Sasa Hivi Tuna Shekilango Urafiki Ushaondoka 😅😅😅😅😅😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂Daaaaah Nimecheka Sana Leo, Kwenye Live Bila Script , Naturally Leonardo Ni Master, Ni Kiki But Very Funny 😁😁😁😆😆😆😆😅🤣
Wote ni bora lakini leonardo majigambo mengi na istoshe wandishi wa habari nao nimiongoni mwa watu munao wagombanisha wasani mna felisana tabiazenu niza hovyooo nyama choma nyiieee👺👺👺👺👺👺👺
Babu watu wanaboost hizo namba wew fuatilia comedy wanayafany ila views cijui followers mastaa wote wanaboost sem Leonardo alikua hana expert wakuboost ila now naona namb Instagram zinapand ukitaka uamin muangalie Mr mwanya no anazopiga Instagram hafu njoo huone TH-cam hamna kitu 😂
Mimi naona wote hawajatumia busala kwenye kuongea sababu kila moja anajisifia kwenye ukubwa wake japo Leonard kazid majivuno adi ndaro kapata hasira kwaufupi mimi naona wote wamezingua japo leonard maneno yake dah? ata mim ninge chukia angekuepo mwenye akili angekaa Kimya tu comedy sio vita wangeacha ufike mda kazi iongee na mshind apatikane
""Nakushika na nikiamua nakushika shika""🤣🤣🤣🤣
Leonardo 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Leonardo is the best comedian
Daaah mwamba maneno kuntu
Lea is the best comedian I’m from South Africa Johannesburg
Yani mpango kbs watanzania bwana bila kiki hamna ku trendi 👌👌👌👌
Leonaldo is the master
Uo ni mchezo tuu wanatuchezea tuu ao wamepangaaa ao kama unaamin gonga like
Leonard yupo pic san ♥️
Ndaro ❤❤ 🔥
Media za kishambaaa sijawahi kuonaaaaa
Kila mtu alishaelimika now tunatak ku have funny😂
Ndaro hasira
😂😂😂 Leonardo ni genius sana
Leonardo🔥
Ndaro one love
Sasa Hivi Tuna Shekilango Urafiki Ushaondoka 😅😅😅😅😅😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂Daaaaah Nimecheka Sana Leo, Kwenye Live Bila Script , Naturally Leonardo Ni Master, Ni Kiki But Very Funny 😁😁😁😆😆😆😆😅🤣
Leonardo anajua sana
Kweli
Menyejiment yako au nimesikia vibaya
Kimbaumbau ni mkorofi sana
Leonardo anajisikia sana .
Amna ni utani tu, wala hajisikii.
IZI NI PLANI ZAO
Mbona kama ni series 😂😂😂😂😂😂
Mbona Kama muna force ugovi
We acha sifa leonard😊
Eti iyo menye ndo yenyewe😂
Ndaro ni ana hasira ila Leonard yupo peas 😂😂😂😂nampenda Leonard ❤❤❤❤❤❤
Waandishi mbona kama wachonganishi jamani
Ndaro kashaogopa moto wa Leonardo 😂😂😂😂
Me sijapenda kabisa waandishi mnagombanisha watu
Uyu ndaro hataki nin mbn kwenye page yake anajiosheaga sana😂😂
Menyeeeeeeeeee😂😂😂😂😂
Kwani NILAZIMA shenzi sna
Leonard anajiskia sana mmh
Ila Leonard anakera😅😅😅😅😅
Hao wanajuana
Ndaro anahasira
😂😂kawaida ya wajita
Hawa watu wanajuana Toka lini MUHA wa kigoma akubari kushindwa kizembe Ivo 😂😂
Leonardo is the best
Bdo sana kwandaroo
Comeback & karma is the best set up😂😂😂🙌
Hawa waongo wanaact tu..koy hajawalea hvo kwenye industry
Ndaro mkali
😂😂❤
Leonardo wewe ni king
Ronaldo ndiye mshidi
leonard is the best😂😂
Use the edit icon to pin, add or delete clips.
mpaka hapo Leonard kashinda apewe mil 10 zakeee🤣🤣🤣🤣
Ndaro ame mind kweli halafu leonardo anafanya utani
Hii nikama ile ya mwakinyo na harmonize
Acheni kugombanishwa
Unaringa sana na kingereza 😂😂😂
❤❤
Acheni ujinga
Kiukweli leo umezingua sana
I thought it's all jokes..... Hii vita inaezaisha vibaya
😂😂😂😂 Mimi nasubilia nione ushindi
Leonardo kama demu tu
Hao wasee wachonganyishi nkt
Leon mimi hoi😂😂😂😂
Ww dogo ndaro humuez kabisa shindana na Steve mweus kwanz
We boya kweli
Sijawahi kumuelewa huyu ndalo is the best
Leornado mchokozi lakini😂😂
At nakushika na kushikashika
Hizi ni media za kishamba kabisa
Ila kiki😅😅😅😅😅
Ao waandishi ni wahovyo wanapenda ugonvi
Nimeangalia interview ila nimecheka mpaka nimechoka
Leo ni mkali aisee
Leonard mshambaa tuu kumbe,,,,
Dah nlijua yatafika huku ila wabongo htr mm naomba iwe Kiki tu
Umezngua leonado
Mhhhhh
Ila huyu leonardo ana sifa sana
Leonald amuwez ndalo miaka kumi10
Acheni kutu igizia
Sio kuwa Leonardo anajiskia bali hujajuwa kutofautisha neno kujiamini na kujiskia, Leonardo anajiamini tu
Leonard unakiroho mbaya sana ndio maana akanenepi
Leonardo ni nouma 😁😂
Promotion ile muko nafanya. Lakini powa tu wa shamba wata zani ni sériosité.
Leonardo anakosea sana
Wote ni bora lakini leonardo majigambo mengi na istoshe wandishi wa habari nao nimiongoni mwa watu munao wagombanisha wasani mna felisana tabiazenu niza hovyooo nyama choma nyiieee👺👺👺👺👺👺👺
Ndaro kaongea point ya maana......leo anabonga ubwege kabisa
Kiki yakutambulisha show iyoo
Mbona kama munataka kuwagombanisha
Shida jamaa hajui kuchekesha kwa harak anamaneno meng tyu
Leonardo bado kwa ndaro kwani si namba zinajieleza
Babu watu wanaboost hizo namba wew fuatilia comedy wanayafany ila views cijui followers mastaa wote wanaboost sem Leonardo alikua hana expert wakuboost ila now naona namb Instagram zinapand ukitaka uamin muangalie Mr mwanya no anazopiga Instagram hafu njoo huone TH-cam hamna kitu 😂
Namba Za nini hata diamond Ana numbers nyingi ku mshinda buner boy
@@FrankKandonga-sy1xlhafu no wanaboost kisenge Yan
Leonard ni 🔥 😂😂😂
Ndaro anazingua..... Leonardo Yuko simple na really, Ndaro anapaniki kizembe
Usimlinganishe ndaro na Leonardo titagombana
Mbona kama muko upande wa Leonard wote
Hapana hawapo upande wa Leonardo sema ndaro anapaniki angechukulia easy
@@Dadieztvonlinetatizo ndaro mondi anavyommention kweny comment bhac anajikuta Mr bean 😂
@@BIGGIEBOOST umeongea point
Leonardo utulie san maan kwa ndaro uwez tena uwez
Na nyie mmeanza kiki
Huyu jamaa leonard na waandish wake ni washamba2
Mbn izi media inataka kugombanisha watu😔
Weye unajivu niya uchawi unaonakama utakufa mubayasana
ndaro unakosea san...mbona kama una hasiraa
Ndalo ni mwamba açhana na huyo pimbi wa maneno
Mimi naona wote hawajatumia busala kwenye kuongea sababu kila moja anajisifia kwenye ukubwa wake japo Leonard kazid majivuno adi ndaro kapata hasira kwaufupi mimi naona wote wamezingua japo leonard maneno yake dah? ata mim ninge chukia angekuepo mwenye akili angekaa Kimya tu comedy sio vita wangeacha ufike mda kazi iongee na mshind apatikane
Wnahabari mamalaya wote....umbwa nyinyi
Scripted😂
Ndalo mweupe Hana lolote
Huyó hamueezi ndaro