Usimfanyie chochote kanumba ,msaidie mama kanumba Bwana atakubariki zaido pengine bongo move mnafeli kwa ajili ya kutomjali mama was mwenzeni jamani kumbukumbu fadhira
Kutokana ukaribu wako Na kanumba ulipaswa kuwa pacha kwake namaanisha kumpa mama Huyu faraja hata kabla Seth hajafariki,geuka sasa basi mfariji mama kanumba
Mimi M'mbobi kanumba napo mwangalie Ray Namuona mtu mwenye ruma hunayo fichwa na watu wasio mpenda steven kanumba ila big up sana mama amezima kama mshuma 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
One of the best actors from tz..one love from Kenya .nawapenda Sana
Pole sana kaka rey Mungu ailaze horo yake mahala pema 🙏🤲🤲🤲🤲
Ray namuelewa sana uyu jamaaa
Usimfanyie chochote kanumba ,msaidie mama kanumba Bwana atakubariki zaido pengine bongo move mnafeli kwa ajili ya kutomjali mama was mwenzeni jamani kumbukumbu fadhira
Umeongea kitu c.hamana kabb
Subirini muone anachotaka kufanya ndipo mseme,labda anataka kumlea huyo mama
efrazia bitababaje kweli tena
Uyo mma anaitaji upendo mjali ili afajirike mungu amcmamie sababu naumia sna mungu mpe faraja mma etu amen
Nakupenda ray pole kwa msiba pia apumzike kwa aman Seth na kanumba njia yetu sote hiyo.Msaidie mama kanumba
Inshallah..dah....neno kubwa sana
Napenda sana anavyofikiria kigosi
Umeongea ukwl ray kigosi ibada ndio kitu cha muhim
Mipango ya mungu
Kutokana ukaribu wako Na kanumba ulipaswa kuwa pacha kwake namaanisha kumpa mama Huyu faraja hata kabla Seth hajafariki,geuka sasa basi mfariji mama kanumba
ray nafas ni yakoo kwa mamaa hamna namnaa
Kanumba why ukaniacha...pumzika kwa amani ndugu yngu...nakupenda sana
me Jay, nous vous aimons et nous aimons tes films ,s'il te plaît ne fréquente pas des maisons comme les autres l'on fait 🙏
Ray wewe ndo ulikua niuchukue uridhi wa kanumba kwenye bongo muvie sahii imekufa kabisa akiii
Hawezi,rey alizidiwa na kanumba uwigizaji,ila alimzidi kipesa tu
@@m.mmarckus6298 tuwaombee kungu
Jifunze kuandika kwanza pili bongo movie haijafa mbona
Kaka ukitoka msibani rudi kwenye bongo movie maana unatuangusha sana tulitegemea baada ya kanumba kufa mlithi ungekuwa wewe .
Rest in peace 😭 😭😭 😭
Nmependa ulivyoongea ila umenikera kitu kimoja hata kam ni uzungu usifikie kwenda mxibani na hereni -rip seth
Bongo muvi kanumba na rey aise mlihit sana
Ray we miss bongo movie
Safi Sana ray umeongea fact
Jamani mm naomba kuuliza kwani Tanndi ndo imeishia episode ya 129?
Mimi M'mbobi kanumba napo mwangalie Ray Namuona mtu mwenye ruma hunayo fichwa na watu wasio mpenda steven kanumba ila big up sana mama amezima kama mshuma 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Poleni jamani
Polen kwa mxba pamoja kwa huumgum 😢😢😢
Ni Tajiri msanii mwingizaji wa filamu TANZANIA KENYA UGANDA, moshi, pempe poa na pia tanga
Innalillah wa innalillah rajiun nijia ya sisiote
host uko safiiiii
Umeongea point
mbona tandi imasimama bro shida nini labda
Sorry my friend Ray!.❤️😍
Kweli kabisa jambo lakheri nikumuombea tu
Ray yuko poa Sana
Km umeskia neno inshllah gonga like👇
ereni mpaka msibani jamani du!
mbna kawaida tu bro
Mipago ya mungu ishalhla
😂😂😂😂😂😂
Pia nimestaajabu
FIKIRIA KABLA HUJA COMMENTES KWANI BILA HERENI ANA FUFUKA??????
Samaani sana Kwa wasaani
Yanikivipi ninyi munaodje kuusu mamboya
Rey msaidi mama kanumba jamn mpeni msaada kumbukeni mlikotoka na kanumba mapk leo hii hayupo hai
R.I.P bro
R.I.p
Ray fanya uoe tena ushakua mtu mzima acha mbwembwe
Sidhani kama lazima
Amina
Ndo maisha kaka
Rest in peace
Ray wewe ni mfalme
Rey kama unamoyo wa huruma msaidieni huyu mama jaman
Msaidie mama yake na kanumba
Wachawimariamu
641
yani paka kwenye msiba watu wanava vieleni na vicheni
KWANI BILA KUVAA MWENYE KUFA ATAFUFUKA???
Sisi sote niwasafiri but nivizuri tuwe watakatifu kwenye hiyo safari
Jamaa Yetu Ameonyesha Dharau Sababu Ya Umaarufu Wake At Kutoka Mkoani!!!?
Sasa mkoani ni dharau?
B
Sikuhizi umeacha kunywa maji mengi nn,mbona umefifia
😁
sauti basi hatusikii
Poa