHADEMA kama siyo kubomoa?
    >>Tundu Lissu ambaye ni genge la Msigwa na Dr.Silaa (aliyetajwa na Samia kwenye kikao na maofisa wa polisi)hawa ni wapenzi au maadui wa chama?

    • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
      @yosephatMasanyiwa-oh1rl 9 วันที่ผ่านมา

      Hakuna ulichoongea hapo ila Mbowe aendelee TU mpaka uchaguzi uishe

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 9 วันที่ผ่านมา

      Lissu akipewa uwenyekiti chadema, Lumumba watabadili timu

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 9 วันที่ผ่านมา

      ​@@yosephatMasanyiwa-oh1rlhaahaa mwenyekiti wa kudumu, eeh

  • @GaradiGaradi-zq1wf
    @GaradiGaradi-zq1wf 10 วันที่ผ่านมา +1

    Kula yangu lissu sawa lema makamu.

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 9 วันที่ผ่านมา

      Kwangu Nampa heche, mziki wake utakuwa balaa

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 9 วันที่ผ่านมา

    Inawabidi muruke wakati C.C.M inatembea hasa ikipata watawala wachapa kazi nawenye sauti zenye.mamulaka.kama akina Dr J.P.M. r.i.p themost presidents.

  • @goodluckjohnuiso-gt1fg
    @goodluckjohnuiso-gt1fg 10 วันที่ผ่านมา +1

    Siku za hivi karbuni lisu ameonyesha wazi kuwa hana uwezo wa kuongoza chama lisu kaponzwa na akina slaa na wanaojiita sauti ya watz ambao mapandikizi lisu kachukua hela hajisemei huyu si mpinga rushwa ni mnafikii!!!

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 9 วันที่ผ่านมา +1

      Lissu kwa uwenyekiti, ccm hawatalala😂

  • @1961nungwi
    @1961nungwi 5 วันที่ผ่านมา

    Demokrasia ni mpambano wa hoja. Lissu katoa zake. Mbowe naye atoe sera zake kuelekea mbele. Wanachama wataamua kwa kura

  • @HanifaUrassa
    @HanifaUrassa 8 วันที่ผ่านมา

    Lema hafai apumzike

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 10 วันที่ผ่านมา

    Hili Halipingiki Liko Sawa Sawa Kabisa.Tunalikubali Na Kulishangilia Sana.

  • @sondajohn1371
    @sondajohn1371 10 วันที่ผ่านมา

    Yap

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 2 วันที่ผ่านมา

    Matakataka

  • @dulasaid2581
    @dulasaid2581 10 วันที่ผ่านมา +1

    CCM WAMEBAKIWA NA MBINU YAO YA KUKIFUTA CHAMA JEE MTAFANYAJE?

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 วันที่ผ่านมา

      CCM hawana ubabe wa kuifuta CHADEMA

  • @AlphonceGridius-v2b
    @AlphonceGridius-v2b 10 วันที่ผ่านมา

    Lema awe katibu heche awe makam

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 2 วันที่ผ่านมา

    Askofu masusu

  • @matiredms917
    @matiredms917 10 วันที่ผ่านมา +3

    Mbowe ana busara na hekima kubwa sana. Lissu ni emotional na anaweza kuvuruga CHADEMA. Lisu agombee Urais bila kungangania Uenyekiti wa Chama. Itasaidia sana kutenganisha nafasi ya Mwenyekiti na nafasi ya Rais. Acheni ushabiki wa kijinga. Mtaua CHADEMA. Wewe shughulikia kuokoa roho za watu.

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 9 วันที่ผ่านมา +1

      Hakuna kiongozi anayeogopwa na ccm kama lissu na mbowe, wanaccm wanajua hili

    • @SephaniaMsigwa
      @SephaniaMsigwa 9 วันที่ผ่านมา

      Lisu chuma af simba

  • @HanifaUrassa
    @HanifaUrassa 8 วันที่ผ่านมา

    Kachukue Fomu wewe ugombee

  • @isaacndashuka5959
    @isaacndashuka5959 10 วันที่ผ่านมา +2

    LEMA ANAFAA SANA KUWA MAKAMU

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 9 วันที่ผ่านมา

    Lema anafaa sana kuwa Mwenyekiti,au Makamo.Bwana Mbowe bado anafaa ilà mbadili flavor kama atakua radhi huyu jamaa ananeema kubwa ya Mungu bado.

  • @ukululegeorge9309
    @ukululegeorge9309 9 วันที่ผ่านมา

    anafaa kuwa makamu

  • @brycesonmathias6112
    @brycesonmathias6112 10 วันที่ผ่านมา

    Usidharau miguu ya kuku, amebeba chakula kizuri nyama ya kuku