Wakati fulani Mheshimiwa mmoja akiwa bungeni alihadharisha kuhusu Watu fulani wawekezaju kwamba enzi hizi siyo za mwalimu walipokuwa marafiki! Ndivyo ilivyo sasa, hawa siyo wa enzi za M/Kiti Mao, hawa ni manyang'au wezi wa mchana ukitaka kuthibitisha hilo angalia lundo la ndala, viatu nk mtaani vilivyoharibika baada ya matumizi ya wiki moja tu!! Hiyo migari yao ya FAW ona body yake ni wizi mtupu nasi tunakenua meno eti bei rahisi kumbe ndo tunaua uchumi wetu na kuifanya tz ni damping place na mahala pa kuchuma! Baba alizowea kunambia "..balya eby'omulenga" yaani wajinga ndiyo waliwao!!
Asante sana mtaalam, cjui sisi wenyewe waathirika kama tunaelewa chochote hapa, kazi yetu kukemea mabeberu walioishia zao zamani wakati hawa ndio mabeberu wapya tunawakumbatia na kuwaona ndio wakombozi.
Mzee Ngurumo,,,,, you are a prophet for Tanzanians. Chinese kamari inveator to Tanzania to spoil our youths???? Is it a good future to Tanzanians??? Thanks bro. for so loving your country, Tanzania.
Wachina watu wabaya walikuja Zanzibar kuna sehemu kunaitwa cheju waliikata miembe yote na wakakokoa bonde la mpunga lote udongo wakaondoka nao kwao Kisha walipo uchukua udongo wote wajuu wakaacha magari wakaondoka na mameli yao ya udongo hawakurud saiv kwenye mabonde ukipanda mpunga haukui
Yaani Ngurumo kama kuna mtanzania hakuelewi katika makala zako ndani ya media ya SK basi inabidi akapimwe akili nashukuru kwa utoaji wakonwa darasa juu ya nchi yetu
Tujitathmini, mimi binafsi nakuwa na tahadhari na bidhaa zao na wakati fulani nadhani mwaka 2008 wakati ndo wanaanza kuingiza magari yao ya Yutong, nilikuwa mmojawapo wa waliotoa maoni kuhusu uimara na ubora wa magari hayo. Kama ilivyo kwa makampuni makini ktk kutafuta maoni, walinijibu na kunikaribisha ktk ofisi zao huko Masaki nione muundo mpya ulioboreshwa wa Yutong, sikwenda!! Pamoja na hayo bado siridhiki na uimara wa magari yao iwe Yutong, na hii milori yao😂😂
>Duuu...mikataba hiyo 2020-24 mikataba 24...haituachi salama! >Usitishwaji wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ambao unarejewa..kuendelea! >Wapo krb kl sekta..sasa hv 14. >Tanzania mazingira muafaka kuwekeza...controls minimum! >Shamba la bibi! >Uhusiana..kisiasa, kijeshi, elimu nk >Athari za uhusiano wa kibiashara! >Mchina ni mwekezaji..ni rafiki..tunanufaika vp na yeye?
Umeongea point kubwa kwani MTU mweusi anaamini kila mtu wakati Europe wanaogopa Sanaa hao wachina tukisha umia ndio tunapoga kelele akili zetu finyu mnoo
Wapi vijijini Mpaka Rungemba, Mafinga, Majita nk. Tukumbuke usemi wa Mbunge Fulani aliongelea Wachina wanavyoingia hapa nchini kama shamba la Bibi. Tena wengi wao ni very racist. Mazingira muafaka kwa vile wanaamini kuwa Watanzania ni very docile na pliable people. Mpaka Watanzania watakapoamka usingizini kutakuwa kumekucha. Very sad!
Wapo wamejipenyeza katika vijiji vingi. Jambo la kushangaza ni kwamba wananchi wengi hawajiulizi kuhusu ujio wa Wachina hai wanaomiminika kwenye vijiji vyao Kila kukicha. Hata visa wanachukulia Airport wakati Watanzania wanahangaishwa wanapotaka visa kwenda China. Asante Mr. Ngurumo. Ukweli ni kwamba hakuna mkakati wowote unaohakikisha kuwa uhusiano wetu wa kibiashara una faida kubwa kwetu.
Kufuatilia na kuchunguza ni muhimu. Bahati mbaya Watanzania wengi ni wavivu wa kufikiri. Tena wako so dependent kwa Wachina. Wanategemea Wachina wawafanyie Kila kitu hata vitu vidogo vidogo. Na wao wachina wana take advantage ya udhaifu huo.
Magufuli aliweza kuwadhibiti hawa watu ila na wewe ulikua miongoni mwa walio sakama kazi za Magu kwa nguvu zote sasa uhuru upo tutulie tu. Magu mlimuona mmbaya kumbe alikuwa anaona mbali
Nmefanya kazi na kampuni ya kichina kiufupi wachina hawafai ni wezi wa nchi yeti, watoa rushwa wakubwa duniani, wanaiba mapato ya serikali, wanaibia wafanyakazi wa kitanzania, wengi wameingia nchini kinyemela Wamejaa kila mahali penye rasilimali muhimu nchini. WATANZANIA TUNUSURU TAIFA LETU MAPEMA TUTAKWISHA
Hakika SIjawahi penda uhusiano wa Tz na Asia continent maana naona Asia wengi ni wajanja janja , hasa hiyo china ni mmmmm hatari sioni TIJA hasa uko mbele
Mzee yaani unavyoongee umepiga kwenye mshono Mimi ni fundi body za magari lakini kazi zetu wanafanya wachina mfano Kuna garage ipo mbeya uyole kilimo wanafanya kazi zao pale wazawa tupo mbeya Soweto kazi zimepungua 😢😢
Na mambo haya ambayo wanasemaga ni ya Siri ndio hayo hayo ambayo huenda wanahalibu kwa kutaifisha vitu vya nchi Kwa wagen na hata kupelekea mbelen kutuuza ktk nchi yetu ,maana mmmmhh!!! Wananchi tuwe macho maana tusiweke Iman mno Kwa viongozi ,maana adui ni yule Alie karibu yko au nguon mwako
Unaonge vitu vya kufikirisha sanaa kaka.lkn sasa vijana wetu wanajua hayo zaidi ya kubet,mpira na kukesha kwa makanisa ya miujiza?!.Duuu inafikirisha na kuumiza mnoo
Ata utumwa ulianza hivi hivi miaka ile ya mababu zetu. Tukapelekwa utumwani. Sasaivi tutatawaliwa tukiwa humuhumu viranja ni viongozi tuliowachagua hatuponi
Viwanda vyote alivyojenga tanganyika NA china miaka ya 70 ilikuwa kana maigizo,havikutupatia faida tuliotarajia! Tazama reli ya tazara,kiwanda kikubwa cha nguo URAFIKI!!
Broo huku maeneno ya kanda ya ziwa wachina wameoa Kila kaya na wanatoa mahali kubwa milio 20 katoro geita nyarugusu maeneo ya machimbo Je kizazi wanachoandaa kinakuja kutumaliza
CHINA, URUSI, CUBA NI NCHI AMBAZO ZILISIMAMA IMARA KUSAIDIA UKOMBOZI WA NCHI NYINGI ZA AFRIKA....MATATIZO MAKUBWA NI YA VIONGOZI WETU WA AFRIKA....MBONA NI HII HII CHINA AMBAYO INAPEWA TENDA ZA MIRADI MIKUBWA MAREKANI NA ULAYA NA KUWAUZIA BIDHAA ZA HALI YA JUU ZINAZOKUBALIKA KWENYE HIZO NCHI.
Mkuu na ww unaamini kabisa hizo nchi zinaweza kuikomboa africa, mkombozi wa africa ni muafrica mwenyewe kwasababu hayo mataifa yote uliyotaja yanakua tajiri kwa kuinyonya africa ndugu
AFRIKA NA TANZANIA YETU TUMEIBIWA NA MAREKANI, WAINGEREZA, WAFARANSA NA WENGINE WA ULAYA KWA MIAKA ZAIDI YA 100.....TUWE WAKWELI TATIZO SIO CHINA....TATIZO NI RUSHWA NA UFISADI WA VIONGOZI WETU....MBONA HAWA HAWA WACHINA WANAFANYA BIASHARA KUBWA NA MATAIFA MENGI DUNIANI? MBONA HAWA HAWA WACHINA WAMEIFANYIA AFRIKA MIRADI MIKUBWA KULIKO HAO MABEBERU WA MAGHARIBI? NAKUBALIANA KABISA AFRIKA YETU ITAJENGWA NA WAAFRIKA WENYEWE...LAKINI....LAKINI....AFRIKA SIO KISIWA....LAZIMA TUSHIRIKIANE NA NCHI NYINGINE DUNIANI....NI LAZIMA TUHAKIKISHE TUNAKUWA NA VIONGOZI WAZALENDO WA AFRIKA!
Ila Kwa kweli watanzania hatuko salama kabisa tuna paswa kuamka sasa Hawa watawala wizi wa kula hawaja tuacha salama kabisa Tena wanapaswa kunyogwa mpaka kufa kabisa
Ngurumo unaeleza vizuri lakini hawa wachina kwanza niwachapakazi wakipewa kazi hawafanyi makosa na pia niwataalam tatizo watanzania wengi elimu ni ya chini sana uelewa ni mdogosana hasa kwenye mambo mengi ya kitaalamu pia hawa wachina hawavamii maeneo ila wanawekeza kwa sela za nnchi hivyo wlikiwa mnakosea kuingia mikataba nikutokana na elimu ya biashara kwa watanzania ni mdogo hasa kwenye mikataba hivyo hawapaswi kulaumiwa kwani mnawapa wenyewe kwakua nyie wenyewe ni wababaishaji watanzania wote weI
Hakika Ngulumo unakipaji cha kuifanya kazi hii. juzijuzi kuna lundo la wachina wamekuja tz kuwekeza biashara. Watz tutafakari kwa kuyajibu maswali yako magumu, ila kwa ujumla wake Mchina anatupiga!!!! tena saana tu
@@mzalendomzalendo2567Watanzania siyo wavivu bali hawajapata wa kuwasaidia kupata faida ya jasho lao na kupata masoko ya nje kama ilivyo Kenya kwa taarifa yako tunalima maua maparachichi nk LAKINI hatuwezi kuuza bila kupitia Kenya bei za pembejeo ziko juu sana kiasi wengi tunashindwa kulima kisasa madini yetu hatuwezi kuyachimba kwa kuwa Wazungu wamepewa yote kwa ujumla Watanzania wanapambana sana licha ya kukosa bei nzuri za kazi zao wanashindwa kushindana na bidhaa zinazoingizwa nchini kwa bei ya chini ilihali gharama za kuzalisha haziwezi kukidhi ushindani Kwani nikuulize kama Watanzania ni wavivu wawekezaji hutumia watu gani kufanya kazi wazipewazo???
Nakumbuka miaka ya nyuma, Tv, simu za mikononi, pikipiki vilikuwa vinamilikiwa na matajiri wakubwa. Leo hii hata muuza chips anamudu kununua hivyo vitu kutokana na unafuu wa bei. Majambazi wenye bunduki walivamia nyumba ili kuimba Tv. Maisha ya mtanzania wa kawaida yatakuwa mazuri pale bei ya bidhaa inapokuwa nafuu. Kinachotakiwa si kuzuia, bali bidhaa zote ziwepo mzuri za bei kubwa na za bei ndogo. Pia tusizuie uwekezaji. Tukizuia, watawekeza kwa majirani zetu , watazalisha, watalipa kodi alafu zitasafirishwa kuingizwa nchini.
Hivi hebu tufikilie endapo tungewategemea wazungu kwa vitu vyote je aitungekua tunatembea uchi hapa na pia tungekua tunakula chini kwani kila kitu kinachotumika tanzania ni cha kichina kuanzia ndala,viatu,vyombo vya ndani,na biashara,zote ni kitoka china %90 sasa utasema wazungu wamewahi tusaidia nini wazungu zaidi ya kondom,na hizodawa za kifua kikui ambazo pia ni magonjwa walioya yatengeneza wao
Kwani lazima tutegemee wazungu au Wachina? Ndiyo akili tunayotakq kusafisha hii miaka 63 baada ya uhuru. Pili, tunazungumzia uhusiano wetu na usalama wetu. Sisi si mifugo ya watu ambao wasipokuwepo, basi, hatuwezi kuishi. Vyuo vyetu vimezalisha nini? Umeelewa mada? Tatu, hatupo hapa kulinganisha Wazungu na Wachina. Tunajadili facts zilizo mbele yetu kuhusu uwekezaji huu.
Tanzania na China ni mtu na kaka yake.Hakuna anayeweza kumfanyia ubaya mwenzake Nchi mbili duniani ambayo hata watoto wa china wanajua ni Pakistan na Tanzania
Tuende mbele turudi Nyuma, bora tuwakaribishe wachina na mambo yao feki, ama tuwakaribishe wamagharibi na ule ushoga na kuingilia uhuru wa nchi? Tukipata suluhisho katika hili, basi tunahaja ya kutafakari kuhusu uhusiano na china.
China ni nchi yenye mashaka sana Ila ulaya magharibi na USA wamezidi Hii channel khabari zake ni zaidi kuipaka matope Africa kuliko ilivyo ni sahihi viongozi wengi wa Africa ni kichefuchefu Kuna siku channel hii walitoa makala kuwa rais Samia anawahamasisha wanaume kuoa wake wengi wakati sikumbuki kumsikia alisema hayo ijapokuwa ni utamaduni ulioruhusiwa ndani ya vitabu vya dini
Bw. Ee,"wajinga ndiwo waliwao,Au....!" Si busara kukimbia wageni kwa kuogopa kumezwa-cha maana/muhimu ni kuwa macho kodo kodo! Kama hatuwezi kuwa kodokodo,bas ni HALALI YETU KUPIGWA!
Mimi nina marafiki wafanyabiashara kutoka nchi jirani. Huwa wanakuja Dar es salaam kujumua bidhaa za kichina ambazo zimelipiwa kodi hapa nchini na kwenda kuuza huko nchini kwao. Kwa kifupi nchi yetu inanufaika sana na bidhaa za kichina ambazo zinaagizwa, zinalipiwa kodi hapa mchini alafu zinapitiliza kwenda nchi jirani. Wachina wanawekeza kila sehemu duniani, hata ulaya. Kinachotakiwa si kuzuia uwekezaji bali ni kuepuka uwekezaji usio na tija. Wawekezaji feki si wachina tu. Kuna kampuni toka Uingereza iliwekeza DAWASA ikashindwa , DAWASA ikarudishwa serikalini. Kuna kampuni toka India iliwekeza shirika la reli, ikashindwa, ikanyang'anywa. Kampuni ya Richmond haikuwa ya wachina. Cha msingi si kuzuia uwekezaji, bali ni tasisi zinazohusika kahakikisha wanasimamia uwekezaji ili uwe ni uwekezaji wenye tija.
Msikilize kwa makini nini anachokishauri na kitu gani cha kukitafari. Hakuna aliposema waChina wasiwekeze Tanzania bali alichosema ni Tanzania kuwa makini na mikataba na mahusiano yaliyopo kati yetu na China… na sababu kubwa ni hiyo ya bidhaa zao kuwa duni, na tabia ya kujishirikisha na kushika njia kuu zote za uchumi… Kilimo, uvuvi, ujenzi, Elimu, usafiri, madini, utalii nk. Mgeni ukimkaribisha mpaka chumbani kwako na kumpa uhuru wa kujua kinachoingia na kutoka ndani ya nyumba yako… wewe ni KWISHNEY 🤷🏿♂️ wewe unakuwa ni mchepuko tu… Tafakari hilo!
TUWE WAKWELI.....MIRADI MIKUBWA IMEOFANYWA NA CHINA AFRIKA NA TANZANIA NI MINGI NA YA MSINGI KWA MIAKA MICHACHE KUSHINDA MIAKA ZAIDI YA MIA MOJA YA WAKOLONI NA MATAIFA YA MAGHARIBI.
Wazungu ni bora kuliko Mchina.Wazungu wana utu.kwanza Nyerere aliharakisha kudai uhuru,angewaacha wazungu hadi leo nchi yetu ingekuwa kama ukaya.maviongozi ya Afrika yamejaa wizi na ufisadi.shenzi sana.
*Nipo hapa New York kwa muda wa miaka karibu 49. Jiji limejaa bidhaa za kila aina za kutoka China nyingine feki.* *Bepari mmoja nguli Mmarekani na mwanahabari, William Frank Buckley Jr, aliwahi kutamba, "Kila mwekezaji popote pale hafanyi shughuli za 'Taasisi ya Mother Teresa' za kutoa msaada. Lengo lake ni moja tu, yaani, kutengeneza fedha, fedha zaidi [faida]."* *Japo ni vigumu kuweza kutamati kuwa kwa sababu kumekuwepo na makandokando ya ufisadi wa Wachina huko Zambia na Uganda, kwahiyo, Tanzania nayo inahusika, moja kwa moja. Pengine, tutafute kwa makini zaidi dalili za moshi; tugundue moto.*
@@kombidin..2583 Marekani si mbinguni. Kuna matajiri matapeli [Donald Trump] na haiwezi kukagua kila kontena linaloingia nchini; na maafisa wakaguzi hawawezi kukagua kila duka.* *Bidhaa kama sneakers, nguo na saa za "madesigners", vipuli vya komputa, magari, nk hutengenezwa au huunganishwa [assembled] China ili kukwepa gharama za utengenezaji na mishahara ya juu ya wafanyakazi [zalisha kwa gharama ya chini; uza kwa bei ya juu.* "Mara nyingi, bidhaa feki kama saa hukamatwa na kuweka barabarani na kukanyagwa na magari makubwa ya ujenzi [graders].*
*Yakhe, Marekani si mbinguni! Wafanya biashara wake sio malaika.* *Kuna pia matapeli, kama Donald Trump!* *Kuna huduma feki [skandali ya Richmond Corporation ya Huston, Texas] iliyomwangusha hayati Lowassa.* *Kuna bidhaa feki kutoka Marekani [skandali ya ununuzi wa mitumba ya ndege seu kuuziwa mahindi ya rangi ya njano yaliyobatizwa jina la lakabu, Yanga - mshindi yiyokuwa ya kulisha wanyama na ndege [farasi, ng'ombe, nguruwe, kuku] miaka ya muongo wa 1970.* *Wafanya biashara wa hapa huagiza bidhaa ziilizotengenezwa au huunganishwa [assembled], km, China, ili kukwepa gharama za utengenezaji na mishahara. Huzalisha kwa gharama ya chini na huuza kwa bei ya juu [simple capitalist economic principle].* *Marekani haiwezi kukagua kila kontena bandarini, viwanja vya ndege au vituo barabarani. Bidhaa madukani hukaguliwa "randomly". Mara nyingi bidhaa feki za saa na nguo hata za "madesigners" zimegundulika na kuchomwa katika "dumpsites" au saa kulundikwa barabarani na kukanyagwa na magari makubwa ya ujenzi [graders].* *Kwa wale mnaopenda kujua jinsi Afrika inavyopigwa au inavyonywa na wazawa na wawekezaji wa nje, kuna kitabu cha Tom Buigs, The Looting Machine: Warlords, Oligarchs, Corporations Smugglers, and the Theft of Africa's Wealth au cha Patrick Bond, The Looting of Africa: The Economics of Exploitation; na jaribuni kupata kijarida cha Africa Intelligence chenye makala za kina za uchunguzi kuhusu siasa na uchumi.* *Nitamati kwa kurudia: Kila mwekezaji ana lengo lake la kupata faida. Na katika kukidhi lengo, Tanzania inaendelea kupigwa, kama zilivyo nchi nyingi za Africa.
Mheshimiwa SK huwa nakuelewa sana ukizungumzia siasa tu. Wewe ni mtaalamu sana na unauwezo wa kuelezea mtu akakuelewa kwa uharaka ❤
Mkuu Kwa kweli wachina sio watu wazuri
Wakati fulani Mheshimiwa mmoja akiwa bungeni alihadharisha kuhusu Watu fulani wawekezaju kwamba enzi hizi siyo za mwalimu walipokuwa marafiki! Ndivyo ilivyo sasa, hawa siyo wa enzi za M/Kiti Mao, hawa ni manyang'au wezi wa mchana ukitaka kuthibitisha hilo angalia lundo la ndala, viatu nk mtaani vilivyoharibika baada ya matumizi ya wiki moja tu!! Hiyo migari yao ya FAW ona body yake ni wizi mtupu nasi tunakenua meno eti bei rahisi kumbe ndo tunaua uchumi wetu na kuifanya tz ni damping place na mahala pa kuchuma! Baba alizowea kunambia "..balya eby'omulenga" yaani wajinga ndiyo waliwao!!
Daaah Wachina wako kila sehemu na wanalipa mishahara duni sana Watanzania huku wao wakinemeka na nchi yet!
Bora umesema ukweli unawafumbua watu
Asante sana mtaalam, cjui sisi wenyewe waathirika kama tunaelewa chochote hapa, kazi yetu kukemea mabeberu walioishia zao zamani wakati hawa ndio mabeberu wapya tunawakumbatia na kuwaona ndio wakombozi.
Asante sana kwa uchambuzi uliotukuka ambao ni nadra sana katika ènzi hizi tulizonazo.
Mungu akutunze kwa faida ya mama Tanzania.
Mungu akujariye rais anafahamu usalama wa taifa upo. Viongozi wa jeshi letu haya wanayaelewa au ni proganda za siasa.kazi kwenu
Ngurumo big up brother, endelea kutujuza. TUNAKUOMBEA.
Kaka nchi hii tuna shida moja kubwa nayo ni kufikiri, viongozi wengi wamebaki kutembea na matukio tu, .ahsante kwa elimu kaka.
Asante kaka kwa kutufungua yani tunaibiwa ivivi wtawala wamekaa tu wanufaisha matumbo yao
Kweli Jambo muhimu saana hili
Mzee Ngurumo,,,,, you are a prophet for Tanzanians.
Chinese kamari inveator to Tanzania to spoil our youths????
Is it a good future to Tanzanians???
Thanks bro. for so loving your country, Tanzania.
Wachina watu wabaya walikuja Zanzibar kuna sehemu kunaitwa cheju waliikata miembe yote na wakakokoa bonde la mpunga lote udongo wakaondoka nao kwao Kisha walipo uchukua udongo wote wajuu wakaacha magari wakaondoka na mameli yao ya udongo hawakurud saiv kwenye mabonde ukipanda mpunga haukui
ata mikarafuu Unguja waliitia dawa hatimae ilikufa yote
Tushauzwa kitambo sana
Hee kumbe watu wabaya
Mara zote huwa unasema ukweli lakini hakika Mungu akubariki sana
Bora wazungu wanakuibia wanakuachia kidogo wachina hawana huruma kabisa
WELL SAID MR NGURUMO
Kama ndio hivo kumbe atauko salam sasa mda oote wanaweza pindua mezza Hawa watawala wetu wmesha uza nchi bila kujua dah atary sana
Point kubwa sana
Daaa hapa inahitajika kazi ya ziada ifanyike maana mambo ya siri ni mengi na ni baina ya viongozi wa juu kabisa mmmhh
Ukosefu wa Akili kum-kichwa ndio tatizo letu.
Kwenye utawala wa Magufuli wachina walianza kulalamika hawatendewi haki na wengi kuondoka, utawala huu wamerudi wengi.
Ila kumbuka Kuna watu waliwatetea tena kwa kelele kubwa kipindi hicho😢
Ushirika wa sisi na Wachina ni muafaka kwao.Wao ndiyo wanapata faida tu.Sisi wananchi hatupati faida stahiki kwa sababu ya uadilifu hafifu.
Yaani Ngurumo kama kuna mtanzania hakuelewi katika makala zako ndani ya media ya SK basi inabidi akapimwe akili nashukuru kwa utoaji wakonwa darasa juu ya nchi yetu
Lakini ni kweli bidhaaa zao no feki tuombe Mungu hicho kikombe kisitupitie
Tujitathmini, mimi binafsi nakuwa na tahadhari na bidhaa zao na wakati fulani nadhani mwaka 2008 wakati ndo wanaanza kuingiza magari yao ya Yutong, nilikuwa mmojawapo wa waliotoa maoni kuhusu uimara na ubora wa magari hayo.
Kama ilivyo kwa makampuni makini ktk kutafuta maoni, walinijibu na kunikaribisha ktk ofisi zao huko Masaki nione muundo mpya ulioboreshwa wa Yutong, sikwenda!!
Pamoja na hayo bado siridhiki na uimara wa magari yao iwe Yutong, na hii milori yao😂😂
7:30 baada ya muda mfupi tulikumbwa na msiba mzito.. sijui kwa nini mawazo mabaya
>Duuu...mikataba hiyo 2020-24 mikataba 24...haituachi salama!
>Usitishwaji wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ambao unarejewa..kuendelea!
>Wapo krb kl sekta..sasa hv 14.
>Tanzania mazingira muafaka kuwekeza...controls minimum!
>Shamba la bibi!
>Uhusiana..kisiasa, kijeshi, elimu nk
>Athari za uhusiano wa kibiashara!
>Mchina ni mwekezaji..ni rafiki..tunanufaika vp na yeye?
Safi
Umeongea point kubwa kwani MTU mweusi anaamini kila mtu wakati Europe wanaogopa Sanaa hao wachina tukisha umia ndio tunapoga kelele akili zetu finyu mnoo
Wapi vijijini Mpaka Rungemba, Mafinga, Majita nk. Tukumbuke usemi wa Mbunge Fulani aliongelea Wachina wanavyoingia hapa nchini kama shamba la Bibi. Tena wengi wao ni very racist. Mazingira muafaka kwa vile wanaamini kuwa Watanzania ni very docile na pliable people. Mpaka Watanzania watakapoamka usingizini kutakuwa kumekucha. Very sad!
Wapo wamejipenyeza katika vijiji vingi. Jambo la kushangaza ni kwamba wananchi wengi hawajiulizi kuhusu ujio wa Wachina hai wanaomiminika kwenye vijiji vyao Kila kukicha. Hata visa wanachukulia Airport wakati Watanzania wanahangaishwa wanapotaka visa kwenda China. Asante Mr. Ngurumo. Ukweli ni kwamba hakuna mkakati wowote unaohakikisha kuwa uhusiano wetu wa kibiashara una faida kubwa kwetu.
Kufuatilia na kuchunguza ni muhimu. Bahati mbaya Watanzania wengi ni wavivu wa kufikiri. Tena wako so dependent kwa Wachina. Wanategemea Wachina wawafanyie Kila kitu hata vitu vidogo vidogo. Na wao wachina wana take advantage ya udhaifu huo.
Wauza nchi yetu hawa
Magufuli aliweza kuwadhibiti hawa watu ila na wewe ulikua miongoni mwa walio sakama kazi za Magu kwa nguvu zote sasa uhuru upo tutulie tu.
Magu mlimuona mmbaya kumbe alikuwa anaona mbali
Nmefanya kazi na kampuni ya kichina kiufupi wachina hawafai ni wezi wa nchi yeti, watoa rushwa wakubwa duniani, wanaiba mapato ya serikali, wanaibia wafanyakazi wa kitanzania, wengi wameingia nchini kinyemela Wamejaa kila mahali penye rasilimali muhimu nchini. WATANZANIA TUNUSURU TAIFA LETU MAPEMA TUTAKWISHA
Natamani ningepata nafasi ya kuishi na mzee wangu huyu ningejifunza mengi zaidi ya hapa,
AI😢😢😢😢
Wachina wako tayari kutoa pesa au msada wa vifaa vya kijeshi ili ccm ishinde waendelee kutuibia
Hakika SIjawahi penda uhusiano wa Tz na Asia continent maana naona Asia wengi ni wajanja janja , hasa hiyo china ni mmmmm hatari sioni TIJA hasa uko mbele
Wachina hovyo sana.Hawana utu na sio watu.Hata reli ya Tazara imewafaidisha wao,sisi ni hasara tupu
Mzee yaani unavyoongee umepiga kwenye mshono Mimi ni fundi body za magari lakini kazi zetu wanafanya wachina mfano Kuna garage ipo mbeya uyole kilimo wanafanya kazi zao pale wazawa tupo mbeya Soweto kazi zimepungua 😢😢
SK Media unaona mbali na umesema ukweli. Tuchukue tahadhali mapema
Kule Mgololo Iringa sahizi Wanachoma hadi mkaa.
Ni suala la muda tu, yote yatatimia. Hata wanazaliana sana na waafrika;ambapo kesho watakuwa wengi mno.
Marekani marekani marekani
Nguo zinaagizwa na kuuzwa bei sawa na zinazoshonwa nchini, siku hizi watu hawashoni kama kwa wingi. Hapo tunauwa soko la bidhaa za ndani ama tunakuza?
Wachina hawana ubinadamu kabisa and they are very seggregative.
Na viongoz wetu wanavyopenda rushwa na wanavyouza uza maeneo Kwatu wa nje ,hakika hata nchi kiujumla watauza hawa viongoz walivyo waroho Sana wa Mali
Na mambo haya ambayo wanasemaga ni ya Siri ndio hayo hayo ambayo huenda wanahalibu kwa kutaifisha vitu vya nchi Kwa wagen na hata kupelekea mbelen kutuuza ktk nchi yetu ,maana mmmmhh!!! Wananchi tuwe macho maana tusiweke Iman mno Kwa viongozi ,maana adui ni yule Alie karibu yko au nguon mwako
Ngurumo utarudi lini jimbo la muleba Kaskazini tumekumiss sana baba
Magari yao yanatuvunja migongo yani sijui kama tutazeeka kama mzee mwimyi. Unaendesha gari na hotpot ya chakula kila dakika njaa tunakufa gurumo
Unaonge vitu vya kufikirisha sanaa kaka.lkn sasa vijana wetu wanajua hayo zaidi ya kubet,mpira na kukesha kwa makanisa ya miujiza?!.Duuu inafikirisha na kuumiza mnoo
Unajua mkuu ungeona mradi wa umeme lilivyotengenezwa ungelia, mimi nilifanya kazi na kushuhudia ulipuaji wa kazi,
Misri ndio wametengeneza bwawa la umeme. Acha kupotosha
Kama hujui ni bora kukaa kimya,si dhambi@@mussakingazi8875
👊👍🙏
SGR walihonga, mzee baba alipoingia akawapiga chini ikaenda Turkey, Yapi Merkezi, allegedly.
Kubeti beti unaona vijana wetu wanapotelea huko 12:52 😅
Ata utumwa ulianza hivi hivi miaka ile ya mababu zetu. Tukapelekwa utumwani. Sasaivi tutatawaliwa tukiwa humuhumu viranja ni viongozi tuliowachagua hatuponi
Wameingia hadi vijijini nani huku kwetu wanavua samaki na wameoa vijijini na wanazaa, hakika kuna haja ya kujitathimini.
Viwanda vyote alivyojenga tanganyika NA china miaka ya 70 ilikuwa kana maigizo,havikutupatia faida tuliotarajia!
Tazama reli ya tazara,kiwanda kikubwa cha nguo URAFIKI!!
Broo huku maeneno ya kanda ya ziwa wachina wameoa Kila kaya na wanatoa mahali kubwa milio 20 katoro geita nyarugusu maeneo ya machimbo
Je kizazi wanachoandaa kinakuja kutumaliza
Wachina sasahivi wamejaa kirakona
Hata mheshimiwa Jumanne kishimba bungeni alitaja suala la wachina kuvagaa migodi ya zahabu mkoani shinyanga lakini hawakumuunga mkono .
Tunaitaji na wabunge wachina tz sasa
CHINA, URUSI, CUBA NI NCHI AMBAZO ZILISIMAMA IMARA KUSAIDIA UKOMBOZI WA NCHI NYINGI ZA AFRIKA....MATATIZO MAKUBWA NI YA VIONGOZI WETU WA AFRIKA....MBONA NI HII HII CHINA AMBAYO INAPEWA TENDA ZA MIRADI MIKUBWA MAREKANI NA ULAYA NA KUWAUZIA BIDHAA ZA HALI YA JUU ZINAZOKUBALIKA KWENYE HIZO NCHI.
Mkuu na ww unaamini kabisa hizo nchi zinaweza kuikomboa africa, mkombozi wa africa ni muafrica mwenyewe kwasababu hayo mataifa yote uliyotaja yanakua tajiri kwa kuinyonya africa ndugu
Unaona ulivyo na akili ndogo ,kwa hiyo kwa sababu walitusaidia ukombozi ndio tukubali watuibie,huo ni ujinga.
AFRIKA NA TANZANIA YETU TUMEIBIWA NA MAREKANI, WAINGEREZA, WAFARANSA NA WENGINE WA ULAYA KWA MIAKA ZAIDI YA 100.....TUWE WAKWELI TATIZO SIO CHINA....TATIZO NI RUSHWA NA UFISADI WA VIONGOZI WETU....MBONA HAWA HAWA WACHINA WANAFANYA BIASHARA KUBWA NA MATAIFA MENGI DUNIANI? MBONA HAWA HAWA WACHINA WAMEIFANYIA AFRIKA MIRADI MIKUBWA KULIKO HAO MABEBERU WA MAGHARIBI? NAKUBALIANA KABISA AFRIKA YETU ITAJENGWA NA WAAFRIKA WENYEWE...LAKINI....LAKINI....AFRIKA SIO KISIWA....LAZIMA TUSHIRIKIANE NA NCHI NYINGINE DUNIANI....NI LAZIMA TUHAKIKISHE TUNAKUWA NA VIONGOZI WAZALENDO WA AFRIKA!
Ila Kwa kweli watanzania hatuko salama kabisa tuna paswa kuamka sasa Hawa watawala wizi wa kula hawaja tuacha salama kabisa Tena wanapaswa kunyogwa mpaka kufa kabisa
Mimi UGONVI WANGU NA SELIKALI YANGU NA WACHINA NI MICHEZO ZA KAMARI NCHI NZIMA KAMARI INAFIRISI NNCHI
Kikwete anasemaje
We mzee hebu niambie unaishi nchi gani?
Ngurumo unaeleza vizuri lakini hawa wachina kwanza niwachapakazi wakipewa kazi hawafanyi makosa na pia niwataalam tatizo watanzania wengi elimu ni ya chini sana uelewa ni mdogosana hasa kwenye mambo mengi ya kitaalamu pia hawa wachina hawavamii maeneo ila wanawekeza kwa sela za nnchi hivyo wlikiwa mnakosea kuingia mikataba nikutokana na elimu ya biashara kwa watanzania ni mdogo hasa kwenye mikataba hivyo hawapaswi kulaumiwa kwani mnawapa wenyewe kwakua nyie wenyewe ni wababaishaji watanzania wote weI
Tumlaumu nani hapo. Akili ndogo inaongoza akili kubwa
Hakika Ngulumo unakipaji cha kuifanya kazi hii. juzijuzi kuna lundo la wachina wamekuja tz kuwekeza biashara. Watz tutafakari kwa kuyajibu maswali yako magumu, ila kwa ujumla wake Mchina anatupiga!!!! tena saana tu
Waafrika hatujielewi mkuu utakauka koo bure
wachina wanesambaa kila kona ya nchi wanatuhalibia biashara cc wazawa!!
Hawaharibu biashara ila wanakuja kuwaamsha wa tz hamko seriours wavivu sana wacha waje kuwafundisha kazi
@@mzalendomzalendo2567Watanzania siyo wavivu bali hawajapata wa kuwasaidia kupata faida ya jasho lao na kupata masoko ya nje kama ilivyo Kenya kwa taarifa yako tunalima maua maparachichi nk LAKINI hatuwezi kuuza bila kupitia Kenya bei za pembejeo ziko juu sana kiasi wengi tunashindwa kulima kisasa madini yetu hatuwezi kuyachimba kwa kuwa Wazungu wamepewa yote kwa ujumla Watanzania wanapambana sana licha ya kukosa bei nzuri za kazi zao wanashindwa kushindana na bidhaa zinazoingizwa nchini kwa bei ya chini ilihali gharama za kuzalisha haziwezi kukidhi ushindani
Kwani nikuulize kama Watanzania ni wavivu wawekezaji hutumia watu gani kufanya kazi wazipewazo???
@@mzalendomzalendo2567kama ni wavivu nani anafanya kazi katika miradi yao
Hii ni tahadhari kwa taifa tusiipuuze
Ukihitaji video ya namna gani tunatawaliwa na kukandamizwa reply hapa
Nakumbuka miaka ya nyuma, Tv, simu za mikononi, pikipiki vilikuwa vinamilikiwa na matajiri wakubwa. Leo hii hata muuza chips anamudu kununua hivyo vitu kutokana na unafuu wa bei. Majambazi wenye bunduki walivamia nyumba ili kuimba Tv. Maisha ya mtanzania wa kawaida yatakuwa mazuri pale bei ya bidhaa inapokuwa nafuu. Kinachotakiwa si kuzuia, bali bidhaa zote ziwepo mzuri za bei kubwa na za bei ndogo. Pia tusizuie uwekezaji. Tukizuia, watawekeza kwa majirani zetu , watazalisha, watalipa kodi alafu zitasafirishwa kuingizwa nchini.
Safi. Hakuna anayezuia uwekezaji. Makala hii inasisitiza UMAKINI wetu ili wajukuu wasije kujikuta kwenye koloni la wawekezaji.
Hivi hebu tufikilie endapo tungewategemea wazungu kwa vitu vyote je aitungekua tunatembea uchi hapa na pia tungekua tunakula chini kwani kila kitu kinachotumika tanzania ni cha kichina kuanzia ndala,viatu,vyombo vya ndani,na biashara,zote ni kitoka china %90 sasa utasema wazungu wamewahi tusaidia nini wazungu zaidi ya kondom,na hizodawa za kifua kikui ambazo pia ni magonjwa walioya yatengeneza wao
Kwani lazima tutegemee wazungu au Wachina? Ndiyo akili tunayotakq kusafisha hii miaka 63 baada ya uhuru.
Pili, tunazungumzia uhusiano wetu na usalama wetu. Sisi si mifugo ya watu ambao wasipokuwepo, basi, hatuwezi kuishi. Vyuo vyetu vimezalisha nini? Umeelewa mada?
Tatu, hatupo hapa kulinganisha Wazungu na Wachina. Tunajadili facts zilizo mbele yetu kuhusu uwekezaji huu.
Toa mawazo mbadala unataka nchi gani ije kuwekeza Tanzania ww ni mjuaji ndio mana ulikimbia nchi yetu.
Chizi wewe
Tanzania na China ni mtu na kaka yake.Hakuna anayeweza kumfanyia ubaya mwenzake
Nchi mbili duniani ambayo hata watoto wa china wanajua ni Pakistan na Tanzania
Tuende mbele turudi Nyuma, bora tuwakaribishe wachina na mambo yao feki, ama tuwakaribishe wamagharibi na ule ushoga na kuingilia uhuru wa nchi? Tukipata suluhisho katika hili, basi tunahaja ya kutafakari kuhusu uhusiano na china.
Kitu gani Tanzania south Africa ndiyo wanaongoza kila kitu kama unao wawekezaji wako
Sielewi 2
China ni nchi yenye mashaka sana Ila ulaya magharibi na USA wamezidi
Hii channel khabari zake ni zaidi kuipaka matope Africa kuliko ilivyo ni sahihi viongozi wengi wa Africa ni kichefuchefu
Kuna siku channel hii walitoa makala kuwa rais Samia anawahamasisha wanaume kuoa wake wengi wakati sikumbuki kumsikia alisema hayo ijapokuwa ni utamaduni ulioruhusiwa ndani ya vitabu vya dini
Acha uongo 😫😫
Sasa wewe uliyemkweli sema tukusikie ukishiba mihogo unaona powa tuu ujui kinachoendelea
@@ahmadifataha6677 Heli yako ulieshiba ubwabwax😲
@@ahmadifataha6677 anzisheni serekali yenu ambayo wachina hawatokuja kuwekkeza wewe Na huyu mkimbizi mwenzio🐞🐞
Rais wa awamu ya nne anasemaje kuhusu hayo hasa bandar ya bagamoyo
Bw. Ee,"wajinga ndiwo waliwao,Au....!"
Si busara kukimbia wageni kwa kuogopa kumezwa-cha maana/muhimu ni kuwa macho kodo kodo!
Kama hatuwezi kuwa kodokodo,bas ni HALALI YETU KUPIGWA!
Mimi nina marafiki wafanyabiashara kutoka nchi jirani. Huwa wanakuja Dar es salaam kujumua bidhaa za kichina ambazo zimelipiwa kodi hapa nchini na kwenda kuuza huko nchini kwao. Kwa kifupi nchi yetu inanufaika sana na bidhaa za kichina ambazo zinaagizwa, zinalipiwa kodi hapa mchini alafu zinapitiliza kwenda nchi jirani. Wachina wanawekeza kila sehemu duniani, hata ulaya. Kinachotakiwa si kuzuia uwekezaji bali ni kuepuka uwekezaji usio na tija. Wawekezaji feki si wachina tu. Kuna kampuni toka Uingereza iliwekeza DAWASA ikashindwa , DAWASA ikarudishwa serikalini. Kuna kampuni toka India iliwekeza shirika la reli, ikashindwa, ikanyang'anywa. Kampuni ya Richmond haikuwa ya wachina. Cha msingi si kuzuia uwekezaji, bali ni tasisi zinazohusika kahakikisha wanasimamia uwekezaji ili uwe ni uwekezaji wenye tija.
Msikilize kwa makini nini anachokishauri na kitu gani cha kukitafari. Hakuna aliposema waChina wasiwekeze Tanzania bali alichosema ni Tanzania kuwa makini na mikataba na mahusiano yaliyopo kati yetu na China… na sababu kubwa ni hiyo ya bidhaa zao kuwa duni, na tabia ya kujishirikisha na kushika njia kuu zote za uchumi… Kilimo, uvuvi, ujenzi, Elimu, usafiri, madini, utalii nk. Mgeni ukimkaribisha mpaka chumbani kwako na kumpa uhuru wa kujua kinachoingia na kutoka ndani ya nyumba yako… wewe ni KWISHNEY 🤷🏿♂️ wewe unakuwa ni mchepuko tu… Tafakari hilo!
We nae ni beberu tu huna lolote unatumiwa na wazungu wanaokulea uko. Si urudi kwenu
Usiwe mjinga ww.chuki yako kwa wazungu isikufanye uhalalishe wizi wa wachina.
Wewe mbona hujawekeza acha wivu, endelea kula tax za wazungu tuu
magar yao kidgo tu yamepauuuka miaka miwili nikama yanamiaka kumi.
Hii taarifa ni kwa "Hisani ya watu wa Marekani"😂
Ukitaka ku prove nenda kafanye kazi kwenye kampuni zao zipo nyingi tu
Haya ni mambo serious ya Nchi@@lazaromshamu3521
TUWE WAKWELI.....MIRADI MIKUBWA IMEOFANYWA NA CHINA AFRIKA NA TANZANIA NI MINGI NA YA MSINGI KWA MIAKA MICHACHE KUSHINDA MIAKA ZAIDI YA MIA MOJA YA WAKOLONI NA MATAIFA YA MAGHARIBI.
GURUMO waulize viongozi hayo maswali sisi unatuvuruga tu
Mimi na ww nasi ni viongozi kama siyo leo yaweza kuwa kesho.........Hivyo sote yanatuhusu ndugu.
Ulikimbia nchi tulia huko huko acha kuchonganisha watanzania.
Mzalendo upimwe akili hujui nchi inakopelekwa
Chawa katika ubora wako... jibu hoja..
Yaani tz machawa ni wengi kuliko wazalendo Mungu ingilia kati
Ni wahuni nasi wametupata tumeingia kichwa kichwa ktk miradi yao fake!
Hatupo salama kwa kweli. Inabidi Serikali iwe macho sana
Wajinga ndio waliwao
Alafu na wewe gurumo urudi nyumbani. Wazungu pia ni wabaya mno kuliko wachina. Uko sio kwenu njoo uongelee humuhumu
Wazungu ni bora kuliko Mchina.Wazungu wana utu.kwanza Nyerere aliharakisha kudai uhuru,angewaacha wazungu hadi leo nchi yetu ingekuwa kama ukaya.maviongozi ya Afrika yamejaa wizi na ufisadi.shenzi sana.
Ulaya
*Nipo hapa New York kwa muda wa miaka karibu 49. Jiji limejaa bidhaa za kila aina za kutoka China nyingine feki.*
*Bepari mmoja nguli Mmarekani na mwanahabari, William Frank Buckley Jr, aliwahi kutamba, "Kila mwekezaji popote pale hafanyi shughuli za 'Taasisi ya Mother Teresa' za kutoa msaada. Lengo lake ni moja tu, yaani, kutengeneza fedha, fedha zaidi [faida]."*
*Japo ni vigumu kuweza kutamati kuwa kwa sababu kumekuwepo na makandokando ya ufisadi wa Wachina huko Zambia na Uganda, kwahiyo, Tanzania nayo inahusika, moja kwa moja. Pengine, tutafute kwa makini zaidi dalili za moshi; tugundue moto.*
Bidhaa "feki" zinaingiaje Marekani?
@@kombidin..2583 Marekani si mbinguni. Kuna matajiri matapeli [Donald Trump] na haiwezi kukagua kila kontena linaloingia nchini; na maafisa wakaguzi hawawezi kukagua kila duka.*
*Bidhaa kama sneakers, nguo na saa za "madesigners", vipuli vya komputa, magari, nk hutengenezwa au huunganishwa [assembled] China ili kukwepa gharama za utengenezaji na mishahara ya juu ya wafanyakazi [zalisha kwa gharama ya chini; uza kwa bei ya juu.*
"Mara nyingi, bidhaa feki kama saa hukamatwa na kuweka barabarani na kukanyagwa na magari makubwa ya ujenzi [graders].*
*Yakhe, Marekani si mbinguni! Wafanya biashara wake sio malaika.*
*Kuna pia matapeli, kama Donald Trump!*
*Kuna huduma feki [skandali ya Richmond Corporation ya Huston, Texas] iliyomwangusha hayati Lowassa.*
*Kuna bidhaa feki kutoka Marekani [skandali ya ununuzi wa mitumba ya ndege seu kuuziwa mahindi ya rangi ya njano yaliyobatizwa jina la lakabu, Yanga - mshindi yiyokuwa ya kulisha wanyama na ndege [farasi, ng'ombe, nguruwe, kuku] miaka ya muongo wa 1970.*
*Wafanya biashara wa hapa huagiza bidhaa ziilizotengenezwa au huunganishwa [assembled], km, China, ili kukwepa gharama za utengenezaji na mishahara. Huzalisha kwa gharama ya chini na huuza kwa bei ya juu [simple capitalist economic principle].*
*Marekani haiwezi kukagua kila kontena bandarini, viwanja vya ndege au vituo barabarani. Bidhaa madukani hukaguliwa "randomly". Mara nyingi bidhaa feki za saa na nguo hata za "madesigners" zimegundulika na kuchomwa katika "dumpsites" au saa kulundikwa barabarani na kukanyagwa na magari makubwa ya ujenzi [graders].*
*Kwa wale mnaopenda kujua jinsi Afrika inavyopigwa au inavyonywa na wazawa na wawekezaji wa nje, kuna kitabu cha Tom Buigs, The Looting Machine: Warlords, Oligarchs, Corporations Smugglers, and the Theft of Africa's Wealth au cha Patrick Bond, The Looting of Africa: The Economics of Exploitation; na jaribuni kupata kijarida cha Africa Intelligence chenye makala za kina za uchunguzi kuhusu siasa na uchumi.*
*Nitamati kwa kurudia: Kila mwekezaji ana lengo lake la kupata faida. Na katika kukidhi lengo, Tanzania inaendelea kupigwa, kama zilivyo nchi nyingi za Africa.