- 26
- 3 408 025
SwitchMusic
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 29 พ.ค. 2016
Official TH-cam Channel for Switch Music Group ( SMG) For Booking Contact | switchstudiotz@gmail.com
Quick Rocka - LOML ( Love Of My Life - Official Audio )
LOML ( Love Of My Life ) official audio performed by Quick Rocka .Produced by Ammy Wave at Switch Studios .
มุมมอง: 108 748
วีดีโอ
Quick Rocka - Te Amo (Official Video)
มุมมอง 89K3 ปีที่แล้ว
#QuickRocka #TeAmo Lyrics: Rocka …. Quick Kiutani tani maajabu flani unipege, Chumbani mbani uno nipandishe ndege Wahuni na mjani,me na wangu honey hizo dede. Utamu flani mambo flani nikubebe. Me nawe kama mfupa kwa fisi,tope kwa kambale Umeniteka kiurahisi mtoto wa tandale, Unanipenda nasikia raha,gusa pale pale. Wachawi wanazidi kudiss,tandika tulale mama. Te Amo ,mamy wee gusa pale pale Te A...
Quick Rocka - Kabinti (Official Audio)
มุมมอง 40K3 ปีที่แล้ว
#QuickRocka #Kabinti Lyrics ; Rocka … Quick Everytime i close my eyes girl all i see is you, Siwezi hata kusema lies,coz all i see is true, Nimejikoki ninja nimetulia nakuonyesha mabalaa Nilivyo kama mjinga nasujudia nakufuata kila saa, Na ulivyoumbika mama wee nakosa wapi pa kuanzia Unavyonipenda dada wee tabasamu lako laniambia, Baby I love you so much,tuwe tu wawili , Na leo nakuoa tukajenge...
Quick Rocka - Ukimya (Official Audio)
มุมมอง 12K3 ปีที่แล้ว
#QuickRocka #Ukimya Lyrics; Rocka ….. Quick Wasi wasi wa mapenzi dhuluma, Sio kama matatizo nayaweza mama yanauma Mpaka kiza kinatanda unahisi hauonekani. Sema me ndo Nakupenda najifanya kama sioni. Mmmmh kwako kauli Sina, Akili ndo inakutuma Umedangamywa na ukimya Leo penzi lageuka utumwa Ukimya wangu sio uwoga (Maumivu) Ukimya wangu sio uwoga (Maumivu) Ukimya wangu sio uwoga (Maumivu) Ukimya ...
Quick Rocka - Te Amo (Official Audio)
มุมมอง 10K3 ปีที่แล้ว
#QuickRocka #TeAmo Lyrics: Rocka …. Quick Kiutani tani maajabu flani unipege, Chumbani mbani uno nipandishe ndege Wahuni na mjani,me na wangu honey hizo dede. Utamu flani mambo flani nikubebe. Me nawe kama mfupa kwa fisi,tope kwa kambale Umeniteka kiurahisi mtoto wa tandale, Unanipenda nasikia raha,gusa pale pale. Wachawi wanazidi kudiss,tandika tulale mama. Te Amo ,mamy wee gusa pale pale Te A...
Quick Rocka - Love Song (Official Audio)
มุมมอง 39K3 ปีที่แล้ว
#QuickRocka #LoveSOng Lyrics: Rocka …. Quick Huwa napenda rangi yako hiyo inayowakawaka, Mwendo wako huo unavyonatanata Figure yako hiyo ndio ilionifanya nidate na wewe, Napenda macho yako hayo unaponiangalia Upishi wako mamy unaponikia Fundi kitandani,me ndo nadata na wewe. *Nakupenda,sioni neno lenye uzito kukwambia zaidi ya Nakupenda, Wewe ndio mwanzo na mwisho wa mapenzi yangu yote Nakupend...
Quick Rocka Feat Q Jay - Bullet (Official Video)
มุมมอง 34K4 ปีที่แล้ว
#QuickRocka #Bullet (C) Switch Music Quick Rocka's Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: ffm.to/quickrocka Written & Performed by Quick Rocka Follow QuickRocka on: QuickRocka QuickRocka Channel Administered by Slide Digital Instagram: slidedigitaltz
Quick Rocka Feat Joh Makini - BEMBELEZA (Official Video)
มุมมอง 393K4 ปีที่แล้ว
#QuickRocka #Bembeleza (C) Switch Music Quick Rocka's Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: ffm.to/quickrocka Written & Performed by Quick Rocka Follow QuickRocka on: QuickRocka QuickRocka Channel Administered by Slide Digital Instagram: slidedigitaltz
BEMBELEZA (LYRIC VIDEO) - Quick Rocka Ft. Joh Makini
มุมมอง 61K5 ปีที่แล้ว
#QuickRocka #Bembeleza (C) Switch Music Quick Rocka's Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: ffm.to/quickrocka Written & Performed by Quick Rocka Follow QuickRocka on: QuickRocka QuickRocka Channel Administered by Slide Digital Instagram: slidedigitaltz
BEMBELEZA - Quick Rocka (Switcher) Feat. Joh Makini
มุมมอง 33K5 ปีที่แล้ว
#QuickRocka #Bembeleza (C) Switch Music Quick Rocka's Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: ffm.to/quickrocka Written & Performed by Quick Rocka Follow QuickRocka on: QuickRocka QuickRocka Channel Administered by Slide Digital Instagram: slidedigitaltz BEMBELEZA a Love song by Switcher Baba featuring Joh Makini (Official Audio).Produced by Switcher...
Quick Rocka (Switcher ) - FALLING (Official Music Video)
มุมมอง 55K6 ปีที่แล้ว
#QuickRocka #Falling (C) Switch Music Quick Rocka's Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: ffm.to/quickrocka Written & Performed by Quick Rocka Follow QuickRocka on: QuickRocka QuickRocka Channel Administered by Slide Digital Instagram: slidedigitaltz
Quick Rocka - AMINA (Official Audio)
มุมมอง 20K6 ปีที่แล้ว
#QuickRocka #TeAmo (C) Switch Music Quick Rocka's Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: ffm.to/quickrocka Written & Performed by Quick Rocka Follow QuickRocka on: QuickRocka QuickRocka Channel Administered by Slide Digital Instagram: slidedigitaltz
BATANI - Ibrah Nation Feat. Switcher Baba
มุมมอง 8K7 ปีที่แล้ว
#QuickRocka #Batani (C) Switch Music Quick Rocka's Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: ffm.to/quickrocka Written & Performed by Quick Rocka Follow QuickRocka on: QuickRocka QuickRocka Channel Administered by Slide Digital Instagram: slidedigitaltz
Quick Rocka - TOSAMAGANGA (feat. S2Kizzy)
มุมมอง 23K7 ปีที่แล้ว
#QuickRocka #Tosamaganga (C) Switch Music Quick Rocka's Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: ffm.to/quickrocka Written & Performed by Quick Rocka Follow QuickRocka on: QuickRocka QuickRocka Channel Administered by Slide Digital Instagram: slidedigitaltz
OMG Feat. S2kizzy - SWING (Official Audio)
มุมมอง 78K7 ปีที่แล้ว
Follow OMG at: Instagram: @omgtanzania / S2kizzy Twitter: @omgtanzania Facebook: @omgtanzania Music by OMG ft. S2KIZZY performing SWING (Official Audio). (C) 2017 exclusively licensed from Switch Music Group Bookings at switchstudiotz@gmail.com
Quick Rocka - STILL (Official Music Video)
มุมมอง 48K7 ปีที่แล้ว
Quick Rocka - STILL (Official Music Video)
STILL - QUICK ROCKA (Switcher Baba) Official audio
มุมมอง 3K7 ปีที่แล้ว
STILL - QUICK ROCKA (Switcher Baba) Official audio
SMG Present | OMG, Country Wizzy, MONI, Medicine, Wildad - SWITCH MASK OFF REMIX (OFFICIAL AUDIO)
มุมมอง 158K7 ปีที่แล้ว
SMG Present | OMG, Country Wizzy, MONI, Medicine, Wildad - SWITCH MASK OFF REMIX (OFFICIAL AUDIO)
Quick Rocka & OMG - WATASEMA (Official Music Video)
มุมมอง 152K7 ปีที่แล้ว
Quick Rocka & OMG - WATASEMA (Official Music Video)
Quick Rocka Ft Mimi Mars - Down (Official Music Video)
มุมมอง 211K7 ปีที่แล้ว
Quick Rocka Ft Mimi Mars - Down (Official Music Video)
Quick Rocka ft Ngwair & Shaa - My baby (Official Video)
มุมมอง 477K7 ปีที่แล้ว
Quick Rocka ft Ngwair & Shaa - My baby (Official Video)
OMG ft Barakah The Prince - UONGO NA UMBEA (Official Music Video)
มุมมอง 651K7 ปีที่แล้ว
OMG ft Barakah The Prince - UONGO NA UMBEA (Official Music Video)
Quick Rocka Ft Chin Bees - Mwendo Kasi (Official Audio)
มุมมอง 15K8 ปีที่แล้ว
Quick Rocka Ft Chin Bees - Mwendo Kasi (Official Audio)
HAPO - Quick Rocka,G Nako & Jux (Official Music Video)
มุมมอง 261K8 ปีที่แล้ว
HAPO - Quick Rocka,G Nako & Jux (Official Music Video)
Quick Rocka ft Young Dee - Bishoo ( Official Video)
มุมมอง 178K8 ปีที่แล้ว
Quick Rocka ft Young Dee - Bishoo ( Official Video)
Quick Rocka - Queen / Nakupenda ( Official Video)
มุมมอง 74K8 ปีที่แล้ว
Quick Rocka - Queen / Nakupenda ( Official Video)
So hamisa Mobetto was cute from the word go
2025 gonga like hapa
Nyimbo Qaliiii Sanaaaaa🙌🙌🙌
❤❤❤ my all time song
2025
2025
❤2025
2025❤
Everyone 2025🎉🎉🎉🎉😅
❤❤❤
2025 anyone ❤
2025 new year
29/12/2024 bado naupenda sana
Siichok jmn
Nimekuja baada ya kupost kajala
27th December 2024
27th December anyone 😌😌
Hiii ngoma imekaa vizurii sana inanifanya nasafirii kimawazo
Hiii ngoma kalii sana inanifanya nasafiri kimawazoo
Tuliemuona twaha mabantu tujuane ap
🎉🎉
Tupo wengi
2025 Nipo hapaaa💥🔥
❤
Jmn wimbo mzuri
2024 what a song!!
goma zuri hili jaman
ukiekeawa biti ukashindwa kuchana utazomewa sana woooooo🤣🤣🤣🤣🤣
Came here after Queen masanja
Nimekuja hapa baada yakujua wimbo niwa fule nampenda sana
Anyone in 2024 Te ampo ✌️
tosa tosa pole pole
Ngoma la muda wote ❤
Nimeiskilza mara ya 120
Roshinge family pamoja sana kwario husika kutengeneza kitu hiki
2024
2024 OG’s mpo?
kama unakubali hip gonga like
2024
Nikiwa na bundle huwa sichoki kuskiza hii nyima na kutazama video yake
❤❤❤❤
sema hii ngoma Quick alikimbizwa sana na Dee
Tupo apa 2024 tuliyo ikubali tangu na tangu✊✊
Wimbo Una 2yrs sijawahi usikia😢,ila queen 👑 ndio kanileta huku❤❤nice song🎉🎉
Yaaan hii nyimbo namwona mimi mars jmnii😂😂🙌🙌
November 2024
Queen masanja kanifanya nije huku
Jua kali imenifanya nikuje uku ❤
🎉🎉🎉🎉 5/11/2024
Queen masanja ndio kanifanya niutafute huku, umetisha sana mama