DEREVA BODABODA ASIMULIA ALIVYOPORWA PIKIPIKI NA MAJAMBAZI WENYE BUNDUKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • DEREVA BODABODA ASIMULIA ALIVYOPORWA PIKIPIKI NA MAJAMBAZI WENYE BUNDUKI
    ►Instagram - / sammisago
    ►Facebook - / sammisagotv
    ►Subscribe Channel - / sammisagotv
    ►Twitter - / sammisagotv
    ►Website - SamMisago.com

ความคิดเห็น • 30

  • @shaabannyuge6857
    @shaabannyuge6857 5 ปีที่แล้ว +6

    Pole sana brother

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 ปีที่แล้ว +5

    Pole sana Vyenye Walikuacha Salama Alhamdulillah,

  • @matahassan4822
    @matahassan4822 5 ปีที่แล้ว +4

    Pole kaka. Allah akupe subra tuu

  • @ahmedhassani7058
    @ahmedhassani7058 5 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana dah noma

  • @najmaomari8127
    @najmaomari8127 5 ปีที่แล้ว +3

    Pole kkaangu m.mungu atakulipia

  • @captenndunga2102
    @captenndunga2102 5 ปีที่แล้ว +4

    Wezi wa bongo bwana yani anajua kabisa chombo hakirudi lakini bado kwenye nauli walipatana!!

  • @ladymashaallahilikeuaadvis997
    @ladymashaallahilikeuaadvis997 5 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana kaka ,ALLAH atujaaliye subra zaidi

  • @kakaaignas3675
    @kakaaignas3675 5 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana

  • @bonifacepontian1391
    @bonifacepontian1391 4 ปีที่แล้ว +1

    Kam iumeskia Waleee Nkawa nasem safar njem jamn...piga like hpa

  • @chadiapetite4924
    @chadiapetite4924 5 ปีที่แล้ว +1

    Pole kaka iyo subra ikuwe moyoni mwako mpaka mwisho wa dunia inshallah

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 5 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana kaka

  • @justinbieber8668
    @justinbieber8668 5 ปีที่แล้ว +2

    Da! Pole sana bro

  • @martinimlaponi5053
    @martinimlaponi5053 5 ปีที่แล้ว +2

    Ulitaka umlengeshe mwenzio tazara...mwenyezi mungu hakupanga hilo

  • @YusufAli-ib6xu
    @YusufAli-ib6xu 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atakujaalia Insha Allah Ameen

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 5 ปีที่แล้ว +3

    pole kaka

  • @nasrialoysi6897
    @nasrialoysi6897 5 ปีที่แล้ว +2

    Ushauli wangu boda boda wawe na ofisi kila kijiwe chao pia wawe na kamera ambayo abilia akitaka usafili wampige picha ili atakapo pelekwa safari yake na alie mpeleka ajarudi ili wawe na ushaidi kama atakuwa amerudi salama ile picha wanaifuta itawasaidia sana

    • @zainababdullsadik1247
      @zainababdullsadik1247 5 ปีที่แล้ว +1

      Sasa keshakwambiwa abiri kapata njiani hiyoo camera itasadia kweli alikosea tu palee alipokuwa na wasiwasi bora angeachana nae au angempa huyoo dogo alokutana tazara elfu tatu sasa yy kaiyona nyingi kakosa vyote ndo alikuaa keshandikwa

    • @captenndunga2102
      @captenndunga2102 5 ปีที่แล้ว

      Wachache ndio wanaichukulia kama kazi ila wengi wahuni na ndio wakati mwingine wanashirikiana na hao wezi kuiba pikipiki.

    • @kakaaignas3675
      @kakaaignas3675 5 ปีที่แล้ว +1

      Camera auna akili wewe

    • @bonifacepontian1391
      @bonifacepontian1391 4 ปีที่แล้ว

      😂🙌

  • @jeremiahbenson9287
    @jeremiahbenson9287 5 ปีที่แล้ว +3

    Pole xana kaka ng kikubwa kakwachia pumz

  • @Tam_media2548
    @Tam_media2548 5 ปีที่แล้ว +1

    Pole bro... das y naamka kwenda kazini saa 5 kweupee na kurudi 11 jion

  • @frankbella4271
    @frankbella4271 2 ปีที่แล้ว

    Wewe chizi kweli mungu alikuonesha mapema umetaka mwenyewe

  • @fasanitzfasanitz9631
    @fasanitzfasanitz9631 5 ปีที่แล้ว

    Pole xana kk

  • @zuhurambonde7599
    @zuhurambonde7599 5 ปีที่แล้ว +1

    😂kama ulimshitukia uliposimama aliposhuka ungegeuza uchape mwendo.

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 5 ปีที่แล้ว +4

    Hyo mmachinga fala kweli mtu anahojiwa yeye ataka amuuzie vitu

  • @Boaz22
    @Boaz22 11 หลายเดือนก่อน

    Nikaona waleeeeeeeeeeee😂😂😂😂

  • @hammybrown6313
    @hammybrown6313 5 ปีที่แล้ว

    Bapa la helmet paa 😂