HATULEGEI - KWAYA YA KANISA LA EFATHA MERERANI ARUSHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 81

  • @lowassaPorokwa
    @lowassaPorokwa 7 หลายเดือนก่อน +7

    Hatulegei wimbo mzuri Sana nasikia kubarikiwa Sana ninaposikiliza wimbo huu wimbo

  • @annaedward9868
    @annaedward9868 11 หลายเดือนก่อน +3

    ❤aiseee Hawa Masai nimetokea kuwapenda bureeeee❤❤❤❤

  • @WalthaMtewele
    @WalthaMtewele ปีที่แล้ว +2

    ❤Bwana ni mwamba Tena Shujaa,, hatulegei kwa Damu ya Yesu tunashinda yote magumu ❤

  • @EsterHonest
    @EsterHonest หลายเดือนก่อน

    Waoooo nabarikiwa Sana na hii nyimbo

  • @LavishKitoo
    @LavishKitoo 12 วันที่ผ่านมา

    haturengi kwa jina la yesu❤❤❤

  • @LeonardGeka
    @LeonardGeka หลายเดือนก่อน

    Silegei kamwe kaku mtumikia mungu baba nakupenda San Mungu Azidish mafuta kwako Nakupenda san

  • @giselamtweve2613
    @giselamtweve2613 9 หลายเดือนก่อน +1

    hatulegei kwa damu ya Yesu❤

  • @PhideliciousAlphonce
    @PhideliciousAlphonce ปีที่แล้ว

    Huyo ndie kamanda, hatulegei, kazi nzuri sana,Mungu awabarik mno!❤❤❤❤❤❤

  • @Zenitanyagawa
    @Zenitanyagawa ปีที่แล้ว

    nimewapenda wimbo mzuri unaujumbe mzuri .mungu awatumie kwaajili ya utukufu wake .

  • @BonasDanieli-bj5xt
    @BonasDanieli-bj5xt ปีที่แล้ว

    Yesu ni waajabu sana hafananishwi Mungu tulienaye mbalikiwe sana

  • @agnesdavid1284
    @agnesdavid1284 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri,ujumbe mzuri,

  • @BullseyeSavannah
    @BullseyeSavannah ปีที่แล้ว +2

    Thanks Efatha TV for sharing this...... These guys are highly blessed.

  • @FrolensiaNgowo
    @FrolensiaNgowo 4 หลายเดือนก่อน

    Amina sanaaa nabarikiwa nikisikiliza hu wimbo

  • @StanleyMwai-v6s
    @StanleyMwai-v6s ปีที่แล้ว

    Hongereni Sana kwa wimbo nzuri mwenyezi mungu awabariki Sana na awapadishe viwango hadi viwango

  • @GraceGerazi
    @GraceGerazi ปีที่แล้ว +3

    Kama Masai anakubari.kwa damu ya Yesu tunashinda yote magumu mm ni nani nisikubari na kutii maagizo ya mtume na nabii aliotumwa na Mungu wa mbunguni🙏

  • @Jofreywilliamsafari
    @Jofreywilliamsafari 7 หลายเดือนก่อน

    kazi ya mungu kweli ukiamua kufanda nitamua san kwa uweza wake

  • @happinessmushi2294
    @happinessmushi2294 ปีที่แล้ว +4

    Am so blessed with these song. By blood of Jesus we conquer every difficulty things. This is so powerful ... Blessed all masai❤❤❤❤

  • @annaedward9868
    @annaedward9868 11 หลายเดือนก่อน

    Kwa damu ya yesu tunashinda yote magumu❤❤❤

  • @edasiakingu5139
    @edasiakingu5139 10 หลายเดือนก่อน

    Masai mbarikiwe sana huu wimbo naupenda sana sana

  • @AnifaChengula
    @AnifaChengula 7 หลายเดือนก่อน

    Aiseeee nimewapenda bure maaasai kwayaaaaa❤

  • @JennyShirima-my9yn
    @JennyShirima-my9yn ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏💔💪💪 kwel tusilegee kwa yesu tunashinda so my faithfully is everything's🖤🖤

  • @tinahidani
    @tinahidani 23 วันที่ผ่านมา

    Silegei kwake yesu lazime tuyashinde yote magumu

  • @SelemanIbrahim-kl7ht
    @SelemanIbrahim-kl7ht ปีที่แล้ว

    Ameen mungu ni mwema na hakika hatutalegea mbele ya yesu kristo 🎉

  • @Grace-xo1zs
    @Grace-xo1zs ปีที่แล้ว +2

    Efatha woyeee

  • @damsonkasote9266
    @damsonkasote9266 10 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo hii nzuri sana mbarikiwe sana

  • @TeresiaGogo
    @TeresiaGogo 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabaliki naupenda sanaaa huo mwimbo

  • @florarog548
    @florarog548 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe watumishi wa Bwana Yesu

  • @EsuvatMollel-ul2km
    @EsuvatMollel-ul2km ปีที่แล้ว +1

    Hatulegei kwa damu ya yesu🙏

  • @JulianaGwassa-ze5je
    @JulianaGwassa-ze5je ปีที่แล้ว +1

    Ongela sana watumishi

  • @LovenessMtenga-wf4gp
    @LovenessMtenga-wf4gp ปีที่แล้ว

    Hatu - hatulegei Kwa damu ya Yesu ❤️

  • @DevothaMkwama-q8v
    @DevothaMkwama-q8v 10 วันที่ผ่านมา

    Efatha hatulegei kwa DAMU YA YESU tunashinda yte magumu

  • @annaedward9868
    @annaedward9868 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki sanaaaa🎉🎉🎉🎉🎉

  • @WamoroGadau
    @WamoroGadau ปีที่แล้ว

    Waimbaji wako vizuri mpaka huku mkoani tumefurahi, wabarikiwe sanaaa!

  • @EzekielMtalula-w5e
    @EzekielMtalula-w5e 2 หลายเดือนก่อน

    BarikiwA sana

  • @neemawaziri-md5ej
    @neemawaziri-md5ej ปีที่แล้ว

    Hatulegei kwa Damu ya Yesu tunashinda yote magumu

  • @pendosalehe8941
    @pendosalehe8941 ปีที่แล้ว +2

    Aisee ilikuwa jumapili ya baraka saaaana sana

  • @mariethabanzi3348
    @mariethabanzi3348 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kuwa tumia kwa viwango vya juu❤️

  • @laurakisasa
    @laurakisasa ปีที่แล้ว +1

    There is a power of HOLLY SPIRIT in this SONG

  • @upendoelias1278
    @upendoelias1278 ปีที่แล้ว

    Hongereni watumishi wa Mungu mmenibaeiki sana!🙏🙏

  • @stellahnemumnemah1732
    @stellahnemumnemah1732 ปีที่แล้ว

    More love from Kenya
    Be blessed Mererani🙏

  • @stellaGodfrey-we1yn
    @stellaGodfrey-we1yn ปีที่แล้ว

    Hakka nimebarikiwa Mungu awabari sn.❤❤❤

  • @genovevakisawike-xo2wq
    @genovevakisawike-xo2wq ปีที่แล้ว

    Mungu atukuzwe sana

  • @Kelvinshanguyan
    @Kelvinshanguyan หลายเดือนก่อน

    Asee mmbarikiweeee

  • @neemakusuhibwa347
    @neemakusuhibwa347 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri.Mungu awabariki

  • @CatherineShayo-b9z
    @CatherineShayo-b9z 11 หลายเดือนก่อน

    Huu wimbo jamani naupenda sana

  • @SuzanMatagi
    @SuzanMatagi ปีที่แล้ว

    Tunashinda yote magumu kwa damu ya Yesu

  • @RuthaMgohamwende-eu4lp
    @RuthaMgohamwende-eu4lp ปีที่แล้ว +1

    Jamani mwachen Mungu aitwe Mungu

  • @lucymataka1652
    @lucymataka1652 ปีที่แล้ว +1

    KWAKWELI MUNGU Ameshawatoa gizani wamasaj,mmekuwa nuru ya BWANA wamajeshi mererani , ongezekeni, ZAIDI

  • @magrethmmari8713
    @magrethmmari8713 ปีที่แล้ว

    Watumishi Mungu azidi kuwatumia. Hakika inapendeza.

  • @marynyiti285
    @marynyiti285 ปีที่แล้ว +2

    Glory To God.❤❤❤

  • @tonnythobias7128
    @tonnythobias7128 ปีที่แล้ว +1

    Glory to Jesus❤

  • @edasiakingu5139
    @edasiakingu5139 10 หลายเดือนก่อน

    Sisi tunae Yesu

  • @AgnesRamadhan-u1e
    @AgnesRamadhan-u1e ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe watumishi

  • @consolatanjesh1840
    @consolatanjesh1840 ปีที่แล้ว +2

    Blessed voices

  • @diluxsinihayo1231
    @diluxsinihayo1231 ปีที่แล้ว +1

    Tunaomba account yao kama ipo

  • @BahatiMartin-y2e
    @BahatiMartin-y2e ปีที่แล้ว

    Hallelujah Glory to God

  • @stellaedward1241
    @stellaedward1241 ปีที่แล้ว +1

    Baba amepata kwaya iyo ni namba moja

  • @HosseinMgonja
    @HosseinMgonja หลายเดือนก่อน

    Neno la kusanyiko .waza ya Mungu ili na yeye awaze kuhusu wewe

  • @annaedward9868
    @annaedward9868 5 หลายเดือนก่อน

    Kweli tunashinda yote magumu

  • @tumainijohn9075
    @tumainijohn9075 ปีที่แล้ว

    Hakika kwa damu ya Yesu tunashinda yote .

  • @GiftLeonard-sm1wr
    @GiftLeonard-sm1wr 9 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @JennyShirima-my9yn
    @JennyShirima-my9yn ปีที่แล้ว

    I like

  • @viorinebaguma4298
    @viorinebaguma4298 ปีที่แล้ว

    Raha tupu......tunashindaaa

  • @elizabethmwinuka2859
    @elizabethmwinuka2859 5 หลายเดือนก่อน

    Waoo

  • @AsimweMichael
    @AsimweMichael ปีที่แล้ว

    Woow ❤

  • @joycegeorge-mf5kn
    @joycegeorge-mf5kn ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @AllenMlengule
    @AllenMlengule 11 หลายเดือนก่อน

    🙏

  • @TheclaJacob
    @TheclaJacob 3 หลายเดือนก่อน

    Hatulegei

  • @PriscillaThadeo
    @PriscillaThadeo 2 หลายเดือนก่อน

    Silegei Kwa damu ya Yesu ninashinda yote magumu. Nayaweza yote kwake yeye anitiaye nguvu.

  • @Kelvinshanguyan
    @Kelvinshanguyan หลายเดือนก่อน

    2:40

  • @felisterswai8505
    @felisterswai8505 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤

  • @reginakel7647
    @reginakel7647 ปีที่แล้ว

    glory to GOD

  • @mbuvaalujuo2944
    @mbuvaalujuo2944 ปีที่แล้ว

    Hatulegei kamwe

  • @josephkayombo9083
    @josephkayombo9083 ปีที่แล้ว

    Asant mungu

  • @JaphertRichard-f4d
    @JaphertRichard-f4d ปีที่แล้ว

    Amna

  • @SamwelMartin-u6m
    @SamwelMartin-u6m หลายเดือนก่อน

    nabarikiwa sana❤❤

  • @PetroMbugi
    @PetroMbugi ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤