Mungu Baba Pokea Sadaka Yetu | Traditional | Sauti Tamu Melodies | Wimbo wa kutoa Sadaka/matoleo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 474

  • @mikemusic254
    @mikemusic254 4 ปีที่แล้ว +43

    The tenor_soprano harmony on stanzas is on another level. My best song so far.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว +2

      Asante Mike

    • @johngatehi7587
      @johngatehi7587 3 ปีที่แล้ว +2

      Thought ni alto

    • @abinesskosana9583
      @abinesskosana9583 2 ปีที่แล้ว +1

      Me too, sichoki kisikia na kuimbba hii nyimbo

    • @nessi1003
      @nessi1003 2 ปีที่แล้ว +2

      The way I admire your choir and songs. I feel like being part of this Marvelous team.

    • @daisykoila9981
      @daisykoila9981 2 ปีที่แล้ว

      @@SautiTamu vhj

  • @merryngowi6607
    @merryngowi6607 3 ปีที่แล้ว +2

    Tumuombe Mungu. apokee sadaka yetu Amina Hongereni Sana kwa uimbaji wenu mzuri Mungu awabariki

  • @themoderntutor2608
    @themoderntutor2608 4 ปีที่แล้ว +29

    I'm proud to be a catholic, i cant just sleep! Streaming these lovely songs from youtube makes even sickness to melt... Feeling blessed ♥️♥️♥️

  • @ndetichrissantos652
    @ndetichrissantos652 4 ปีที่แล้ว +3

    The church is being born again and again kupitia hizi Nyimbo za zama zile ....Roho mtakatifu atukuzwe kupitia kwa Mwana na Baba kwa wimbo wenu mzuri Sana.......#2020

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Amina🙏🙏🙏 ubarikiwe

  • @ivangaya5874
    @ivangaya5874 3 ปีที่แล้ว +2

    Mniambie hio alto Ni ya Nani♥️♥️♥️♥️😂😂😂😂great music Sauti Tamu.... Homabay are loving it again 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Alto Rosalia na Syombua na Mercy

  • @philipmugagolo2878
    @philipmugagolo2878 4 ปีที่แล้ว +2

    St Paul mko Juu sanaa Nairobi Univasity Mungu awatiye nguvu sana kwa Nyimbo zenu tamu im enjoying all the way from Doha Qatar

  • @janaleokesho8374
    @janaleokesho8374 4 ปีที่แล้ว +2

    St Paul mko juu❤️.lovely❤️❤️❤️ .ipokee sadaka yetu,ndilo fumbo la kukupendeza......................🔥🔥🔥🔥🔥🕺

  • @kimanijohn9529
    @kimanijohn9529 4 ปีที่แล้ว +10

    I would say, Corona brought a lot of sadness in the world but this song brings joy, happiness, peace and its uniting the world, blessings to you all, watching from Maryland U S A, proud to be a Catholic

  • @fredericdestanberg8442
    @fredericdestanberg8442 3 ปีที่แล้ว +2

    Halo kwako, asante kwa wimbo huu mzuri, haujui kutuma ikiwa haukubali maneno yote ya wimbo asante, niko katika kwaya huko Kinshasa, moyo wa malaika asante

    • @fredericdestanberg8442
      @fredericdestanberg8442 3 ปีที่แล้ว

      Mon numéro Whapzapp, 0032479874330

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว +1

      Asante, ubarikiwe

    • @fredericdestanberg8442
      @fredericdestanberg8442 3 ปีที่แล้ว +2

      @@SautiTamu Je revient vers vous, merci de m'avoir répondu, c'est gentil, vraiment. Est se qu'il est possible d'avoir toutes les paroles du chant?? Se serais super gentil merci l chorale, tout les jours j'écoute et chante vos chants!!Ninarudi kwako, asante kwa kunijibu, ni nzuri, kweli. Je! Inawezekana kuwa na maneno yote ya wimbo? Ingekuwa nzuri sana asante kwaya, kila siku nasikiliza na kuimba nyimbo zako !!

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว +1

      Thank you

    • @fredericdestanberg8442
      @fredericdestanberg8442 3 ปีที่แล้ว +1

      @@SautiTamu Je pourrais pas avoir toute les paroles du chant svp merci

  • @albertokindole4454
    @albertokindole4454 3 ปีที่แล้ว +2

    La babaaaaa na laaaaaa mwanaaaaaaa na rohoooooo mtakatifuuuuuuuuu.Aminaaa sana

  • @paulmukhwana5181
    @paulmukhwana5181 2 ปีที่แล้ว +3

    Thanks for taking us back in time... Where our music was our music

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 ปีที่แล้ว

      Indeed, music was great then

  • @dellah2673
    @dellah2673 4 ปีที่แล้ว +1

    Beautiful maneno yanasikika vizuri na sauti haziko highly peached feeling blessed from China nimemiss Swahili mass sana 😩🙏

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว +1

      Asante, ubarikiwe

  • @anoldlitimba9948
    @anoldlitimba9948 3 ปีที่แล้ว +2

    mwenyezi mungu awabariki siku zote za maisha yenu hapa duniani.Hakika nafurahi sana ninaposikiliza nyimbo zenu.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Amina. Ubarikiwe pia

  • @deodatusmwaipopo7284
    @deodatusmwaipopo7284 4 ปีที่แล้ว +1

    Asanteni sana kwauimbaji mzuri wapendwa. ukweli mnaushilikiano mzuri kwanyimbo mnavyoziimba hakika mnazitendea haki dhahabu zetI. Kutoka mlowo songwe tz.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Shukrani sana Deodatus, ubarikiwe

  • @Collinscj
    @Collinscj 4 ปีที่แล้ว +7

    Hongera sana kwa nyimbo zenu... Feeling blessed in Doha Qatar.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Barikiwa sana

    • @omerakevin9221
      @omerakevin9221 4 ปีที่แล้ว +1

      Hello Collins

    • @Collinscj
      @Collinscj 4 ปีที่แล้ว +1

      @@omerakevin9221 hello

  • @moisembuba1542
    @moisembuba1542 ปีที่แล้ว +1

    From the DR of Congo I say thanks for this mervellouse and Angels song.

  • @doreenandcollins3435
    @doreenandcollins3435 4 ปีที่แล้ว +6

    This is what is called kuita Roho mtakatofu ashuke kwetu .May the Lord who granys people diffrent gifts like singing soo well bless you all🌹🌹💖

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      🙏🙏🙏amen

  • @richardkithia8936
    @richardkithia8936 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ambariki Kwa mwito huo wa uenezaji wa injili

  • @kipkorirkipkemoi4217
    @kipkorirkipkemoi4217 3 ปีที่แล้ว +3

    Nyimbo za tumshangilie bwana ndizo nyimbo nzuri sana

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Nyimbo za zamani tamu sana

  • @bichangapaul7522
    @bichangapaul7522 3 ปีที่แล้ว +1

    I love this songs so much...nakupa kongole Martin munywoki mungu azidi kukupa hekima na busara

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Amina kaka. Ubarikiwe

  • @Mzeewainfo
    @Mzeewainfo 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa Wimbo huu wa Matoleo.. Mungu awabariki wana Sauti Tamu wote

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Asante, Ubarikiwe pia

  • @paulinewambua8498
    @paulinewambua8498 3 ปีที่แล้ว +1

    I love love you . Sauti tamu..Bwana abarikiwe kwa nyimbo

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Thank you Pauline

  • @natiiveson4846
    @natiiveson4846 4 ปีที่แล้ว +2

    Wow!
    It is Christmas eve and I am watching this and in Bethlehem (the house of bread), our Lord is about to be born. He is the bread that comes from heaven.
    This awesome choir should sing the song 'yakubu alienda kwa mjomba, akampenda Raeli, siku ya mwisho ilipofika, akapewa Leah.......Si Raeli......mapinduzi ya Baba na Mama...'
    I'd love to hear that song being performed by these wonderful ladies.

  • @nessi1003
    @nessi1003 2 ปีที่แล้ว +2

    I can’t stop listening to this organized choirs songs with nice lyrics.Continue preaching the Gospel through music.A big reward is awaiting you in heaven.Be blessed brethren.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 ปีที่แล้ว

      Thank you so much Nesterio.
      Be blessed

  • @bitnettonics6070
    @bitnettonics6070 4 ปีที่แล้ว +2

    Sauti tamu kweli kweli. Congratulations and be blessed to produce more songs.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Asante, be blessed too

  • @tumshangilielyrics6753
    @tumshangilielyrics6753 4 ปีที่แล้ว +8

    I like that harmony of the bass........'' la baba-a na-a-a-a mwa-a-a-a-na ''..... and that altoish tenorish on the stanzas

  • @maryvuguza561
    @maryvuguza561 ปีที่แล้ว +2

    Wow,haki mnaimba vizuri sana,I feel good when I listen to your voices.then nlikuwa narequest kama mnaeza play pia ule wimbo wa (mkristu simama ukatoe sadaka kutoa ni moyo Wala si utajiri)

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  ปีที่แล้ว

      Thank you. We shall work on your request

  • @Maggie-m6c
    @Maggie-m6c 3 ปีที่แล้ว +2

    Waooooo nimekumbuka nikiwa sadaka girl🙏🙏🙏🙏

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      God bless you

  • @essyangel9650
    @essyangel9650 3 ปีที่แล้ว +1

    My words are not enough to explain my joy. Sauti tamu na sauti zenu tamu. Mungu awabariki

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Asante, Mungu akubariki

    • @cheparsarah5070
      @cheparsarah5070 2 ปีที่แล้ว

      I like sauti Tamu how they are organize

  • @kabwebwejeanbreloque8615
    @kabwebwejeanbreloque8615 4 ปีที่แล้ว +9

    Wimbo tamu sana, from DRC, i Love u

  • @geroldjacob9845
    @geroldjacob9845 3 ปีที่แล้ว +1

    Woow!!! Now i thinkng this is mostly and brilliant for all catholic an other religion. Thanks and big up to singers

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Thank you🙏🙏🙏

  • @domitilakingook4737
    @domitilakingook4737 4 ปีที่แล้ว +2

    I like them....you sing vizuri saaana... smart wote

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Asante sana Domitila, be blessings

  • @nan8731
    @nan8731 4 ปีที่แล้ว +1

    Ya baaba na mwanaa hapo ndo nilikuwa naingiza base yangu hadi naskia baasi .... I miss swahili mass.... Anastazia Muema I see you...good job guys

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Asante🙏🙏

  • @nicholasmuinde1884
    @nicholasmuinde1884 4 ปีที่แล้ว +1

    Beautiful harmonization of the voices. Mungu awabariki

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki pia

  • @kiarienjuguna6812
    @kiarienjuguna6812 4 ปีที่แล้ว +1

    Tumsifu Yesu Kristu. Mungu awabariki. Nashukuru sana 👍

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Milele amina, ubarikiwe pia

  • @kyla7008
    @kyla7008 4 ปีที่แล้ว +5

    Waah! Nani anaskia utamu reloaded kama mimi veenye sop na tenor wanamalizia stanzas??? pure talent!!

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      So sweet, asante, ubarikiwe

  • @urbbycharity.5753
    @urbbycharity.5753 4 ปีที่แล้ว +1

    I tell you ..,you people you are changing many.., God will bless you

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Thank you, God bless you too

  • @Rozay2030
    @Rozay2030 2 ปีที่แล้ว +1

    Proud to be a catholic this song melts my heart watching from Riyadh Saudi I miss holy mass

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 ปีที่แล้ว +1

      Be blessed Rick

    • @Rozay2030
      @Rozay2030 2 ปีที่แล้ว

      @@SautiTamu thanks a lot good work

  • @vivianagolla5124
    @vivianagolla5124 4 ปีที่แล้ว +1

    aki mbarikiwe najivunia kua mkatoliki hongera

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว +1

      Amina, ubarikiwe Vivian

  • @fridanguli884
    @fridanguli884 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Baba asifiwe na mwanae ndie aliyetukomboa, Roho Mtktf ndiye wetu mfariji, Utatu Mtktf Mungu mmoja twakiri .Be blessed to the maximum

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Thank you Fridah

  • @ambrossmosha4255
    @ambrossmosha4255 2 ปีที่แล้ว +1

    Vizuri sana huyo dada aliyeimba sauti pili kaimba vizuri sana

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 ปีที่แล้ว

      Shukrani Ambrose

  • @veroniquevee2444
    @veroniquevee2444 3 ปีที่แล้ว +1

    Tumshangilie bwana was the real deal, still enjoying old is gold indeed

  • @henrynyaga1989
    @henrynyaga1989 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu Baba pokea sadaka yetu leo
    Tukutoleayo kwa jina la Mwanao
    Ya Abeli na Ibrahimu ilikupendeza
    Yetu Baba ipendeze uipokee
    Ipokee - (ipokee) sadaka yetu
    Ndilo fumbo - (ndilo fumbo) la kukupendeza
    La Baba na Mwana na Roho Mtakatifu *2
    Njooni wote tutoe sadaka yetu leo
    Kwa sifa na utukufu wake Mwenyezi
    Mkate huu na divai ndivyo mwili wake
    Kwa heshima kuu sadaka tumtolee
    Ee Mwenyezi tupokee tuwe mali yako
    Twakusihi kwa heshima utupokee
    Tunakutolea nguvu kazi na mavuno
    Kwa huruma yako dhambi tuondolee
    Kama mwanzo Mungu Baba a-si-fiwe
    Na mwanaye ndiye aliyetukomboa
    Roho Mtakatifu ndiye wetu mfariji
    Utatu Mtakatifu Mungu mmoja twakiri

  • @kimanijohn9529
    @kimanijohn9529 4 ปีที่แล้ว +3

    These songs are uniting the world, corona brought a lot of sadness in the world, voice itself is so so fine, may God bless you all, watching from Maryland U S A

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว +1

      Amen, Thank you, God bless you too

  • @festkeisa1241
    @festkeisa1241 3 ปีที่แล้ว +2

    Here you feel the essence of being a catholic ,,,God bless you great choir

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      God bless you too

  • @hgk322
    @hgk322 4 ปีที่แล้ว +1

    Mubarikiwe kwa ukumbuzo WA nyimbo kutoka tumshangilie Amina

  • @samuelmwangi6041
    @samuelmwangi6041 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi njema. Mwenyezi Mungu na awabariki wote

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe nawe pia

  • @imaculatadominic7005
    @imaculatadominic7005 4 ปีที่แล้ว +2

    mm nabarikiwa kwa kuwasikiliza nyakati zote mko vizuri wapendwa nafill haapy kuwa mkatoliki pia

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว +1

      🙏🙏🙏

  • @Loraine2t
    @Loraine2t 4 ปีที่แล้ว +2

    Wow!nostalgic!Thanks for bringing back memories.I miss home now.Congratulation!

  • @chemtaikorir4744
    @chemtaikorir4744 3 ปีที่แล้ว

    I heard this song today at church and it touched me so much I had to look for it here.....kama vile sadaka ya abeli na Ibrahimu ilikupendeza may mine be acceptable before you dear lord 🙏

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Asante, ubarikiwe

  • @givenalupolaantony1476
    @givenalupolaantony1476 3 ปีที่แล้ว +3

    Najiskia raha Sana barikiwa sana

  • @bibianmukiri2209
    @bibianmukiri2209 4 ปีที่แล้ว +3

    Hey hii song reminds me whenwe were kids

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      True old memories, old is gold. Be blessed

  • @BahatiKiziala
    @BahatiKiziala ปีที่แล้ว +1

    Mungu amibariki kwa kuimba nyimbo nzuri

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  ปีที่แล้ว

      Shukrani sana, nawe ubarikiwe

  • @saviojameswatari5137
    @saviojameswatari5137 4 ปีที่แล้ว +1

    Hello, thanks for the nice work you do here at Sauti Tamu...

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Thank you James. God bless you

  • @gerardokeyo49
    @gerardokeyo49 4 ปีที่แล้ว +1

    The owner will give a big thumps up..Good job..

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Asante Gerald

    • @gerardokeyo49
      @gerardokeyo49 4 ปีที่แล้ว

      I will purposely attend one of your masses. I find music the epic of my connection to the Creator. Not just music but quality and well executed music. Continue evangelizing.

  • @nicholasmwambuwa9638
    @nicholasmwambuwa9638 3 ปีที่แล้ว +1

    It takes me back to my home parish Bura mission. Nice songs

  • @paulmunguti4066
    @paulmunguti4066 4 ปีที่แล้ว +7

    Well done! Angelic voices...

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Thank you Paul

  • @carolinamuchi5980
    @carolinamuchi5980 4 ปีที่แล้ว +2

    Wow Asanteni sana, mbarikiwe

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Shukrani Carolina, na ubarikiwe pia

  • @lucymalungu3435
    @lucymalungu3435 4 ปีที่แล้ว +2

    Woow! Ncy song am proud of it

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว +1

      Thank you Lucy

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe sana melod nzuri sn

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 ปีที่แล้ว

      Shukrani Stanslaus

  • @antonysylvester193
    @antonysylvester193 4 ปีที่แล้ว +2

    Sauti Tamu has it all. God bless you.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Thank you Antony. Be blessed

  • @annetmulama6249
    @annetmulama6249 4 ปีที่แล้ว +5

    The memories daaaaamn🤗🤗. Reminds me of how I used to dance in church 😍😍

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Awesome, be blessed

  • @marcusodhisls
    @marcusodhisls 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice song. Pokea Sadaka Baba

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 ปีที่แล้ว

      Thank you Marcus

  • @kimaserenaliaka7846
    @kimaserenaliaka7846 3 ปีที่แล้ว +2

    Wow.This reminds of St Anne's Kisoko Girls' .I love 💕 this

  • @naftarymutwiri3216
    @naftarymutwiri3216 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice song,reminds me 90s.God bless this choir.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Asante Naftari
      God bless tou too

  • @dannyke.5424
    @dannyke.5424 4 ปีที่แล้ว +2

    Sauti zuri kwa kweli

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Asante Daniel

  • @juliethpius2066
    @juliethpius2066 3 ปีที่แล้ว +1

    Unabariki sana naupenda sana mbarikiwe

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Asante Julieth

  • @trizahndichu140
    @trizahndichu140 8 หลายเดือนก่อน +1

    I can’t stop playing this song.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  8 หลายเดือนก่อน

      Thank you Trizah

  • @stellamulisa-englishandlit7461
    @stellamulisa-englishandlit7461 4 ปีที่แล้ว +4

    This is one of my favourite offertory songs

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Thank you Stella

  • @unclewanairobioriginal
    @unclewanairobioriginal 4 ปีที่แล้ว +2

    Watching here in doha

  • @eadwinnyakweba5378
    @eadwinnyakweba5378 4 ปีที่แล้ว +2

    Wow! Wow! Wow! Sweet real Catholic songs

  • @norbertmutuku6167
    @norbertmutuku6167 4 ปีที่แล้ว +2

    This is very interesting rendition of this classic sadaka piece. Once again, well done.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Asante Mutuku

  • @labanwangai6359
    @labanwangai6359 ปีที่แล้ว +4

    MUNGU BARIKI KILA ASOMAYE HII MESEGI
    SEMA AMENI
    LIKE HIII COMENTI
    MUNGU AKUBARIKI PAMOJA NA FAMILIA YAKO
    MUNGU AZIDISHE BARAKA KATIKA KIZAZI CHAKO AMENI

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  ปีที่แล้ว

      Amina. Ubarikiwe pia

  • @gorretyparmuoyoma9672
    @gorretyparmuoyoma9672 3 ปีที่แล้ว +1

    This song takes me to the most peaceful place ever! Thank you 🙏🏾

  • @annamuli6377
    @annamuli6377 2 ปีที่แล้ว +1

    This song melts my heart...May God bless you as you continue touching and converting souls..

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 ปีที่แล้ว

      God bless you too Anne

  • @evalineadipo2804
    @evalineadipo2804 3 ปีที่แล้ว +1

    I Really love your voices you guys keep it up May God bless you all

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Thank you Evaline.
      God bless you

  • @theclapeter2991
    @theclapeter2991 4 ปีที่แล้ว +3

    Thank you so much for taking me back to my seminary days..be blessed🙏

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว +1

      Amen. Be blessed too Thecla

  • @enockmabulls
    @enockmabulls 4 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏🙏 I can't miss any of your sweet and beautiful songs and vioces

  • @fabiolashali6879
    @fabiolashali6879 4 ปีที่แล้ว +2

    You've real improved this sonq beinq one of the sonqs be blessed.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Thank you Fabiola, be blessed too

  • @yassinirashidi2955
    @yassinirashidi2955 4 ปีที่แล้ว +2

    Amina m balikiweeee

  • @donarsene
    @donarsene 2 ปีที่แล้ว +1

    Ipokee Sadaka Yetu🙏🙏🙏

  • @muthengimuthoka9542
    @muthengimuthoka9542 4 ปีที่แล้ว +1

    God bless you for your good work you're doing for him

  • @wanjaregina9938
    @wanjaregina9938 4 ปีที่แล้ว +3

    These song really touches me during offertory,, proud of being a Catholic

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Amen, be blessed Regina

  • @ndibuimatthews2262
    @ndibuimatthews2262 4 ปีที่แล้ว +1

    The saprano is just on another level. Simply 👌👌

  • @SimonMuia-g2t
    @SimonMuia-g2t 11 หลายเดือนก่อน

    keep it up guys and God bless you all

  • @MuseEthnic
    @MuseEthnic ปีที่แล้ว +1

    Just discovered this channel. Beautiful voices. Such a blessing❤

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  ปีที่แล้ว +1

      Thanks so much. Welcome to Sauti Tamu fraternity 🙏🏻

  • @kemuntoangie1859
    @kemuntoangie1859 4 ปีที่แล้ว +5

    This choir blesses me big time 😭❤️

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Thanks Kemunto

  • @florencemawere2338
    @florencemawere2338 4 ปีที่แล้ว +21

    well done, well done! these were the original catholic mass songs...sijui ni misa bura au gani? nimeguswa na nyimbo

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว +1

      Ubarikiwe

    • @nicholasmwambuwa9638
      @nicholasmwambuwa9638 3 ปีที่แล้ว +1

      You are right bura mission

    • @nicholasmwambuwa9638
      @nicholasmwambuwa9638 3 ปีที่แล้ว +1

      Reminds me of my home parish bura mission back then 1990's

    • @kezaclement
      @kezaclement 2 ปีที่แล้ว

      Kwaya wa wapi?

    • @barbarawendo80
      @barbarawendo80 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@nicholasmwambuwa9638In September I visited Bura mission

  • @kaylynnlozen2070
    @kaylynnlozen2070 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice song, am proud to be a cotholic

  • @fredmbasi4248
    @fredmbasi4248 3 ปีที่แล้ว +2

    well done thanks

  • @basilodienge9977
    @basilodienge9977 3 ปีที่แล้ว +3

    Beautiful and Inspiring. Amen

  • @hillarylagat4900
    @hillarylagat4900 4 ปีที่แล้ว +1

    Good Job Martin. The harmony by Makoye is super good. Well done.

  • @naftarymutwiri3216
    @naftarymutwiri3216 3 ปีที่แล้ว +1

    The best song from time to time.God bless the singers.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Amen. Be blessed too

  • @ericnzau
    @ericnzau 4 ปีที่แล้ว +3

    Simple with a lot of Class

  • @prtmedia856
    @prtmedia856 4 ปีที่แล้ว +2

    This choir is on another level 💞💞💞

  • @carolinemwiti
    @carolinemwiti 4 ปีที่แล้ว +5

    Lovely...
    Well articulated ♥️

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      🙏🙏🙏

  • @KenyanShelby
    @KenyanShelby 4 ปีที่แล้ว +2

    lovely... my request bado... pelekeni vipaji na talanta

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Share its music score sheet if you have it

  • @damarisnduku965
    @damarisnduku965 3 ปีที่แล้ว +1

    I love your songs...the harmonization 👌👌👍 I wish to join you

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Send your contacts to sautizakuimba@gmail.com

  • @davisalphonce7001
    @davisalphonce7001 4 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri sana aisee.Thanks for the remaking

  • @Mutuli
    @Mutuli 3 ปีที่แล้ว +1

    ❤️That bass, la baaabaa na-a-a-a mwa-aa-aana....

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว +1

      Be blessed