Maskini Jeuri - Part 2 | Offcial Bongo Movies|

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 295

  • @Jenifa818
    @Jenifa818 2 ปีที่แล้ว +162

    Daah tiktok imenileta hapa kama na wewe ni hivyo gonna like 👍 twende sawa bonge moja la movie

  • @salomegedion6883
    @salomegedion6883 ปีที่แล้ว +8

    Bravoo💪💪 mko vizuri sana, mko na mafunzo sana usimdharau maskini mungu ndo hupanga .

  • @kajembembwambo3087
    @kajembembwambo3087 2 ปีที่แล้ว +6

    kaka adamu umetisha na huyo mluguru hongere sana kaka adamu kazi nzuri

  • @habarimseto9696
    @habarimseto9696 3 ปีที่แล้ว +35

    Moja kati ya sinema bora sana kati nilizowahi kuzitizama, bravoo💪 kwa muandaaji keep it up. 🥇🥇🔜

  • @barbierbiccoccar9373
    @barbierbiccoccar9373 2 ปีที่แล้ว +34

    Nomaa sana wapi likes za suzie na mjomba ake

    • @traineesmbwilo3559
      @traineesmbwilo3559 ปีที่แล้ว

      Ata kama niuwigizaji nanimafunzo naumia naona huruma sana jamani msinikumbushe mbali maana tumepita sana siitaji kukumbuka nawalinifanya nitafute pesa kwanguvu zote nakljituma kwahali Mali Ila Apo aje aniingilie mtu nakufanae

    • @traineesmbwilo3559
      @traineesmbwilo3559 ปีที่แล้ว

      Watu wanaacha kutafuta maisha yao Ila wapo kwajili yakuzulumu Mali zawatu

    • @traineesmbwilo3559
      @traineesmbwilo3559 ปีที่แล้ว

      Namali zamtu azijawahi liwa iviivi

    • @traineesmbwilo3559
      @traineesmbwilo3559 ปีที่แล้ว

      Mungu akupiganie kakaangu Mungu ajawahi mtupa mjawake

    • @bendera8589
      @bendera8589 ปีที่แล้ว +1

      Kweli pesa siokitu utu ndio utu ubarikiwe sana

  • @shegashega2421
    @shegashega2421 2 ปีที่แล้ว +5

    Kazi nzuri sana jaman nimependa

  • @rizzybett9329
    @rizzybett9329 ปีที่แล้ว +10

    What goes around comes around ❤❤😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪watching from kenya💞💞💞💞🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @vincentmutiso8787
    @vincentmutiso8787 ปีที่แล้ว +1

    Zuri sana twataka igine zaindi ya Io da lakini Io Iko sawa sana

  • @amosvenance5240
    @amosvenance5240 2 ปีที่แล้ว +8

    Hii movie hakika ipo good sana congra kwa walioshilik kuitengeneza mungu awajalie hekima na maarifa zaid na zaid mtultee muv zaid ya hii ahsant sana.🙏

  • @erad-tv5001
    @erad-tv5001 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe tulio toka Tiktok tupo wengi 🤣🤣🤣🤣🤣 Hongereni sana mnafaa sana kuigwa nyie

  • @joharijj2164
    @joharijj2164 3 ปีที่แล้ว +29

    Yaani nimefurahi ee mungu nipe mtoto mwenyewe akili izi atanitetea Sana kwa Dunia hii😅😅😅😅😀😀😀😀😀yaani Monica na mamake wanakodoa macho, sio kwa raha izi

    • @fadhilahamidu3500
      @fadhilahamidu3500 2 ปีที่แล้ว

      Daaa bongera fundisho hongera Sana kwenu nikweli pesa sii Kira kitu katika hii dunia🥰🥰🥰🥰

  • @jacmus13
    @jacmus13 2 ปีที่แล้ว +11

    Wooooow hii ni movie 🎥 Kali Sana,Leo hii ndio nimeiona,tamu sana 🇧🇭🇧🇭🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @FlorenceKarisa-g6g
    @FlorenceKarisa-g6g ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri sana kwa mtu na mjombake hilo nifundisho hata kwawengine nawapenda sana kutoka Kenya ❤❤❤❤❤❤

  • @tiffahjuma1970
    @tiffahjuma1970 2 ปีที่แล้ว +3

    Aiseeeeee uncle Na mpwa wake majiniazzzzzz sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashaa Allah tabaraka Allah kaka umetunza funzo hongereni sana wewe n mjombako

  • @yohanalengata9587
    @yohanalengata9587 ปีที่แล้ว +1

    Dah mko sawa my sister's god blessed

  • @selemanikasola2403
    @selemanikasola2403 2 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana kaka endelea kutuelimisha

  • @bahatiagape7121
    @bahatiagape7121 2 ปีที่แล้ว +4

    Adamu wa maneno ya kuambiwa...leo umeniweza...😄😆

  • @amoskija584
    @amoskija584 ปีที่แล้ว +3

    Daah kweli nimeipend inafundisha san

  • @Wilson-mg5xr
    @Wilson-mg5xr 2 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri jamAa

  • @maxmatongo7152
    @maxmatongo7152 ปีที่แล้ว +2

    Baada ya kuiona kule tiktok nimeifata hongereni sana kwa kazi nzuri

  • @kitanaofficiall2236
    @kitanaofficiall2236 2 ปีที่แล้ว +5

    Hongera kwake mwandish na Ectors ujumbe umefika na nimejifunza vitu vingi San 🙏🙏 mtu na mjomba ake bravo🥰

  • @neemamwampamba9795
    @neemamwampamba9795 3 ปีที่แล้ว +25

    Hizi ndo movie zinafaa kwa mafundisho kwa jamii.

  • @princeshaqir1289
    @princeshaqir1289 2 ปีที่แล้ว +2

    Dah hongereni sana kuna kitu nimesoma kwenye hii picha

  • @tiffahjuma1970
    @tiffahjuma1970 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana kazi nzuri sana sana sana yaani cjalala mchana kuhqkikisha naimaliza tafadhl tupe ya 3 please uctukatishie utamu

  • @damianchungu6113
    @damianchungu6113 2 ปีที่แล้ว +2

    Vizur ujmbe mzur nimependa

  • @saidakichuna6134
    @saidakichuna6134 2 ปีที่แล้ว +17

    Mashallah kazi nzuri❤🥰🇰🇪🇰🇪

  • @eunicenekesa327
    @eunicenekesa327 2 ปีที่แล้ว +2

    Yuko vizuri huuu mdogo wangu

  • @issamwaijumba8501
    @issamwaijumba8501 2 ปีที่แล้ว +1

    Uyo suzan mungu amjarie asome ad chuo kikuu

  • @bonventrychevai5183
    @bonventrychevai5183 2 ปีที่แล้ว +4

    Daaa!! filamu nzuri sana iliyojaa nasaha yenye taswira katika jamii🇰🇪🇰🇪

  • @Chk80
    @Chk80 2 ปีที่แล้ว +3

    Aiseeee congratulations 👏👏👏

  • @seigneurdieu9351
    @seigneurdieu9351 2 ปีที่แล้ว +5

    🙏🙏🙏😍pesa sio kira kitu kabisa

  • @radhiaayubu7595
    @radhiaayubu7595 2 ปีที่แล้ว +6

    Maishallah asante sana🥰🥰😍😍😍🤭

  • @guchiofficialogtz
    @guchiofficialogtz 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah nimevutiwa sana na pichai nikupenda ata ihishe 😂😂😂😂

  • @aminajuma3928
    @aminajuma3928 2 ปีที่แล้ว +5

    Ongereni kwa muvi nzuri

  • @shannyasumanshannyasuman2613
    @shannyasumanshannyasuman2613 2 ปีที่แล้ว +7

    Hama kwel iyi movie imenifuza kitu nawaomben wadungu zagu musiwai zarau mutu ati kwanjili ni maskin mungu niyeye umpanga maisha ya watu nawapenda sana kaka yangu wew na munjomba wako muko na roho ya subrah mungu awabariki 🙏🙏

  • @princeshaqir1289
    @princeshaqir1289 2 ปีที่แล้ว +4

    Nimependa hii kazi nataman kuona tunapiga hatua

  • @fidelismyinga886
    @fidelismyinga886 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakika mko vizuri sana

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 2 ปีที่แล้ว +7

    Movie mmoja pambe sana na inafundisha sana 👌

  • @samanthamaryichugu7420
    @samanthamaryichugu7420 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashalaaah video mxuri kweli,ina mafunzo maxuri xana

  • @sharonwakoli
    @sharonwakoli ปีที่แล้ว +7

    Watching from Tanzania much love ❤❤ thank you TikTok

  • @aminaabdaallah944
    @aminaabdaallah944 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah nzuri Sana nimeipenda

    • @asmaomar5896
      @asmaomar5896 2 ปีที่แล้ว

      🤝👌👋🤲🤲👍

  • @halima7255
    @halima7255 2 ปีที่แล้ว +4

    Ongereni sana wapenz kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤️❤️ yani ina mafuzo mazuri sana

  • @jeaninendayishimiyehjk9889
    @jeaninendayishimiyehjk9889 2 ปีที่แล้ว +4

    Tunawapenda 😍😍😍😍😍😍😍

  • @zulfaadam9340
    @zulfaadam9340 ปีที่แล้ว +1

    Kiswaili chamjomba nimekipenda wallah❤

  • @joharijj2164
    @joharijj2164 3 ปีที่แล้ว +8

    Hongereni Hongereni Sana,,, movie yenye mafunzo

  • @tiphadossa1421
    @tiphadossa1421 2 ปีที่แล้ว +4

    Jmn nimeipenda hii move Ina mafundisho mazur San🥰🥰🥰🥰

  • @salhachaz4999
    @salhachaz4999 2 ปีที่แล้ว +6

    Inafaa kwa jamiii😘😘

  • @Ashu-ed2tb
    @Ashu-ed2tb 3 ปีที่แล้ว +4

    Ahhahahaqhq amsugue gaga😃😃😃😃uncle kiboko

  • @tumadhiraasaid4676
    @tumadhiraasaid4676 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa Sana KAZI mzuri❤❤❤❤❤ndo adabu zao hizo umewapata lazima muwatumishe😂😂😂😂❤❤❤

  • @biashasuleimanabdalla481
    @biashasuleimanabdalla481 3 ปีที่แล้ว +5

    Assalamu aleikum warmatulla taala wabarakatu. Mashaallah mwenye Enzi mungu akuzidishie kipaji zaidi ya hicho

  • @surujajwie4768
    @surujajwie4768 2 ปีที่แล้ว +3

    mashaallah ama kwli nimejifuza 🔥🔥🔥👏👏

  • @leylahbillah4876
    @leylahbillah4876 2 ปีที่แล้ว +6

    Movie nzur sana yaan sana 🌝

  • @fraviansweetberty8819
    @fraviansweetberty8819 2 ปีที่แล้ว +4

    Dah!!!!!!! Inauzunishaa ila inafundisha

  • @mahmoodthibanmahmoodthiban7841
    @mahmoodthibanmahmoodthiban7841 2 ปีที่แล้ว +4

    Kuna hekima sana katika hii video shukran kwa susana mtoto mwenye busara

  • @PH10735
    @PH10735 2 ปีที่แล้ว +3

    Kazi Safi mungu awabariki Sanaa🙏🙏🙏🙏✍️

  • @catherinemwanyumba1630
    @catherinemwanyumba1630 ปีที่แล้ว +4

    Big up suzii I love you from Kenya ❤❤❤ you have alot of confidence girl ❤❤

  • @haronmwendia1708
    @haronmwendia1708 2 ปีที่แล้ว +2

    Dah bonge la massage nimelipatapo wallah Kuna mahali imefka karbu chozi linidodoke.......tz mafunzo yenu mazuri sana

  • @lovethildah7340
    @lovethildah7340 2 ปีที่แล้ว +5

    Jifunze kuiona dhahabu hata ikiwa kwenye matope, sio lazima ikaoshwee ndipo ujue Dhamanj yake,
    Duh yani mie na Monika tuko hapa kwa hapa,, kiswahili nachoo😂😂🙌🙌

  • @najmaomar2751
    @najmaomar2751 2 ปีที่แล้ว +3

    Big up kwa wot mliofanikish sinem imetish

  • @niyonkuruemery4971
    @niyonkuruemery4971 2 ปีที่แล้ว +3

    Kaka mungu awabaliki sana kwahushahuli we nu

  • @kishetositi4377
    @kishetositi4377 2 ปีที่แล้ว +8

    Masantula nimekupenda bure kwahino movie

  • @paul1man276
    @paul1man276 2 ปีที่แล้ว +13

    Asanteni Sana Kwa Kutupa fuzo la maisha twashukuru. Mungu awajalie muendelee vyivyo hivyo kujenga ulimwengu.

    • @paulinewanje325
      @paulinewanje325 2 ปีที่แล้ว

      Nime penda sana pili nime pata fundisho na pia hamchoshi

  • @josephchongolo6916
    @josephchongolo6916 2 ปีที่แล้ว +5

    Hakika Elimu yenu imefika vizur San mbarikiwe Sana🙏🙏🙏

  • @sylviakemunto9646
    @sylviakemunto9646 2 ปีที่แล้ว +8

    Indeed the best Swahili sinema u child suzzy ur🥰😘

    • @mwanaishaathumani4884
      @mwanaishaathumani4884 2 ปีที่แล้ว +1

      Wow nimeipenda sanaaa!!!!!Aisha from Kenya 😘😘😘

  • @zamdasaid9982
    @zamdasaid9982 3 ปีที่แล้ว +5

    Wow movie nzur nmejifunza kweli🥰🥰 kila kitu kina umuhim hapa dunian

  • @puritychepkoech6298
    @puritychepkoech6298 2 ปีที่แล้ว +4

    Jambo la busara Sana🙏🙏

  • @vincentmutiso8787
    @vincentmutiso8787 ปีที่แล้ว

    Wa movie zuli sana mugu awanjalie maisha meme mzindi Ivo Ivo 👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏🙏🤙🤙🤙🤙🤙

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 2 ปีที่แล้ว +4

    Thanks so much yani mko vzr sana

  • @bettywanja1888
    @bettywanja1888 ปีที่แล้ว +3

    🤣🤣🤣🤣mtoto mzuri uyu

  • @mwanatumu7012
    @mwanatumu7012 ปีที่แล้ว +1

    Apo sawa iko poa sana hii movie❤

  • @IssaAliyy
    @IssaAliyy ปีที่แล้ว

    Pambe sana nimeipnda sanaaaaaaaa nawapnda wote walio shirk kutung mov hiii❤❤❤❤❤

  • @ArhyaniJapheti
    @ArhyaniJapheti ปีที่แล้ว +1

    Daa sina lakusem ongeleni

  • @MaryamAdiya-w1q
    @MaryamAdiya-w1q 21 วันที่ผ่านมา +1

    Wow kweli umenipa ujasiri mdogo wangu

  • @zawadijohn9533
    @zawadijohn9533 2 ปีที่แล้ว +7

    Best movie 2021 yaan imenitoa tiktok mpka huku❤

  • @شووققردادديي
    @شووققردادديي 2 ปีที่แล้ว +6

    Muvi ni nnzur sana na ina mafunzo mazur ndani yake vp tuishi kwa upendo na aman nimeipenda kwakwel.

  • @aishasalimaishasalim1323
    @aishasalimaishasalim1323 2 ปีที่แล้ว +4

    Kazi nzur sana

  • @Helen-zs5ti
    @Helen-zs5ti 2 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri sana ❤🥰🥰

  • @gdddg8914
    @gdddg8914 ปีที่แล้ว

    Wow MashaaAllah, mjomba umecheza kma ww hongereni , rasta nakkubali

  • @PeterMzopollah
    @PeterMzopollah 28 วันที่ผ่านมา

    Moja ya bongo move bora saan huyu jama cjw kapotelea wap

  • @fartuneyadan3114
    @fartuneyadan3114 2 ปีที่แล้ว +5

    Kwel kwa hii dunia pesa sio kila kitu

  • @piscaskazingufu9848
    @piscaskazingufu9848 ปีที่แล้ว

    Noma sana, nime jifunza kitu hapa, mungu awabariki.

  • @pendopendo7427
    @pendopendo7427 2 ปีที่แล้ว +7

    Kweny hii dunia ukiwa masikin huna haki kabisa watu kam hwa tunaishi nao kweny jamii yetu wamejaa sna c kila mfungwa jela anamakosa megine ndo kam hiv😒😒😒hongereni sna mlocheza hum ndani

    • @heribenjaminihemenibabanim4215
      @heribenjaminihemenibabanim4215 2 ปีที่แล้ว

      Asant nimejifunza sana nilisikia sana kwamba pesa sikila kitu leo ndonimeona pia nimejifunza san endelea kutuelimisha zaidi balikiwaaaaaa sanaaaa

  • @ashajabiri8008
    @ashajabiri8008 3 ปีที่แล้ว +11

    Move nzur na inamafunzo kama kuna matajir wa hivi kwa kweli mungu anawaona

    • @rubire
      @rubire 2 ปีที่แล้ว +1

      Hii movie inafaa iletwe kenya uku ata watoe. Zora...inamafundisho sana

    • @mahebwathejunior952
      @mahebwathejunior952 2 ปีที่แล้ว

      wapo tena wengi sana

  • @zahramohammed2337
    @zahramohammed2337 2 ปีที่แล้ว +7

    Afande wa nyumban kabisa yaan namaanisha msambaa wa kwetu

  • @yohanakivuyo4261
    @yohanakivuyo4261 2 ปีที่แล้ว +1

    Kali sna

  • @q2.t_.
    @q2.t_. 2 ปีที่แล้ว +3

    Nzuri sana

  • @mohammedjuma9449
    @mohammedjuma9449 3 ปีที่แล้ว +10

    Imeniliza San

  • @nusratbintabdullah5713
    @nusratbintabdullah5713 2 ปีที่แล้ว +7

    Good movie full of lessons thanks from Uganda 🇺🇬🇺🇬

  • @reenymadeba4298
    @reenymadeba4298 2 ปีที่แล้ว +15

    Very talented young kid 💞💞💞

  • @silasnyukuri960
    @silasnyukuri960 11 หลายเดือนก่อน

    Ooooh my God!! Aki unapo fuatilia hii movie kuna mengi utajifunza aki❤❤

  • @janethkahamba5213
    @janethkahamba5213 2 ปีที่แล้ว +2

    Nzuriiii😘😘😘😘

  • @mshami2780
    @mshami2780 ปีที่แล้ว

    Hawa mabinti ❤watakuwa watata sana badae mbele ya haji nakubli sana❤❤❤

  • @pendohillrey1164
    @pendohillrey1164 2 ปีที่แล้ว +3

    Akh ina mafunzo sana Asante nime jifunza mengi sana

  • @nacmagicha8602
    @nacmagicha8602 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah kz Zur san

  • @fatumaselemani4319
    @fatumaselemani4319 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah kweli pesa sikitu

  • @azizazzzz8043
    @azizazzzz8043 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallh kweli kabisa bro

  • @mrluuh8901
    @mrluuh8901 ปีที่แล้ว +1

    nime jifunza mengi sana salute🎉🎉

  • @leylahbillah4876
    @leylahbillah4876 2 ปีที่แล้ว +6

    Kusugua gaga tena jmn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @aminamadenge5600
    @aminamadenge5600 ปีที่แล้ว +1

    Duuh wamenyooka kwakwel 😂😂😂😂