TAZAMA RAIS WA YANGA ATOA TAMKO HILI/NIPO TAYARI KUONDOKA YANGA/MZEE MAGOMA ANATUMIKA NA MAADUI ZETU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • #alikamwe #hersisaid #live_ #mayele #msuva #yanga #yangasc #azizki #yangaleo #yangatv

ความคิดเห็น • 12

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 หลายเดือนก่อน +1

    Uchawi mbaya sanaaaaa ,mchawi hana jema maana boss wake (shetani)Sio mwema😂😂😂😂

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 หลายเดือนก่อน

    Hahahaaa nchi ina mambo hiiiiiii😂😂😂

  • @Henrickie-boe
    @Henrickie-boe หลายเดือนก่อน +2

    Scope acha kuandika vitu ambavyo havipo tunapenda taarifa unazozitoa ila sasa uwandishi wako ndio unachangamotoo na picha unazoziweka

  • @MariaGarende
    @MariaGarende หลายเดือนก่อน

    viongozi kuweni makini sana na uyu mzee maana kuna shabiki kutoka simba alisema laki saba inatosha kuiaribu yanga

  • @allyjuma7319
    @allyjuma7319 หลายเดือนก่อน

    Kwanini mnakubali kusikilizwa na mahakama ya kiserikali? Wakati Mambo haya ya kimichezo yanatakiwa kusikilizwa na mahakama ya zakimichezo?.

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 หลายเดือนก่อน

    Hao wanamkono wa kolo! Eng anasumbua sana msimbazi, wameamua kununua watu ndani ya yanga kumdhoofisha Rais wetu. Hatukubali! Walisema mzizi wa yanga ni Eng akitoka yanga itakwisha ndo maana wajitshidi kumsogeza buddies jangwani na wameahidi wataroga badala ya kucheza mpira. Walaaniwe hao.

  • @user-ef2zr4un2u
    @user-ef2zr4un2u หลายเดือนก่อน

    Ediga unachambuwa sawa na wenzio hapo klaizi kuhusu michezo lakini mnakosa busala takribani mda mwingi mnakuwa ni watu wakukejeli kejeli na kejeri mara zote kiswahili sahihi ni dharau simamieni imara mnapokuwa kazini kuliko kuwa mda mwingi mnakuwa nimashabiki na kusherehesha mambo badilikeni mambo mengi mnapeleka kishabiki sana na kejeli huo siyo weredi Kwa mwanahabari acheni kejeri

  • @omarymtotela3751
    @omarymtotela3751 หลายเดือนก่อน

    Achana haya Mambo nyie tutakuwa atufungui video zenu

  • @japharymohamed6297
    @japharymohamed6297 หลายเดือนก่อน

    Kichwa cha habari na yaliyomo ni tofauti kabisa.

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 หลายเดือนก่อน

    Kama kazi ni batili kwa nini wanaomba ripoti ya mapato na matumizi tu??

  • @clausemsemwa297
    @clausemsemwa297 หลายเดือนก่อน

    Kuku wewe