Na wa penda saana wa tungaji wa nyimbo za kanisa letu takatifu kwani, ninapo, sikia nyimbo nzuri kama iZi,nimejazwa na furaha na imani tele ya kufa mu christu ❤❤❤🎉
Sasa wakati umefika kwawema niende kwa Mungu nitowe zawadi Asante Sana kwa maneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu yote Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Mwenyezi mungu Awabariki wanakwaya.naipenda sna hii nyimbo ya Sadaka, nawa Shukuru sna 🤲 I'm happy to hear that thanks so much I'm Watching live from Saudi Arabia 🇸🇦🇰🇪🙏🙏🙏🙏🙏👌💓🙌🙌🙌🙌🙌
Sauti za kumtoa nyoka pangoni 😍😍...all the way from Doha,Qatar I never get tired watching catholic songs..reminds me of my childhood upbringing in a catholic foundation
Song safi kabisa . Waimbaji wa nyimbo za injili msikubari kurudi nyuma Kama shetani maana yeye alikua wakwanza kuimba Ila ikarudi nyuma . Tumshinde shetani Mungu atusaidie Sana 🙏
Nazi tamaani sana nyimbo hizi ,swali langu ni kwamba iwapo na weza kuzipata kwa malipo nathifu pili iwapo nawezi kuzipata kupitia rununu yang tafathali naomba
Kabisa aisee Old is Gold Unajua pindi ukipokea kwa Mara ya kwanza unaishi ktk uwepo kutoka rohoni Daaah hii Nyimbo Tamu sana. Mbarikiwe sana sana kabisa
Himidiwa na Kuabudiwa Ewe Mungu wa Mbinguni. Hakika Ahsante kwa siku hii ya Leo Mungu wangu. Lakini nakuomba na kukusihii Ewe Muumba wa Mbingu na Nchi Mkono wako wa Kuume na Jicho lako, lisiache Kumtizama MKE wangu Janeth Issack Aliye na Changamoto ya Ujauzito. Wewe ndio tegemeo letu na TUMAINI letu Bwana Mungu wetu Amen.
Asante sana ..SAUTI TAMU...Mwito mkuu was utoaji...lango LA Baraka...NIJARIBUNI KWA NAMNA HII..MUONE...NITAMKEMEA YULE ALAYE..MNANIKUMBUSHA WAJIBU NA SIRI YA BARAKA MUNGU AWABARIKI SANA
Asanteni sana my sisters mmenikumbusha my lovely aunt alikuwa shujaa Wa choir at St Peter's catholic church MUMIAS, May she continue resting in peace and God judge her according to the good work she did for him
Nitamwambia Bwana pokea hiki kidogo nilicho nacho, kwani Mungu wewe wanijua mimi siwezi hata kueleza nakusihi sana Baba unipokee, nigawie na baraka niwe salama 🙏🙏🙏
As a born raised practicing Catholic,and a TH-camr,I have never come accross such a balanced beauty. This song is in my playlist and will be played frequently! Mungu awabariki sana!
Am here after seeing magufuli assisting church offering collections..We have lost a strong pillar of faith.😢😢😢
May his soul rest in peace
Same here,May He Rest in Peace
You have said it all brother...
same here
Me 2 😭😭
Kama kuna mwenye anasikiliza huu wimbo 2024 kuja tujuane kwa likes❤❤
I listen to it daily, and in my status almost after every 2days, even now it's there 😂
❤❤❤
Nikianza 2021
Mm apa
Wimbo bado unatubariki❤❤
Nigawie Na Baraka Niwe Salama.
Amina
Kama ukiusikia uu wimbo kanisani wakati wa sadaka unachangamka gonga like twende sambamba
Wimbo mtamu Sana
Tena unatamani upigwe Tena wakati wa sadaka ya pili
Tamu
l
O
O
Mazengo
Hiii nyimbo inanikumbusha mh magufili alikuwa anakusanya sadaka mungu alaze mahala pema peponi 🙏
Amina
Huu msiba hautatuisha milele
Kabisa, alikusanya sadaka na wakati wimbo huu unaimbwa. Hapo ndipo nami nilipoutafuta huku. Apumzike kwa amani.
Kabisa na mm inanikumbusha JPM.Apumzike kwa Aman🙏
@@TonnyCaesar
.!
Hiii nyimbo inanikumbusha Tanzania
Tunakuomba Mungu Baba umpokee Raisi wetu John Pombe Magufuli umuweke pamoja na watakatifu wako milele yote!
Amina
❤❤❤❤ Amen 😢
Amen
Dada mimi ni muislam lakini hii nyimbo imeniingia sna kwakwel dada
Ubarikiwe
Kwakweli tunaikumbuka sana hii nyimbo wakati magufuli alikuwa mbeya akikusanya sadaka
Apumzike kwa amani
Na wa penda saana wa tungaji wa nyimbo za kanisa letu takatifu kwani, ninapo, sikia nyimbo nzuri kama iZi,nimejazwa na furaha na imani tele ya kufa mu christu ❤❤❤🎉
Nausikiriza huu wimbo kwa makini
Thank you
Sasa wakati umefika kwawema niende kwa Mungu nitowe zawadi Asante Sana kwa maneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu yote Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Asante sana Patrick, ubarikiwe🙏🙏
Amina
Naomba kujua huu wimbo umeambiwa na kwaya gan na ni mkoa gan
Hawa ni Sauti Tamu Melodies, wapo Nairobi
👍
Ni wa Parokia ya Chuo Kikuu cha Nairobi
Ain't a Roman Catholic church member but there songs do bless me alot may God bless the Roman Catholic church over the world
Thank you Laban
Amen 🙏
Mubarikiwe Sana wapenzi
Shukrani, nawe pia
Mwenyezi mungu Awabariki wanakwaya.naipenda sna hii nyimbo ya Sadaka, nawa Shukuru sna 🤲 I'm happy to hear that thanks so much I'm Watching live from Saudi Arabia 🇸🇦🇰🇪🙏🙏🙏🙏🙏👌💓🙌🙌🙌🙌🙌
Amina, ubarikiwe
Hongereni sana mungu hawabariki nyakati sote
Amina na Mungu akubariki
Very touching.good one
sasa wakati umefika ..........................kama uko uku bado 2024🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊
This song is very sweet, very blessing very demure 🎉
Mungu aende Lee kuwapa nguvu za kumtumikia na sauti nyororo za kumsifu😘🙏🌹🌹
Asante Doreen
Nyimbo nzur
Asante
Kwakweli dada hii nyimbo nilikuwa siijui kwakweli nilikuwa naisikiliza kipande kidogo sana kipendi mh magu alivyokuwa anakusanya sadaka leo sasa nimeipta lasmi hapa nilipo naisikiliza dada hvi dada nyie niwaroma nampowap
Shukrani kaka.
Ubarikiwe
Karibu Nairobi
Ooh niwakenya kumbe okay mmi tanzania
Naam tupo Kenya ingawa tunashirikiana sana kwa ukaribu na Tz kwa mambo mengi
Saw dada hongereni sana na mungu amibariki sana roma nyie
Kazi nzuri
Thank you🙏🙏🙏
Welcome,
Munywoki💥, it's awesome
Sauti za kumtoa nyoka pangoni 😍😍...all the way from Doha,Qatar
I never get tired watching catholic songs..reminds me of my childhood upbringing in a catholic foundation
Asante
Am proud to be a Catholic,be blessed more than.
Song safi kabisa . Waimbaji wa nyimbo za injili msikubari kurudi nyuma Kama shetani maana yeye alikua wakwanza kuimba Ila ikarudi nyuma . Tumshinde shetani Mungu atusaidie Sana 🙏
Amina
Hu wimbo wanibubujisha nafsi yangu na kuupaka moyo wangu mafuta, heko wakristo.
Asante, ubarikiwe
Huu ndio ule wimbo ambao ukiimbwa na huna sadaka unajipata hadi umefuliza ukatoe..so sweet
Thanks a lot Ruth
Munywoki...kazi nzuri kaka. Barikiwa
This is my favorite song during offering and you guys made me love it more. Sauti tamu Sana Kwa kweli alililililililililillilili❤️💕💕🙏👌🎑
Asante
Please if you may si muimbe Ile Ya "utukuzwee( utukuzwee) baba Muumba ulimwengu (haaleluya aaa)
Tutaifanyia kazi @Doreen, asante kwa pendekezo
Me too
Sauti tamu sanaa
I am not going to download this song, instead i will replay it everyday. Lets push it to a million views by Dec. Its such a great song
Thank you , it will reach 1M, it's peekng so fast
Bro kumbe wewe mcatho mwenzangu
@@CellphonesandCompLab mimi ni yule mkatho kamili
I play it over and over
Thank you Emily
Kazi nzuri sanaaa
Asante sana mkuu🙏🙏🙏
Waimbaji ni wa kwaya gani
Siyo kwaya specific ila ni alumni University of Nairobi
Great congratulations I like the singing
Thank you
Hondera i
Wimbo unanibariki sana tena sana. Hongera sana na muendelee pia kubarikiwa na kuinuliwa kwa vipaji hivi adimu
Hongera sana Munywoki na team Sauti Tamu. Hii ni safi sana👏👏👏👏 nasikiliza over n over
Asante sana Fayiee
ndiyo sababu nimeamua kuicheza kwa ukumbuso ya marehemu pombe John magufuli
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Kazi safi
wimbo mvzr xanaaaaaa
Asante Kimotho
@@SautiTamu ok
Walai wimbo mtamu xana unanifanya niburudike nkiwa nmeboeka
Proud to be a Catholic. May God shower his blessings upon you guys
Asante
Kweli kabisa
Toka DRC 🇨🇩 iyi nyimbo ina pendwa sana na wakristo wa jimbo la Butembo-Beni. Mbarikiwe sana na Mungu
Thank you
Nzuri sana ya sadaka ongera.
Asante
hzo kweli sauti tam maana wimbo mzur sana yan mungu awabaliki
Ubarikiwe pia
Good work Celestine and team... Sasa wakati umefika wa nyinyi kubobea katika uimbaji
🙏🙏🙏
Neema ya mungu iwe nanyi milele na milele
Amina.
Iwe pia nawe
Hongereni saana na Mbarikiwe saana wimbo ni mzuri saana sadaka hapo lazima utoe yote🙄🤣 kazi nzuri ya kumsifu Mungu Mungu awabariki saana🙏
Hakika😀😀sadaka lazima.
Asante na ubarikiwe
Nazi tamaani sana nyimbo hizi ,swali langu ni kwamba iwapo na weza kuzipata kwa malipo nathifu pili iwapo nawezi kuzipata kupitia rununu yang tafathali naomba
Asante🙏🙏🙏
Unaweza wasiliana nasi kupitia sautizakuimba@gmail.com au uwasiliane nasi kwa Facebook page, Sauti Tamu, ili utumiwe nyimbo
Aki am very happy kuskiza hizi nyimbo Tam ivi....hongereni Sana....nyie Mungu aendelee kuwaongoza vyema...
Thank you so much Ndeti, be blessed
@@SautiTamu karibu Sana....natazamia kuskia makubwa siku za usoni...
Mengi zaidi yaja
Really the blessed singers ❤️❤️❤️
@@SautiTamu in love with your sweet voices guys👏👏👏
Sauti tamu kweli kweli .Imella Papa 🙏
Asante Cynthia
Well Organised. Sauti Zote Ziko👍👌
Asante Newton
Eb is 44 Ww2
Aisee mmeamua kurudisha nyimbo tamu kabisa #Nigawienabaraka niwe sala
Naipenda sana nyimbo ilikuwaina hamasihsa utoaji.
Old is Gold, nyimbo za zamani tamu sana
Kabisa aisee Old is Gold
Unajua pindi ukipokea kwa Mara ya kwanza unaishi ktk uwepo kutoka rohoni Daaah hii Nyimbo Tamu sana. Mbarikiwe sana sana kabisa
Kazi nzuri hii🥳🥳
Asante
Himidiwa na Kuabudiwa Ewe Mungu wa Mbinguni. Hakika Ahsante kwa siku hii ya Leo Mungu wangu. Lakini nakuomba na kukusihii Ewe Muumba wa Mbingu na Nchi Mkono wako wa Kuume na Jicho lako, lisiache Kumtizama MKE wangu Janeth Issack Aliye na Changamoto ya Ujauzito. Wewe ndio tegemeo letu na TUMAINI letu Bwana Mungu wetu Amen.
Amina
Mbarikiwe sana na mungu huu wimbo.
Asante Magdalena nawe, ubarikiwe
saf
Asante sana ..SAUTI TAMU...Mwito mkuu was utoaji...lango LA Baraka...NIJARIBUNI KWA NAMNA HII..MUONE...NITAMKEMEA YULE ALAYE..MNANIKUMBUSHA WAJIBU NA SIRI YA BARAKA MUNGU AWABARIKI SANA
Thank you so much
Tamu sana, mbarikiwe nyote
Nawe ubarikiwe @Esau
Barikiweni nyinyi nyote.
Na ubarikiwe pia @Kawira
Ameen waimbaji wimbo huu umenibariki sana
Asante Godlove
Mbarikiwe sana na Mungu wakatoliki wenzangu! We are always together 🙏✝️
Ubarikiwe nawe pia
I have loved this songs from the first moment I heard it being sung by Our Lady of Guadeloupe church, Nairobi. Kudos
Thank you, now you can listen it any time
This is my church .......they do a very good job.......I miss
wimbo mtamu sana wakati wa sadaka
🙏🙏🙏
Sanaaaa
Another incredible work! hongereni sana kwa utume mwema. Mmenibariki sana. Neema
Asante, ubarikiwe @Paul
amani iwe nanyi siku zote, nimebarikiwa
Asante Khisa. Ubarikiwe zaidi
Naona fahari kuabudu katoliki
Ubarikiwe Tracey
Hongereni kwa wimbo mzr na sauti nzr
Shukrani, ubarikiwe
Hongereni Sana wimbo mtamu umenikumbusha mbali sana♥️♥️
Asante sana Elizabeth🙏🙏
Ahsanteni sana kwa nukuu nzuri
Shukrani Gari. Ubarikiwe
Kazi nzuri mkuu.... Hongera sana
Asante sana mkuu🙏🙏
Kwa kweli huu wimbo nimeupenda mpaka nikiuskia mwili unasisikma❤🎉🎉
I love this offertory song.mbarikiwe sana waimbaji
Nawe pia @Valleyrock ubarikiwe
Very nice song
mbele ya Mungu kufanya siri ni bure , bila Mungu mwanadam siwez kitu hakika mbarikiwe
Ubarikiwe pia Imaculata
Catholic songs never fade! Wonderful work, keep blessed!
Thank you. be blessed too
Sauti tamu kweli kweli,barikiweni sana🙏
Shukrani, ubarikiwe
@@SautiTamu Asante sana
Sauti Tamu. Sauti nzuri ya kuimbia. Very beautiful taste.
🙏🙏🙏
Ashukuruwe mungu kwa kuwapa saut nzurii jamn
Amina. Be blessed
Proud to be Catholic 🙏💯🌹🔥🔥❤️♥️
Thank you
Mungu awabariki Sana Kwa nyimbo tamu
Ubarikiwe nawe pia
Wimbo umepikwa, ikapikika. May the Lord continue to use you as His instrument, Munywoki.
napenda sana....proud catholic
Amen
Only legends can understand the gravity of this song so I remember a lot of the past #ProudCathoric ❤
Thank you Prosper🙏🙏🙏
Mungu wewe wanijua siwezi hata kieleza
Amina
Waaooow barikiwa sana
Asante sana Salome
Asanteni sana my sisters mmenikumbusha my lovely aunt alikuwa shujaa Wa choir at St Peter's catholic church MUMIAS, May she continue resting in peace and God judge her according to the good work she did for him
May your aunty rest in peace.
Thank you for sharing the memories
Nitamwambia Bwana pokea hiki kidogo nilicho nacho, kwani Mungu wewe wanijua mimi siwezi hata kueleza nakusihi sana Baba unipokee, nigawie na baraka niwe salama 🙏🙏🙏
🙏🙏🙏
Ahsante
😊😊 Amen
Kwakweli hii nyimbo inanigusa sana
Asante sana. Ubarikiwe
Yeye ndio mpanga wa mambo yote that part is everything,,,,nice team and vocals...Anastacia muema my all time favourite
Yeah, the sweetest phrase, 🙏🙏🙏
@@SautiTamu kindly activate this song to be skiza we need it
On it
Naupenda mno🎉🎉🎉
As a born raised practicing Catholic,and a TH-camr,I have never come accross such a balanced beauty. This song is in my playlist and will be played frequently! Mungu awabariki sana!
Mungu akubariki pia
Thank you so much
Nyimbo za kukutia nguvu na zenye baraka
Asante
Niiice 😍
Thank you Carol
Congratulations carol...all the way from Chuka girls you were a good choir mistress
Wee iyo song waah tamu sana mbarikiwe sana🙏
Shukrani sana Kevin
am proud to be acatholic from kisumu kajulu kenya
Amen
Hongeren sana wapendwa
Shukrani 🙏🏻
Nawapenda bure! As a staunch Cathoilc living in the USA these songs help me a lot! I miss home and our lovely, fun Masses. You are a blessing to many!
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Amen aman amen... Bwana Yesu asifiwe
Amina
A very nice song 👍👍, keep it up
Thank you Kimanzi
Fantastic...
Sauti Tamu nawapenda saaaana!
Thank you Peter
This song reminds me of Rais Magufuli collecting offerings. Great leader he was May he continue Resting in Peace 🙏🏾
Amen
Very good. Sasa wakati umefikaaaaaa
Asante, ubarikiwe
I am very happy...the spirit of ICC is well and truly alive ..keep up Munywoki and dear choristers.
🙏🙏🙏
Nawakubari xanaa mungu ni mwema!
Kila wakati
Shukrani
Huu wimbo lazima ni subscribe kwa sauti kubwa😆😅😅😅
Amen
Ni Tamu aki am listening at work makes me miss home
Na ubarikiwe na wimbo huu milele,nakuombea nikiwa mererani Tanzania
Amina
Sauti nzuri kwelikweli.
Asante