Best Naso -Mwambie (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
- #BestNaso #Mwambie #SlideDigital
(C) Slide Digital
Best Naso Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.bio/qwm8md
Written & Performed by Best Naso
Follow Best Naso on:
www.facebook.c...
/ bestnasotz
/ bestnaso
open.spotify.c...
/ yamoyoni-single
www.boomplay.c...
audiomack.com/...
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Wa kwanza Leo like kwa naso jamani
Toto la msoma nip like wadau kwa mwamba huy wa kanda ya ziwa pia kwa taifa la🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mm sichoki kusikiza best nasso hits bila shaka mshikaji ulibarikiwa na kipaji.......showing love to best nasso hits from +254.....
Mwambie asiache kujichunga, dua njema namwombea ,mwambie sina Raha.
Naomba likes za Best Naso
Wakwanza Ku View Like zangu
Wangapi tunamkubal nasso tujuane kabisa
Mimi hapa namkubali saaaana
Naso yupo vema
From Kenya mi ndo wa Kwanza nitapta like 70 kweli?
umepata
Mimi nimewai kuyatoa machozi thidi ya mkali best I naso namkubali kitambo sanaaaa
Mimi nimewai kuyatoa machozi thidi ya mkali best I naso namkubali kitambo sanaaaa
Mwambie shemela yani baada ya 20%,Best Naso unafata kwa uandishi wa mashairi mazuri👏
nani anasupport?
👇
Facts
nakubali mazima kabisaaa
Ngoma kali,ebu like jaman
Nakukubali mtu wangu best naso yani umenikumbusha mbali kinoma
Uyu Jamaa Karudi Kivingine Kabisa, Big Up Sana, Tulikumiss Kwenye Music game
Mwamba fundi ila sijui ni nn kipi kwako mwamba wangu me sina raha bila yeye kwer tenah
Besti Naso my best artist from tz, napenda utunzi wako. Am listening from kenya
mwanangu u mkali sana toka narudi kijijini hadi mwambie samti sana bro
Best naso namuelewa sana na ni msanii anawakilisha vidume wote wanaoteswa na mapenzi,,ila kujidhuru au kujiuwa kwa ajili ya demu ni uzwage🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
From Kenya
Goma la kuinjoi nalo like za best nasoo
Hujawahi niangusha baba la baba
Kaka kama kawaida yako hujawahi kufeli ngoma Kali sana blood kumbe uko hai nilijua tayali ushavuta mungu akusimamie kwenye kazi yako Ninja
Hahahaha we jomba tena yamekua hayo
huyu Mwamba Namkubaligi sanaaaa..... Anajua
Kama umeiludia mara mbili mbili kama mimi ngonga like hapa twende sawa
Mm Mara zote naipiga
Duuuuh imenikuna atari brother kali sana brother safiii sana 😭😭😭😭😭
Kazi nzuli sana 👏👏👏
Mzee kiukweli una madini sana kichwani, Big up Sana Nasso.
Best naso 🔥🔥🔥🔥
jamaa uwa ana tumia akil ndefu sana haiseee ila nashangaa sna kutomuona fiester wala kupewa tuzo sijui kwann yani daaaah
@@samweltv2064 tatizo nyota
Dah hapo niliuona nikajua kajinyonga
Bonge moja la songii kutoka kwa best
Safii. Kazi nzuriii sana
Nmeisoma iv iko poa
apo sasa nimekubali baba,ume swech
Broo ukovizuri nakubali kazizako sana
Huyu ndy msanii🔥🔥🔥🔥🔥
Kweli mabiti wasiku hizi wana pande wenye hele xijuwi kwaninitu
I like the creativity
From Tz like hapa
Ngoma kali aidia kali video nzur
imekaa poa best naso
King kutoka Kanda ya ziwa home boy respect 2 you my brother bonge la wimbo hujawah kosea
Safi sana mziki mzuri
Ndo nikashangaa at haupo kumbe wimbo congrats boe
Wimbo mzuri brother 🇰🇪
Best naso kama best naso 👑👑👑
Best uko poa kwa kuimba
Braza unajuwa sana
Ngoma- Kali Sana
Daaah.....umeweza.......ila sio kwa njia hizoooooooooooo
kazi nzur sana mungu akulinde na akuwepushe na mabaya
Siku best nasso akifa Kila redio zitacheza ngoma zake wacha wamchukulie poa Sasa ivi ila watamkumbuka kama magufuli
Ni kwel
Tatzo nyota
Kwel kabsa
Kweli kabisa
True
Unajua mpaka unakera
Nakubali sana best
Amazing Sana 🔥🔥🔥
Wimbo wangu bora wa 2021
Nice kaka naso kaza buti tupo wote
Ngoma kali balaa
Huu wimbo nikiboko
So 🔥🔥🔥🔥🔥💯 nice job
Maandalizi ya wimbo huu ndiyo ilisababisha mapapalaz wavumishe et best naso ajinyonga😀
Mwanajeshi anae pambana kivyake vyake huku redio zikimpotezea
Tanzania kuna wasanii wawili tu 1) 20parsent na best nasso kubali kataa
Nasooooooooo piga like kwa nasooooooooo
Mbona unakuwa ivo jmaaaa
Mwimbo huu umenisisimua Sana. Mapezi bana 👽👽👽👽
respect to you brother
Nakubali sana best uko poa,MWAMBIE AJE NITAMWOA MAZIMA
🙏🔵💥 More fire
Best ngoma balaa na nusu
Uwe na sababu zako ,,,si bule ukimchukia naso
Eti ivi nipo zangu nasoma nachoka akili mm huyo naweka kagoma ka Best Naso jamani
Unajua snaa kaka
Ngoma kali sana brother.. huwa inanikumbusha mbali sana.
Kaka we ninoma
The best songs
To beat nasor
We're is like from Kenya
Uganda south africa
Sudan show love to best nasor
Kaka umeua yaani hii ngoma ni hatari.one love my brother.
Ngoma kari sana
Yeeeaap mwambie sina raha, , aga aga, , hatari
Safii naso
Mwambie Sina raha 🥰🥰🥰🥰🥰🇴🇲🇹🇿
Brother hii ni ngoma hit Sana nilikuwa nangoja video umetisha Sana God bless you brother
🇹🇷🕊NASSO NAKUKUBALI MZAZY
the good music
best naso binafsi nakufuatilia toka mamu wa dar kweli iko poa sana
Hapo sawa naso nimeanza kukuelewa jamaa Safi Sana mwambie
Hii qali zaidi
Best naso skupingi brother jovanny boy umeniachia vita kubwa mkoani huku
Safi sana wa nyumbani natamani saiv umshilikishe hamonize kwenye wimbo wako mmoja
Bonge moja la ngoma sema limekosa tu promo
NASSO4LIFE✊🏿
Sichoki kusikiliza hii ngoma 😍😍😍🔥🔥🔥🔥
Pisi ya kwenda😍😍
100 % ngoma tamu 🥰🥰 likes za Wakenya🇰🇪🇰🇪 zikam
Bloooooo mi ✊ Sana Yuko pamoko
Bonge la wimbo aisee! thanks again
Nakul Sana best bonge moja la fundi
Bonge LA ngoma kudadeki
🔥🔥🔥🔥you always Great Nasso
Best naso mzee wa kubembeleza kulalamika yaan mpaka moyo una furahi 🙏
Na sauti yako tu pia hunifulaisha☝️☝️🔥🔥 my mentor yoooh.
Best
Best nasso ww bonge la msanii
Sema huyu jamaaa ,,,s cjui anakwamaga wap ,,,,
,,hanaga jina ,,,
Au kiki toka tuma ringa
Nice song blo
Good vibe, good music🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nice song.....from Kenya big up man