RIPOTI: WAJERUMANI WANAISHI KATIKA UMASIKIKI MKUBWA BARANI ULAYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 99

  • @FatmaSuleiman-g8q
    @FatmaSuleiman-g8q 22 วันที่ผ่านมา +10

    Hata bado ,Mwenyezi Mungu awazidishie yawe magumu zaidi

    • @selemanisalum7685
      @selemanisalum7685 22 วันที่ผ่านมา

      Basi mpunguze mizinga uko mana hata ndugu zenu tupo huku

    • @zainabzanzibar1518
      @zainabzanzibar1518 22 วันที่ผ่านมา

      ​@@selemanisalum7685😅

  • @PiliMahyoro-l1v
    @PiliMahyoro-l1v 22 วันที่ผ่านมา +8

    Na bado, mashoga mpaka wa silimu❤😂

    • @bekabakari7394
      @bekabakari7394 21 วันที่ผ่านมา +1

      Hapa sio mambo ya dini
      Watu wanajituma kikazi lakini
      Bills ndio zinaumiza huwezi kukaa
      Mungu ni saidie watu wanafanya kazi
      Usiku na mchana wachana na mambo ya dini bro njoo ujionee huku misikiti
      Inavyo jaa kushinda hata bongo
      Tembea uijue dunia

  • @abdallabundala404
    @abdallabundala404 22 วันที่ผ่านมา +3

    Putin aliwaambia atawarejesha kwenye enzi zileeee lkn wakamuona ni kituko. Ilikuwa ni swala la muda t.

  • @anny19988
    @anny19988 22 วันที่ผ่านมา +9

    Uchumi wa Ujerumani unategemea gesi ya Urusi kwa ajili ya kuendesha viwanda. Sasahivi hakuna gesi ya Urusi kwa sababu wao wenyewe Ujerumani wamekataa kununua hiyo gesi kwa sababu ya vikwazo vya umoja wa Ulaya dhidi ya Urusi.
    Viwanda vinakufa= Uchumi unakufa. Haihitaji elimu kubwa kuelewa

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 22 วันที่ผ่านมา +2

      Si akili zao ziko matakoni waache wafe kwa njaaa sasa😂

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 22 วันที่ผ่านมา +1

      Wanawasikiliza Marekani acha yawakute

    • @samwelmwangi9185
      @samwelmwangi9185 21 วันที่ผ่านมา

      Ulilosema ni sahihi, hali yao itazidi kuwa ngumu wasipobadilika.

  • @SaidFadhili-x5t
    @SaidFadhili-x5t 22 วันที่ผ่านมา +2

    Wakome wametunyonya sana

  • @kajembeathman
    @kajembeathman 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu azidi kuwafilisi damu za watu zinawadhuru.

  • @abdulyabdunuru1476
    @abdulyabdunuru1476 22 วันที่ผ่านมา +4

    😂😂 bado hajasema mpaka mseme unafikili urusi ni wajinga hivyo

  • @MikiGermany210
    @MikiGermany210 22 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli kabisa hujakosea kaka,mtu asiyefanya kazi analipwa vizuri zaidi.alafu hilo jimbo ni bavaria sio Baravia

  • @mustaphaabbasihassani6519
    @mustaphaabbasihassani6519 22 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi ipo

  • @isac5180
    @isac5180 21 วันที่ผ่านมา

    Wewe,shoga

  • @GeremihJuma
    @GeremihJuma 22 วันที่ผ่านมา +2

    Shoz ni mpuuzi warumani
    Hawana makosa Ila walaumu kiongozi wai
    Shozi nimtu mwenye za yA taifa Ila akiliyake
    Uko bize na kupeleka silaha showzi zero

    • @anny19988
      @anny19988 22 วันที่ผ่านมา

      Sholz 😂😂😂

  • @allyatom2076
    @allyatom2076 22 วันที่ผ่านมา +6

    Putin shikamoo😂😂😂

    • @DeusRobart
      @DeusRobart 21 วันที่ผ่านมา

      Malahaabaaaaa😂😂😂

  • @anny19988
    @anny19988 22 วันที่ผ่านมา +2

    Kama unahisi Adam Hussein anadanganya nenda hata kwenye media za Ulaya ujihakikishie. Yaani watu wanabisha tu kwenye comments wakati anachoripoti Adam Hussein ndo hichohicho kinachoripotiwa na vyombo vya habari vya Ulaya. Tuacheni kukariri jamani. Mambo yanabadilika

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 21 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli sio Germany peke yake
    Ni nchi zote za ulaya maisha ni magumu mno

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 21 วันที่ผ่านมา

    Na bado vikwazo walivoweka kwa urusi vinawaumiza wenyewe. Walizani watamkomoa mrusi kwa vikwazo acha sasa wapate machungu 😂😂😂

  • @AliSuleiman-h3k
    @AliSuleiman-h3k 22 วันที่ผ่านมา +2

    Yoote kasababisha beanawao amerika

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv 21 วันที่ผ่านมา

    Sio ujerumani tu hata uingereza

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk 22 วันที่ผ่านมา +1

    NA BASO HAWAJASEMA. NA WATASEMA. MPAKA 2030 ULAYA WATATABIKAAANA MAANA WALIOKIWATEGEMEA KUWAPORA SASA WANAAMKA.

  • @jumamayonga8914
    @jumamayonga8914 22 วันที่ผ่านมา

    Hali ya maisha ni ngumu ujerumani lakini pia bado ufaransa nayo pia Hali ni ileile

    • @SM-fu1yv
      @SM-fu1yv 21 วันที่ผ่านมา

      Hata uingereza magumu sana kodi za nyumba na matexi chungu mzima

  • @anny19988
    @anny19988 22 วันที่ผ่านมา +4

    Angela Merkel ndo mtu pekee aliyekuwa anaweza kuendesha nchi. Huyu Sholz ni kibaraka tu anafata amri za bwana wake aliyepo Marekani. Vizuri sana, wakatae kununua gesi ya Urusi, waendelee kutuma pesa ya Ukraine. Vizuri. Vizuri

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 22 วันที่ผ่านมา

    Maisha ni zamu uwenze na nzuri umalize na ubaya au uanze na ubaya umalize na uzuri kila kwenye uzito Kuna wepesi mbele na Kila kwenye wepesi kuna uzito mbele akika Allah ni mkadiliaji bora ata uwe mjanja iko siku utajuwa ujui unajuwa😂😂

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko 22 วันที่ผ่านมา

    mbona bado hawajapigika.wanamilki i phone inatakiwa wamiliki viswaswadu na mlo mmoja kwa ck 3 mamae

  • @SaidFadhili-x5t
    @SaidFadhili-x5t 22 วันที่ผ่านมา +2

    Wakate hata mkaa kama mambo hayaendi

    • @andrewpaul6631
      @andrewpaul6631 22 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @mbwanakombo4031
      @mbwanakombo4031 21 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂 mkaa upo lakini ni tofauti na wetu

    • @SaidFadhili-x5t
      @SaidFadhili-x5t 21 วันที่ผ่านมา

      @mbwanakombo4031 upo miti wanazo tatzo uvivu wamezoea kulainisha

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 22 วันที่ผ่านมา +1

    THE BERLIN CONFERENCE 1885-1886, Scramble for Africa 😀😀😀

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 22 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂na kipindi hicho ujerumani ndiyo alikuwa bwana Wa dunia au kama alivyo marekani Leo Kila jambo liliamriwa na Berlin/ujerumani ya kipindi hicho

    • @ikulunimahalipatakatifu7642
      @ikulunimahalipatakatifu7642 22 วันที่ผ่านมา

      @@PAULNYANDILE NATO inawaponza, watakumbuka USSR soviet Unioni ujerumani mashariki itakumbuka kwa nini ilikimbia USSR

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 22 วันที่ผ่านมา

    HAPO BADO HALI ITAKUWA NGUMU ZAIDI YA APO ....NIUJONGA KUMSIKILIZA MAREKANI.....YANI RAIA WAKO WANA TESEKA KISA MAREKANI....NI UJINGA.....MSIONE WATU WAZIMA NA VIPARA KAMA TAKO AKILI HAKUNA...

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 22 วันที่ผ่านมา

    VLADIMIR PUTIN WANYOOSHE MPAKA WATUBU

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 22 วันที่ผ่านมา

    Ukraine. Oyeee USA oyee 🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪 RUSSIA

  • @AlpheusCharisma
    @AlpheusCharisma 22 วันที่ผ่านมา

    Wewe muandishi kibaraka wa Urusi acha ujinga.
    Urusi nimara 3 ya ujerumani umasikini.😅😅

    • @AsheriChonya
      @AsheriChonya 22 วันที่ผ่านมา

      we kumaaa nn

    • @AlpheusCharisma
      @AlpheusCharisma 22 วันที่ผ่านมา

      @AsheriChonya ndozenu nyie, matusi na mdomo kwawingi.
      Shida sio nyie watoto wa nje ya ndoa uzinzi,bali ni laana.
      Majini yanawanya mazezeta

    • @AlpheusCharisma
      @AlpheusCharisma 22 วันที่ผ่านมา

      @AsheriChonya kila mwinye dini hiyo ya Shetani basi matusi, mapepo na kufuga majini ndozake.
      Mungu awasamehe

    • @AsheriChonya
      @AsheriChonya 22 วันที่ผ่านมา

      @@AlpheusCharisma akusamehe kwanza ww na mashoga wenzio kwa dhambi za kufirana hovyo ndio aje atusamehe na sisi

    • @AlpheusCharisma
      @AlpheusCharisma 22 วันที่ผ่านมา

      @AsheriChonya ushoga nidhambi Kama nyie mapepo,majini, Ugaidi au Vita.
      Kazi ya Christo na kukemea hivyo.
      Christo ni upendo kwa kila mmoja

  • @issalyanali4119
    @issalyanali4119 21 วันที่ผ่านมา

    Putin aliwaambia wataishi maisha magumu,,,hawakuelewa,,,,toka urusi avamie Ukraine,,,uingeleza wamebadili mara ngapi?viongozi wake? Walivunja bomba la gesi Nordstrrem 1 na 2 RUSSIA wakasema si shida nitauza mafuta china,,,india ,, Azerbaijani,,sri Lanka,,, north korea etc

  • @AyoubHajj
    @AyoubHajj 22 วันที่ผ่านมา +1

    😅😂😅😅
    Unatudanganya bro
    Germany ni moja ya nchi saba zenye uchumi mkubwa Dunia
    Au unasema je waugwana
    Haha 😂😆

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 22 วันที่ผ่านมา +2

      Anakudanganya nini? Wakati wenyewe wanaandamana ugumu wa maisha.

    • @AllySule-t9g
      @AllySule-t9g 22 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe huijui Deutschland jetzt maisha yakebadilika nibora unyamaze tu

    • @AziziSalimini
      @AziziSalimini 22 วันที่ผ่านมา +1

      Kinachokuchekesh ni nini hapo sasa au hujaona uhalisia right now german civilians wakiwa ktk maandamano kutokana hali yao ya maisha kuwa ngumu au nyie ndo wale mnaoishigi na historia

    • @anny19988
      @anny19988 22 วันที่ผ่านมา +2

      Anadanganya? Ujerumani ilikuwa ni nchi yénye uchumi mkubwa kwa sababu ya viwanda. Sasahivi hakuna gesi kutoka Urusi kwa ajili ya kuendesha viwanda. Viwanda vinakufa na bila viwanda hakuna Uchumi wa Ujerumani. Hata Volkswagen wanafunga viwanda vya magari kwa mara ya kwanza baada ya vita vya pili vya dunia. Volkswagen ndo inaongoza kwa kuajiri watu wengi kwahiyo viwanda vitakapofungwa kama walivyoahidi ni janga la kitaifa hilo. Mambo yanabadilika usiendelee kukariri.

    • @Denyo11wiggo
      @Denyo11wiggo 22 วันที่ผ่านมา +2

      Akil huna😂

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe 22 วันที่ผ่านมา

    Bado wamemuekea vikwazo putin acha waazirike

  • @BankerForeign-r8r
    @BankerForeign-r8r 22 วันที่ผ่านมา

    Zamani nilikuwa na imani ya kwamba wazungu ni watu teule na wana akili sana, i was really wrong. Baada ya vita ya urusi na Ukraine kuanza na nikafatilia jinsi USA, west states na NATO yao na huyu akili ndogo Zelensiky wana-behave ktk hii mission, kumbe hawa wazungu ni mapimbi na akili mgando na kama ss blacks tungetulia na kujiamini, tunaweza kuwazidi vitu vingi, tunaponzwa na inferiority. Putin hacha awakomeshe.

    • @anny19988
      @anny19988 22 วันที่ผ่านมา

      Mental slavery waliitengeneza kwa WAAFRIKA ili tusizinduke. Wanajua tukiamka tukatumia power yetu vizuri ndo mwisho wao. Ndo kinachotokea hata hivyo, WAAFRIKA wanaamka. Gari limewaka

  • @AlpheusCharisma
    @AlpheusCharisma 22 วันที่ผ่านมา

    Aliefanya huo utafiti akafanye pia Urusi maana hali nitete.

    • @allyatom2076
      @allyatom2076 22 วันที่ผ่านมา

      Kakuongopea nani , watu tunao Moscow kama hakuna vita 😂😂😂😂

    • @AlpheusCharisma
      @AlpheusCharisma 22 วันที่ผ่านมา

      @allyatom2076 Hadi wanajeshi wa Korea waje kumuokoa naka nchi ka Ukraine

    • @Awatee
      @Awatee 22 วันที่ผ่านมา

      ​@@AlpheusCharismakwani waliingia ukrein huna jipya 😂😂😂Ndio ushashuka dhulma sio nzr

    • @JothanGabagambi
      @JothanGabagambi 22 วันที่ผ่านมา

      Kumsaidia Putin si hoja kuwa kashindwa kwani ukrain inasaidiwa na nchi ngapi ni. Mbona anasaidiwa na nchi kiba lakini aridhi Bado inachukiliwa na urusi.Yaani Hadi hapo huja appreciate kuwa urusi ni baba lao?au unasubiri ysu aridi ndouamini.watu wengine bwana ni WA maajabu duniani hapa.

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln 21 วันที่ผ่านมา

      ​@Awatee dhulma mbona wameianzisha Marekani na ulaya kuivamia Libya Iraq Afghanistan Syria na kufanya mauwaji makubwa. Urusi hajawahi kuvamia nchi hata moja afrika. Hata afrika kusini walisaidiwa na warusi kupata uhuru wao kuondoa ubaguzi wa rangi kutoa kwa wazungu mabepari walio watesa wazee wetu na k

  • @AlpheusCharisma
    @AlpheusCharisma 22 วันที่ผ่านมา

    Msumbiji walimkatia umeme south Africa,
    Hiyo haimaanishi south Africa eti itashuka kiuchumi.
    Tahadhali inakuwepo kabla ya kuchukua chochote kwa jerani.
    Naamini wewe ndugu muandishi ni form 4 failure

    • @Awatee
      @Awatee 22 วันที่ผ่านมา

      Acha mihemko maisha hubadilika ayo waliachuma wenyewe kwa mikono yao

    • @anny19988
      @anny19988 22 วันที่ผ่านมา

      Viwanda vya Africa kusini havitegemei Umeme wa Msumbiji kwahiyo hata Msumbiji wakikata umeme sawa tu. Ujerumani inategemea gesi kutoka Urusi kwa ajili ya viwanda. Haina chanzo kingine cha nishati. Uchumi wa Ujerumani unategemea viwanda bila viwanda hakuna uchumi. Kwa sababu sasahivi hakuna gesi ya Urusi viwanda vinafungwa. Viwanda vikifungwa hakuna uchumi tena. Umeelewa sijui

    • @JothanGabagambi
      @JothanGabagambi 22 วันที่ผ่านมา

      Ana akili za kuielewa huyo?Hiyo ni sawa na kimpiia mbuzi gitaa kaka achana naye hajasoma Hata malengo ya 1884_85 hayajui ambayo Sasa urusi anayaziba Kila Kona ya dunia.Bila exploitation hawaendi wazungu kaka.

  • @AlpheusCharisma
    @AlpheusCharisma 22 วันที่ผ่านมา

    Huwezi ukaisha German eti kwasababu ya Gas ya Urusi,nsjua hamja soma bali punguzeni ujinga.
    German ipo kwe G 7 Else G 20
    Wakovizuri kiviwanda na kiuchumi,japo kila Nchi masikini wapo

    • @abdulnaseermrisho4342
      @abdulnaseermrisho4342 22 วันที่ผ่านมา +2

      Unadhani hivyo viwanda vinaendeshwa na maji?
      Wanaendesha Viwanda,Umeme na nyumba za watu wanatumia gas,hiyo gas inatoka Urusi kwa asilimia kubwa,yaani kwa kifupi ni hivi,Ulaya wana hitaji Gas ya urusi kuliko urusi inavyo ihitaji ulaya,
      Punguza u much know

    • @AlpheusCharisma
      @AlpheusCharisma 22 วันที่ผ่านมา

      @abdulnaseermrisho4342 kabla ya kuomba Gas Urusi walitumia Nini?
      Kwa mfano Tanzania wanna mpango wakuuza umeme Kenya,that doesn't mean Kenya hawana umeme.

    • @abdulnaseermrisho4342
      @abdulnaseermrisho4342 22 วันที่ผ่านมา +1

      @@AlpheusCharisma hadi wanataka kuuziwa maana yake si walio nao hautoshi,au unadhani wananunua tuu kwakua hela zao hazina kazi,
      Baadhi ya viwanda German vinafungwa kwa sababu ya ukosefu wa nishati (Gas na mafuta kutoka urusi) maana nishati ya urusi ilikua ni bei nafuu sana,na viwanda vikifungwa ndio watu wanakosa ajira umasikini ndio unaanzia hapo,kama ulisha wahi fika ulaya nadhani unaelewa namna Maisha yalivyo ghari na nadhani unaona namna german palivyo na maandamano ya kupinga gharama za maisha

    • @clementsabuni75
      @clementsabuni75 22 วันที่ผ่านมา

      Acha usenge wewe kwani kuwa kwenye G7 ndo nnn mbona China ni tajiri wa pili duniani mbona asiwe kwenye G7 elewa kuwa G 7 ni mashoga waliojichagua na kujipendelea hawana lolote wasenge tuu hao ujerumani imeshasambaratika na miaka miwili ijao ujerumani itakua koloni la China maana wachina sasa ivi ndo wanaendesha viwanda vya ujerumani.

    • @clementsabuni75
      @clementsabuni75 22 วันที่ผ่านมา

      Elewa Bricks ya putini ndo mataifa tajiri kuliko hata G7 washaanguka hawa mashoga India na Brazili ni mataifa tajiri kuliko hata ujerumani na uingereza.