ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Kazi Safi Mwalimu,
Asanteee saaaana
Mpigapicha Broo ajitahid Sion vzr
nisim kaka but zinazofuata mtafurahi
Umetusahau sana kiongoz
nimerud kaaatayar
Leo ndio Ile siku, Asante sana bro
Nakufatilia style zako bro umwalimu mzuri sana hapa youtube sijawai ona na hakika unaroho ya wengine wajue. Hongera sana
Asante sifa kwa Bwana
Kazi safi but. Mwangaza kidogo mkuu
hapo nimekuelewa mkufunzi wang...bigup sana
Asante sanaaa
nacho kukubali upo vzr sana mkuu wangu 👍👍
Powerfull
Oooo thanks alot!!!!!!
Nnashukuru boss mkuu
I'm from Kenya , you have helped me saaana
Ohhhhh thanks
hapo sawa mwalimu👍.. hatua kwa hatua..
Yaaaa mpaka tufike tunapo patarajia
Asante sana mwalim unafundisha vizur sana tuomba mwendelezo weke Tena
Muendelezo unakujaaa
Kazi nzuri....huku mbeleni natumai pia tutagusia nymbo za polepole kama worship
Sooon tutaanza
hapo sana na pia pentatonic applicTion kwa wship
Kaka asante sana kwa masomo mazuri
Tuko pamoja usjar
upo vizuri kaka for the first time nimeona Hauna choyo✍️👏
Nikwel
😢😅😊😅😅😅 asanteni nimefurahi sana!
Usjar tuko pamoja
@@enoshmhemakapaya nami nataka kucharaza guitar solo lakini sijui vitu msingi vinaweza kunisadia basi rafiki?
Barikiwa sana mwalimu
Aaminaaa
Big up sana bro! Tunakutegemea kwenye sehemu inayofuata...
Kaa mkao wakula
tunasubri next epsod broo for solo
Nirasm Sasa Inakuja
Unanitekenya teacher
Aahhahahahaha
Naipata vizuri...na Bado wale wa bass twasumbiri kuchambua kutembea guitar yote
Ndio inafuata mkuu,,,,,Koo Baki hapa inakuja
Hapo unafundisha tuelewa vip mwalim ,unachalaza
Sawa kaka
Pamoja kaka
tuchezee siwema by lady j z. thanks.
nirafute whatspp mkuu
Asantee sanaaaaaa nakuonaa
kwakwe asante pia
Sijawahi ona guitar kwa kiswahili likafundishwa hivi Big up
Nnashukuru saaana
Ni saidie na Jina la mwenye aliimba ule wimbo uko background 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Ni wimbo wangu huo
Naeza upataje Mwalimu Enosh
Mfumo wako wa kufundisha nimzuri songa mbele mwalimu mzr
Sauti Yako haisikiki jitahidi kusogerera maiki
We more videos 😊
Yes
Atakae shindwa kuelewa kwa ufafanuzi huo! hana kabisa kipaji cha kupiga guita
Asante saaaana kaka
pentatonic in wship blues
Soon I will do it
Tupe funzo la tano
sawaa
Asanti sana kaka
Usijar tupo pamoja
sawa mwalimu but hiyo lesson clip yake iko giza
Oooooo pole ndugu yangu tunatunatumia kasim but one day tutakua Bora saaana
Hello Enosh. Unaweza kucheza muziki asili yake wapi ya Remmy Ongala?
Sijaelewa vizur swali lako tafadhali
Kujifunza kwenye simu ningumu sana😢
Penye nia Pana njia
Tunaomba usiache hii series
Sawaaa nitaendelea mpaka pale tunapo taka
Thanks alot bro
Where do you live
I live in Mbeya Tanzania
Lesson ijayo ni lini?
Tayar ishaandaliwaa
khali
mhhh
Natumia sim kaka mkubwa