ALLY KAMWE ALIVYOONGOZA MAPOKEZI YA KOMBE LA TOYOTA BAADA YA KIKOSI KUWASILI DSM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • #DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

ความคิดเห็น • 93

  • @EdwardKamilo
    @EdwardKamilo 2 หลายเดือนก่อน +12

    Asante sana kwa kurud salama,Asante Mungu kwa kijana msemaji kwa kwenda nakaz ya vijana

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera semaji Ali kamwe 🎉🎉🎉

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 หลายเดือนก่อน +7

    Hongera wachezaji kurdi na kombe 🎉🎉🎉🎉

  • @mwajayhaxxan5507
    @mwajayhaxxan5507 2 หลายเดือนก่อน +21

    Yaan nilivyo na furaha nikiangalia kama ni kombe la Africa daaah eeeh Allah jaalia uwe mwaka wetu huu wa kuleta kombe la CAF Tanzania

    • @elizabethkalinga0822
      @elizabethkalinga0822 2 หลายเดือนก่อน +3

      HAKIKA 💪🩸💪

    • @elizabethkalinga0822
      @elizabethkalinga0822 2 หลายเดือนก่อน

      🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @elizabethkalinga0822
      @elizabethkalinga0822 2 หลายเดือนก่อน +4

      Alikamwe anawajulia Wanachama, Wapenzi na Mashabiki wa YANGA, nafasi yake aneitendea haki.

    • @MwajumaMtonda
      @MwajumaMtonda 2 หลายเดือนก่อน +3

      Aminaa

    • @francepaul7711
      @francepaul7711 2 หลายเดือนก่อน +2

      HAKIKA

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera injinia hersi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera mashabiki mlio jitokeza🎉🎉🎉🎉

  • @MwazambaMicrofinance
    @MwazambaMicrofinance 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ally kamwe man of the people

  • @LucasLukanga
    @LucasLukanga 2 หลายเดือนก่อน +5

    Asante Sana wapambanaji wetu mungu awe mbele yetu msimu huu

  • @mwanahamisijuma7270
    @mwanahamisijuma7270 2 หลายเดือนก่อน +11

    Kwa hali kamwe eti ajiuzulu sio kwl bana bora manara atafute chakufanya atuache na Ali wetu tu yye kashazeeka hya mambo awezi

  • @ntanilanjema04
    @ntanilanjema04 2 หลายเดือนก่อน +2

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AdolophinaShawa-pd8yo
    @AdolophinaShawa-pd8yo 2 หลายเดือนก่อน +4

    Yanga wanasifa jaman❤

  • @elizabethkalinga0822
    @elizabethkalinga0822 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera sana Mshujaa wetu. 💪💪💪💥💥💥🇹🇿🇹🇿🇹🇿💚💛💚💛💚💛💥💥💥💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 2 หลายเดือนก่อน +7

    tulio Lia juzi kisa kamwe na sai tunafuraha ya kamwe kurudi tujuane hapa sio yule sai kalala na zay wake😂😂

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera benchi la ufummndi

  • @nuruelmada2877
    @nuruelmada2877 2 หลายเดือนก่อน +6

    Ila Yanga, Mungu itetee Klabu mzima ya Yanga na wachezaji wake wote🙏🏼🙏🏼

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 2 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana wanajeshi wetu endeleeni kupambana tuko nanyi kwa maombi Daima mbele nyuma mwiko
    Edut: Kwa mapokezi haya kwa nini mchezaji asinitume kwa asilimia 100

  • @barikimomadi4210
    @barikimomadi4210 2 หลายเดือนก่อน +4

    Daima Mbele Nyuma Mwiko ❤❤❤❤❤❤

  • @Nope6e07
    @Nope6e07 2 หลายเดือนก่อน +3

    We injinia sisi kama wananchi tunakushukuru sana kwa kumbakusha kamwe home

  • @terrence9477
    @terrence9477 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nawaomba sana Haji na Ally muwe kitu kimoja, wanasema umoja ni nguvu. Kwa karama mlizojaaliwa, mkiziunganisha, mtatengeneza kitu kizuri sana. Tunawapenda nyie wote

  • @MariamZanzibari
    @MariamZanzibari 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wananchiiiiii mmetisha sana hii ndio timu ya watu na makombe

  • @pambaboniface1199
    @pambaboniface1199 2 หลายเดือนก่อน +3

    Yanga on fire

  • @edgarshirima6805
    @edgarshirima6805 2 หลายเดือนก่อน +4

    ilo goma la pacome zouzoua ni la hatari sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 หลายเดือนก่อน +3

    Yanga 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ZuhuraNhumbi
    @ZuhuraNhumbi 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo manara atafute kaz nyingine bhana atuachie ally kamwe bhana

  • @rozamabagala6242
    @rozamabagala6242 2 หลายเดือนก่อน +4

    Chama langu🎉🎉🎉

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 หลายเดือนก่อน +3

    Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉

  • @MRMONEY5480
    @MRMONEY5480 2 หลายเดือนก่อน +7

    Na mimi sijalala huku Kigoma😂

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hongera Mr kigomaaa😂

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku 2 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂ila yanga ni dawa inayotibu magonjwa mengi kama vile mawazo, stress , pressure sukari kuhara , mabaka , maana ni full Raha yanga ndiiiii

  • @johnmichael4535
    @johnmichael4535 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hamuogopi😂😂😂🎉

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga 🎉🎉🎉

  • @binsleyumonlinetv
    @binsleyumonlinetv 2 หลายเดือนก่อน +15

    Manara n bora astaafu tu asitafutwe kuaibika bure kwa kamwe, huu sio muda wa wananchi kupigwa porojo wanataka uhalisia wa timu yetu

    • @francepaul7711
      @francepaul7711 2 หลายเดือนก่อน +3

      Kabisa Ally Kamwe Yupo Vizuri

    • @songombingo108
      @songombingo108 2 หลายเดือนก่อน +3

      Manara hawezi kutoka saa 8 usiku akaja Airport amwache mke kitandani😂😂😂

    • @stapinuswilliam860
      @stapinuswilliam860 2 หลายเดือนก่อน +3

      Kabisa

  • @mwansasujonny3536
    @mwansasujonny3536 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga kweli timu ya wananchiii

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni Kwa kujitoa kwenu 🎉🎉🎉

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 หลายเดือนก่อน +4

    We dube ungebaki Kule Kwa wale lamba lamba ungeupata wapi upendo kama huo

  • @elizabethkalinga0822
    @elizabethkalinga0822 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wananchi YANGA kwa Raha zao

  • @cottyadam
    @cottyadam 2 หลายเดือนก่อน +2

    Umri ni namba manala hawezi hii ni Ali kamwe.

  • @sullehtz9327
    @sullehtz9327 2 หลายเดือนก่อน +3

    #timuyawananchi🔰🏆🙏

  • @MwajumaMtonda
    @MwajumaMtonda 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hadi raha

  • @athumaninyituki7011
    @athumaninyituki7011 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yangaaa

  • @ramadhanmkupa3894
    @ramadhanmkupa3894 2 หลายเดือนก่อน

    🙌🙌🙌

  • @GraceLuena-w8s
    @GraceLuena-w8s 2 หลายเดือนก่อน +4

    Dube anayo furaha jaman!

  • @Safina-qg9gv
    @Safina-qg9gv 2 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉❤💚💚💛💛

  • @hildaelkana7132
    @hildaelkana7132 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tmu inapenda shughuri hiii😂

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj 2 หลายเดือนก่อน +2

    Lazima dunia ijue kuna Tanzania

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa ni zamu ya sanda FC,sijui watashuka na kitu gani.

  • @Abbasmkumba
    @Abbasmkumba 2 หลายเดือนก่อน +2

    Bonge la vaibo hii ndiyo yanga africa

  • @chollejr_
    @chollejr_ 2 หลายเดือนก่อน

    Mamae izi furaha alitaka kututolea mzee magoma😂😂😂😂shenziiiii

  • @NuruJack
    @NuruJack 2 หลายเดือนก่อน +2

    🤣🤣🤣🤣🤣 wananchiiiiiiii hamnabaya💚💛💚🖐️

  • @saliieking7279
    @saliieking7279 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga taifa kubwa

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 2 หลายเดือนก่อน +2

    Watu tununue jezi.....

  • @eliasluchanganya1522
    @eliasluchanganya1522 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mamae show show 💛💚

  • @Nope6e07
    @Nope6e07 2 หลายเดือนก่อน +2

    We tuna kamwe,kwan huogopi

  • @bakarylyimo9694
    @bakarylyimo9694 2 หลายเดือนก่อน +2

    Linakuja kubwaaaa!

  • @greatwolfrare2128
    @greatwolfrare2128 2 หลายเดือนก่อน +3

    😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎

  • @ndiiyolazaro1125
    @ndiiyolazaro1125 2 หลายเดือนก่อน

    Raha sana

  • @rachelcheyo-p5z
    @rachelcheyo-p5z 2 หลายเดือนก่อน

    Love yanga

  • @StantonKaizilege
    @StantonKaizilege 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani makolo lazo lazim mukub

  • @AdolophAthanazi
    @AdolophAthanazi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga Raha tupuu

  • @fihirishemaadihussein6124
    @fihirishemaadihussein6124 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimeamini kweli wananchi hawana dogo

  • @hamisamajoka3284
    @hamisamajoka3284 2 หลายเดือนก่อน

    💚🔥🔥🔥

  • @MisigaroMtumbad
    @MisigaroMtumbad 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂 sisi haooo

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 2 หลายเดือนก่อน

    Raha snaa

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 2 หลายเดือนก่อน +1

    🔰🔰

  • @chollejr_
    @chollejr_ 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi kuwapa kazi tu mapolisi😂😂😂😂

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 หลายเดือนก่อน +3

    Pacome zouzua

  • @JumaMngumba
    @JumaMngumba 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉💛💛💛💚💚💚

  • @chollejr_
    @chollejr_ 2 หลายเดือนก่อน

    Alaf alikamwe aondoke 😂😂😂Ili iweje

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimesilimu kwaiyo naamia yanga nilikua Simba 🚶‍♂️😡

    • @rukaya-jg7hj
      @rukaya-jg7hj 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @ShidavenaceMartin
    @ShidavenaceMartin 2 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🖤💛💚🔥🔥🙏🙏💯

  • @chollejr_
    @chollejr_ 2 หลายเดือนก่อน

    Ko na hao wamama awakulala na waume zao😂😂😂😂kisa yanga

  • @domisonrichman6499
    @domisonrichman6499 2 หลายเดือนก่อน

    Bado Simba tarehe 8😂

  • @chollejr_
    @chollejr_ 2 หลายเดือนก่อน

    Limdeni kichwa Cha DUBE wangekitoa

  • @kinigasimeni145
    @kinigasimeni145 2 หลายเดือนก่อน

    Timu ya taifa

  • @salimkadenge3231
    @salimkadenge3231 2 หลายเดือนก่อน +1

    😅

  • @abubakaliyahaya2968
    @abubakaliyahaya2968 2 หลายเดือนก่อน

    Tim yawananch

  • @GraceLuena-w8s
    @GraceLuena-w8s 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kamwe kamwe kamwe! Nimekuita mara tatu, kwakwel uliwavuluga wananchi!

  • @Shebe_traLove
    @Shebe_traLove 2 หลายเดือนก่อน

    Imekuwa rrahaa san tume injoy kbs

  • @BakariImran-q6l
    @BakariImran-q6l 2 หลายเดือนก่อน

    🫡🇹🇿

  • @Tassyomy
    @Tassyomy 2 หลายเดือนก่อน +2

    𝐌𝐖𝐀𝐌𝐀𝐒𝐈𝐒𝐇𝐀𝐉𝐈 𝐊𝐀𝐋𝐀𝐋𝐀 𝐍𝐘𝐔𝐌𝐁𝐀𝐍𝐈 𝐀𝐅𝐈𝐒𝐀 𝐇𝐀𝐁𝐀𝐑 𝐘𝐔𝐏𝐎 𝐀𝐈𝐑𝐏𝐎𝐓 𝐀𝐍𝐀𝐇𝐀𝐌𝐀𝐒𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐃𝐀𝐃𝐀𝐃𝐄𝐊𝐈 𝐊𝐀𝐌𝐖𝐄 𝐀𝐓𝐀𝐁𝐀𝐊𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐀 𝐊𝐀𝐌𝐖𝐄 𝐓𝐔 𝐘𝐀𝐍𝐆𝐀 𝐁𝐈𝐋𝐀 𝐀𝐋𝐈 𝐊𝐀𝐌𝐖𝐄..!!???😂😂

  • @Nope6e07
    @Nope6e07 2 หลายเดือนก่อน +1

    We injinia sisi kama wananchi tunakushukuru sana kwa kumbakusha kamwe home

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga 🎉🎉🎉🎉🎉