Magy mimba imekupendeza😊 alafu nakukumbusha tu umesahau maneno ya mama zako wadogo mme Ndio kuingia kutoka kazi hata salamu wakataa na kumkaribisha ndani usiwe hivo utaanza kuupa mawazo mengi na akose amani
Safi sana ujumbe mzuri kwa Neila ni bora umrudie Mungu wako uache kudanga angalia sasa unaumwa magonjwa ya kila aina na ww ni msichana mrembo sana ujue
Mage hivyo ndivyo ulifuzwq n wazazi wako mume wako akiingia mupeleke pole pole utaaribu ndoa yako pia ww ushuzi aja kusumbua ndoa y mwingine mpoji kuwa n musimamo kbsa kbsa nawapenda sana adi rafiki y hajra amejufuza kitu🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Mama ushuzii huyo na maisha mapya 😂😂😂😂😂😂ila ushuzii wewe uza weee hiyo ndo malipo yako ya nduniani ukae ukijua malipo ndo hayo ushuzii 😂😂😂😂😂 nakupenda bure ushuzii alafu kimaru na baraka mpo😂😂😂😂😂😂 ubwabwa mbaraka kaiba😂😂😂😂😂ila nyimbo ya ushuzi ya hohooo ni tamu😂😂😂😂
Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies ya Mponji, Mungu atubariki sote, atupe Afya njema, atulinde, atupe Riski nyingi za Halali n, atupe mwisho. Aaaaaameeeeen 🤲 🤲 Ninawapenda saan😘😘
We mama Shadya mpumbavu ungejutia kosa lako ungebadilika ukaendelea na biashara yako Mungu angekuinua lkn huo ujinga wako hata Mungu hawezi kuku bariki.ila ww Mage nawe unapanikishwa na huyo mpuuzi kwani humjui michongo yake
Lkn Mage mume ametoka kazini ,mpokee mwanzo umpe pole Kwa kazi ,aketi kidogo atulie basi umpee malalakishi,,,ww ata anataka kukukumbatia ww wakataa,,,aaaah usiwe hvo Mage
Safi sn mponji hongera mnoo🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Magy mimba imekupendeza😊 alafu nakukumbusha tu umesahau maneno ya mama zako wadogo mme Ndio kuingia kutoka kazi hata salamu wakataa na kumkaribisha ndani usiwe hivo utaanza kuupa mawazo mengi na akose amani
Mage nakuomba usisikilize ya ushuzi ,wee fata ulioambiwa na mamdogo , sawa mage, 👏👏👏
Safi sana ujumbe mzuri kwa Neila ni bora umrudie Mungu wako uache kudanga angalia sasa unaumwa magonjwa ya kila aina na ww ni msichana mrembo sana ujue
Nawapenda sana kwa kazi nzuri
Nzuri sana inafundisha sana Halima alidhani hawatokutana tena na mama Shadya sasa leo atamueleza muuza mboga wa watu
Dar mponji so kwa vibao vile ulompiga ushuz hd nimeshtuka big up mnafanya vizur sana kz zako
Kweli milima haikutani binadamu ukutana leo mama Shadya kakutana na mwizi wake shoga yake kazi ipo
Haki mashad nakupenda mnoo❤❤😂😂
Nawa pongeza jamaani kazi nzuri mponji
Mage hivyo ndivyo ulifuzwq n wazazi wako mume wako akiingia mupeleke pole pole utaaribu ndoa yako pia ww ushuzi aja kusumbua ndoa y mwingine mpoji kuwa n musimamo kbsa kbsa nawapenda sana adi rafiki y hajra amejufuza kitu🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Napenda sana hio movie
Mponji waache hao wambogo watakutoa roho joo kenya 🇰🇪 upate mke mwema⚘️⚘️⚘️⚘️
😂😂 Kenya upande gani
@ShufaaMvugha 🤔🤔we joo ukifika nicall😅😅
Kazi nzuri mponji kenya hapa❤🎉
Wa 1,assante saan kwa kutuletea movies yetu nzuri🎉🎉🎉
Wa kwanza like zangu jaman
Mama ushuzii huyo na maisha mapya 😂😂😂😂😂😂ila ushuzii wewe uza weee hiyo ndo malipo yako ya nduniani ukae ukijua malipo ndo hayo ushuzii 😂😂😂😂😂 nakupenda bure ushuzii alafu kimaru na baraka mpo😂😂😂😂😂😂 ubwabwa mbaraka kaiba😂😂😂😂😂ila nyimbo ya ushuzi ya hohooo ni tamu😂😂😂😂
Kwani analipwa kwa lip? na ni akili ilikuwa dogo 😂😂😂😂
Sema hajra lina sauti nzuri😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Mama Shadya naimbie umemkamata wapi nije tumpige huyo bwege atupe pesa zetu harafu tutagawana😂
Hongera mpinji
Nawapenda sana❤❤❤❤❤❤ 🇰🇪🇰🇪
Big up saan Mponji, M. Hajra anachapakazi 😂😂😂
Hongera mponji kazi nzuri
Wa Kwanza leo❤
Hongereni Sana 😂😂😂sikwa susuhilo mlilo mtwisha😂
Nampenda mama shadya
Wewe
Aki baraka wewe 😂😂😂😂umw weza kabsa❤❤🎉🎉🎉
Movie nzur sana ❤❤
Kazi nzuri🎉🎉
Munanifuraisha jamani nawapenda bure❤❤❤❤❤❤❤
Mponji hivyo hivyo. Piga makonde ya kutosha. Hajiraaa😂😂
Niwapongeze kwa kazi kubwa ambayo mnafanya, hapa naona tunaanza safari yote kuzunguka inchi na Halima kaludi tusonge mbele mambo yanakuja hapa kbs.
Dah Leo nimewahi 5 ngoja niangalie kwanza ndyo nikoment❤❤❤❤
Mponji kazi nzuri
Safi Sana mponji
Wee hajra kwel huishi vituko sana kula chuma makofi safi....huaribu ndoa yko... eti ooh utaniowa mbwa ww
😂😂😂😂shaushuzi amekua munza mbongo kaah tokea kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪wakenya hoi nipo pia nipeni like na pia watanzania upendo mwinge kwenu ❤❤❤❤
Jasmin nimependa Maneno ulomwambia hajira❤❤❤ Na kingine Jasmin naomba namb ya mmdg wako❤❤🎉🎉🎉🎉
Unataka ya nini
@darzone1020 nilifurahiswa Na Maneno ya kungwi Na taka anifunze Jin's ya kukaa Na Mme 😆😆
@ShamimShamy chukua hapo za ofisi nitakupa
Plz naomba namba yake kukwi
@ShamimShamy chukua namba yetu ya ofisi hapo kwenye akaunt yetu Kisha tuma msg ndipo nitakupa usijali
Hongela ushuzi umechafua kazi nzuli
Ushuziii Ana vituko🎉🎉🎉🎉
Leo nimewai like zangu jmn uchoyo haufai tearm strong 🇱🇧🇰🇪
😂😂😂Tupo pamojaa 🇰🇪🇸🇦
Ila mama shadia😂😂
Yaaan baracka unanisinya hujui tu .
Utaki ujinga mbona ulikuwa unamuhonga jabu Ili akushenyete kimaro je mpaka Leo anasema ubwa mtamu kama mama shady😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂baraka jamani acha umbeya 😂😂 sasa mimba ya mage kupata kabla ya ndoa au baada ya ndoa inakuhusu nini😅😅😅😊😏
Hongera mama shadia kwa kujitambua
Ushuzi pole🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mama Shadya huyo dada aliyekuibia pesa zako usimuache asifanye akujui piga uue huyo
🎉Jaman mage daah utazaa Mwanzo ww kuliko mimi 😅😅
Ukitaka mama shadya acfike hapo mrudishie mtoto wake mana mtoto hiyo ndio kisingizio Cha kufika Kwa mage
Haha mama shadia 😅😅😅
Hajira ni mnoma sana pesa zake haziende bure 😂😀😄😃
MAGE WA KUJIFUNGUA LEO AU KESHO NA MAMA SHADYA KAKUTANA NA SHOGA YAKE ALIYEMUIBIA PESA ZAKE ZA KUUZA NYUMA KUMEKUCHA HUKU😂😂😂
Alie muibia Pisa zake za kuuza Nini mponji?😂😂😂
Hila cm hizi
Kuuza 😂😂😂😂mponji bna 😂😂😂
Nyuma😂😂😂😂@@SakinaHassani-xm7ti
@@SakinaHassani-xm7ti😂😂😂😂😂😂😂nimekosea jamani si mshaelewa we Sakina we nawe 😂😂😂😂😂😂nimecheka na sifuti sasa
Ushuzi na magimbi oyeeeeeeeeee,kuchamba kwingi mwishowe kuondoka na mavi,eti nauza kabechi😅😅😅😅
Nawakubali wa pendwa.
Kazi tamu
Baraka bhana
Huyu mage wakati mwengine anabore kwani hamjui mama shadya
Ananikera sana alikuwa mwanzo autumnal akili sasa yuwatumia akili za ushuzi
😮
Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies ya Mponji, Mungu atubariki sote, atupe Afya njema, atulinde, atupe Riski nyingi za Halali n, atupe mwisho. Aaaaaameeeeen 🤲 🤲 Ninawapenda saan😘😘
Baraka n mbea sana 😅😅😅😅
😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉 Next please 🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂😂😂ila mama shadia
Mambo mazuri
Jaman Mage hujui kwamba ushuz hatak ndoa yako ww na Mponji
😂😂😂😂 mama shadiya makofi yamekuingia eee
😂😂😂😂 imeishia patamu usiicheleweshe tunataka kuona mama shady na halima nan mbabe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jamanii 🙌🙌🙌🙌
We mama Shadya mpumbavu ungejutia kosa lako ungebadilika ukaendelea na biashara yako Mungu angekuinua lkn huo ujinga wako hata Mungu hawezi kuku bariki.ila ww Mage nawe unapanikishwa na huyo mpuuzi kwani humjui michongo yake
😂😂😂ushuzi leo kala vibao
Hahahahaa😂😂😂😂 mama shadia wewe kiboko
Ushuzi umetoka na mapuan😅😅😅wapi wale wa nyuma
Hajraaaa amekamata mwizi😂😂😂😂😂😂
Ushuzi koma😅😅😅😅😅
Lkn Mage mume ametoka kazini ,mpokee mwanzo umpe pole Kwa kazi ,aketi kidogo atulie basi umpee malalakishi,,,ww ata anataka kukukumbatia ww wakataa,,,aaaah usiwe hvo Mage
@@RukiaDzombo-uf7wp alafu kafundwa jaman 🤣🤣🤣
Wakwanza team strong kutoka oman wanaomkubali mponji mpo wap
😂😂😂😂😂😂😂😂wanaume 200 mungu wangu
Ushuzi leo amekula makofi 😂😂😂😂
Leo sina la kuongea 😅😂
Wewe mwenyewe mke wapili
Ametembea na wanaume zaidi ya mia mbili mmoja ni yule mwamba wa Guinea 😂😂😂
Mama shandia usiachilie uyo mjinga akupee pesa .. araka kwaza yy Dio alikuwa anakuzia akili fake 😅😅😅
Mama shadia aibu naona mm😢😂
Nice❤🎉🎉
Haya
Polee shoogaa aakeee mtuuu😂😂😂kazi kudangaa
Jaman mbaraka ww😂😂hebu nunua mboga
Bi ushuzi😅😅😅
Ushuzi umeyataka mwenyewe
Jamn mponji hata gari ya kutembelea😅😅
Mama shadya hasikiiiiii haaaaaa Wacha mage.ajibambe
mmhhh mama shady leo hii we ni wwkumshari kwel maixha yanabadirika
Magi ukashauriwa sana mbona haushike chunguza kwanja kabla ya kufanya chochote
Mage huyo atakusumbua sana mrudishie mtoto wake mbwa huyo
Next 🎉🎉🎉🎉🎉
kaz nzur
Wale wa kutoka like tuwe mdogo mdogo
Ushuzi usitutatize c ww uliesema km mponji hakutoshelezi leo hii inkuwaje tena 😂
Jamani kuolewa mke wapili kumbe nayo nitatizo 😢😢😢tena
Eeh lazima unafikili yule wakwanza mkikaa nae karibu atafurahia?haiwezekani hatakidogo ingelikua wew mfanyakazi wako apendane na mme wako 😂 imagine
Yaan baraka ubwabwa kila siku🎉😂😅
We mponji vile ulikubali kukaa na mtoto ndio uliaribu kila kitu, afadhali ungemacha na bibi yake ungekuwa na amani lakini kula chuma hicho
Piga mabao mponji,gd