TAZAMA AWESU NA DEBORA WALICHO KIFANYA KWA MASHABIKI WA SIMBA,KOCHA FADLU APIGA PICHA NA MASHABIKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @merycianshinda546
    @merycianshinda546 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo Simba bana natakoma hiyo ubaya ubwela

  • @EstaJohn-dr6pc
    @EstaJohn-dr6pc 2 หลายเดือนก่อน

    Naona rimewachoma sana kufuga Simba pore yako

  • @allyhuyu1892
    @allyhuyu1892 2 หลายเดือนก่อน

    Uto mnateseka sana na ushindi wa simba sc poleni sana, nifikishieni salam kwa kocha kwamba karabaka ni kijana mwenye bahati ya magoli kuliko mchezaji mungine mpeni nafasi mara nyingi mjionee

  • @neemaraphael8732
    @neemaraphael8732 2 หลายเดือนก่อน

    Sura yako na maneno yako tofauti Simba imefinga ww unaumwa haaaaaa

  • @EmmanuelPerezz-vw6wq
    @EmmanuelPerezz-vw6wq 2 หลายเดือนก่อน

    Simba toeni pasi huwezi kufunga mwenyewe ahoua

  • @salumhassan4309
    @salumhassan4309 2 หลายเดือนก่อน

    MTU yoyote anae muona mwenzie akipata mafanikio na akatuna jua moja kwamoja amelaaniwa tumia kauli nzuri inayo faa kwenye jamii sio matusi usijione niujanja au ubabe hio nilaana ilio kuzunguka Bali hujitambui kiakili au kimawazo nini umezungumza

  • @WaziriSelemani
    @WaziriSelemani 2 หลายเดือนก่อน

    Cheupe chiz kweli wwe

  • @WaziriSelemani
    @WaziriSelemani 2 หลายเดือนก่อน

    Kalio huyu wwe umezoea kubebwa ndio maan unaona na ssi tunabebwa et

  • @SudiSaidi-q9w
    @SudiSaidi-q9w 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwan magor unayopigwagwa ww nae jamaa refa anambeba au mazur ww kaa chini ukune nazi upike ndo kazi yako.

  • @ZawadMahenge
    @ZawadMahenge 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe ndokenge maana hyosheleh siyakwako

  • @ZawadMahenge
    @ZawadMahenge 2 หลายเดือนก่อน

    Nenda naww ukabebwe

  • @bahatimlunya9301
    @bahatimlunya9301 2 หลายเดือนก่อน

    Simba bhana😂😂😂😂

  • @MashangoBausi-vh7sd
    @MashangoBausi-vh7sd 2 หลายเดือนก่อน

    Umenuna ukiwa wap mbwa weye?

  • @SudiSaidi-q9w
    @SudiSaidi-q9w 2 หลายเดือนก่อน

    Kwan amina magor anayokufungaga jamaa nae anabebwa au mazur ww kaa chini ukune nazi upike ndo kazi yako.

  • @mpekuzimedia-xw1rb
    @mpekuzimedia-xw1rb 2 หลายเดือนก่อน

    Awa kenge leo wameshinda manina zao hatuhemi kenge hawa magoli yenyewe mabaya wamebebwa na refa

    • @MgeniSaid-fp3wg
      @MgeniSaid-fp3wg 2 หลายเดือนก่อน +1

      We mchawi kwahiyo ulitaka washindwe au?!

    • @EsterMjema-lt1yp
      @EsterMjema-lt1yp 2 หลายเดือนก่อน +1

      tena mchawiii haswa wvu t kenge nn

    • @rehemamalema5045
      @rehemamalema5045 2 หลายเดือนก่อน +2

      Sio tu mchawi huyo,bali ni jini mnyonya damu asiependa ya wenzie yanyooke na akasahau kuwa Mungu yupo muweza wa mambo yoote. Nakupa polee wewe shetani mtoto. Kumbuka kuwa simba tuna Mungu Muumba mbingu na ardhi na safari hii atatuepushia na wenye roho za husda kama yako.

    • @morrisabdon7881
      @morrisabdon7881 2 หลายเดือนก่อน

      Hivi "Yanga" ina maanisha nini?? Na ni lugha gani???
      Nimetafuta katika kamusi sijapata, kwa kuwa mimi siyo mandioca, nashindwa kushabikia kitu nisichojua maana yake.

    • @Jerie-q1c
      @Jerie-q1c 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@morrisabdon7881
      Yanga itapotea tu, mashabiki wake Wana chuki sn na simba