IPO FAIDA VIDEO OFFICIAL EZEKIEL 🇺🇸 FT PASCHAL CASSIAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 34

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 6 หลายเดือนก่อน +1

    A nice song indeed 👌 I love ukisota wanadamu hata wale wa karibu nawe. Ni Yesu tu ndiye hawazi kukuacha katika hali yeyote ile. Kwa Mungu kuna faida ku tuwe waaminifu daima. 🙏🙏🙏🙏mbarikiwe sanaaaa na mbingu itembee nanyi watumishi

  • @EmmanuelTsuma-u3i
    @EmmanuelTsuma-u3i 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika wimbo huu una ujumbe mzito❤

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 6 หลายเดือนก่อน +6

    Faida kubwa mno. Yakikuendea mrama, hutawahi ona wa karibu wako, ila mungu yu nawe kwa kila hali.

  • @adamjulius9782
    @adamjulius9782 6 หลายเดือนก่อน +5

    Kiapo cha damu naisubili itatoka lini?

  • @isaya.m.mwakapesa9808
    @isaya.m.mwakapesa9808 6 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU wambingunu Akubariki sana mtumishi wa MUNGU

  • @babugilbert6922
    @babugilbert6922 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika kwa Mungu ni faida tupu hakuna kuhesabu hasara

  • @neemarabani
    @neemarabani 6 หลายเดือนก่อน +4

    Hakika kuna faida kubwa kubaki na MUNGU hata Mimi naiona

  • @emmanuelmwandu.3126
    @emmanuelmwandu.3126 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah Utukufu Kwa Bwana Yesu. Ujumbe Muhimu sana

  • @tukuyufm
    @tukuyufm 6 หลายเดือนก่อน +5

    ipo faida mtumishi wa mungu naiona.

  • @abbyimbukwa3835
    @abbyimbukwa3835 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mimi n mmoja kati ya wale walioachwa, Naona faida ya kubaki na Mungu❤

  • @rosemgimba7630
    @rosemgimba7630 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutunze pascal cassian nyimbo zako huwa zinanibariki sana sifa na utukufu ni kwa Mungu

  • @LevinaMwashigalaLevinaMwashiga
    @LevinaMwashigalaLevinaMwashiga 6 หลายเดือนก่อน +2

    Amani mtumish ubalikiwe sana ila kiapo cha damu tunasubilia 🎉🎉🎉

  • @zuberally9351
    @zuberally9351 6 หลายเดือนก่อน +4

    Jina la Bwana libarikiwe

  • @azizafrancine301
    @azizafrancine301 6 หลายเดือนก่อน +3

    Asante mutumishi wamungu mungu agutiyeguvu

  • @JedidaNdutuu-ys3lx
    @JedidaNdutuu-ys3lx 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli ipo faida ndani ya yesu. Alfu Ezekiel acheza kama wewe kabisa hakuna utofauti

  • @kevinchimasia7533
    @kevinchimasia7533 6 หลายเดือนก่อน +3

    My brother ❤❤

    • @roselyneezekiel
      @roselyneezekiel 6 หลายเดือนก่อน

      Wow! Amazing song! Be blessed, tunakupenda Kenya. Karibu huku pia

  • @JorgeJohnmbango
    @JorgeJohnmbango 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ubakiwe sana

  • @veroniquegershomu9197
    @veroniquegershomu9197 6 หลายเดือนก่อน +2

    MBARIKWE

  • @MussaKaminyoge
    @MussaKaminyoge 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubaliki watumishi

  • @benwalker254
    @benwalker254 6 หลายเดือนก่อน +2

    Njooo unipe support pia

  • @sundimalekwa8391
    @sundimalekwa8391 6 หลายเดือนก่อน

    Mwaka wetu wakuenjoy tu na kubarikiwa

  • @benjaminwafula
    @benjaminwafula 6 หลายเดือนก่อน

    Wapi mwendelezo wa kiapo cha damu

  • @SamweliKayanda
    @SamweliKayanda 6 หลายเดือนก่อน

    Hakika MUNGU hawezi Acha ❤❤

  • @AndreDamasio-pb2iq
    @AndreDamasio-pb2iq 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @jovettedenise2591
    @jovettedenise2591 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen❤

  • @EddahMwakipesile
    @EddahMwakipesile 6 หลายเดือนก่อน

    Ameen,ipo faida kubwa sanaaa

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 6 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉✊✊✊🔥🔥🔥

  • @Jonathankaghese
    @Jonathankaghese 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @Pascomwinuka
    @Pascomwinuka 6 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HaruniEriasi-fb8yy
    @HaruniEriasi-fb8yy 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ndeu tu

  • @LucyNdunge-j1p
    @LucyNdunge-j1p 6 หลายเดือนก่อน

    Be blessed

  • @eliasmyamba4767
    @eliasmyamba4767 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤

  • @EbaloveEsongo
    @EbaloveEsongo 6 หลายเดือนก่อน

    Amina