Stano plz wachana na ma pastors kwanza call your friend Riaga watakusaidia bora umpingie na kama si hivyo kuna pastor joshua mwenye anaudumia kina senior Dave please
Hii story kama ni kweli basi nimeami ata baba yangu mama yangu mdogo alimuua na haya mambo yako.alimwambia wazi wazi baba yetu tena mbebe yangu nikiwa darasa la 6 ilikuwa ni mwaka 2006 kwamba baba baraka ww lazima uwe na tule nyama kwenye msiba wako na baada ya wiki moja tu alimtoa mzee wetu ki penzi chetu usiku wa manane akaenda kuwanga nae usiku kucha na mzee alisema na baada ya wiki mbele mzee alikifu
SUPPORT US VIA MPESA; 0708069130 STANELY MURAGURI
Stano and Pasta show may you never lack anything in your entire life. God bless you all. 🙏
This one has nothing to lose, may you never hear a cry of a child in your entire life,you will never find peace😢
Don't ever give out that baby, stano God has a reason why you saved the innocent child, take him like your son
Uyu mama ni mjinga sana maisha ya Dan ilo atarini
Mbona mnaita mandui kawa hosi
God is good
Glory be to God
Plz don't leave the kid there
Stano plz wachana na ma pastors kwanza call your friend Riaga watakusaidia bora umpingie na kama si hivyo kuna pastor joshua mwenye anaudumia kina senior Dave please
Msiende kwa manyuru Thompson, maombi si maombi hivyo venye umesema manyuru atatoa huyo mtoto sacrifice
Sasa huyu ni mama kweli wewe ndio utakufa mbele yake Dan
Hii story kama ni kweli basi nimeami ata baba yangu mama yangu mdogo alimuua na haya mambo yako.alimwambia wazi wazi baba yetu tena mbebe yangu nikiwa darasa la 6 ilikuwa ni mwaka 2006 kwamba baba baraka ww lazima uwe na tule nyama kwenye msiba wako na baada ya wiki moja tu alimtoa mzee wetu ki penzi chetu usiku wa manane akaenda kuwanga nae usiku kucha na mzee alisema na baada ya wiki mbele mzee alikifu
Bado Dana hajaanza kuogea ,na mama ndio anaogea shit
Sasa huyu anaongea nini sasa
How did he survive without eyes,ulimi and makagari just asking
Hakutolewa hizo walikuwa nazo ni za mbuzi ndio SMS ilisoma