Mama anampa mtoto sponsor 😂😂😂😂😂anajisahau kuwa na mtarajiwa wa kelvin au wanamchora sponsor wa watu 😢😂😂😂😂😂any way like mother like daughter much ❤ from this side🇹🇿+🇲🇩kaz nzuri bro Kelvin but pita na Boss mana hali si shwari Mke mtarajiwa wamoto 🔥🔥🔥😂😂😂😂😂
Kama wewe umejua kuwa vick anadet na boss wa mume wake gonga like kumi ty❤❤❤❤ Ila tuseme ukweli kelvn anafos mapenzi kwa vicki bila kujua ila chaguo lake ni mtoto wa boo sasa itakuwaje tunaomba episode ya 8 iwai
Mukubari bana mbona hutaki kufunguka kervin linah yuko sahihi man inauma pale unapoona unae mpenda akiwa namwingine na vyenye wanamkuta kwa office ten yake
wangap wanamuom mam lina ayupo sahih jmn yaan yy kila mkwe anampokea na kumkabidh mtot wake, ila all in all amekaa kipesa iyo mam, anazingatia san shekeli/ maokoto kuliko utu wa mtu, kwely nimejifunz kitu🙏Ahsante broh Kelvin pamoj na team yake, nawapend san na ninawakubal na ninapend san move zenu, mnawez ten mnawez tena👍👍
Huyo mama mkwe anaharibu sifa ya wamama hata kama mkweo ana uwezo basi usijionyeshe kama vile una shiida . kuwa na mipaka ya maneno maana hapo mmeshaonekana mna dhiki
Ww boss kisunzi tatizo unaongea sana na mume hataki hivyo jaribu kua romantic mwehu ww kuongea hujui kuvaa hujui kujiremba hujui halafu shepu huna uko na ngongingo punguza kuropoka mume mbona ni mrahisi tu hana kauli kwa mke anae jikubali🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉hayo maua ni ya kavy napenda unavyo rudi utotoni😂😂❤❤❤
Hivi huyu linah anajiamini nini jamani??
Me mwenyew najiamin kam nimimi ninga fanya kama yeye😂😂😂
Mm nataman umfumanie maana ukimuoa atakutesa na maradhi juu ananikwaza😢
Na sio mrembo kuliko wengine hapo.😂😂
Tuliaa Kwan boss😂😂 linnah atakumlzaaa
Piga Madam Boss huyo maana huyo unaempenda unagongewa mfululu 😂😂😂
Kelvin mshahara unautaka af anayekupa mshahara haumtaki😂😂😂 nimecheka sn. All in all congulatulations, good job🎉🎉🎉
❤❤good job,,,,,,,,,,kazi nzuri kelvin lakn mbon hamtoi muendelezo wa penzi la jini jaman😢😢
Mnazingua na hizi like zenu...si mpongeze wenye kipindi jamani...kelvin napenda kazi nzuri mnaoifanya❤❤❤
Lina acha umalaya na ww Lina ww acha kumpotosha mtoto umalaya 2 kuoga aaaaah! gonga like❤❤❤
Wanaomkubali kelvin naomba gonga like zenu 😢
Kelvin nikubalie boss wako,nely ni malaya tu, series nzuri kabisa naipenda😂😂😂
Mimi sijui anasubiri nini kelvin 😂
Number 1 today much love from 🇧🇮🇧🇮🇱🇷🇱🇷
Linah upunguze wanaume Mbona kelvin anakupenda sana
Yani kazidi
Malaya Kwa ubora wake,,,😂😂😂😂😂😂
Leo nimekuwa wa kwanza kabisa ila donta mpo poa❤❤❤
Waw Thank You Sana Guys ❤️❤️❤️❤️ ❤️❤️❤️❤️❤️ ❤️❤️❤️❤️❤️ Manshallah Kazi Nzuli Sana 🎉🎉🎉🎉
Kevin mwezi Mungu akupe maisha marefu 🙏🙏🙏💯💯🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
punguzeni move jamn tunaxhindwa kuwaelewa sisi wafatiliaji
Watu tuko bize na hii kitu Sasa tujuaane hapa tunaopika huku tukiendelea na episode yetu ya siku Moja kabla ya ndoa yangu
Hongeleni sana yaani sana
🇷🇼🇷🇼🇷🇼 Mashabiki wenu kutoka nchini RWANDA 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Wow no one 😂 napenda mnavyo igiza maua haya 🎉🎉❤
Wawawaah! Kelvin husiwe umekula nyama ya baba.....
Toeni nyingi bwan mnatoaje kimoj kimoj jaman move nzuri san
Team strong wenye wanakubali Kelvin niko apa kuwawakilisha mnipe like zangu km mbili ivi 😂😂
Me nakupenda xana Kelvin Ila Lina apo amezingua😊😊😊
Tupo kila mahali😂
Walai Tena
@@JoyceJunior-xb5ib
❤
Pia mm❤️❤️❤️
Tuko pamoja mpaka tamati hongereni sana kwa kazi nzur❤🎉🎉🎉
Brother nabaki nacheka2 kwenye hii tamthiliya nakukubali sana kaka
Kelvin na da mayasa munanichekesha sana mwishoni baada ya kuongezwa mshahara .
Watu mnaanza kukoment kabla ya kuangalia😅😅
😂😂😂😂hata wasoma Comments tunasoma kabla hatujamaliza video 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂wakwanza ..mmm
Team Kelvin mnatucheleweshea movie jaman
Oy niaje wadau wa donta tv nimechelew ila sio kwa ubaya like at 10 tu
Nivile uko smart kelvin
Kelvin nakupend saan jmn♥️ kaz nzur mungu akusimamie na akupe ujasrii 😔
Eiyaa yule mdada c amkute kelvin hta kama madam boss amekua na wivu😂😂 show Iko lit,nawapenda sana kutoka 🇰🇪🇰🇪❤❤
Itakiwa ngumu kumbe boss wa Kevin njo mupenzi wa muke mutarajiwa wa kevin😳😳🤣🤣🤣🇧🇮🇧🇮
😂😂😂😂kevin unanyota,,,,tamba baba huna baya😅😅😅🎉🎉🎉🎉
Number 1 nipo apa naomba ata like 10
Kaa jaman boos kivuruge hata mm kwastahir ya ubabe kushawishika kaz
Lina nakupa sarut
Kumbe ni boss haraf anakuibia mke😢usilo lijuwa mmh
Kelvin we sio mti!! Aiii nakupenda buree bro
Nimekuwa mtu wakwanza kukomenti naombeni like hata 50tu
First from USA 🎉
Kevin wwe ni kanumba wapiri kbs eti mushahala unautaka mwenye anakupa mushahala wumutaki🤣🤣🤣🤣🇧🇮🥰🥰🥰🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mama anampa mtoto sponsor 😂😂😂😂😂anajisahau kuwa na mtarajiwa wa kelvin au wanamchora sponsor wa watu 😢😂😂😂😂😂any way like mother like daughter much ❤ from this side🇹🇿+🇲🇩kaz nzuri bro Kelvin but pita na Boss mana hali si shwari Mke mtarajiwa wamoto 🔥🔥🔥😂😂😂😂😂
😂 baba mkwe ambaye yupo kwenye moyo wake ni Sponsor 😂
@@sikudhanimohammad7692 hapo sasa Mwanamke Kivuruge hajui ni Boss wa mme wake mtarajiwa me nipo nasubr fumanizi 🤗😂😂😂😂😂
Kama wewe umejua kuwa vick anadet na boss wa mume wake gonga like kumi ty❤❤❤❤
Ila tuseme ukweli kelvn anafos mapenzi kwa vicki bila kujua ila chaguo lake ni mtoto wa boo sasa itakuwaje tunaomba episode ya 8 iwai
Unafaa kuwa mke wa mtu lakini siyo mke wang, kelvin bhana. By the way kazi nzuri 💐💥💥💪
Poa sana kazi nzenu
Linah ,plays her part well. She is really demonstrating how the girls today behave when in a relationship.
Wasichana wenye ujasiri wa kupitisha hisia kwa mwanaume unayempenda,kama boss tuko wapi🎉
😂walishakufaga
Jaman kelvin pekeake ndio ana mpenz mmoja , lakini linah ndio unaongoza kwa players, but hongera sana munazidi kutufunza maua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Rashind kawa mpole 😂😂😂anasubir kudhalilika
Kelvin mshahara wautaka mwenye kukupa mshahara humtaki😂😂😂😂😂
Mshahara nautaka anayenipa mshahara simutaki
Kazi ni nzuri sana tunajivunia kuwa na ninyi #dontatv
kelvin n boss wake wanakulia sahani moja jameni
Awe pole sana😢😢😢
Mukubari bana mbona hutaki kufunguka kervin linah yuko sahihi man inauma pale unapoona unae mpenda akiwa namwingine na vyenye wanamkuta kwa office ten yake
Wakwanza jaman ♥️
Mmmmmh ilo balaa tupu ndomana hadi uswazi yuko ivyo kazi ipo😮
Much love from Kenya guys like back wapi like za kelivin na gulamu 😂😂❤
wangap wanamuom mam lina ayupo sahih jmn yaan yy kila mkwe anampokea na kumkabidh mtot wake, ila all in all amekaa kipesa iyo mam, anazingatia san shekeli/ maokoto kuliko utu wa mtu, kwely nimejifunz kitu🙏Ahsante broh Kelvin pamoj na team yake, nawapend san na ninawakubal na ninapend san move zenu, mnawez ten mnawez tena👍👍
Nyota nyota baba sisi wengine tunatumia lelii😂😂😂
Mama jinga sana uyu😏
Sana
Wa kwanza Leo jaman😂 😂
nawafuatilia sana kwa vipindi yenu wana dontah naombeni basi like 5 tuu❤❤❤❤❤
Linah Linah Linah nimekuita mara ngapi aki ii movie iendelee kabisa
Lakini reduce wanaume banaa
Kevin walaii wajaa ujinga penda akupendae usije ukaliaa badae plz bro huyu demu nakupenda sana lakini wewe ndio zuzu
Huyo mama mkwe anaharibu sifa ya wamama hata kama mkweo ana uwezo basi usijionyeshe kama vile una shiida . kuwa na mipaka ya maneno maana hapo mmeshaonekana mna dhiki
Mashabiki jamani hii move kwa wanawake na wanaume inafundisha kumbe ni nzuri hongeren my Donta
Daaaaah mama anapenda vijana mwanae anampa mzeee😂😅😂😅
😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂hatareeeees
😂😂😂😂😂😂🙌🙌
Sema uyu madam alieigiza bos kaweza kwenye kitengo chake japo ni mkali san
Jamani Kelvin mkubali bosi lina ni mcharuko
Wa kwnz Leo kuangalia
Kelvin lovenes yupo wapi ❤❤ mnapendezana nae sana kelvin yupo vzr sana lovenes
Kelvin nakupenda sana kalibu kwetu Uganda ❤❤❤❤❤
Wa mwisho tena but lazima niwatch🎉🎉🎉🎉
Chakula Cha wote kimerudi aky hahahaha 🤣🤣🤣🖖 kama mazur vile penda sana
Mama ake n linah bure kabisa wamama wenye tabia kama Izo n waachane nazo kabisa hongera sana team kelvin kwa thamthilia y mafunzo
Kelvin mushahara anautaka ila anae mupa mshahara hamtaki❤❤nimeipenda iyo
Lina na mamake more fire wee ogopa
Mzur hajisifu madam boss....sema nn n pesa tu ulizonazo ndo znakufanya uwe mzr
part 8 inatoka lini naingojea kwa hamu n ghamu
Good job
😂😂😂 Kelvin kaka unajibu jeuri boss chunga bro 🥰🥰 big up bro
Leo nimewai kazi nzuri Sana 🎉🎉🎉
Kelvin mungu anipee maisha marefu sana duniani❤️❤️❤️
Kelvin mm naonelea ukubali boss linah ni mkali Sana akiwa na mamake hii move nitaifuatilia adi nijue venye kitaenda😅
Good Kevi
Move tam kwelikweli ❤😂🎉🎉😢
Good work Kevin mungu akubariki
N1 from Moz
Ww boss kisunzi tatizo unaongea sana na mume hataki hivyo jaribu kua romantic mwehu ww kuongea hujui kuvaa hujui kujiremba hujui halafu shepu huna uko na ngongingo punguza kuropoka mume mbona ni mrahisi tu hana kauli kwa mke anae jikubali🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉hayo maua ni ya kavy napenda unavyo rudi utotoni😂😂❤❤❤
Daaaaah kwa maokoto hapo❤
Kaka Kevin kubali tu mtoto muzuri unapenda afaye nini kubali tu kaka yangu 👍👍👍
Mbona Kelvin Una zidi kuwa cute
kelvin ishi miak tele hun bay broo🥀
Wakwanza leo nipewe likes zangu
We kelvin oa mayasa,,,, linah aelewek na boss akijua umeoa mpenz wake unadhan itakuaje
wuuuwi kelvin hujui unaponga na mwenzako haki wanawake especially lina
Kelvin unaweza sana
Na huyu boss Kelvin ako na uakika Kelvin Ata penda am watching from dubai
My favorite movie ❤❤nice 👌 👍 nawapenda 🎉😂😂😂
Kelvin nakukubali sana❤❤❤❤❤❤❤❤
Wakwanza leo naombeni like zangu 🎉🎉❤
Mimi ninaamini boss ndo mwanamke sahihi wa kelvin 😂😂😂 yaani huyu sponsa ndo baba wa huyu dada 😂😂😂
😂😂😂😂😂Mambo yatakuw fire huko mbelenii😂😂😂😂😂
Noma😂😂
Dooh😂😂 watu wapo makini na hii filam jamn
Kazi nzuri sana❤❤
Jamani ala kuna sisi Ambaho mama zetu wakisikia sim inaita basi utaskia acha kujizalilisha mwanangu😂😂😂
Mnajua wakubwa kaz njema
Good job kevi🎉🎉🎉
Strong team