MJENGO WA KIFAHARI WAMPONZA MWIJAKU ATUMBULIWA ABANWA/MUDA HUU AMWAGA MACHOZI HADHARANI?

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 24

  • @floriannkwita4672
    @floriannkwita4672 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mdogo wangu Mwijaku siku zote nilijua wewe ni mtu wamasiara sanaaa ,na pia ni mtu ambae nilijua wewe ni Moja wa wasanii wapenda starehe kumbe ni tofauti nilivyo kuwazia ,hongera sanaaaa Bwana mdogo ,wewe una akili kuliko Diamond nakupenda sanaaaa ,mdogo wangu

  • @user-pj4mx2ro4h
    @user-pj4mx2ro4h 6 หลายเดือนก่อน +5

    Kwann baadhi ya waandishi mnakuwa wa hovyo sanaa?? Mnaandika vitu ambavyo havipo pumba kweli

    • @AlexanderFikiri
      @AlexanderFikiri 6 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤p

  • @angelamamboleo2204
    @angelamamboleo2204 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani nyumba yenyewe ina maajabu gani jamani yaani ndiyo umejenga umejitahidi basi usiwe limbukeni mshukuru mungu inatosha

  • @mbondelotv8380
    @mbondelotv8380 6 หลายเดือนก่อน

    Kumbe uko vizuri!Nimekuelewa huo ndio uwanaume.....unatia moyi wa kupambana......huo ndio uwanaume

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nyumba ya kawaida tu unatukana watu n amna hii hiyo mbon a ni nyumba ya kawaida tu mwijaku

  • @allyndabe2458
    @allyndabe2458 6 หลายเดือนก่อน

    hongera sana my lol model umenipa nguvu yakupamba zaid katika maisha🎉💕🇹🇿

  • @Lanihsarumu
    @Lanihsarumu 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mwandishi acha wivu wa maendeleo ya mwijaku

  • @ngoilucas6303
    @ngoilucas6303 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera mwijaku

  • @benjaminmartin4548
    @benjaminmartin4548 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jitahidi kuongea vizuri usi watharau watu hiyo nyumba hutaicha watu watakubeba siku moja be good

  • @kiatu
    @kiatu 6 หลายเดือนก่อน

    Hivi mnasikiliza seriously 😂😂😂

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mi nikitoka Oman. Nitakuletea zawadi

  • @johnndunguru1113
    @johnndunguru1113 6 หลายเดือนก่อน

    Mjengo mkalii mwijako ongera sana..

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 6 หลายเดือนก่อน +2

    atumbuliwa kwani anafanya kazi serekalini usema ameibiya serekali sema serekali yetuu haiifatilii mambo kama hayaa serekali yamama samia kiongozi mwenye utuu ingekua uongozi mwingine angehojiwa tuu aonyeshw chanzo chamapato yake nakalipaje kodi

  • @user-ok6lv3je4b
    @user-ok6lv3je4b 6 หลายเดือนก่อน

    Kila m2 kapangiwa liziki yake. Apa duniani,

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 6 หลายเดือนก่อน

    AchA DHArau mwijaku kutwa kumsema mond acha chuki huna point

  • @adamkadiri8761
    @adamkadiri8761 6 หลายเดือนก่อน

    Safi sanaa

  • @FatmaLaurent-ik3or
    @FatmaLaurent-ik3or 6 หลายเดือนก่อน

    Izi habari zenu zakipuuzi zitatufanya tuone kila kt chakipuuzi

  • @mubaraalichiku6089
    @mubaraalichiku6089 6 หลายเดือนก่อน

    Hivi waandishi mmnakosa mtu wa kumhoji? Mwenye pesa hajisifu, Takukuru inamhusu، huenda ana njia za madawa ya kulevya,

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 6 หลายเดือนก่อน

      Madawa ya kulevya na TAKUKURU wapi na wapi 😳

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 6 หลายเดือนก่อน

    Gorofa moja kelele vp ungejenga gorofa tano ungemtukana rais

  • @MJ-rr6dy
    @MJ-rr6dy 6 หลายเดือนก่อน

    bila kumtaja mond maisha yako hayaendi, uzuri mond hua hatoi kiki kwa wajinga km wewe