AMINA. Wakristo tunahitaji Uguso ya pili katika Jina La Yesu. Kwa maisha mambo yamekuwa kama miti hakuna kitu inaendelea. Mara ya pili ni Roho Mtakatifu na Malaika waingie ndani yetu tuweze kuona vyema. Yesu Anatungojea na Akituponya tusirudi kwa hiyo kijiji. Leo ni kuchomoka na kutoka kwa hiyo kijiji imerogwa. Tutafunguliwa na huo upofu tulifungwa nao maishani na tutarudi kwa nyumba zetu, kazi zetu na Madhabahu zetu. Lazima Yesu Atutoe kwa kijiji kwanza kabla Atuombee ndivyo Akituombea na tukipona tusirudi kwa hiyo kijiji bali turudi nyumbani kwetu. Leo hatutasaidiwa na hakuna kuombaomba tena. Mungu Atafungua maisha yetu ya kifedha na mifuko yetu . Wewe ulifungwa toka kwa hiyo kijiji ukutane na Yesu kwa barabara.
Amen 🙏, Bishop Mwai kutoka sio shida,shida ni mahali mtu ataenda,nikilala naota nikifukuzwa nikiamka nafukuzwa asubuhi,niki taka ku lala usiku huwa na ambiwa nitoke hapa ,sina Amani hata kidogo 😭 nime choka kufukuzwa 🙆
AMINA. Wakristo tutoke kwa hiyo kijiji tumeishi kwa maana tukitoka Mungu Anakuja Kututendea na Kutuinua. Kama unataka kumuona Yesu tokea kwa barabara na bila shaka utamuona na utaguza Nguo Yake.Toka nje ya kijiji ukutane na Yesu na Atakutendea. Hata mambo yakiwa mabaya tutoke hapo watu wametuweka na ili tupatane na Yesu. Wale walitufunga na wakasema hatutaendelea leo Yesu anatembea na kuna muujiza utatendeka. Yule Mwenye miujiza Anatembea kwa barabara. Mwenye miujiza hatakuja kwako kama hujachukua hatua ya imani. Ni imani yetu itafanya miujiza na itafanya maisha yabadilike. Wakati mwingine Yesu Anaweza tembea na Hakujua kama kuna kitu itatendeka lakini wewe kwa sababu umemtafuta muujiza unatendeka.
Natoka kwa hii Kijiji ya vita.mashinda,

Amen pastor Tutachukuwa hatuwa ya Imani Hali tunazo pitiya hatutakubali situfunge kwanyumba imetosha sasa ata mgojwa sitakubali iniangamize
Amen 🙏 🙏 🙏
AMINA. Wakristo tutoke kwa hiyo kijiji tumeishi kwa maana tukitoka Mungu Anakuja Kututendea na Kutuinua. Kama unataka kumuona Yesu tokea kwa barabara na bila shaka utamuona na utaguza Nguo Yake.Toka nje ya kijiji ukutane na Yesu na Atakutendea. Hata mambo yakiwa mabaya tutoke hapo watu wametuweka na ili tupatane na Yesu. Wale walitufunga na wakasema hatutaendelea leo Yesu anatembea na kuna muujiza utatendeka. Yule Mwenye miujiza Anatembea kwa barabara. Mwenye miujiza hatakuja kwako kama hujachukua hatua ya imani. Ni imani yetu itafanya miujiza na itafanya maisha yabadilike. Wakati mwingine Yesu Anaweza tembea na Hakujua kama kuna kitu itatendeka lakini wewe kwa sababu umemtafuta muujiza unatendeka.
Hutia ria keri wee Ngai wakwa ndige kuona marundurundu nigetha nyine wega baba bururi uria ndiriraguria
Amen.
Mungu nihurumie
Mm nisha toka kwa Hicho Kijiji
Amen Glory Be to GOD.
This is wonderful...Joy you are going far
Mimi lucy wangui njoki natoka kwa kijiji yesu nihurumie aky sitaki shida
Very true Dad
Dady niombe naamini tutapona
So powerful
Mm natoka Kwa hii Kijiji spiritual natoka ,daddy simalizi wiki kama sioti na Kijiji ya kwetu hushango ,na nilitoka huko nikiwa class one .
Sorry pray against spirit of setback
Naomba paster muniombee tumbo yangu iko na uvimbe nasipelekwi hoshi nkiabia boss anasema kesho kwanzia march nko saudi plz niombee