Povu la OSTAZ JUMA baada ya kubanwa kuhusu kumshambulia DIAMOND "mimi nataka abadilike, msanii no1"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2021
  • #Diamond

ความคิดเห็น • 823

  • @elimumwaipaja74
    @elimumwaipaja74 2 ปีที่แล้ว +50

    Jamaa anauliza maswali mazuri sana.. ila Juma hamna kitu hapo.. Diamond amejitafuta na amejipata.. amevumilia Mengi sana.. hao kina Juma hawakuonaa.. tumuache Diamond aendelee kuenjoy maisha

    • @lusekeloadam5755
      @lusekeloadam5755 2 ปีที่แล้ว

      %kubwa ya wanao vaa🕶 kwenye mahojiano ktk onlinetv wanakuwa hawajielewi. wana ogopa 📷 kwa upuuzi wao. Mzee unazeeka vibaya

    • @vemakaskoss4305
      @vemakaskoss4305 2 ปีที่แล้ว +1

      Unajua bana chema kinaonekana sku zote diamond asingekuwa on top tungeona mfano mzur nomination za afrima izi apa kanominatiwa mara 5 emb ona alaf huk bong tunamponda kishenz yaan wanalazmisha ss tumchkie hawatupati ngo jomba anaimb. Bana

  • @getruderichard5720
    @getruderichard5720 2 ปีที่แล้ว +3

    Chuki mbaya sana aiseee
    Hongera Dimond wewe n mti wenye matundaaa . Mtu na nusu We love u diamond platnumz.

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 2 ปีที่แล้ว +7

    Yaani ilo povu la ostaz juma Namusoma sijui la omo, doffy, au Nice one

  • @sulleyally5040
    @sulleyally5040 2 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali sana Kaka usiogpoe sema ukweli tuu tupo pamoja na ww kaka

  • @elimumwaipaja74
    @elimumwaipaja74 2 ปีที่แล้ว +19

    Chuki inakusumbua Juma.. ndo maana umepotea kwenye ramani.. Huyo Diamond unayemchukia ndiye ameleta mapinduzi kwenye buran na kuipa thaman sanaa ya muziki.. umepata airtime ni kwasababu ya Simba. Kaaa Kimya..

  • @feronandsulubu6711
    @feronandsulubu6711 2 ปีที่แล้ว +24

    Diamond yupo kwasabu ya sisi wakenya na watanzania wazalendo uyu mzee nimchawi

    • @emmahbishoo7303
      @emmahbishoo7303 2 ปีที่แล้ว

      We nae mbwa wakenya gani...??? diamond anajipenda yeye tu hatakagi wengine wawe kama yeye

    • @jumamwaboko5087
      @jumamwaboko5087 2 ปีที่แล้ว

      Sema Mkenya! We Hamia Huko Tz!

  • @mohammedjuma6736
    @mohammedjuma6736 2 ปีที่แล้ว +11

    Dah ostaz atakufa akiwa anamtaja daimond yaani anachuki za wazi wazi

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 2 ปีที่แล้ว +16

    Mondi
    Ni wakati wake Kama walivyo kua wengine hivyo asipangiwe Nini afanye

  • @IfahamuTanzania
    @IfahamuTanzania 2 ปีที่แล้ว +16

    Kuanzia leo iwe mwanzo na mwisho kutuletea hizi TAKA TAKA kuzungumza hapa!!

  • @SamSPROStudio
    @SamSPROStudio 2 ปีที่แล้ว +23

    Huyu jamaa anachuki ya kwa sababu hajamsaidia Diamond....alipenda awe katika historia ya mafanikio yake. Katika interview nziima hakuna alichosema kuonyesha kuwa Diamond Hana ukubwa au mafanikio yanayosemekana anayo.

    • @jimyjastini9995
      @jimyjastini9995 2 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa ukosahihi jamaangu kwanza huyo mze hanahakiri nani shoga kama mwijaku

    • @michaelniyonkuru534
      @michaelniyonkuru534 2 ปีที่แล้ว +1

      Huyo Diamond wenu zilipendwa siyo sasa hivi arikuwa musani muzuli zamani siyo kwasasa namatusi yake

  • @cyrusharper2355
    @cyrusharper2355 2 ปีที่แล้ว +11

    SIJAWAI KUONA WIZKID AU DAVIDO AMEPOST KITU CHA MSANII YEYOTE YULE NJE YA LEBEL YAKE. SASA WATU WANATAKA KILA KITU MOND APOST SASA C ITAKUA UCHAFU.

  • @annetnight7962
    @annetnight7962 2 ปีที่แล้ว +58

    Where is in the world has Ostaz seen Micheal Jackson , Bob Marley, Davido, Wizikid, Burna Boy and many more have done to their countries musicians do what is asking DP to do? Why does he ask Alikiba, Mr Blue , other successful Tanzanian musicians of what is asking DP, is it coz DP has been successful more than other musicians in TZ that , Ostaz is just jealous

    • @hassanikobelo3688
      @hassanikobelo3688 2 ปีที่แล้ว +2

      Jealous people never win ostz is just jealous diamond he can help everyone and is not must he can do whatever he can there's many artists in Tz they can help others too

    • @Ab-pd9ow
      @Ab-pd9ow 2 ปีที่แล้ว

      Facts

    • @onesmoanthony9045
      @onesmoanthony9045 2 ปีที่แล้ว +1

      Ofcoz he jelous

    • @songabaluku4153
      @songabaluku4153 2 ปีที่แล้ว +1

      On point

    • @rajabdibwa6415
      @rajabdibwa6415 2 ปีที่แล้ว +1

      Promoter gani huyu mbona kachoka anatafuta kiki

  • @paulmawirakinyu2688
    @paulmawirakinyu2688 2 ปีที่แล้ว +15

    Msanii number moja nani alisema diamond ni number moja.....kwani diamond alisema lini yeye Ni number moja...WWE ni mwehu

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 2 ปีที่แล้ว

      Huyu hata watoto wake nyumbani watakuwa wanamshangaa sana kwa chuki na wivu alionao kwa Simba. Analazimisha Diamond afanye anavyotaka yeye. Au alitaka awe meneja wa Diamond hakufanikiwa?

  • @lelarubea6405
    @lelarubea6405 2 ปีที่แล้ว +27

    Kumbe mlikuwa mnasema uongo,sasa kwanini unamsema daimond yeye hakuongelei,acha wivu na chuki

  • @kassimkandulu2573
    @kassimkandulu2573 2 ปีที่แล้ว +15

    Toka +27 tuko pamoja.. ila ostadhi juma anachuki tu nasimba kila siku msanii no1 ..

  • @pedrorachidekalamaga9233
    @pedrorachidekalamaga9233 2 ปีที่แล้ว +46

    Uyo ostaz nshamba sana 🇲🇿🇲🇿

  • @alhamdullilla5108
    @alhamdullilla5108 2 ปีที่แล้ว

    Mungu anakunyanganya rizki una roho mbaya ww juma mweusi una nichukiya Diamond bila sababu maskini Diamond 🥰🥰🥰😘😘😘😍😍❤❤❤❤

  • @rmags8654
    @rmags8654 2 ปีที่แล้ว +20

    Wow!! kuna watu wana wivu jamani!! Yaani mtu unaweza kwenda jehanamu kwa dhambi ndogo ndogo na chuki zisizo kuwa na msingi!! Mtu anaongea kwa jazba mpaka jasho lina mtoka. Dah!! Ila leo Diamond akifa kama kanumba alipo kufa watu wataanza kumlilia. Lets appreciate people when they are still alive.

    • @sophieatieno5148
      @sophieatieno5148 2 ปีที่แล้ว

      Ata mi nmeshangaa sana.. Wivu ni mbaya. Kama inaezamtoa mtu jasho akiongea inaezamuua akilala.. Wivu inaezamkaba koo jamani 🙄🙄

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 2 ปีที่แล้ว

      Kanumba alizikwa nawengi waliompenda ila Bado wapo wanaomchukia wakina Afande sele hyo mijitu inachuki tu mbn hata Magufuli tupo tunaomkumbuka nabado wapo wanaoendelea kumtukana hi ndoo Dunia sio kila unachokifanya utapendwa

  • @isaacelijah6516
    @isaacelijah6516 2 ปีที่แล้ว +21

    Prophet never been love 2 their countries. Look Luck Dube what has happenned 2 him. RIP 🙏.

    • @unjuinkuganda1991
      @unjuinkuganda1991 2 ปีที่แล้ว

      Don't u compare GOD'S PROPHETS with SATANIC ones

  • @muhozadeodatus1857
    @muhozadeodatus1857 2 ปีที่แล้ว +18

    From🇧🇮, uyu alikua hastaiki kupewa nafasi kwenye medea hajielewi yeye ndo kwanza anajishusha heshima pia anapotosha vijana na jamii

    • @aishadjumaphones8877
      @aishadjumaphones8877 2 ปีที่แล้ว +2

      Uyubaba simupendi ningekuwa muchawi ninge muroga kwel

  • @salimali7930
    @salimali7930 2 ปีที่แล้ว +11

    Wasanii wa bongo Wana chuki za maendeleo na ubinafsi mkubwa kila mtu yuataka awe juu ya wengine wawe watu flan ndio wako juu...

  • @toangomayouthsportscentre5269
    @toangomayouthsportscentre5269 2 ปีที่แล้ว +6

    Daah nyie simulizi huyu mtu anavita parsonal, anatafuta kujulikana kwa sababu anaenda mbele, anarudi nyuma naomba msioji watu kama hao!!

  • @elimumwaipaja74
    @elimumwaipaja74 2 ปีที่แล้ว +25

    Diamond ni mtu poa sana...

  • @martinmendrad3531
    @martinmendrad3531 2 ปีที่แล้ว +7

    don't take personal broza do your things, Jealous is disease can kill.

  • @alhamdullilla5108
    @alhamdullilla5108 2 ปีที่แล้ว +3

    Ukiacha kumtukana Diamond tutakupenda sisi woote mashabiki wa Diamond ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @sophieatieno5148
    @sophieatieno5148 2 ปีที่แล้ว +10

    Sasa kama huyu mtu hakufaidika kwa mziki kama manager nani alimwambia wengine hawaezi toboa? He's an old man, hafai kukaa na chuki. Mafanikio ya Diamond yanaonekana tu na amepitia mengi kufika hapo. Kupost ni hiari ya mtu na pia biashara alafu TV na radio ya Wasafi, yake, hucheza ngoma za kila mtu..Amesema mwenyewe Mungu akimpa mtu hajali watakavyosema watu.. Sasa mbona yeye mwenyewe anajicontradict kwa kutapika chuki? Huyu amebeba tu giza ata wivu unaezamkaba koo asipochunga.. Diamond anajua kujimarket na haimaanishi mafans wake hatuappreciate wasanii wengine 🙄🙄

  • @3kings63
    @3kings63 2 ปีที่แล้ว +9

    Hapana R.I.P ostadh mmezoea kula migongoni mwa watu umefulia mzeee wala sifa zako hazitosh kwe2 umeua wasani wengi sana

  • @esauedison8136
    @esauedison8136 2 ปีที่แล้ว +3

    Mzee mzima anamuongelea kijana mdogo sana wa miaka 27

  • @ombeniruvubika5392
    @ombeniruvubika5392 2 ปีที่แล้ว +16

    Huyu mzee ni mchawi afu muongo sn.

  • @SamSPROStudio
    @SamSPROStudio 2 ปีที่แล้ว +8

    Jamaa anataka Diamond awapost wanamuziki wooote wa Bongo😀😀😀😀.....akifanya hivyo tu basi atamkubali kuwa yu number one musician in TZ. Jamaa anatakiwa kuelewa kwamba music is a business....alishaona Azam wanampost Bakhresa? Wanamuziki wengine wote ambao hawako kwenye lable ya WCB ni washindani wa Diamond kibiashara, asipowapost ni sahihi kabisa...ni the same Azam hawezi kumpost Bakhresa.

    • @RuzoOwzy
      @RuzoOwzy 2 ปีที่แล้ว

      Ye kasema alikuwa anafanya muziki hobby, sasa naona anataka wanamuziki wa sasa wafanye hivyo hivyo kama hobby na sio biashara. Anazingua big time.

  • @stivblack9243
    @stivblack9243 2 ปีที่แล้ว +2

    Sikutaka ku comment uyu mzeeh kanichosha heeeh aiseeh ili tako kweli

  • @erickgadson1617
    @erickgadson1617 2 ปีที่แล้ว +11

    Kama chuki kaianzisha yeye mbona kawazidi nguvu mpaka kawa number moja

  • @sirajshelali6209
    @sirajshelali6209 2 ปีที่แล้ว +4

    namuelewa sana ostazi juma..greatings from belgium

  • @unclepwechnov1381
    @unclepwechnov1381 2 ปีที่แล้ว +18

    Jamaa ana pumba na anatoka mapovu si mchezo🤣🤣, mtu mzima anakuwa na husda na mafanikio ya kijana mdogo.
    Obviously huwa anakosa usingizi kabisa kila anapomuwazia Sadala, a true wizard in disguise.
    The dude needs a psychological help.

  • @erickgadson1617
    @erickgadson1617 2 ปีที่แล้ว +2

    Diamond ana saport watu mbona anapiga nyimbo zawa sanii wenzake wasafi tv

  • @lukindomedia3499
    @lukindomedia3499 2 ปีที่แล้ว +11

    Ninachoshukuru anakiri mwenyewe kuwa ni msanii namba moja.

  • @suleimansalim2158
    @suleimansalim2158 2 ปีที่แล้ว +40

    Jealous never win, mtu mzima 24/7 anamuongelea Kijana anae wajibika na kumzidi kimaisha

    • @mwakiosalim2914
      @mwakiosalim2914 2 ปีที่แล้ว +2

      huyu mzee mjaluo ustadh🤣 kwanza anaumwa na mafanikio ya Diamond Plantnum..my b alimuomba kitu hela labda akanyimwa...ndoo maana ako na chuki sana hafai kuitwa ustadh..

    • @chantalmulasi5663
      @chantalmulasi5663 2 ปีที่แล้ว +2

      Uyo Babu ni mchawi sio kwa bure

    • @kibibisafi3331
      @kibibisafi3331 2 ปีที่แล้ว

      Jealous is disease 😕

    • @kibibisafi3331
      @kibibisafi3331 2 ปีที่แล้ว

      @@chantalmulasi5663 kweli kabisa 🤣🤣🤣

    • @kibibisafi3331
      @kibibisafi3331 2 ปีที่แล้ว

      Mzee ana haha wivu umemjaa. Husda

  • @winnieshikhunjira9630
    @winnieshikhunjira9630 2 ปีที่แล้ว +4

    Watching from Oman 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @abuulungala1150
    @abuulungala1150 2 ปีที่แล้ว +5

    Nimemsikiliza zaid ya mara 5 ila sijaelewa anaongea nn

  • @jojoshama2494
    @jojoshama2494 2 ปีที่แล้ว +4

    Lisura sasa ndio usiseme unachukia mtu amekuzidi hadi dhambi 😃😃😃😃😃sasa diamond afanyeje coz unamchukia🤔🤔🤔🤔maisha yake yasimame ama ndio unataka aje wee kumbafu mzee usiwe kua na adabu😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁lisengeee sanaaaaaaaaaaaa hili lijitu

  • @khatibonlinetv6392
    @khatibonlinetv6392 2 ปีที่แล้ว +7

    Hahaha dakika ya 7 sekunde ya 40 ...ameongea point muhimu Sana ....MUNGU akiamua kumpa MTU hajali itakuaje ...kwasababu yy ndio mtoa rizk ...sasa yy Mzee rizk ya mwenzake anailalia mlango wazi...unaweza pata kidogo na ukakitengeza Hadi kikawa kikubwa ....maneno yake mwenyewe🤭🤭yanamfunga...

  • @timochazze9845
    @timochazze9845 2 ปีที่แล้ว +6

    Nipo South Africa Cape town huyu ustazi ni mjinga sana anatafuta trending kwa kupitia diamond

  • @lelarubea6405
    @lelarubea6405 2 ปีที่แล้ว +18

    Kwani daimond alitamka lini yeye ni namba 1?

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 2 ปีที่แล้ว +1

      Good question, hajawahi kutamka popote ila hilo jamaa hatred imelijaa mpaka makalioni.

    • @emanuelkalangamoringe566
      @emanuelkalangamoringe566 2 ปีที่แล้ว

      SNS tunaomba msituleteee uchafu kama hivi mtu anaulizwa swali anajibu vitu vingine tafadhali msilete takataka hapa SNS

    • @twaibutalita2240
      @twaibutalita2240 2 ปีที่แล้ว +1

      Hata yeye anajua diamond ndo no moja

  • @johnalembi3209
    @johnalembi3209 2 ปีที่แล้ว +8

    Mzee mjinga sana maneno ya watoto kina diamond platnumz Yana muhusu nini daah tutafute pesa#Naazaje

  • @raymondmartin8048
    @raymondmartin8048 2 ปีที่แล้ว +11

    Mchawimkubwa huyu mzee

  • @aishaabeyd2106
    @aishaabeyd2106 2 ปีที่แล้ว +1

    Nampendaga sana ostaz

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 2 ปีที่แล้ว +10

    Learn to appreciate other people hustlers ostadhi, Diamond made himself to be Diamond, let him do what he see is best to him and not to other peoples eyes, Jealous can never develope anyone rather killing and destroying.😎 don't be Jealous Sir 😂

    • @lucyvictor3278
      @lucyvictor3278 2 ปีที่แล้ว

      Ndyo maan unamuon anatapatapa tu kisa rohoo yake ya paka

  • @emmilemalewa4257
    @emmilemalewa4257 2 ปีที่แล้ว +11

    Aisee huyu inaelekea ameloga sana sana ameshindwa sasa anasema hadharani chuki zake... huyu jina ustadh amelipaje? Huyu si Mwalimu ni mchawi aisee

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 2 ปีที่แล้ว

    Hili zeee hovyo kabisa linachuki kwa kijana Mdogo limeshindwa kupambana na maisha yake linatafuta ustaaa kupitia kumchukia Diamond zeeee hovyo hili

  • @ramasonkalujefa4620
    @ramasonkalujefa4620 2 ปีที่แล้ว +6

    Wacha nitumie musemo wa salam SK hukuna kushindikisana kwenye utajiri,tuende sote upate nipate,

  • @hassanmakwele150
    @hassanmakwele150 2 ปีที่แล้ว

    Hiii ya Ustaz Juma na Musoma inaitwa njaaa ya kufa mtu, mtu kashajibrand , kashajiwekeza zaid ya sehm 6 nje ya music we bado unajipa moyo et ck moja utamdondosha kila ktu, hasa chawa aliekuw manager wke , aibu xn unajidharirisha mjini baba,rudi kwnu musoma kalime kuliko kudhalilishwa na mitusi ya Mashabiki laana hyo . Humuwez diamond wameshindwa clouds team nk . Yule kipaji mond achana nae tembeza bakuli Kwa harmonize na wngn kubali kushndwa ndg yng ucjidharirish maisha yakistack yamestack amini Hilo. Mondi anaomba mungu na we unaomba mungu jipe jib pigia mstar tngu miaka hyo unamuombea mabya hufanikishi c bc acha tyuu. Ulikuw unajitolea kimuziki Sasa unaitafuta fadhira ya nn? . Tumekuchoka unaongea pumba mda wte huna hoja

  • @twalebleboss9687
    @twalebleboss9687 2 ปีที่แล้ว

    OSTAZ JUMA UMECHEMKA SAAANA...... jaribiu mwenyewe kuirudia kuisikiliza hii INTERVIEW kwa ULICHOONGEA.... UMezidi tu kujishushia HADHI YAKO na nina imani kuwa umezidi kujiongezea CHUKI NA WANAOMKUBALI SIMBA...PLATNUNMZ...Mwenyez Mungu AKUSAMEHE KWA kuonyesha chuki waziwazi kwa DIAMOND.....Pole sana-

  • @alhamdullilla5108
    @alhamdullilla5108 2 ปีที่แล้ว

    Ndiyoooo ss wooote tuna mpenda Diamond we love Diamond moreee Diamond ni musani number 1111111111❤❤❤❤❤❤❤

  • @britonngale6644
    @britonngale6644 2 ปีที่แล้ว +5

    Froma Mozambique Nasimamae na msanii Namba Moja na sii hili lizee

  • @joelnambingo679
    @joelnambingo679 2 ปีที่แล้ว +1

    Ostazi ni kweli dana.
    Ele verdadeiro. Força aí 👏👏👏🇲🇿🇲🇿🇲🇿

    • @dullahndewite2298
      @dullahndewite2298 2 ปีที่แล้ว

      Kwel ostaz ulikuw unasimamia wasaniii????? Ndo wasanii wak hawajatoboa kumbe ww zero brain

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 2 ปีที่แล้ว +9

    Anasema amesoma dini. Uwezi soma dini ukajiingiza kwenye mziki alafu unasema umesoma .chagua km dini au mziki

    • @achawanunetv1167
      @achawanunetv1167 2 ปีที่แล้ว

      Sasa asitafute pesa kisa kasoma dini ? Acha uboya wewe

    • @ibrahimothman3373
      @ibrahimothman3373 2 ปีที่แล้ว

      Hyu mzee mganga wake kampoteza kampa mashart ya kingese ,mganga kamwambia ukitaka kurudi kwenye game lazima umchukie Dp umuuongelee Dp vbaya ndio ufanikiwe boya tu hyo,kichwa kimejaa makamasi.

    • @ayoubbilatuka7012
      @ayoubbilatuka7012 2 ปีที่แล้ว

      @@achawanunetv1167 ya Kaisali muachie... Ndo maneno ya dini yasemavyo😃

  • @nyawamwero587
    @nyawamwero587 2 ปีที่แล้ว +19

    Huyu ni mjombaake Mwijaku.

  • @mohamedmkesha8293
    @mohamedmkesha8293 2 ปีที่แล้ว +3

    RIP Ostaz unatafuta pakurudi kwenye game

  • @mrcamfireman1485
    @mrcamfireman1485 2 ปีที่แล้ว +1

    Badaye,mzee ÙNAITWA.O

  • @hamidabaliyanga2584
    @hamidabaliyanga2584 2 ปีที่แล้ว +1

    Naangalia nikiwa🇴🇲🇴🇲

  • @lelarubea6405
    @lelarubea6405 2 ปีที่แล้ว +8

    Wewe acha chuki na wivu mbona daimond hadharau wenzake,daimond amepambana sana mpaka hapo alipofika,

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaan we Ostadh feki unaumwa mavi aisee mungu akusaidie sana ujitambue nini maana ya maisha mtu mzima hovyoooooo pumbu

  • @alexkalonga3632
    @alexkalonga3632 2 ปีที่แล้ว +2

    Diamond akitaka uyu Jamaa atulie amnunulie gari!

  • @elimumwaipaja74
    @elimumwaipaja74 2 ปีที่แล้ว +8

    Mtoen Juma hapooo

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 2 ปีที่แล้ว

      Yaani hadi nimecheka kwa sauti. Leo Ostaz umeumbuka bora usingefanya interview

  • @mirromsodoki2777
    @mirromsodoki2777 2 ปีที่แล้ว +4

    Nilichogundua mzee kanywapombe😂😂

  • @mosesbarofa6184
    @mosesbarofa6184 2 ปีที่แล้ว +11

    Diamond on top from Kenya🇰🇪 ustadhi n wivu, tu Tafuta kaz ufanye

  • @sylvesterernest9582
    @sylvesterernest9582 2 ปีที่แล้ว +3

    Mzee mzima muongo diamond anaongoza kwa kutopigwa kwenye media

  • @Alex25Mapesa
    @Alex25Mapesa 2 ปีที่แล้ว +2

    Ostazi hana jipya ,watu hawasemi Mond ndo wa kwanza kimziki ila inazungumziwa currently situation ni lazima azungumziwe yeye ila walikuwepo wengi wazuri na kila mtu anajua,

  • @jcrackcrack1669
    @jcrackcrack1669 2 ปีที่แล้ว +13

    Hahahahha mzee mmoja mchawi wa mafanikio, Tanzania kuangalieni huyu mwanga wa maendeleo

  • @rashidyomary1612
    @rashidyomary1612 2 ปีที่แล้ว +1

    Ustaz juma umeferi,unachuki na husuda ya wazi kabisaa,huna lolote wivu unakusumbua,hata usipo muheshimu kwani we nani hasa! Mtu mzima unatokwa Jasho kumchafua kijana mdogo wa kumzaa, anakunyima usingizii,hamfanani mungu kamfungulia hutoweza kumzibia kwendaaaa

  • @khalossalim3723
    @khalossalim3723 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa waimbe tu nyimbo nzuri watasikika mbona huyo marioo amefanikiwa bila diamond kumpost, kweli kama ww unaipenda nyimbo au msanii utaacha kuisikiliza kisa diamond hajaisapot, muachen mtt wawatu mm ninachoona ni management tu ziwe nyingi watu wawekeze kwenye mziki watawasogeza mbele

  • @mtazycomedy
    @mtazycomedy 2 ปีที่แล้ว

    Kaelewa nan msanii namba mojaa

  • @6tvkibabe358
    @6tvkibabe358 2 ปีที่แล้ว +3

    nachek interviw kupitia dodoma

  • @mejamiela1605
    @mejamiela1605 2 ปีที่แล้ว

    Aisee mwandishi Leo umenifurahisha sana

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 2 ปีที่แล้ว +1

    Ogopa sana MTU anayeongea na mwili mzima, yan ostadhi Juma ni mkorofi limbukeni😎

  • @irangabiyesamuel2593
    @irangabiyesamuel2593 2 ปีที่แล้ว +1

    I'm in South Africa but mimi natokea Burundi ila huo mzee ajieshimu2 a uache diamond plz plz

  • @The_imans
    @The_imans 2 ปีที่แล้ว +4

    Watu kama hawa sio vizuri kuwapa interview wanaaribu Taifa🥺🥺,

  • @erickgadson1617
    @erickgadson1617 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbona ana saport watu wasafi fm mbona mnamlazimisha

  • @dogbydangotebabalao7908
    @dogbydangotebabalao7908 2 ปีที่แล้ว +1

    Akili amna apa kwa uyuu mzee kwelii duh!!! Yani haeleweki

  • @hassanmajaliwa4904
    @hassanmajaliwa4904 2 ปีที่แล้ว +1

    Abadilike kwani una ukoo naye....hizi hasira zote kwa Diamond ni kufail kwa maisha yke

  • @chantalbarasokoroza6725
    @chantalbarasokoroza6725 2 ปีที่แล้ว +7

    Nonsense 🤔 Jealous is a disease for real 😳 .. Hey don't hate congratulating!!

  • @almarwanfactory4766
    @almarwanfactory4766 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Mzee mgonjwa wa akili 🤣🤣

  • @patrickernestswai4072
    @patrickernestswai4072 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiloo zee choko linapakuliwa hilo so mm nachukulia kawaida2 maana machoko ndoo yalivyoo

  • @kigoratheson4676
    @kigoratheson4676 2 ปีที่แล้ว +1

    Yeye hajiiti msanii namba moja ila sis mashabiki zake ndo tunampa namba moja kwa vile yy anajua kuimba

  • @nelsonmwaipaja3727
    @nelsonmwaipaja3727 ปีที่แล้ว

    Big up ostaz😂😂😂💓💓💓 nipo border Tunduma

  • @orym4447
    @orym4447 2 ปีที่แล้ว

    SnS nakubali kazi zenu. Huyu baba mpelekeni akaombewe

  • @yusufumwalongo3086
    @yusufumwalongo3086 2 ปีที่แล้ว +1

    Diamondi Baba lao

  • @stellah3844
    @stellah3844 2 ปีที่แล้ว +11

    Huyu mzee anachuki za wazwaz aisee, yupo kama pck tu, pck alimuatack mondi, saiv anamuatack hamo hiyo yote inamuuma kwasababu hajawa promotor wao, chuki siyo nzur

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 2 ปีที่แล้ว +6

    Linyonyaji hiloo😂😂

  • @beipoaquality9159
    @beipoaquality9159 2 ปีที่แล้ว +2

    Kweli unapopiga hatua lazima watu kama hawa wasio na Akili wawepo yahn huyo ostazi akili hana na ameshafeli wivu tu ndo unamsumbua

  • @rukiamanjicha1157
    @rukiamanjicha1157 2 ปีที่แล้ว

    Hakuna asiejua kwamba bila diamond maisha yenu hayaendi...zee zima halijielewi

  • @zatchardzknestor
    @zatchardzknestor 2 ปีที่แล้ว +1

    Nipo zangu DR CONGO

  • @mtazycomedy
    @mtazycomedy 2 ปีที่แล้ว

    Yeye mwenyew kasema namba moja afu anageuka

  • @karimshabani4186
    @karimshabani4186 2 ปีที่แล้ว +3

    Kweli tunakucukiya sana sababu unafitina

  • @paidenasra4548
    @paidenasra4548 2 ปีที่แล้ว +13

    Nawapata kupitia Mozambique 🇲🇿. Interview ipo top

    • @aishadula21
      @aishadula21 2 ปีที่แล้ว

      Nasikiza kutoka dubai🇦🇪

  • @radjabundikumana5689
    @radjabundikumana5689 2 ปีที่แล้ว +1

    All the way from 🇺🇸 Boston Massachusetts

  • @mrcamfireman1485
    @mrcamfireman1485 2 ปีที่แล้ว +1

    Wewe mzee ,fikirira

  • @ramasonkalujefa4620
    @ramasonkalujefa4620 2 ปีที่แล้ว +3

    Mzee sahau ya kitambo muziki ni biashara kubwa sasa,akili zako ziko kizamani sana

  • @babuunavaz9843
    @babuunavaz9843 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyu dingi ni kichaa 😂😂

  • @coolzeddy_official9216
    @coolzeddy_official9216 2 ปีที่แล้ว

    Mbona povu mzeee😀😀😀😀😀