SMG ni Record Label inayokuja kuta over soon. Nyie jamaa wabaya sana mna Ladha sana kwenye ngoma zenu. Hongera Quick Rocka kwa kuiona hela kwa hawa madogo. OMG ni bad News Aisee
nyimbo kala balaa... my quest is kwa nn mmejirundika pamoja hvyo from mwanzo mwisho.... director kaaribu classic video aseee.... quick we n balaaaa asee
Msipondee inshu ya sample ni kawaida ktk muziki sio kwmb watu melack creativity bas tu, hata mtoni wasaniii wanasample vizuri sema wao wanafuata taratbu,alichokosea Quick Akumuweka wazi Mnyama tu.. Nmefurahi wameseto, Wamezalisha Bonge la hit Mzee.. Awa watoto wakiamu kuchana wanachana aisee..young lunya anataka adumbukie kiDrakedrake ni vzuri ukaze sasa wabongo wakuelewe Kw iyo identity.but Conboi and Salimin nyie chaneni tu Ni wakali kinoma Noma☺. OMG for life.
Young Lunya Na Salmin wametisha....Salmin is the Best Rapper Hapo Na Young Lunya Is the Best Trapper Na Con Boi Ni Noma Kwa Mitupioooo Na Swaggz.... Najua Mziki So I talk The truth...
yule babu tid anazeeka vibaya badala ya kua proud kua watoto wana sample ngoma zake ....watu wangine sjui vipi tuu ukizeeka af huna kitu unaamua tuu kua mzee mkudaaa 😬 any ways lingoma ni lit haswaaaaaa😁😁🔥🔥🔥🔥
Fanya kukutana na kaka mkubwa, Muongee na mmalizane. Hakuna kisichoeleweka. Umesample kabisa ile ngoma yake. So far i know ni ubunifu na hii kitu pia ni nzuri sana so kabla haijachafuka. Ongea na mkubwa!
young lunya ma niqqah !!tupia rap zako mzazi...ur da best
SMG ni Record Label inayokuja kuta over soon. Nyie jamaa wabaya sana mna Ladha sana kwenye ngoma zenu. Hongera Quick Rocka kwa kuiona hela kwa hawa madogo. OMG ni bad News Aisee
nyimbo kala balaa... my quest is kwa nn mmejirundika pamoja hvyo from mwanzo mwisho.... director kaaribu classic video aseee.... quick we n balaaaa asee
uyu dogo aliyechana verse ya mwisho is a wizard dadeki..
Msipondee inshu ya sample ni kawaida ktk muziki sio kwmb watu melack creativity bas tu, hata mtoni wasaniii wanasample vizuri sema wao wanafuata taratbu,alichokosea Quick Akumuweka wazi Mnyama tu.. Nmefurahi wameseto, Wamezalisha Bonge la hit Mzee.. Awa watoto wakiamu kuchana wanachana aisee..young lunya anataka adumbukie kiDrakedrake ni vzuri ukaze sasa wabongo wakuelewe Kw iyo identity.but Conboi and Salimin nyie chaneni tu Ni wakali kinoma Noma☺. OMG for life.
Middle finger to the ones that have disliked this video....This is a big tune...OMG keep going Young Lunya i see yah my G
Bongo napenda sana industry yenu yani imechangamka vnoma respek...... Mombasa luv
🔥🔥🔥🔥🔥 Lunya nilitaka uuweee bt sio mbaya dude kaliiii
Tangu mwaka huu uanze this is first song wangu Daaa Kama umekubari nambie
NGOMA KALI SANA YAAN..SALMIN MKALI SANA / YOUNG LUNYA NDO MOTO 🔥🔥🔥
OMG nawatabiria makubwa mema na mazuri wako vizuri.
daah ..! Salute @ Switch record holla kwa wanang wote OMG and SMG's
Young Lunya Na Salmin wametisha....Salmin is the Best Rapper Hapo Na Young Lunya Is the Best Trapper Na Con Boi Ni Noma Kwa Mitupioooo Na Swaggz....
Najua Mziki So I talk The truth...
Swae Major kweli kabisaa
y'all slept on this one. Big tune.
2022 still missing THIS group baddest crew
Staki... video yake lini Omg mnazinguwaaa
bonge moja la ngoma.... bt lunya ungechana kidgo Mzee..... 🔥 song
mitaa hisia ndo yo bst OMG artst
Omg kazi nzuri sana hila sijaoma camera movement ingeleta test tam sana.....
ninammiss Rocker wa bullet na fire anthem siyo huyu anayeimba
ngoma Kali ila mnyama TD anataka 20millions
yule babu tid anazeeka vibaya badala ya kua proud kua watoto wana sample ngoma zake ....watu wangine sjui vipi tuu ukizeeka af huna kitu unaamua tuu kua mzee mkudaaa 😬 any ways lingoma ni lit haswaaaaaa😁😁🔥🔥🔥🔥
hii ngoma ni kaaaaali...quick u clever
Ila sana hatupendi nyimbo tunampenda mtu kazi iko pw sana
wakina na niii ni wakina na nii ahaha halaa woyooo dope song ilike dat song so much
huuu mwaka hatutaki ujinga ni mwendo wa ku switch tuuu makombora
Mby city Stand up... Ngoma kubwa had cm yangu Imegoma kuplay....
2020 nan yupo hapa
Swagz killed it
watu wameanza zaman mpaka sahv wananonekana
🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿👏 u rocked aseeee
yooooow salute all nigga #OMG atar kwa afya. 🙌😂😂😂🙏🙌👏👏
Booooom booooom.....great
nimeumia sana kitendo cha lunya kutokuchana humu ndan
ata hcho kdg kaua...ila jamaa lunya mbaya sana
umeona eeh
beats master ata mm kwa kwl
Huyu salmini na Lunya si wa nchi hii
Safi sana hii ngoma kali sana
nooooma and the visuals 🔥🔥
LOVE YOUR ENERGY BROTHERS
ooodaaaa one love bonge la songii
mbn kama nyimbo ya T.I.D iyo?
Iii Mashine 🔥🔥🙌
GOOD MUSIC 🔥🔥
wow fire ilike dat.song so much
love it
2024 goma moja amazing
came for Lunya..where the fck is your verse young
Ngoma ipo very lot🔥💥
Omg for real mpo on fire
bakoraa🔥🔥🔥🔥
eti tid anataka mil 20 sijui kwa kipi kufulia kubaya
Ernest Johanes usifanye mchezo na copyright ndugu.
Erenest, TID is a real owner of the original song, huwezi toa nyimbo yake bila kumu consult, hiyo haiko sawa. Na kisheria Quick lazma atalipa.
Fanya kukutana na kaka mkubwa, Muongee na mmalizane. Hakuna kisichoeleweka. Umesample kabisa ile ngoma yake. So far i know ni ubunifu na hii kitu pia ni nzuri sana so kabla haijachafuka. Ongea na mkubwa!
hivi ndivyo munavyopata magari yenu.haha
con boy 💥💥💥💥💥💥
Hot u really rock it abo aka quick
Saf sana.
ngoma ya kawaida
Dicky Mchome punda nyinyi
iko poa
Kali sanaaaaaaa
nyc collaboration
Fresh sna
mumeharibu lunya hange chana...hahah
Fire
Bazinga
mikono ya lufa
❤❤
u sampled t.i.d verses without consent from him. we quick racka huna heshima kwa wanamuziki wazee. hiyo ni usenge.
hahahaha Salmin Mamae
🔊
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🖤🔥🔥🔥
OMG Atali
🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤
kali sana
Nice one...
Love from Doha #+974
2018 🔥 🔥
💥💥💥©
👏👏👏👏👏👏👏👐👐👐👐
noma
Bado Sana Kazen Buti Game Ngumu
noma