UNABII: NILIONA RAIS NA BORDGUARD WAKE WAKISHAMBULIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น •

  • @rweumbizalugaimukamu4905
    @rweumbizalugaimukamu4905 13 วันที่ผ่านมา

    Amen mapenzi ya Mungu yatimizwe

  • @KristofaNyalyoto
    @KristofaNyalyoto 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tutamuombea ili mungu amtoe maana atumpendi namungu analijua ilo Jambo kwamba watanzania kiti kikubwa Alie kaa pale sio chaguo la wantania

  • @LamekiMichael-pz7rv
    @LamekiMichael-pz7rv 13 วันที่ผ่านมา

    sasa hivi manabii nchi hii wamekua wengi Mungu anajua nabii wa kweli ni yupi mi sijui

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  13 วันที่ผ่านมา

      Asante kwa kutufatili. Tunachofanya ni kuweka ujumbe wa kweli.. wa mtumishi yeyote. Hata kama ni mtumishi wa uongo sisi tunaangalia ujumbe ni sahihi. Japo muhusika hajui suruhisho ni nini. Maana watumishi Hujua kila kitu ni kuombea. Hata kama ni jambo la kuchukua hatua ya utekelezaji. unapoomba bila kufanya kile unachoambiwa na Mungu. Baada ya kuomba.

  • @drnow1528
    @drnow1528 13 วันที่ผ่านมา +1

    Musa wa tongareni

  • @shirimaanthoni95
    @shirimaanthoni95 13 วันที่ผ่านมา

    Toka ule unabii wa dar kuangamizwa kutotimia sihamini hii channel tenaa

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  13 วันที่ผ่านมา +1

      Kama huamini. Kilichokuleta kusikiliza na kukoment nini kama si umbea. Unafatiliaje na kusikiliza kitu ambacho hukiamini. Asante kwa kutuamini na kuendelea kutusikiliza. Mwambie mwenzio

    • @omuze1290
      @omuze1290 13 วันที่ผ่านมา

      ​@unyakuotv.1391
      Kumbukumbu la Torati 18:21-22
      [21] Nawe ukisema moyoni mwako, Tutajuaje neno asilolinena BWANA?
      [22] Atakaponena nabii kwa jina la BWANA, lisifuate jambo lile wala kutimia, hilo ndilo neno asilolinena BWANA; kwa kujikinai amelinena huyo nabii, usimwogope

    • @costantinemihayo
      @costantinemihayo 10 วันที่ผ่านมา

      Kibiblia Kwa Sasa hakuna nabii anatabiri maana sio wakati wake
      Kwa Sasa tuna kazi ya kuhubili injili tu sio kutabili Luka 16:16

  • @jamesjahasa3348
    @jamesjahasa3348 4 วันที่ผ่านมา

    Unabii wenu ni vifo na majanga tuu majanga mnatuchanganya na ndoto zenu mkisha kula chip's na kuku wa kitunda 😂😂😂😂😂

  • @drnow1528
    @drnow1528 13 วันที่ผ่านมา +1

    Utabiri wenu ni wa shetani

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  13 วันที่ผ่านมา

      Asante kwa kutusikiliza.
      Waislam hamuwezi kutabili. Wala kuwa na maono kwa sababu mohamadi alishakufa. Hivyo njia pekee ya kuwasaidia kutabiri ni kupiga ramli. Na kutumikisha majini. Wakristo nabii wao Yesu kristo hajafa yuko hai mpaka sasa ndio maana wanaendelea kujua ya kesho kwa maombi na si kwa ramli wala majini

    • @stanleymwaselela1849
      @stanleymwaselela1849 10 วันที่ผ่านมา

      Huo ni ubaguzi hautoshi Kwa hiyo nafasi ​@@unyakuotv.1391

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 7 วันที่ผ่านมา

    Prophets of doom

  • @Ezemuhangazahalisi8219
    @Ezemuhangazahalisi8219 13 วันที่ผ่านมา

    Kama kweli wewe nabii fanya una bii kwangu nishuudie

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  13 วันที่ผ่านมา

      UNABII WA NINI NAWE UMEJA HUSUDA MOYONI MWAKO
      2 PETRO-1:20-21
      20 Mkijua neno hili kwanza, ya kwamba hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu.
      21 Maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.

    • @malkiarosemuhando3310
      @malkiarosemuhando3310 6 วันที่ผ่านมา

      Kwa kweli anataka kumjaribu Mungu

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  6 วันที่ผ่านมา

      @@malkiarosemuhando3310 mfate huko aliko mbinguni ukamjaribu

  • @manfordmkinga4080
    @manfordmkinga4080 13 วันที่ผ่านมา

    SASA KAMA ULIONA WEWE SI ALIKUPA SULUHU? KWANINI BADO UNASEMA KWETU TUSIOONA? HUU UONGO SIO MAONO ILA KIKI

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  13 วันที่ผ่านมา

      Asante kwa kutufatili.
      Sababu kuu za kutoa ujumbe au kusema ni 2. moja-ujumbe umfikie muhusika. Ajue tatizo ajihadhali. Mbili- ujue mnatoa ujumbe ametumwa na Mungu. Yaani ni nabii. ...JE UNAWEZA KUMJUA NABII PASIPO UJUMBE WA MUNGU. HUYO ATAKUWA MCHUNGAJI AU PADRI

    • @manfordmkinga4080
      @manfordmkinga4080 13 วันที่ผ่านมา

      @unyakuotv.1391 Kiki hizo Rafiki ana page yake peleka live