ASSLAMALAKUM JAMBO I LOVE UR STORY FROM TZ SEA MAN I AM PROUD OF YOU I AM LIVING IN 🇬🇧 LONDON BUT I AM ORIGINAL FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA MY DUA ALWAYS WITH U REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM 🇬🇧 LONDON. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ndiyoooo mwamba Kaliope naona mambo si mabaya yaani mambo juu ya mambo naona Bongo unaiweza kama hivyo kwenye mastori kwa wingi mwamba tume kumisi bossi unaiyona mipira ya Simba na Yanga bro
Huyu jamaa ni baharia wa kweli kabisaa namkubali sanaa
Huyu ndo star sasa wa huu mchongo, bro i promise ninaandika ngoma kuhusu maisha yake.coz nimemsikiliza kinoma
ASSLAMALAKUM JAMBO I LOVE UR STORY FROM TZ SEA MAN I AM PROUD OF YOU I AM LIVING IN 🇬🇧 LONDON BUT I AM ORIGINAL FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA MY DUA ALWAYS WITH U REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM 🇬🇧 LONDON. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Anae mtoto huyu India nilikua nae mwaka 92 na Apa ugiriki wapo watoto zake pereus🇹🇿🇬🇷✊👊
Naomba no yako
Yule kinyogoli cyo bahari huyu ndiyo baharia
SASA MZEE UNASEMA MALENGO YAKO WATAKUZUIA KICHAWI USIENDE
Yupo vizuri huyu mzee anajua kupiga story
Baharia kariope the leaving legend...🙌🙌🙌🙌
BAHARIA KALIOPE SHIKAMOO MAANA UMENIFANYA NIANGALIE INTERVIEW YAKO MWANZO MWISHO SIO KITOTO UMENIFUNZA BABA
Kinyogoli tunaomba muendelezo Esco from France 🇨🇱🇾🇹🇾🇹🇾🇹
Naomba no yako
Bongo wachai kabisa baba
Shingo sasa kama feni😅
Awapendagi maendeleo nyau hawa hali ya kuwa unapambana mwenyewe lakin wapi
Respect true story
Fan from beith bredge zimbabwe 🇿🇼 pamoja sana ,,we are together,,estamos ,,nous ensembles
Napenda story zake anafurahisha story zake
Ndiyoooo mwamba Kaliope naona mambo si mabaya yaani mambo juu ya mambo naona Bongo unaiweza kama hivyo kwenye mastori kwa wingi mwamba tume kumisi bossi unaiyona mipira ya Simba na Yanga bro
Mzeee mcheshiii kweli nataka contact zake nitampataje???😂😂😂😂😂😂
Mzee yupo smart sana
Leo muulize yote Bana baharia wetu
Bongo waga wegi sana ani uchawi upo kweli
Nic interview jah bress you
Kiswahili yani najipata nacheka tuu nafuraiya ogea yake huyu bro 🇰🇪🙏🏻😂😂😂
Kiswahili cha dar afu kina uBaharia ndani yake
@@fahadfaraj6474 🤣🤣🤣🤣
k mbona wacheka binti
Cheza na vitu vyote ila usicheze na Human being 🤣🤣🤣🤣 kabisa 😉
Nimecheka sanaaaa
Huyu ndio baharia kweli sio wa mchongooo 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
Mulize story za bombey gadeni😁🇹🇿🇬🇷
Mabaaria tanzania mnanufaika maisha yenu lakini uku kenya mazee yani ngumu
Mtoni kuna watoto alahuakubal brother mkweli Sana 😁😁
"Father akaongeza ngoma zingine mbili" 😂😂😂 Kaliope mtu mbad sana🙌🙌🙌
Nakubali
Bongo kuna wangaaaa 🤣🤣baharia mwenzio jinsia tofauti nipo Oman napambana
Ulifika je wewe jamani??
Mtafute tena huyu jamaa aendeleze story
Kaliope kama kaliopee
EBWANA ESCO NINA MSHKAJI WANGU BAHARIA UKIMAINDI KUPIGA NAE STORI NISTUE, NAE NI MSAFIRI WA HAJA KAMA KALIOPE ANA STORI ZA MATUKIO KIBAO
Esco anapatikana kwa namba hii 0675730796
@@SimuliziNaSauti Asante sana mzee kwa taarifa. Nitamcheki
Naomba no yako
@@dicktv8762 Namba ya ESCO au ?
@@Chemba67 yakwako
Huyu Mzee ananishawish nipange meli
Kaliope saluti
Uyu jamaa angekuwa ametokeya ulaya ange andikiwa vitabu na ku pewa heshima kwa tourist and hustler mkali duniyani.
Ngoma ngumu huyoo kitambo hapa umangani παλα πολύ χρόνια εδώ στην Ελλάδα αυτός παπου kaliope ,ρε ενυαξει
Please andikeni part 1 or 2
Leta bahariaaaa
Muhuni wa zamani
SAILOR
4
Tunaomba namba ya baharia
Uyo mie ndio namtaka
Daaahhhh nimemkubali sana huyu baaliaa, nitampataje pataje huyo contact zake???
Mbona huu ulizi Akiwa kazini kwenye meli haijawahi kukutana na Strowy kwenye meli yake
Wewe KALIOPE MIMI ( STONE FACE) Umangani hapa Nitafute 2
Nitumie namba Yako huyu mzee nakaa nae kitaa kimoja
Giriki sio
sNs medea kubwa tafuten mic muwe nazo ,mbili hata mbanga tv anawashinda, wee huon
2
Tatizo kaliope. Hutulii sehemu moja mzee. Yaan kila mahali unaacha mbegu
😂😂😂😂
Mwamba sasa yuko hapa
Nimefurahi kufanya part 2....🔥🔥🔥🔥
😄😁😁❣️
tena safari hii tuondoke
Naomba namba ya uyo bahalia
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌
🤣🤣🤣🤣wanga bhna achen bas mnatufukuzia mtu
Mzee story yke Ina mafunzo sanaa
Story zamabaharia zinaelimisha
Usicheze na human been 🤣🤣🤣
Sauti yake kama chimakeke
Uwenda ndio yeye Maana na yeye kaaso chimakeke muda wote kuvaa masks tu 😂 MZEE WA KUTOKA MAGETONI
Anayejua baharia anaishi wapi aniambie tafadhali
Anakaa kinondoni daresalaam
Nimepend san maisha ya ubaharia
Nakukubali baharia wangu nakufatilia from dubai