asalaym alykum Ramadhan.. i was grateful for this interview. i hope you can accept part two of this interview part two(online), MashaAllah. Shukran kwa kulindania, elmu zaidi yahitaji, InshaAllah
Asante Sheikh kwa kumelimisha. Ni bora hao wakristo kwanza wasome hiyo biblia ndio waje na maswali. Maana maswali yake yote yamejibiwa ndani ya biblia. Mungu akufungulie na kukuzidishia kheri afya na baraka nyingi.
Masha Allah, kazi nzuri sheikh wetu Ramadhan Kuria Kaguo, Allah akuzidishie elmu, umri, afya njema, umri mrefu na akujalie amani kila uendapo Amiin Thumma Amiin
Ahsante sana ndugu Ramadhan kwa majadiliano tuloweza kuwa nayo. Najitayarisha kwa sehemu ya pili kuendelea na mahojiano. Mwenyezi mungu akijalia nitakueleza hivi karibuni ili tuweze kuendelea kuelimishana. Again thank you.
Ilivyo huyu amekwita Mwenyewe basi huyu ujue anatafuta kujua ukweli Hana muda atasilimu in Sha Allah sheikh usiache kumfikishia ujumbe hadi asilimu inshallah
Ramadhan naikubali sana kazi unayoifanya lakini, nahisi dozi unayowapa wakristo ni kubwa mno. Ni sawa na ntoto wa mwaka 1 au 2 unlishe muhogo wa kukaanga au wakuchoma. Imagine ni kwa kiasi gn atapata tabu kutafuna, upo uwezekano n mm najuw unaweza kuwapa dozi ya saiz yao wakakuelewa sana zaid y wanavyokuelewa hivi sasa. Dawah iendelee 💯
Mon chéri frère Ramadhani sache le très bien que tu es vraiment une icon tu fais partie des gens daux paradise que le seigneur te facilite ton chemin vers lui facilement amen pour l'amour de tout puissant que sa miséricorde soit sur toi
Sheikh Kuria endelea kutuma videos,maana mimi mwenyewe nimejifunza haya maandiko kutumia izi video na akina Sheikh Salim ngugi tunadownload uku nje...wanaosema waseme
An ex Christian educating a Christian on the concept of The ONENESS of God and prophethood is so amazing. This is the beauty and power of Islam/the truth. O you who have believed, be persistently standing firm in justice, witnesses for Allāh, even if it be against yourselves or parents and relatives. Whether one is rich or poor, Allāh is more worthy of both.1 So follow not [personal] inclination, lest you not be just. And if you distort [your testimony] or refuse [to give it], then indeed Allāh is ever, of what you do, Aware.[4:135]
Shekh ramadhan hii ishu ya kuumba kwa mfano wa mungu ila ata kwenye quran suratul yaasin ( 36:42) inasema 36:42 - Na tukawaumbia kutoka mfano wake wanavyo vipanda. Je wangekua na neno kama ilo kwenye bible yao wangesema mungu anafanana na vitu anavovipenda? Mbona iyo aya ya kusema kuwa mungu ameumba kwa mfano wake mbona kila kitu kwenye hii dunia vimetokana na mfano wa mungu.
Walai Allah akupe janna Ustadh wetu Ramadhan, hio ni step kubwa ya straight path daawa team. Shukran
Allh akufanyie wepesi wa maisha yako hapa duniani na kesho akhera ostadh RAMADHAN KURIA
Amin yarabii
Ameen
Part 2 plz good work Ramadhani
Sheikh Ramadhan unajuwa na inshallah Mwenyezi Mungu aizidishe elimu yako uzidi kujuwa uwe juu ya wenye kujuwa.
Amiin
Mashallah shekh wetu Ramadan kwa kzi nzuri unayoifanya kuelimisha wasiojua dini ya haki na kweli
shekh Ramadhan hatuna cha kukupa isipokuwa dua tu, Allah akujalie kheir katika maisha yako na atujalie mwisho mwema.
Amiin
Ramadhan Kuria congratulations for what you are doing, may Allah (s.w) increase your knowledge. Barakallah akhy.
Ameen
Walleikum sallam warahamatullah wabarakatuh mashAllah daawah iendelee kw uwezo wa Allah
asalaym alykum Ramadhan.. i was grateful for this interview. i hope you can accept part two of this interview part two(online), MashaAllah. Shukran kwa kulindania, elmu zaidi yahitaji, InshaAllah
Asante Sheikh kwa kumelimisha. Ni bora hao wakristo kwanza wasome hiyo biblia ndio waje na maswali. Maana maswali yake yote yamejibiwa ndani ya biblia.
Mungu akufungulie na kukuzidishia kheri afya na baraka nyingi.
kama nivosema tunatayarisha awamu ya pili ambapo tutanukuu na kuchambua maandiko. endelea kufuatiilia. thank you for watching the video
Maa shaa Allah sheikh MWANYEZI MMUNGU akuzidishiah
Mashallah Shekhe Ramadhani umempa elimu ndugu yetu ktk Adam na ameelewa. Allah amuongoze atoke kwenye giza aje kwenye Nuru ya Uislam in shaa Allah.
Mashallah
Mashallah ustadh Ramadhan kwa kazi nzuri,Allah akulipe kheri hapa duniani na kesho akhera
Amiin na sote pia
Allahumma Aamin 🤲
Barak llahu fik sheikh Ramadan Kwa maelezo yako Allah akubariki na akuhifadhi
Masha Allah sheikh ramadhan
Mashaallah tabarakallah mwalim wetu Allah akufanyie wepesi n akupe afya njema nakuzidishie hekma n elimu
Mashaa Allah Tabaaraq Allah,,
Allah ukongezee UMRI wa kheiry uzidi kutuelimisha,,
ALLAH BARIQ
MàshaAllah sheikh wetu Allah akuhifadhi na akulipe kheri hakika unaeleza kimoja baada ya kingine mpaka mtu anaelewa.Jazzakallahu kheri (Amin)
Maashallah napenda sana video zako allah atupe mwisho mwema aamiin
Amiin
Allaah akufanyie wepesi kwa kila halli katika kazi ya da'awa
Masha Allah
Sheikh Ramadan nakuombea mungu akupatie afia mema na hasanat In this Dunya na akheera
Allah akufanyie wepesi kaka Ramadhani katika kuelimisha wasio jua uislamu hivyo tunasubiria sehemu ya pili inshaAllah
Ma sha Allah akhey
Alxadulilah Rabil calamin shukran nampenda kuangalia hii Chanel yako shukran usishindwe inshaala
Mashallah tabarakaallah ustadh wetu Allah akuzidishe zaidi inshallah
Masha Allah mungu azidi kuwapa moyo kuendeleza usilam ❤️❤️❤️
Masha Allah, kazi nzuri sheikh wetu Ramadhan Kuria Kaguo, Allah akuzidishie elmu, umri, afya njema, umri mrefu na akujalie amani kila uendapo Amiin Thumma Amiin
Mansha allah ustad ramadhan
Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu Shekhe Ramadhan Ungekuwa umemjibu KUWA mitume WOTE wakieneza kunya Udi Mungu moja
Ramadhani Allah akubariki. Hapa naona Allah amekujalia hekma. Na Inshallah akuzidishie hekma. Unajua kujibu maswali vizuri
Mashaallah sheikh ramadhani Allah akuzidishie kila la kheri Amina
Maashallah Allah awafungulie waksto haki kwenye visua vywao
Ahsante sana ndugu Ramadhan kwa majadiliano tuloweza kuwa nayo. Najitayarisha kwa sehemu ya pili kuendelea na mahojiano. Mwenyezi mungu akijalia nitakueleza hivi karibuni ili tuweze kuendelea kuelimishana. Again thank you.
Shukran Sana Sheikh Ramadhan Kuria
Maa shaa Allah mwenyewezi Mungu akuhifadhi kwa kazi unayo ifanya
Allah atuhifadhi sote shekh naakukinge na wenye husda nipo mbagala Tanzania nakufatilia sana ikhwan
JazakAllahu khairan kwa ukumnusho, sheikh Ramadan
Shekh ramadhan bin kaguo,,tukoo nyumaa yakoo tunakuelewaa,,vzr snaaa,, Allah akuhfz,,kwa kaz nzr,,,
Mashallah mungu akulipe heri sheh ramazan
Mwenyenzi Mungu akujazie Ramadan Kuria. Uendelee kueneza na kuitangaza dini iliyo ya haki ya uislamu.
Maa shaa Allaah Ramadhan Allaah akujalie pepo yenye Lulu Aameen
Jazakaallah Ghair #Sheikh kumbuka ahadi yangu #Quran tukufu ya Kiswahili ✅
Kujia
Mashallah sheikh ramadhan
Waaleiykum Salam wr wb
MashaAllah we wish sheikh wetu umri mrefu apate kuwaelemisha watu wengi walio potea
Amin
Nimekusikiliza sana 🙏🏿 Asante sanaaa mungu akuongozeee
Alla akulipe ndg yetu ktk imani
MashaAllah umejibu vizuri Allah awaongoze wawe waislamu
Allah akupè afya na siha uzidi kutuelimisha
Allah akubarik sheikhe Ramadan-MashaAllah
Shekh Ramadhan kuria kaguo,,nipoo Tanzania Kigoma,, nakuelew vzr sana,,,tukoo pmjaa Sanaa,,, Allah akujazee kherii,, straight path dawa,,tukoo pmja
Jazaakallah khayrii
Mashallah allahamdulilah Allah akupe wepes inshallah
Kazi nzuri Ustadh!
Mashaallah shekh ramadhan Allah akusimamie popote ulipo 🤲🤲
Mashallah tunataka part 2
zidi kufuatilia part 2 sasa itakuwa na reference ya maandiko. than you
MashaAllah
Mashallah mungu akujiloye kilalaheri sheh ramazan
جزاك الله خيرا جزاء
MASHAALLAH part 2
coming soon. zidi kufuatilia. part 2 tutaingia kwa maandiko. thank you
Mashaallah Tabaraka Rahman
Ilivyo huyu amekwita Mwenyewe basi huyu ujue anatafuta kujua ukweli Hana muda atasilimu in Sha Allah sheikh usiache kumfikishia ujumbe hadi asilimu inshallah
Maashaallah jazaka lakheli
Inshallah Allah akubariki sana rama
Asalam mwaleykum brother ramadhani tutafaulu usife moyo inshallah
Masha Allah Masha Allah❤️❤️❤️
Ramadhan naikubali sana kazi unayoifanya lakini, nahisi dozi unayowapa wakristo ni kubwa mno. Ni sawa na ntoto wa mwaka 1 au 2 unlishe muhogo wa kukaanga au wakuchoma. Imagine ni kwa kiasi gn atapata tabu kutafuna, upo uwezekano n mm najuw unaweza kuwapa dozi ya saiz yao wakakuelewa sana zaid y wanavyokuelewa hivi sasa. Dawah iendelee 💯
Masha Allah ♥️♥️♥️
Mwenyezimungu azidi kukuelimisha na uzidi kukuelimisha ,nakuufikisha uislamu ...kwakweli unastahiki kuombewa ulindwe nakila Shari.
Mashaallah mashaallah tabarakallah Allahu Akbar walilah lihamd
Mon chéri frère Ramadhani sache le très bien que tu es vraiment une icon tu fais partie des gens daux paradise que le seigneur te facilite ton chemin vers lui facilement amen pour l'amour de tout puissant que sa miséricorde soit sur toi
Oui, Oui!
Jazaka llahu khaira.
Maashaala tabaraka lah Love this
Allah akupe kheri Inshaala
Mwenzi mungu amjaliea mamakoo aonea nuru na yy asilimu ramadhani ruria Ameen ya rabi
مَا شَاءَ ٱللَّٰ تَبَارَكَ اللَّهُ
Allah awahifadhi Yaarab
MashaAllah mashaAllah
Waaleikum Msalaam Warhamatulillah Wabarakath sheikh Ramadhan kuria🙏☝️
Mashaalah
Assalam alaikum. Nimejua kumbe hawa hawamkubali Mtume Muhammad kisa ni Mwarabu. Poleni sana. Alafu kumbe pia hawajui kua Swaleh na Shuaib ni Waarabu
Marshall
Mashala mungu akupeguvu akulidi unapoelimisha watu kazinzuri yamugu
Mkaka Ana Nuru kama muislam Mashallah
Ramadhan endelea ivyovivyo Mach lave from EMBU nanilisim
Inshaallah atuhifadhi
MANSHALLAH ALLAH HAFID our sheikhs
It was always difficult to explain from our Christian brothers and sisters. Confusion reigns
Mungu amuongoze huyo ndugu
Haya mahojiano nimeyapenda sana
Maana mwana wa mungu sio kwamba Mungu amekutana na mwanamke sijui hapo mnaelewa
Baitul maal ni mtihani kenya 🇰🇪
Asiyekua mwiislamu yeye ni kuni tuuu.😁😁😁😁😁
Hahahaaa NI hatariii
@@StraightPathDawah Tumuombe الله atupe mwisho mwema, na atufishe tukiwa bado waislaam.
Sio kuni, sheikh yussuf wambugu anasema atakuwa mshikaki (nyama choma)
Wallahi nehema kwangu kuwa umati Muhammad. Nijifunza mingi kwako, kujua haqi
May Allah guide him to Islam
Sheikh Kuria endelea kutuma videos,maana mimi mwenyewe nimejifunza haya maandiko kutumia izi video na akina Sheikh Salim ngugi tunadownload uku nje...wanaosema waseme
An ex Christian educating a Christian on the concept of The ONENESS of God and prophethood is so amazing.
This is the beauty and power of Islam/the truth.
O you who have believed, be persistently standing firm in justice, witnesses for Allāh, even if it be against yourselves or parents and relatives. Whether one is rich or poor, Allāh is more worthy of both.1 So follow not [personal] inclination, lest you not be just. And if you distort [your testimony] or refuse [to give it], then indeed Allāh is ever, of what you do, Aware.[4:135]
ramadhan bin kuria.....tafuta wafuasi wa Kristo halisi,.....wacha kuleta waislamu unadanganya ni wakristo,.....chuma chako kimo motoni siku ya kiama!!
@@abdallamkwaju6102 I remember you are not a Muslim.
So if Kaguo is fooling us Muslims it's we, and ur not one of us KAFIR
@@issajumamwinyi6191 Acha unafiki wako peleka umbea wako kando na usiwe una-watch videos za Ramadhan Kuria kama zinakuuma
@@abdallamkwaju6102 Acha unafiki wako peleka umbea wako kando na usiwe una-watch videos za Ramadhan Kuria kama zinakuuma
@abdallamkwaju6102 sema nini anadanganya waislamu? You have nothing , stop Jealous , we Ramadhan Kuria.
Tunaomba muendelezo tafadhali
Ramadhan Kuria huyo ndugu amekuuliza unajua nini kuhusu Wakristo kuitwa Wana wa Mungu? Naomba tuijadili mada hiyo hiyo tafadhali. Je Uko tayari?
Naomba unitumie ujumbe WhatsApp number zipo kwenye screen yako
Shekh ramadhan hii ishu ya kuumba kwa mfano wa mungu ila ata kwenye quran suratul yaasin ( 36:42) inasema 36:42 - Na tukawaumbia kutoka mfano wake wanavyo vipanda. Je wangekua na neno kama ilo kwenye bible yao wangesema mungu anafanana na vitu anavovipenda? Mbona iyo aya ya kusema kuwa mungu ameumba kwa mfano wake mbona kila kitu kwenye hii dunia vimetokana na mfano wa mungu.
Mkono kwa mkono Hadi peponi kaka