MBWADUKE: AANIKA TAKWIMU ZA KUTISHA YANGA/AMTAJA DUBE, DUKE, MAX/AFICHUA MAPUNGUFU JESHI LA GAMONDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024
  • Mchambuzi wa soka, Ramadhani Mbwaduke, maarufu Mzee wa Data, ameuchambua kiufundi Mchezo wa kombe la Toyota uliochezwa nchini Afrika Kusini na kushuhudia Yanga ikiichapa 4-0 Kaizer Chiefs.
    Mbwaduke ameeleza takwimu mbalimbali za Wachezaji wa Yanga, huku akifichua pia mapungufu ambayo kwa mtazamo wake anatamani kuona benchi la ufundi chini ya Miguel Gamondi linafanyia kazi.

ความคิดเห็น • 41

  • @bavanmusictz6771
    @bavanmusictz6771 2 หลายเดือนก่อน +13

    Aah mbwaduke ni kibokoo👏👏👏

  • @IbrahimuRamadhani-nc4mr
    @IbrahimuRamadhani-nc4mr 2 หลายเดือนก่อน +2

    Young African Raha jaman,❤❤❤🔥🔥🔥

  • @Amanikizota
    @Amanikizota 2 หลายเดือนก่อน +8

    Safi sana Mzee wa data

  • @HajiHaji-v9f
    @HajiHaji-v9f 2 หลายเดือนก่อน +11

    Huyu mzee noma

  • @MkudeMatombo
    @MkudeMatombo 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nakuelewa sana fadher

  • @AbshirMubaarack
    @AbshirMubaarack 2 หลายเดือนก่อน +9

    Mmh hv Mbwaduke huko kichwani una Calculator au Memory Card 😮😮😮

    • @stanny74
      @stanny74 2 หลายเดือนก่อน +1

      Anatumia Data (mzee wa data)

  • @jumannebasesa1100
    @jumannebasesa1100 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mchambuzi kwa kutumia data, safi sana

  • @JumaKipakapaka
    @JumaKipakapaka 2 หลายเดือนก่อน +3

    Napenda anavyochambua mzee

  • @NdevuKamdini
    @NdevuKamdini 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉

  • @Tibiita
    @Tibiita 2 หลายเดือนก่อน

    Sawa kabisa kwa uchambuzi safi unaweza

  • @augustinemainde
    @augustinemainde 2 หลายเดือนก่อน

    Mbwaduke bwana nakuelewa sana

  • @humoodbatrani8557
    @humoodbatrani8557 2 หลายเดือนก่อน +4

    😮

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee wa data nakukubali bro❤❤❤❤❤

  • @nicksonngogo7904
    @nicksonngogo7904 2 หลายเดือนก่อน +4

    🎉

  • @patricksanga2951
    @patricksanga2951 2 หลายเดือนก่อน +1

    huyu mbwatuke apewe KITENGO ni mtu wa mpira tena uko VIZURI kichwani mwake safi sana

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tr 8: ni ubaya unyoko hao SANDA wata chagua kuzika ama kusafilisha

  • @ricksonsimime2729
    @ricksonsimime2729 2 หลายเดือนก่อน +1

    😊😊

  • @HosseinSuleiman
    @HosseinSuleiman 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga on 🔥

  • @Thahara-c5l
    @Thahara-c5l 2 หลายเดือนก่อน

    Mbwaduke ukojuuùuu❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @LeonardMwambika-zn6on
    @LeonardMwambika-zn6on 2 หลายเดือนก่อน

    Safi mbwanduke

  • @ShafiiHungo
    @ShafiiHungo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga kiboko

  • @SHEHA-s3p
    @SHEHA-s3p 2 หลายเดือนก่อน

    Daah huyu jamaa hatari sana ana ubongo wa ajabu

  • @teamjihadchanel2017
    @teamjihadchanel2017 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee wa data hongr

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 2 หลายเดือนก่อน

    Mbwa Duke leo umetia mpnz ynga hajawha na perfomance ht mech wamezidiwa kila idara icpokuwa nawapa hongera kwa ushindi ila kuposes mpira mech zote hiz wako nyuma sana

    • @azizymachadeson3577
      @azizymachadeson3577 2 หลายเดือนก่อน +1

      We ulikua unaangalia X so mpira karudie tena au ka inauma katika isikuchubue!

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @florasele193
    @florasele193 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndo mchambuzi

  • @NgasaLuhamba
    @NgasaLuhamba 2 หลายเดือนก่อน

    Mechi tatu magoli 5 kweli msimu huu naona goli nyingi msimu huu SI chini ya 100+

  • @MAGOHABENEDICTOTv
    @MAGOHABENEDICTOTv 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dogo kalalee duuuh

  • @jumaabdallah2081
    @jumaabdallah2081 2 หลายเดือนก่อน

    Mzeee wa data nkukubali

  • @MAGOHABENEDICTOTv
    @MAGOHABENEDICTOTv 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ivi ukitaka kufanya nao interview hao wachambuz unawalipa au utaratibu ukoje😅

  • @nicodemusmemba1402
    @nicodemusmemba1402 2 หลายเดือนก่อน

    Hao wanao uliza maswali wanazo hizo data

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 2 หลายเดือนก่อน

    Mbwaduke Yanga wanacheza kulingana timu inavyocheza! Linganisha Yanga ilivyocheza na Ausb na Leo na Kaizer ni sawa?

  • @JohnsonNgunda
    @JohnsonNgunda 2 หลายเดือนก่อน

    Ukovizuli

  • @happinessmtenga6609
    @happinessmtenga6609 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu kafanana na babu tale mbona

  • @MAGOHABENEDICTOTv
    @MAGOHABENEDICTOTv 2 หลายเดือนก่อน +4

    Zungumzia ubora wa time Mzee so ukwasi wa msuli wa kifedha mzee

    • @patricksanga2951
      @patricksanga2951 2 หลายเดือนก่อน +1

      safiiii Ubarikiwe saana

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ramadhani Mwanduka wewe ndio Mchambuzi East Africa hakuna kama wewe napenda na Hawa Wengine waige toka kwako unatumia mda Mwingi kujifunza na kuhifadhi data

  • @IddiHassan-mr3sb
    @IddiHassan-mr3sb 2 หลายเดือนก่อน

    Aaahebu muachieni jamaayangu kumuuliza upumbavpu

  • @ricksonsimime2729
    @ricksonsimime2729 2 หลายเดือนก่อน

    😊😊