SIMBA SC 3-1 POWER DYNAMOS: HIGHLIGHTS (SIMBA DAY) 6/8/2019

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 202

  • @hassanmakoye1264
    @hassanmakoye1264 5 ปีที่แล้ว +45

    Mungu ijalie simba sc kufikia malengo yake .mungu ibarik Tz

  • @Bensonfrank25
    @Bensonfrank25 5 ปีที่แล้ว +32

    SIMBA IMEPATA SANA BAHATI KUMPATA MANARA 💪 THIS IS SIMBA!!!

  • @asha_homedecorations
    @asha_homedecorations 5 ปีที่แล้ว +9

    manaraaaaaaaa Khaaaa wewe ni zaidi ya simba day kuna manara mmoja tu dunia nzimaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mohammedabdu5979
    @mohammedabdu5979 5 ปีที่แล้ว +6

    شيبوب يا كوي القلوب. قدام بس. يا سفير السودان ❤️🇸🇩🇸🇩

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 5 ปีที่แล้ว +7

    Naiombea sana team yangu ya simba

  • @zaynasri1831
    @zaynasri1831 5 ปีที่แล้ว +27

    Jmn kuanzia leo naitwa mrs Deo kanda😊😊

  • @BigDreamsWorldwide
    @BigDreamsWorldwide 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimemmiss Fraga 💕nikaja hapa

  • @lwitikophilipopelela1891
    @lwitikophilipopelela1891 5 ปีที่แล้ว +3

    Hiii kitu Tamu Sanaa Asante Azam

  • @mutalemwagabriel2277
    @mutalemwagabriel2277 5 ปีที่แล้ว +35

    Azam ninawapenda mpaka ninaugua 😘😘😘ahsante kwa kutuwekea hii kitu Ni tamu Kama nn aiseee😂😂😂

  • @florandossi4021
    @florandossi4021 5 ปีที่แล้ว +13

    Oooh this is simbaaa........utabaki kua juuu kileleniii

    • @issahussein1460
      @issahussein1460 5 ปีที่แล้ว

      Ujue unaposhangilia bingwa tizama nahiko kimeo zambia league yao kiko nafasi ya ngap ipo uonevu

  • @kingayo4272
    @kingayo4272 5 ปีที่แล้ว +37

    Watu njoooo hukuuuuuuu mambo tyr

  • @christinangawayasi2889
    @christinangawayasi2889 5 ปีที่แล้ว +7

    kwa simba hii sina lakuonge naipenda mbaka naumwa

  • @lazarojr8923
    @lazarojr8923 5 ปีที่แล้ว +16

    Kapombe is back,, Shibob ni fire, KAHATA ni international,, huyu Chama Sina la kuongea juu yake,,, kazi nzur simba fans, kazi nzur MO, kazi nzur kwa wachezaji wote,,,, MK14 ni yule yule noma,, Kanda ni Kanda tu mikono juu 🙌

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว +1

      ila kapombe asee, huyo mganga c amuachie tu!

  • @josephinanikwelimdacki3330
    @josephinanikwelimdacki3330 5 ปีที่แล้ว +12

    Mo mungu akuongeze miaka ya kuishi ni mtu wawatu hujiinuwi

  • @kingayo4272
    @kingayo4272 5 ปีที่แล้ว +26

    Asante ni sana azam TV tpo pamoja sana

    • @vairethtweve4816
      @vairethtweve4816 5 ปีที่แล้ว +2

      Wakubwa tumelizika sana na wachezaji hongeren

  • @thompsonbnapoleon60
    @thompsonbnapoleon60 5 ปีที่แล้ว +15

    Machozi yafuraha yananitoka naliya futaha wallahi yaa Allah simba were chaguwa langu angalawu Mimi raiya wa Rwanda

  • @azizimuhibu7771
    @azizimuhibu7771 5 ปีที่แล้ว +12

    IGA UFE THIS IS NEXT LEVEL,kama unamkubali manara like hpa

  • @mussaswalehe8033
    @mussaswalehe8033 4 ปีที่แล้ว +1

    Simba ni timu kubwa mashaalaa mungu jalia timu yetu

  • @kinguyejumanne9891
    @kinguyejumanne9891 4 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥simba baba lao barak mpenja shukulan kwako

  • @samorakigosi858
    @samorakigosi858 5 ปีที่แล้ว +18

    Simba wanaume

  • @masalagobenard6878
    @masalagobenard6878 5 ปีที่แล้ว +146

    Kama unaipenda simba gonga apa tuendelee kusherehekea ushindi wetu

  • @alexjeremia7686
    @alexjeremia7686 5 ปีที่แล้ว +29

    Kama unacheki muda huu hapa TH-cam kama mimi gonga like twende Sawa SimbaSc Nguvumoja #lgaUfeThisIsNextLevel

    • @husseinhamisi9422
      @husseinhamisi9422 5 ปีที่แล้ว

      Habar za masku mkuu...enjoying to meet you here again...!

    • @imanswai3317
      @imanswai3317 5 ปีที่แล้ว

      Oooog

  • @mussajuma7201
    @mussajuma7201 5 ปีที่แล้ว +15

    Simba itabaki kuwa juu

  • @SimuliziZaOscar
    @SimuliziZaOscar 5 ปีที่แล้ว +5

    yaaaani this is simbaaaaaaaaa

  • @finiassamwel1785
    @finiassamwel1785 5 ปีที่แล้ว +4

    Hongela chama langu simba

  • @yassirmapigo7115
    @yassirmapigo7115 5 ปีที่แล้ว +18

    IGA UFE THIS IS NEXT LEVEL

  • @gillrafael5780
    @gillrafael5780 5 ปีที่แล้ว +7

    Inaitwa kaambali na na ss

  • @issayaonespholo7635
    @issayaonespholo7635 5 ปีที่แล้ว +12

    Kama nawewe umemkubali host AHMED ALLY gonga like tutambuane

  • @khadallahde5791
    @khadallahde5791 5 ปีที่แล้ว +8

    Kama umekíona kikoxi cha simba gongā like

  • @shebybrown9071
    @shebybrown9071 5 ปีที่แล้ว +86

    anayekubuli ubingwa niwetu please achia like hapaaa

  • @dwasimasunga507
    @dwasimasunga507 5 ปีที่แล้ว +23

    Simba chama kubwa

  • @pangapaul659
    @pangapaul659 5 ปีที่แล้ว +4

    Asanteniiii Azam

  • @beatricemagesse3505
    @beatricemagesse3505 5 ปีที่แล้ว +7

    Asante azam

  • @allysinkala6101
    @allysinkala6101 5 ปีที่แล้ว +8

    Iga ufe this is next level

  • @mcdondosha4151
    @mcdondosha4151 5 ปีที่แล้ว +21

    Kama unaamini kama mimi mc Dondosha kua deo akanda ndio mlisi wa okwi hebu dondosha like

  • @norascombedule1057
    @norascombedule1057 5 ปีที่แล้ว +6

    duuuh this is the next level

  • @ernestainea2170
    @ernestainea2170 5 ปีที่แล้ว +5

    We Kagere weee!!!

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 ปีที่แล้ว +2

    Kuishabikia SIMBA sports club Raha Sanaa 😂😂😂😂

  • @minaside6717
    @minaside6717 5 ปีที่แล้ว +28

    Simba oyeeee utabak kua juu

  • @josephinanikwelimdacki3330
    @josephinanikwelimdacki3330 5 ปีที่แล้ว +16

    Manara unatia raaaaa

  • @zuhuranalyona297
    @zuhuranalyona297 5 ปีที่แล้ว +3

    Nice team in Tanzania

  • @wabumbuli2710
    @wabumbuli2710 5 ปีที่แล้ว +31

    kama unaamini jamaa wameponzwa na mijezi ile gonga like hapa

  • @emanuelgavile3503
    @emanuelgavile3503 ปีที่แล้ว +1

    Ila manara ni shoga sana jaman

  • @mohamedidd7385
    @mohamedidd7385 5 ปีที่แล้ว +116

    Kama na wewe uliisubiri sana hii naomba nikuone tafadhali,,,,,,,,,

  • @morlovzeboy4926
    @morlovzeboy4926 4 ปีที่แล้ว +1

    this is smba brother

  • @beatriceedward2157
    @beatriceedward2157 4 ปีที่แล้ว +1

    Simba ni shidaaaaaa

  • @PaulSengo
    @PaulSengo 5 หลายเดือนก่อน +1

    UBAYA UBWELA

  • @isunga1964
    @isunga1964 5 ปีที่แล้ว +16

    😆😆😆KTV ndoo ulikuwa mpango mzima live mwanzo mwisho ila ngonja niangalie marudio wasipo shinda leo tena Daynamo basi tena 😊😊😊SIMBA OYEEE NEXT LEVEL

  • @mastaplanabas3817
    @mastaplanabas3817 5 ปีที่แล้ว +19

    Nilikua nasubil kwa hamu

  • @fabianimbilinyi651
    @fabianimbilinyi651 5 ปีที่แล้ว +9

    Ivi kuna timu nyingine Tanzania

  • @richarddege6983
    @richarddege6983 5 ปีที่แล้ว +5

    Simbaaaaaaaaaaa

  • @neematitoneematito1117
    @neematitoneematito1117 5 ปีที่แล้ว +14

    azam muwe mnawahisha crip zenu jaman

  • @rashidyngumbwaye1773
    @rashidyngumbwaye1773 4 ปีที่แล้ว +2

    Km na ww umerud kumwangalia Larry bwarya comment

  • @credychipungahelo1515
    @credychipungahelo1515 5 ปีที่แล้ว +7

    Hili bango linanipa shida kusoma labda wenzangu someni

  • @masalukitashika4668
    @masalukitashika4668 4 ปีที่แล้ว +1

    Mechi ya simba ya leo

  • @jafariufukuufuku5641
    @jafariufukuufuku5641 5 ปีที่แล้ว +10

    jamani tucmsahau baraka mpenya mzee wakunogesha hhhhhhhhhhhh sauti yaradi hiiiiiiiii

  • @khadijakhadija6212
    @khadijakhadija6212 5 ปีที่แล้ว +19

    Kam ulaya jamn

  • @maryangela107
    @maryangela107 5 ปีที่แล้ว +5

    chama la wana

  • @bujiiclassic1964
    @bujiiclassic1964 5 ปีที่แล้ว +2

    Simba NGUVU moja

  • @babdulla3779
    @babdulla3779 5 ปีที่แล้ว +69

    Azam hapa kweli tuna wapongeza kutuwekea Full video like zenu tulio kuwepo Uwanja wa Taifa👇

  • @salumusizya4545
    @salumusizya4545 5 ปีที่แล้ว +3

    YES NOMA SANA

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbona bao la Dynamos hamjalionesha

  • @YamunguYb
    @YamunguYb 5 ปีที่แล้ว +6

    Siiimbaaaaa

  • @salamaally7615
    @salamaally7615 ปีที่แล้ว

    Ila manara alikua best sana 😂😂😂😂 yaan ulifanya kitu kwa mapenz, nowadays makasiriko mengi 😅

  • @katalayshemndolwa3146
    @katalayshemndolwa3146 ปีที่แล้ว

    🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲nikiwa ndola

  • @paulmabele8977
    @paulmabele8977 5 ปีที่แล้ว +6

    Man utd

  • @kyambarungwe4453
    @kyambarungwe4453 5 ปีที่แล้ว +5

    wapi kiromoni utapata tabu sana

  • @yujinxhing3766
    @yujinxhing3766 5 ปีที่แล้ว +2

    Manara jinga sana

  • @Samo_love
    @Samo_love ปีที่แล้ว

    Oyaaaaa mmeyakanyaga tena

  • @zachariakonyanza2259
    @zachariakonyanza2259 ปีที่แล้ว

    Kama umeiangalia hii mwaka 2023 gonga like tujuane

  • @prosperpuro1712
    @prosperpuro1712 5 ปีที่แล้ว +5

    🔥🔥🔥🔥

  • @mcdondosha4151
    @mcdondosha4151 5 ปีที่แล้ว +26

    Kuna binadamu walikuwa wanasema wabrazil wametoka ndondo huko sasa naona wameamini kua simba haijawahi uziwa mbuzi kwenye guniaaaaaaaaaa hahahahahahah

  • @langayonlineinfo2383
    @langayonlineinfo2383 5 ปีที่แล้ว +3

    This is Simba

  • @analisekasaizi5757
    @analisekasaizi5757 3 ปีที่แล้ว +1

    Patrick ndo alkuwa anajua mpira wa mk 14 ila wa sasa amekomaa na mugalu mpaka med kiwango kinashuka wakat kagere ni bora kuliko mugalu

  • @gevancemwalumu7864
    @gevancemwalumu7864 2 ปีที่แล้ว

    Aaaah laly bwalya

  • @JeremiahSiwando
    @JeremiahSiwando 5 หลายเดือนก่อน

    Swwa kaka😊 11:52

  • @josephkadege8729
    @josephkadege8729 5 ปีที่แล้ว +2

    Azam Baraka mpenja

  • @selemankiwande8162
    @selemankiwande8162 5 ปีที่แล้ว +14

    Tz, imekuwa imara viwango vya michezo vimepanda heshima inaanza kurudi tunaogopwa saiv tusonge mbele tusirud nyuma tena

  • @janethpallangyo2633
    @janethpallangyo2633 5 ปีที่แล้ว +48

    Nina furaha kuwa simba wewe je?😁😁

  • @mzalendotz3397
    @mzalendotz3397 5 ปีที่แล้ว +7

    Hii ndio tafsir ya mabingwa au timu kubwa.

  • @nicellylyimo6788
    @nicellylyimo6788 4 ปีที่แล้ว +1

    2020 watch tujuane kwa like

  • @paschalmaganga1893
    @paschalmaganga1893 ปีที่แล้ว

    Najiuliza manara hizi Raha uliziachaje ukakimbilia utopolo😅😅😅

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 5 ปีที่แล้ว +1

    Hìi inaitwa kamati ya roho mbaya shangaa uliwe

  • @egnokinunda6959
    @egnokinunda6959 5 ปีที่แล้ว +5

    Kanda like Okwi

  • @mhumbiofficial340
    @mhumbiofficial340 5 ปีที่แล้ว +3

    Azam mmechelewa sana kuiapload hii k2 aisee

  • @lastbonhatibu7280
    @lastbonhatibu7280 5 ปีที่แล้ว +6

    Tatzo walvaa jez za gundu hahahhahah jez za vyuraaa

  • @jumamkongowe8870
    @jumamkongowe8870 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashabiki kindaki ndaki wa cmb like zenu tujuane👍🏾👇👇👇👇👇👇👇👇

  • @rashidingumbwae3653
    @rashidingumbwae3653 5 ปีที่แล้ว +2

    Azam tunawapenda saana ila msiwe msichelewa kutoa highlight plz ss wengine tuna enjoe hh kitu

  • @hamismwidin4653
    @hamismwidin4653 5 ปีที่แล้ว +3

    Gori la dynamo liko wa

    • @Rashidmhedhery
      @Rashidmhedhery 5 ปีที่แล้ว

      Hamis Mwidin: Goli, goli, SIO GORI

  • @ghabeidsuflah8492
    @ghabeidsuflah8492 5 ปีที่แล้ว +13

    Roho yako ni mhim kaka 🤣🤣🤣🤣

  • @lastkings262
    @lastkings262 5 ปีที่แล้ว +7

    IGA TUKUZIKE

  • @vestinarichard1100
    @vestinarichard1100 5 ปีที่แล้ว +3

    simba ninoooma hawa jamaa walfungwa na meng jaman watu kma wote af wao hkuna hata mmoja anae wasapt

  • @abdulkillya2655
    @abdulkillya2655 4 ปีที่แล้ว +1

    Nafikiria mwaka huu tunaweza kukosa hii burudani kwa sababu ya corona

  • @amosmadaha6428
    @amosmadaha6428 5 ปีที่แล้ว +4

    Timu itakayokutana na Simba kwa TPL nitakuwa mwendo wa mateka maana mhuuuu

  • @voiteckmongela8836
    @voiteckmongela8836 5 ปีที่แล้ว +12

    Mbona mmechelewa kuweka

  • @amosyusupu1221
    @amosyusupu1221 3 ปีที่แล้ว

    naerew sans kuw simba nimu kubwa kuliko tinu yoyote

  • @hamisswaleh545
    @hamisswaleh545 ปีที่แล้ว

    Kaz wanayo ten

  • @gevancemwalumu7864
    @gevancemwalumu7864 2 ปีที่แล้ว

    Manara anavyomsifu mo dewji saivi yuko yanga anamponda balaa dunia hii

  • @makoyerichard5937
    @makoyerichard5937 5 ปีที่แล้ว

    #simbasctanzania Raha sanaaaaaa

  • @simbawatown2729
    @simbawatown2729 ปีที่แล้ว

    Nani amekuja kuangalia tena baaada ya kusikia kuna possibility ya power dynamos kukutana na Simba kwenye CAF