Zuchu - Tanzania Ya Sasa (Official Audio)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 มิ.ย. 2020
  • Wimbo Maalum Wa Kukipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM)
    Unaweza Kuupata Kwa Kugusa 👇🏼
    audiomack.com/zuchu/song/tanz...
    Get IamZuchu EP Now 👇🏼
    zuchu.lnk.to/iamzuchu
    Audio Produced By Lizer Classic
    For Bookings:
    Contacts -- bookzuchu@gmail.com
    Connect With Zuchu On:
    Instagram: / officialzuchu
    Facebook: / officialzuchu
    Twitter: / officialzuchu
    #Zuchu #Tanzania #CCM
    Copyright ©2020 WCB Wasafi. All rights reserved.
  • เพลง

ความคิดเห็น • 2.9K

  • @lailamohammed320
    @lailamohammed320 4 ปีที่แล้ว +88

    Yaaan kat watu wote waliowah kuimbia Tanzania hii ni hatariiiiii nataman kukoment kila saa anakwambia TANZANIA HAIIIIIIIII💥💥💥💥💥

  • @bonifacejacob194
    @bonifacejacob194 4 ปีที่แล้ว +102

    Wanaosema zuchu anaimba tarabu wapo wapi.. zuchu ametupa kitu Cha rege .. I love you ZUCHU

  • @paulmawirakinyu2688
    @paulmawirakinyu2688 3 ปีที่แล้ว +36

    Nani kaja baada ya baba yetu kutuacha...rip...jpm...milele utakumbukwa...we loved you ila mungu kakupenda zaidi

  • @sempaprudence9052
    @sempaprudence9052 4 ปีที่แล้ว +5

    Napendekeza wimbo huu upitishwe na kamati kuu kama wimbo wa kampeni. Unafurahisha kwa lika zote. Hongera sana Zuchu.

  • @atuganilemwakalile8006
    @atuganilemwakalile8006 3 ปีที่แล้ว +7

    Huu wimbo utanikumbusha daima kuhusu Magufuli wetu.

  • @zenjempire5323
    @zenjempire5323 4 ปีที่แล้ว +69

    Wallah Zuchu Dada wew unajua Me sikwambii kwa Jicho la Daimond tu Hakika wewe ni zaidya Genious Zuchu nakupenda sana Dada Mungu akutunze Zuchu wetu Uzid kufikisha Ujumbe Mbali Ndan ya nchi na Nje ya Nchi Mung akupe maisha mema Zuchu wetuuuuu😍😍😍😍😍😍😍😍🤩🤩🤩🤩😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘

  • @tanashadonnasfanpage7478
    @tanashadonnasfanpage7478 3 ปีที่แล้ว +258

    Who is here after our dad's death... 😭😭😭😭😭😭😭 R.I.P baba you'll forever be in our hearts 😢😢😞😞😔😔😭😭😭😭😭

    • @marguerittemariejeanne5659
      @marguerittemariejeanne5659 3 ปีที่แล้ว

      Me

    • @evelynmathew9057
      @evelynmathew9057 3 ปีที่แล้ว +2

      Am here too it’s too hurt.. RIP baba you’ll always be in our hearts 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @asiahamza807
      @asiahamza807 3 ปีที่แล้ว +1

      😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @olarivimartin
      @olarivimartin 3 ปีที่แล้ว

      😑😑😑😑😑

    • @susankavai2952
      @susankavai2952 3 ปีที่แล้ว

      Me lala salama Shujaa wetu Rais wa wanyonge rip JPM

  • @_vernox._9968
    @_vernox._9968 3 ปีที่แล้ว +56

    Niko hapa baada ya kifo cha raisi wetu magufuli 😭😭😭

  • @kassimali1477
    @kassimali1477 4 ปีที่แล้ว +120

    haijawai tokea Kenya!!! Jamani Magufuli kiboko.... kenyans lets give H.E Magufuli hizo likes zake...

  • @richieamadi1492
    @richieamadi1492 4 ปีที่แล้ว +20

    from 254🇰🇪 namkubali huyu mtoto,,katisha kweli kama 🦁 baba yao💪❤️

  • @hertziraq
    @hertziraq 2 ปีที่แล้ว +28

    The Iron Man John Pombe Magafuli was a great leader. I know some hated him. He caused a lot of problems for a lot of corrupt people....but I’ve got nothing but admiration for him as a PM. Strong, determined and fearless. World knows Tanzania because of him. There will never be a Man like him for Tanzania 🇹🇿

  • @elizabethsimon5042
    @elizabethsimon5042 3 ปีที่แล้ว +14

    Magufuli will always stay in our hearts..safiri salama baba😭💔

  • @faustinanyamuhanga6406
    @faustinanyamuhanga6406 4 ปีที่แล้ว +282

    Wa kwanza comments zenu from Kenya me wcb fan 50 likes only

  • @umojaafrika2447
    @umojaafrika2447 4 ปีที่แล้ว +278

    Reggae ya Zuchu. Napenda Tanzania na rais Magufuli kutoka Martinique, Ufaransa !

  • @shumadaniel7090
    @shumadaniel7090 2 ปีที่แล้ว +4

    Ningependa jina la samia lifutwe kwenye huu wimbo sababu anaenda kinyume na alivyokuwa magufuli ye zake kutembea kila taifa badala ya kuzunguka Tanzania kujua shida zao

  • @rajah9328
    @rajah9328 2 ปีที่แล้ว +2

    Aky magufuli alikua kiboko y Africa twakukumbka bdo BABA Insha'AllAH Mungu aike roho yko mahali penye wema peponi

  • @frankvenus4016
    @frankvenus4016 4 ปีที่แล้ว +60

    Nyimbo hii italeta wabunge wote wa ccm bungeni baada ya uchaguzi mkuu mark this word.Zuchu umevuruga upande wa pili sasa Mh Makonda ipeleke clouds pia ipigwe hii nyimbo ni 🔥🔥🔥

  • @shabidenis5424
    @shabidenis5424 4 ปีที่แล้ว +90

    Tulio repeat hii ngoma tujuane hapa 👍😄

    • @zuberimbua3632
      @zuberimbua3632 4 ปีที่แล้ว

      Nmerudia kama mara kumi na nusu

  • @shijamandwa1054
    @shijamandwa1054 ปีที่แล้ว +3

    Tanzania haijawahi kutokea nyimbo bora ya Chama kuzidi hiiii ..... Haichoshi

  • @japharytwaha8552
    @japharytwaha8552 4 ปีที่แล้ว +3

    Daaaaaaaaa naurudia kila ukiurudia ndio unapo zaidi kuwa taaaaaaamuuuuuu

  • @hamisihassan8856
    @hamisihassan8856 4 ปีที่แล้ว +87

    Mungu muongoze rais wetu

  • @frankoctavian7410
    @frankoctavian7410 4 ปีที่แล้ว +36

    Waooooooh hatimae imewekwa, leo nipo top ten, kwenye comments like zenu please

  • @toolcie8566
    @toolcie8566 3 ปีที่แล้ว +103

    I am Kenyan, I came here once again after JPM's death because I have Tanzanian tendencies. I am so sad😭😭. May He RIP.

    • @bibianamashamba9022
      @bibianamashamba9022 7 หลายเดือนก่อน

      Please adopt me Kenyans. I love how your swahili sounds.

  • @hertziraq
    @hertziraq 3 ปีที่แล้ว +45

    Great nationalism among Tanzanians. I was there when he won the elections 6 years back. Remember his punch line Hapa Kazi Tu. I came back to Tanzania after 6 years to see the changes this country has made. The new classy International airport, the flyovers, the buildings and the progress. I am impressed. RIP SIR.
    You will always be remembered John Pombe Magafuli.

    • @hassanally2836
      @hassanally2836 2 ปีที่แล้ว +1

      Sad for Tanzania, sad for Africa! but some people don't see it that way they always needs their corrupted leaders in the name of democracies. they call him a dictator

  • @raajsheria2941
    @raajsheria2941 4 ปีที่แล้ว +44

    Anaemkubali Zuchu kua ni mwamba like twende Sawa👍

  • @awadhirashidi3531
    @awadhirashidi3531 4 ปีที่แล้ว +15

    Good song Ingawa kuna basdhi ya watu hawatoisikiliza mwanzo mwishoooo #wcb the only one in Africaaaaaaa

  • @billywaswa6003
    @billywaswa6003 3 ปีที่แล้ว +18

    It's painful to lose such a great leader. Rest in Power JPM. Sad

  • @berryapire2240
    @berryapire2240 3 ปีที่แล้ว +7

    Absolute genius Zuchu!! " Saint Magufili" pray for us.

  • @user-uk8pk5vn9b
    @user-uk8pk5vn9b 4 ปีที่แล้ว +32

    Woyo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 gonga like unajivunia kuwa mtanzania

  • @denisksylivester7846
    @denisksylivester7846 4 ปีที่แล้ว +98

    Zuchu kashampoteza Nandy iko wazi kabsa..

    • @everrineanyango7410
      @everrineanyango7410 4 ปีที่แล้ว +1

      Ota ukimaliza uamke

    • @mariamusaidi1031
      @mariamusaidi1031 4 ปีที่แล้ว +4

      @@everrineanyango7410 kwanuongo

    • @mryansoo4217
      @mryansoo4217 4 ปีที่แล้ว +3

      mbona kitambo tu we unajua leo

    • @mryansoo4217
      @mryansoo4217 4 ปีที่แล้ว +1

      na sio nandy tu wasanii wa kike wote hapa East Africa

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 4 ปีที่แล้ว +1

      Yaan wasanii wa kike woote hata system znasoma ivo

  • @cynthiacyn5891
    @cynthiacyn5891 3 ปีที่แล้ว +35

    We Kenyans are mourning with you our brothers and sisters in Tanzania

  • @masteralpho9154
    @masteralpho9154 3 ปีที่แล้ว +261

    Nani amekuja huku after kifo Cha magufuli Aki 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @ibrahimmkaly7353
    @ibrahimmkaly7353 4 ปีที่แล้ว +39

    Wcb for life 🔥🔥🔥🔥🔥
    Km mnamuona mzee small anatk kurud kundin alf tuxhamkataa gonga like 100

  • @jorampeter2096
    @jorampeter2096 4 ปีที่แล้ว +61

    Imenibidi kuludia ludia daaah ZUCHU# nimekunyoshea mikono juu Like zake apa jamn katisha👍✨✨✨
    🎉😊👏😁👏😃🎉
    Congratulations!

    • @raymondmsuya7127
      @raymondmsuya7127 4 ปีที่แล้ว +1

      Hii Mara ya 6 leo nasikiliza hii nyimbo

  • @mckellyant
    @mckellyant 4 ปีที่แล้ว +116

    May God bless Tanzania...From Kenya🇰🇪🇰🇪 with LOVE.💯❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🎼🎼🎼💕💕💕

  • @DottRoBroc
    @DottRoBroc 3 ปีที่แล้ว +53

    I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!

    • @stephenemganga3604
      @stephenemganga3604 3 ปีที่แล้ว +1

      Am glad to see it , we real loved our president😔

  • @merynjau5614
    @merynjau5614 4 ปีที่แล้ว +7

    Dah huy zuchu ni noma na nusu iyo sauti sasa mungu azid kukupigania wewe ndie mwanamke pekee tunaekutegemea tutuwakilisha kimataifa kimuzic much love u zuchu😘😘

  • @dktv255
    @dktv255 4 ปีที่แล้ว +57

    GOOOD SONG KWA TANZANIA 🇹🇿 ❤️❤️❤️✊🏿😍🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿😬✊🏿

  • @zulphachihundo508
    @zulphachihundo508 3 ปีที่แล้ว +27

    "Legends dont die"...... your words will foreva live with us ..... your actions will foreva be remembered .... your name is gonna live for years and years to come .... am going to live this comment here n i ll be coming back each year to comment something that we miss from you Mr. President
    I pray this comment also lives here for years as we mourn for you .....
    Till we meet again rest easy in heaven Sir🕊

    • @gooddeeds162
      @gooddeeds162 3 ปีที่แล้ว

      You’ve said it all 👏🏿
      To God be the glory, Mungu amekupokea baba.

  • @salehebwangala215
    @salehebwangala215 3 ปีที่แล้ว +81

    Waliorudi kuiangalia hii nyimbo baada ya leo taifa kupigwa wagonge like hapa r.i.p baba etu😭😭

  • @Xrissy10
    @Xrissy10 4 ปีที่แล้ว +60

    Haya wa CCM wote like hapa..... mambo Yamesha anza kuwa moto 🔥🔥🔥

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 4 ปีที่แล้ว +56

    Ila wewe kwa kuimba upo vizuri sijui Mzee CHIBU ndio amekupa maskiliz hongera Sana wimbo mzuri Sana ingawaje no wakisiasa na sisi wengine sio wanasiasa WOTE TUSEME ZICHU NI MKALI SANA

  • @davidshahrukh6
    @davidshahrukh6 4 ปีที่แล้ว +471

    Kama wewe umeipa hii nyimbo No.1 katika nyimbo zoote za siasa, zilizotoka, gonga like!! 👍

  • @noonelike6382
    @noonelike6382 4 ปีที่แล้ว +103

    Ngoma tamu Sana dah!... Hii nyimbo tamu Sana hasa ukiwaa ndani ya daladala alafu umeweka headphones zako maskioni. ... Unapita pale daraja la mfugale au ubungo flyover... Dahhhhhh.... We jaribu Siku moja ..... Utajikuta una hisi damu ya uzalendo Ina ongezeka mwillini mwako....
    HV kwa nn diamond asimuoe huyu dada... Wawe kama jayz na Beyonce... Couple Yao inaweza kuwa konki Sana...

    • @peterelisha1828
      @peterelisha1828 4 ปีที่แล้ว +3

      😆

    • @johel882
      @johel882 4 ปีที่แล้ว +4

      Nakubali mwanangu 😂😂😂

    • @edwinshigongo3213
      @edwinshigongo3213 4 ปีที่แล้ว +3

      Nakubali

    • @iammusic3404
      @iammusic3404 4 ปีที่แล้ว +6

      Umeongea kwahisia plus hii nyimbo najiis km npo dar tho npo moro
      Umenipa msisimko😳😘
      Zuchu u are the voice👌🔥🙌👏

    • @awardhakimu4777
      @awardhakimu4777 3 ปีที่แล้ว +2

      Atakua amevuka mipaka

  • @masoudjr363
    @masoudjr363 4 ปีที่แล้ว +20

    Waliosema zuchu muimba taarabu... wapi mpoo!
    Mtt anvuruga mpk regge
    👐👐👐

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 ปีที่แล้ว +673

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 *Kama unajivunia kuwa MTANZANIA gonga like* 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
    Magu mbele kwa mbele

    • @leticiandiyo1384
      @leticiandiyo1384 4 ปีที่แล้ว +10

      Yani natamani nikupe hata like mia nijivunia sana kuzaliwa Tanzania Mungu aibaliki Tanzania yetu

    • @heavensent2526
      @heavensent2526 4 ปีที่แล้ว +8

      Tanzania yng nchi yangu nakupendaaaaaaaaaa

    • @issabakari5815
      @issabakari5815 4 ปีที่แล้ว +6

      Umetisha miss ake

    • @InstaF.A.M
      @InstaF.A.M 4 ปีที่แล้ว +7

      Najivunia kuwa Mtanzania rohoni.

    • @nagmasuja2240
      @nagmasuja2240 4 ปีที่แล้ว +1

      Nice

  • @jungleonlinetv5020
    @jungleonlinetv5020 4 ปีที่แล้ว +26

    Tanzania Hai! (hai! Hai!) Mimi ni Mkenya ila hii imeweza wezangu!!

  • @chrisbee7876
    @chrisbee7876 3 ปีที่แล้ว +1

    Inauma sanaaa muda wote nasikiliza hii nyimbo hasa baaada yakumaliza kutibu wagonjwa hongera sana zuchu

  • @abdulnyerere
    @abdulnyerere 4 ปีที่แล้ว +23

    Zuchu kipenzi changu nimechelewa jana nilikuwa sina bando siku zote hua huniangushi nakupenda sana mungu akuongozee

  • @mceekeith5941
    @mceekeith5941 4 ปีที่แล้ว +25

    Kama umeikubali nipe like tukisonga
    CCM aii 🔥
    Much love from 254

  • @MaryMuyaBlessed
    @MaryMuyaBlessed 3 ปีที่แล้ว +17

    A saint. A legend. JPM, you will always be in our hearts. Love from 🇰🇪 🇰🇪

  • @zakiasalumu7892
    @zakiasalumu7892 3 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭😭magu unaishi moyon mwa Tz ..mungu aipokee roho yako!

  • @rajaytz7655
    @rajaytz7655 4 ปีที่แล้ว +19

    Yan zuchu unanikosha kwel yan najihis rahaa mpk kama machozi yanatoka hivi🔥🔥🤲

  • @prettybelle3471
    @prettybelle3471 4 ปีที่แล้ว +49

    First one lol Tanzania 🇹🇿 ❤️❤️💚💚💚🇹🇿🖤🖤

  • @lilianndichu3457
    @lilianndichu3457 3 ปีที่แล้ว +15

    I had to listen to this song after the tragedy 😭😭rip magufuli

  • @esmarajabu6404
    @esmarajabu6404 3 ปีที่แล้ว +3

    Mackiniiiii nmekumbuka wakat unacheza....R.I.P Baba yetu Magufuri😭😭😭😭😭😭

  • @latiphibrahim
    @latiphibrahim 4 ปีที่แล้ว +36

    Ambao sio wanasiasa kama mimi lakin mmeielewa ngoma press 👍

  • @majotv3405
    @majotv3405 4 ปีที่แล้ว +127

    Tunaokapenda haka kabinti tujuane

  • @sweetmelody1191
    @sweetmelody1191 3 ปีที่แล้ว +5

    This girl.can sing anything huu wimbo jamani sijui nilie sijui nifurahi 😭😭😭😭😭😭

  • @furahaiddi533
    @furahaiddi533 3 ปีที่แล้ว +130

    I come here after magufuli passed away his soul reast in peace Tanzania ya magufuli Nani atakaye shika nafasi yako Baba mbona mapema sana😢

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 4 ปีที่แล้ว +46

    wapi like za huyu binti mzuri kutoka kwa mama wetu wa mipasho hadija kopa👌

  • @babaivan5395
    @babaivan5395 4 ปีที่แล้ว +36

    Ila mnajua kutuweza WCB for life

  • @hawaashaban3879
    @hawaashaban3879 3 ปีที่แล้ว +3

    Buriani Baba💔😢😢😢😢tutakukumbuka sanaaa japo me mkenya nlikupenda kupitiliza😭😭😭😭😭

  • @estherpaul9550
    @estherpaul9550 3 ปีที่แล้ว +5

    RIP Pumzika kwa amani...... Mr president chuma tutakukumbuka sanaaaa😭😭😭😭..... Cjui nchi yetu itakuaje bila ww 😭😭😭

    • @robimgendi6147
      @robimgendi6147 3 ปีที่แล้ว

      Mungu atatufungulia njia

    • @esterpaul6314
      @esterpaul6314 3 ปีที่แล้ว

      Aisee me machozi yananitoka naumia kweli😭😭😭

  • @ousmanjallow426
    @ousmanjallow426 4 ปีที่แล้ว +221

    I love you Tanzania from Gambia 🇬🇲 ..Nakupenda Tanzania

    • @mulomulotwa9961
      @mulomulotwa9961 4 ปีที่แล้ว +2

      How is Serekunda! I liked Banjul

    • @fatmadigo6686
      @fatmadigo6686 4 ปีที่แล้ว +2

      Karibu sana tunakukaribisha nchi pekee yenye amani na upendo

    • @albidaya7144
      @albidaya7144 4 ปีที่แล้ว +3

      Karbu Sana nchi yetu aina ukabila wa udini karbu Sana Tanzania ya amani

    • @mariaelias1526
      @mariaelias1526 4 ปีที่แล้ว +3

      Ur wlcm

    • @emmanuelbonifase1114
      @emmanuelbonifase1114 4 ปีที่แล้ว +2

      Wellcome tz

  • @hemediramadhani8871
    @hemediramadhani8871 4 ปีที่แล้ว +193

    Wanoikubali ccm like hapa... Na wanaokumkubali huyu dada twende na likesa zakutosha

  • @AllthingsTina254
    @AllthingsTina254 4 ปีที่แล้ว +21

    Naipenda Tanzania,,mnavipaji kweli😍

  • @thesaoketv7139
    @thesaoketv7139 2 ปีที่แล้ว +2

    Njoo uone maendeleo ya Tanzania ilivyo puuzwa na kudhoofika. Mama kweli hakupata mafunzo ya kutosha kwa baba!

  • @fedyrunya2130
    @fedyrunya2130 4 ปีที่แล้ว +104

    Zuchu pamoja na Wcb wapo juu nipe like za Diamond

  • @hamishamis9957
    @hamishamis9957 4 ปีที่แล้ว +22

    Zuchuu she is 🔥🔥🔥🔥

  • @prosperwilldizz3567
    @prosperwilldizz3567 3 ปีที่แล้ว +5

    😭😭😭nyimbo bora kwa JPM nakumbuka alikuwa anaicheza sana hii mzee wetu

  • @lunizobade2583
    @lunizobade2583 4 ปีที่แล้ว +42

    Hii wimbo ni ya siasa lakini it is really danceable😂.. Much love from kenya🇰🇪

  • @lbyogolbyogo1045
    @lbyogolbyogo1045 4 ปีที่แล้ว +22

    This girl shes a great singer she can sing any can of style wauuuu this root african regae keep the fire burning zuchu God bless Diamond for helping you one love wasafi for life

  • @zaqueassane1046
    @zaqueassane1046 4 ปีที่แล้ว +35

    11 junho de 2020
    Lindas zuchu 👏👏👏👏👏👏
    🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Feliz Tanzania Ya Sasa 🇹🇿🇹🇿 feliz moc Sasa🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @marshamutisi8442
    @marshamutisi8442 3 ปีที่แล้ว +20

    God bless Tanzania. Zimbabwean love to all

  • @BinaraiJuma-zl2od
    @BinaraiJuma-zl2od หลายเดือนก่อน +1

    Vip John pombe magufuli forever in our hearts 😢😢😢😢

  • @shannonplatnumz1441
    @shannonplatnumz1441 4 ปีที่แล้ว +57

    Zuchu kama wapenda kazi yake. Gonga like hapa

  • @DenyoReigns
    @DenyoReigns 4 ปีที่แล้ว +348

    Walisema muimba taarabu haezi imba kibongo fleva, haya sasa kaimba ki-Reggae kabisa mtaelewa tu 😁😁😁....Like nyingi kwa Zuchu ❤👑🙌

    • @loxanasuleimani8791
      @loxanasuleimani8791 4 ปีที่แล้ว +14

      Yani nakwambia wenye taarabu zao watalamba lolo🤣🤣🤣🤣uko sijataja mtu 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

    • @godfreyjuma6941
      @godfreyjuma6941 4 ปีที่แล้ว +12

      Nabad watasema tu icho nd chuo cha mzik bongo WCB

    • @officialmrtop1018
      @officialmrtop1018 4 ปีที่แล้ว +12

      Hahahah unafikiri Mond anaweza kukusaini ukiwa wa vistyle vya ajabu ajabu? Hahah la hasha

    • @mbesherejoh4219
      @mbesherejoh4219 4 ปีที่แล้ว +5

      😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @bakaribakari_
      @bakaribakari_ 4 ปีที่แล้ว +8

      Waambie Simba hakurupuki.

  • @gabrieldavid3689
    @gabrieldavid3689 2 ปีที่แล้ว +2

    Kawimbo haka kananikumbusha sana jiwe. May he Rest In Peace

  • @ZahraAlly-wq4ku
    @ZahraAlly-wq4ku 12 วันที่ผ่านมา +1

    2024 still🔥🔥🔥 we Remember you Anco Magu😢😢😢😢😢

  • @azizamohamed2279
    @azizamohamed2279 4 ปีที่แล้ว +60

    Wapi likes za wakenya kwa kazi nzuri ya Rais Magufuli kwa Watanazania

  • @iskanor3147
    @iskanor3147 4 ปีที่แล้ว +41

    One luv tanzania from ur neighbors somalia 🇸🇴🇹🇿

  • @anasiashayo9111
    @anasiashayo9111 3 ปีที่แล้ว +2

    safi magufuli anafanya kazi bhana tumuombee kwa mungu anafanya vizuri tanzania mpya inakuja

  • @kimalebanduka4229
    @kimalebanduka4229 4 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo naona kabisa mdee na mbowe wanavouchezaaa....hai hai haiii haiiii

  • @lilianclavery7924
    @lilianclavery7924 4 ปีที่แล้ว +127

    Ooh How i miss my country Tanzania...I am so proud of our President Dr John Magufuli...May the Almighty God continue to use him in leading us in a right way....🙏Zuchu you a simply the best😘so much love from Austria❤❤❤

  • @kilangapeter4791
    @kilangapeter4791 4 ปีที่แล้ว +7

    Zuchu 😭😭 ww ni mwanamuziki,, na sio msanii pekeyake

  • @jamestosili681
    @jamestosili681 4 ปีที่แล้ว +6

    Zuchu una sauti ya kipekee sana, Napenda sauti mashairi ya nyimbo zako na hadi beat!!! Pasua miamba mamaa

  • @nyoirocaleb389
    @nyoirocaleb389 4 ปีที่แล้ว +171

    One of the reasons why we Kenyans love you Tanzanians is due to your high sense of nationalism and how your government also seems to be working for you. And Zuchu you are such a gem... we love you! Dar es Salaam is my next holiday spot inshallah

  • @uncleelly4543
    @uncleelly4543 4 ปีที่แล้ว +29

    Nahamia CCM kwasababu ya huu wimbo🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿

    • @johnstonsobed9873
      @johnstonsobed9873 4 ปีที่แล้ว +2

      Aaaaah... Sio kweli bwana.... Ila mtoto kaimba sana.....

    • @LiManman_20
      @LiManman_20 4 ปีที่แล้ว +3

      Tupo pamoja

    • @uncleelly4543
      @uncleelly4543 4 ปีที่แล้ว +4

      @@johnstonsobed9873 kweli mzee😁😁

    • @johnstonsobed9873
      @johnstonsobed9873 4 ปีที่แล้ว +4

      @@uncleelly4543 😂.... Utulivu mwingi sana bro.... Karibu kundini....🙏

  • @shabanibajah4692
    @shabanibajah4692 4 ปีที่แล้ว +153

    Hamna kitu kigumu kama ku skip hili song.. Hata kama umpinzani... Zuchu 💯

  • @anastaziamruma3775
    @anastaziamruma3775 2 ปีที่แล้ว +2

    😢😢😢😢😢😢😢😢pumnzika kwa amani baba yetuuuu weweweeeh tunakukumbukaaa

  • @lifakachere4732
    @lifakachere4732 3 ปีที่แล้ว +3

    I love you so much Mr magufuli Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇲🇼🇲🇼

  • @chicharitoronaldo5950
    @chicharitoronaldo5950 4 ปีที่แล้ว +27

    Simba hajawahi kusajili garasa WCB...Congrats Zuchu...BEST FEMALE ARTIST IN EAST AFRICA🔥🔥🔥

  • @philipmchina6919
    @philipmchina6919 4 ปีที่แล้ว +9

    Ni yule Yule dada Wa #wana 🔥 Kazi kwao wapinzani chiiiiiiiiiiiiii

  • @ibratecno4800
    @ibratecno4800 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimeipenda sana 😍leo 2021 Haupo J P M tutakukumbuka sana

  • @bluepearllyrics8440
    @bluepearllyrics8440 2 ปีที่แล้ว +3

    Ssa tunaona tofauti kati ya Tz ya magufuli na hii ya sasa!!

  • @geofreyanania1108
    @geofreyanania1108 4 ปีที่แล้ว +49

    Ila wasafi Mungu anawaona mnavyo muonea mtoto wa watu. Sasa ile nyimboyake ya kisingeli ataipeleka wap

    • @godlovetweve329
      @godlovetweve329 4 ปีที่แล้ว +4

      Remix zake asikilize yeye na h baba wake😂😂😂😂

    • @aminahmohammed6011
      @aminahmohammed6011 4 ปีที่แล้ว

      Hahahaha

    • @lilianerenest4784
      @lilianerenest4784 4 ปีที่แล้ว

      Qwa h baba

    • @samirmaulid1742
      @samirmaulid1742 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂 harmonize kuma ya mama ake hajui

    • @YoungVee994
      @YoungVee994 4 ปีที่แล้ว

      @@samirmaulid1742 wachaaaaa weeee😂😂😂😂😂

  • @likinatodonojorban3807
    @likinatodonojorban3807 4 ปีที่แล้ว +89

    Hongera sana zuchu m,mungu akusimamie ufike mbali inshallah

    • @big2558
      @big2558 4 ปีที่แล้ว

      Dogo anajua kuimba sanaaaaa

    • @zachaamaster5378
      @zachaamaster5378 2 ปีที่แล้ว

      #nyimbo kariii

  • @kidugoaggie8250
    @kidugoaggie8250 2 ปีที่แล้ว +2

    I miss you my Magufuli 😭😭😭R.I.P missed you much

  • @lilianemeena768
    @lilianemeena768 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda Magufuli japo hayupo ataishi ndan yangu milele 😥😭😭rip Magufuli