Kilichonifurahisha zaidi Sh. Kishki hana dharau. Nilimsimamisha akiwa garini na alisimama na akanisikiliza na hanijui. Alhamdulillah nilichomwomba hakunikatalia. Shukran sana Sheikh
Mashallah Sheikh Wangu Sheikh Nurdiin Kishk Mim Nimwanafunzi wako nipo UAE Nafuatilia Sana Mawaidha yako kila sik mik sikos kufatilia channel yako 😘 Nikiskiliza Mawaidha yako na kalamu na Daftar pemben Mashallah Allah akuweke akupe umr mref wenye kher na wewe na mwisho wako uwe mwema❤️😍🤲
Wallahi sheikh kishi nakupenda kwa ajili ya allah unajitoa harakati unazo zifanya tunaziona Allaah akujaalie kilalakheri akupe maisha marefu inshaallah Amiin 🙏
MASHA ALLAH TABARAKALLAH ❤️❤️ nakupenda Sana shekh wangu nureedin kishik mola azidi kukubariki na akupe umri mrefu katika kulingania dini ya Allah amiin.....
Sheikh wangu Allah ukaxidishie Elim tuzidi kupata faida kwako,Kisha akuhifadhi ww na jamii yko pamoja na Ummah wa Mtume wetu Mohammad (S.A.W).Naomba pia katika hizi comments,plz ndugu na dada zangu Mwenyezi Mungu ni mkubwa huwezi andika Jina lake kwa harufi ndogo jamani. Mola(mola).Na wengine huandika ( mungu),badala ya Mungu!.Allah atuongoze zote katika kuelimishana.
@@zulfahussein6784 naam bila ya shaka, Ukisoma vizuri dini utaona hilo, Na ndio maana mtume akatuambia kuwa Ninakuusieni juu ya aalibeti wangu, hili nalo ni ishara tosha kuwa mtume amekusudia ukoo utaendelea kubaki hadi siku ya kiyama
Kilichonifurahisha zaidi Sh. Kishki hana dharau. Nilimsimamisha akiwa garini na alisimama na akanisikiliza na hanijui. Alhamdulillah nilichomwomba hakunikatalia. Shukran sana Sheikh
MashaAllah tabarakaAllah sheikh wetu kipenzi Allah akujalie umri mref wenye kheri tuzidi kunufaika ALLAH akuzindishie Elmu pia 🤲🤲❤️❤️
Allahumma Amiin
Amiin
❤❤🎉
Ameen
MashaAllaah tabaraAllaah
Allaah azidi kumzidishia elmu hili nasi tuzidi kuelimika kwakwe na atuhifadhizi kwa Neema zake
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! ALLAH Akuhifadhi Sheikh Wetu Mpendwa Muhadhir Wa Kimataifa. Baaraka Allahu Fiikum Wa Jazzakumu Allahu Khairan
Allahumma Amiin kipenzi 🤲🤲❤️
Mashaallah thabarakaallah Sheikh wetu Allah azidi kukueka tuzidi kuelimika na kuongoka kupitia kwako Amiiin YARABBI
Allahummaa Aaaamiin ya Raab 🤲🏾🤲🏾
THUMMA AMIN 🤲🏼
Mashaallh tabaaraka Allha sheikh wetu kipenzi Allha akujalie umri mref mwenye kheri tuzidi kufaidika zaidi🤲🏻❤️
Mashaallah AllAH akupambe kwaafya na akurudhuku saadafidunniya wal Akhera shekh Nurdeen Kishki
Mashallah Sheikh Wangu Sheikh Nurdiin Kishk Mim Nimwanafunzi wako nipo UAE Nafuatilia Sana Mawaidha yako kila sik mik sikos kufatilia channel yako 😘 Nikiskiliza Mawaidha yako na kalamu na Daftar pemben Mashallah Allah akuweke akupe umr mref wenye kher na wewe na mwisho wako uwe mwema❤️😍🤲
Wallahi sheikh kishi nakupenda kwa ajili ya allah unajitoa harakati unazo zifanya tunaziona Allaah akujaalie kilalakheri akupe maisha marefu inshaallah Amiin 🙏
MASHA ALLAH TABARAKALLAH ❤️❤️ nakupenda Sana shekh wangu nureedin kishik mola azidi kukubariki na akupe umri mrefu katika kulingania dini ya Allah amiin.....
Mashallah tabaraka llah 🥰🌹 Shukran sana Sheikh Nurdin Allah akujaze kheri ✍️🥰
Shekh mashi ,,tunataka tena mwendelezo wa historia ya mtaalam wetuu nurdin kishik,,,tunampenda sana,,kwhy twahitaji mwendelezo kbsa
Masha Allah! Allah akuzidishie elimu na fahamu tuzidi kunufaika
Mashaallah. Tabarakallah
Allah akuhifathi shekh wetu
Ma sha allah
Sheikh kishk
Allah akuhifadhi na akubariki
Allah akujaalie umrirefu wenye taqwa na baraka ndani yake
Allah akuruzuku pepo na ss wengine
Amiin
Axalam alaykm sheh
Mashaallah jazakumllah kheir amiin kazi nzr sana mola akuhifadhi sheikh
MashaAllah tabarak Allah mungu ampe umri shekh wetu tu nakupenda
MashaALLAH ❤❤❤tunaetaji muendelezo jamani twampenda shekh wetu kwa ajili ya ALLAH
Mashaallah shekh kishki mungu azidi kukubariki
Jazakallah khayran
Barak Allah feeq, Jazzaka Allah kheri.
Mashallah ❤️ Allah akulipe kwa kaz nzur
Sheikh wangu Allah ukaxidishie Elim tuzidi kupata faida kwako,Kisha akuhifadhi ww na jamii yko pamoja na Ummah wa Mtume wetu Mohammad (S.A.W).Naomba pia katika hizi comments,plz ndugu na dada zangu Mwenyezi Mungu ni mkubwa huwezi andika Jina lake kwa harufi ndogo jamani. Mola(mola).Na wengine huandika ( mungu),badala ya Mungu!.Allah atuongoze zote katika kuelimishana.
Allah akujaze kheri kwa kuonyesha Ari toka udogoni kumtetea Mtume na kitabu chake kitukufu kukienzi!.
Mashaallah
Baraka LLAH fika shekh kishk
Mashallah walla kuwwata ila billahi...
Mashaallah mashaallah
Mashallah sheikh tabarakaallah Allah akupe umri mrefu tuzidi kujifunza na vizazi vtu weze inga vtu vzury kama mfano wa sheikh wetu alhamdulilai 💕
MashaAllah Tabarak Allah
Mashaallah allah awahifadhi
MASHA ALLAH
Ma SHA Allah Tabara Allah
Mashallah ❤ muendelezo jamani mbona fupi ivo
Bismillah
Mashaallah tunaomba mwendelezo tafadhali
Kesho Saa 11:30 jioni in Sha Allah
1995 Masha Allah
Asalam aleykum warhamatullah wabarakatuh sheh tuna omba mwendelezo ya ii story
Kesho Saa 11:30 in Sha Allah.
Huyuu sheikh nurdin kishik,,ndye wa kuigwaa ,,hana baya na mtuu, Allah amlpe kila lakher
Alaah Sheikh Abdulkadr nduguye shk.kishki???
Mbona yy hajui kiswahili?
Kenya na mko TZ
Nampenda kwajiliya Allah mimi ndo nazaliwa mwaka huo aluanza daawa😂
😂😂Rahma kumbo hujmbo 😅 2pamoja! Shekhe kala chumvi Mashallah tabaraka allah. ❤
Tunaomba muendeleo Tafadhali Kwa Ajili ya Allah
Kwani sheikh nuurdin kish ni mtu wa wapi?
Daslam 😊
Sheikh amejibu hapo,
Amesema asili yake yeye ni ukoo wa mtume, shareef,
@@banihashim5347 Kwani uko wa Mtume ungali 😳
@@zulfahussein6784 naam bila ya shaka,
Ukisoma vizuri dini utaona hilo,
Na ndio maana mtume akatuambia kuwa Ninakuusieni juu ya aalibeti wangu, hili nalo ni ishara tosha kuwa mtume amekusudia ukoo utaendelea kubaki hadi siku ya kiyama
Ni myemeni Raia Wa Tanzania mkaazi wa Temeke Daresalaaam Tanzania.
ila mbona mmeifanya mfupi hivyo tuwekeeni Full natamani kujuwa mengi kuhus sheikh wetu🤭😄 au bc team fujoo wataniita mbea😅😅😅
😅😅😅 hapana banah tunaanzaje kwamfano
@@qalbi8198 we nawajuwa hamchelewi😂😂😂😂
Asalam aleykum wameifanya fupi kweli 😢
Ati mbea 😂
@@zainabmaulidi9846 story imebamba afu ikakatishwa wakati sheikh anaanza kazi ulikua na miaka ngapi ?😀😀
Ma Sha Allah Tabaarakallah Allah akujaze kheri Duniani na Akhera Sheikh wetu mpendwa pia na mnaoshirikiana kwa pamoja
Karibu Burundi kwetu Sheikh wetu
Allahumma Amiin
Mashaallah tabaraka Allah naomba no ya akhy kishki niko na shida nae kibinafi kuna mambo ya kidini yananitatiza kichwa sn
Mashallah
Maa shaa Allah
1995 Masha Allah
Huyuu sheikh nurdin kishik,,ndye wa kuigwaa ,,hana baya na mtuu, Allah amlpe kila lakher
MaashaAllah