RICARDO MOMO afunguka SABABU ZA KUACHANA NA MALAIKA "SIKUSHINDWA KUMTUNZA, MAPENZI YALIISHA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 เม.ย. 2024
  • www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 124

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 หลายเดือนก่อน +18

    Nakuombea kwa Mungu upate mke mwengine mwema na mwenye heri na wewe Momo.❤

  • @Official83640
    @Official83640 หลายเดือนก่อน +17

    Kwa vile alivyo sasa hivi shukuru Mungu maana sio wakuwa nae mtu kafikia kuvaa uchi vile Astaghafilullah 😢

  • @kbjr1115
    @kbjr1115 หลายเดือนก่อน +37

    Jamaa linajua dini ila maisha ya kidunia yanemfanya aingie ktk mambo yaliyo nje ya misingi ya dini ktk masuala ya kubeti na kujiingiza ktk masuala ya miziki na mastarehe, ALLAH amuongoe IN SHAA ALLAH

    • @meyuuabdallah4674
      @meyuuabdallah4674 หลายเดือนก่อน +1

      Fact

    • @JOHNJOHN-pu7wb
      @JOHNJOHN-pu7wb หลายเดือนก่อน +1

      Asa hapo linajua kwan yeye ni tembo gurudumu flani?

    • @aminaabasi2146
      @aminaabasi2146 หลายเดือนก่อน +1

      Me pia namkubali sana ricaldoh

    • @imamuhamisi4421
      @imamuhamisi4421 หลายเดือนก่อน

      Nj​@@JOHNJOHN-pu7wb ametumia ninjia yakusifia kitu , nd maan unawez kitu mfano jamaa linajua hili

    • @ahmedmakkuka9348
      @ahmedmakkuka9348 หลายเดือนก่อน

      Mziki uko juu unaathiri maongezi

  • @mwanjumajongette8187
    @mwanjumajongette8187 หลายเดือนก่อน +3

    Momo Allah akupe ungine mke mwema inshallah

  • @BibieMakame
    @BibieMakame หลายเดือนก่อน +5

    Kaka momo mstaarabu sana

  • @HusseinSeif-wi2st
    @HusseinSeif-wi2st หลายเดือนก่อน +8

    Unajua kuongea momo 👏

  • @Shadia544
    @Shadia544 หลายเดือนก่อน +1

    Inshaallah allah atajalia mke mwema na mwenye kujistiri pia inshaallah 🤲🤲🤲🤲

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 หลายเดือนก่อน

    Nampendaga tu licado yupo na busara ti brother mm nakuelewa sana na yupo na heshima kwa mwenza x wke wote awajadhalilishana safi sanaMungu awafanyoe wepesi ndoa ni rehema na barasa na ndoa nyingi zina changamoto nyingi hakika umeongea hasaa na sote tuna mapungufu mkamilifu ni Mungu tusinyoosheane vidole❤

  • @emmajuma896
    @emmajuma896 หลายเดือนก่อน +6

    Ricardo ana ngozi nyororo. Handsome boy

  • @malietamalieta9658
    @malietamalieta9658 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂Mzee wa kudelee za ndaaaaaaniiiiii kabisaaaaa linapenda kulamba mdomo wake wajuu uyu momo big up to you bro Mimi shabiki Ako Niko hapa

  • @HusinaKarama-ti9jm
    @HusinaKarama-ti9jm หลายเดือนก่อน +6

    Mashaallah momo mi nakupenda Sana ❤❤❤

  • @aminahomary2532
    @aminahomary2532 หลายเดือนก่อน +3

    Ricardo anafanana na caleb wa malkia karen ❤

  • @user-gz4fb6if7u
    @user-gz4fb6if7u หลายเดือนก่อน

    Hiii interview nimeipenda sanaa cjui kama itatokea

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 หลายเดือนก่อน +6

    Ricard unaonekana ni mtu wa dini saana. Namuomba ALLAH akuzidishie na ucbadilike mdogo wng.

    • @user-td8bp9kz8d
      @user-td8bp9kz8d หลายเดือนก่อน

      Kwa sasa anapiga mixa 😂😂the ushekhe umekua wamchongo

  • @toyikudratullah1466
    @toyikudratullah1466 หลายเดือนก่อน +4

    Recardo momo soon i,m coming to bongo taku check apo unyamani from burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @toyikudratullah1466
    @toyikudratullah1466 หลายเดือนก่อน +3

    Me my self from burundi mola akuwekey wepes recardo momo ex wif wako alipo kuwa anahojiwa na sns dada yule amekuw namaneno machach san san yahekima hiyo itoshe kusema nimisingi bora y recardo momo amerithi kwake pesa majumba nivitu vikubwa mnoo

  • @toyikudratullah1466
    @toyikudratullah1466 หลายเดือนก่อน +3

    Nimeyipenda san bro uko vizuri san kiyasi cha dini kipo i,m talking as ustadh

    • @MinskBelarus-il2tl
      @MinskBelarus-il2tl หลายเดือนก่อน

      Ustadh,samahani saaaana kama nitakukwaza. Nini maana ya USTADH

  • @KhalilaTi-vw6vt
    @KhalilaTi-vw6vt หลายเดือนก่อน

    Kiukweli ukweli ulichoongea ni sahihi masha Allah Allah atuongoze biidhnillah

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 หลายเดือนก่อน

    True that 👌

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa kweli mimi namkubali saana Momo. Cmjui sana, ila kwa mtazamo wng namuhic ni kijana mstaarabu saana.

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 หลายเดือนก่อน +5

    Malaika amekuwa shapeless

  • @toyikudratullah1466
    @toyikudratullah1466 หลายเดือนก่อน +2

    Nikupem tena mauwa yako bro wng from burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 before one year nimekuj usafini umekuwepo hapo injee ila skuweza kukusabayi ila next time i,will come back to you kwa mimi binafsi ex wife wako malikiya misimamo ya uchache wamaneno pia kaathirika n hekma zako n busara zako my bro call me Abdoul ntaku check one day apo usafini bro umenyook san mola akupe faraja badala n Allah atuongezeye malikiya wetu frm burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @sarahmcharo1548
    @sarahmcharo1548 หลายเดือนก่อน

    onekanwaaa eeeh sawa sawa

  • @husseinrashidi5828
    @husseinrashidi5828 หลายเดือนก่อน

    Jamaa anajua kujibu kabisa majibu safi sana

  • @ahnafaykhan698
    @ahnafaykhan698 หลายเดือนก่อน +1

    yani bro ukiaondokatu katika tasnia ya muziki pepo unaiona. mungu akuongoe zaidi

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 หลายเดือนก่อน

    Nikweli

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 หลายเดือนก่อน +4

    Studio Pambe Sanaa Maua Yako Mbunifu

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 หลายเดือนก่อน

    Inshallah atapata mwingine❤

  • @hilalalhabsi2047
    @hilalalhabsi2047 24 วันที่ผ่านมา

    KWAKWELI WANAWAKE WENGI HAWAJIELEWI SANA, WAKIPATA BASI WANASAHAU SANA NINI DUNIA. NDIO MAANA WENGI WANAWAKE WATAINGIA MOTONI. MAMBO MWENGINE YANASIKITISHA SANA NA YANAUMIZA NI MTIHANI KWELI

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 หลายเดือนก่อน

    Majibu mazuli momo acha dunia imunyooshe maana sio kwa shape ile eee m/mungu naomba nijalie mwisho mwema vijana tunapotea snaa na ujana wallah😢

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu หลายเดือนก่อน

    Yaani broo momo memo unakubalije kuhojiwa na bachela anajua chang a moto za kuishi na mwanamke

  • @hassannyale6901
    @hassannyale6901 หลายเดือนก่อน

    Bro ulifanya sawa kuwachana naye...huo ulikuwa ni Moto..Fitna..urembo likuwa niwewe Tu uone... lakini malaika alitaka kuonesha kila kitu Kwa waume wa inje... ALLAH akusimamie.. Brother Momo

  • @erickdanielkasindi564
    @erickdanielkasindi564 หลายเดือนก่อน

    Hallow

  • @user-jy4pm3hh9s
    @user-jy4pm3hh9s หลายเดือนก่อน

    Mzee wa kudele nakukubar sana hawa wanawake hawana shukuran kaka tena ata mawasiliano ungekataa mazima tunaumia sana kupenda watu wasiotupenda

  • @nguyekorajabu1592
    @nguyekorajabu1592 หลายเดือนก่อน

    17:21 hadi 17:40 Momo Umeongea Madini sana . Superb.NAZINI HADI NAKUFA . SIKU UKIFA UNAMJIBU NINI MOLA WAKO.

  • @queenbibisha1961
    @queenbibisha1961 หลายเดือนก่อน

    Ila momo alimpenda sana malaika , yani inavyoonekana malaiki akimwambia turudi pamoja yupo tayari 😂😂😂🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️

  • @itso.f.f.i.c.i.a.l
    @itso.f.f.i.c.i.a.l หลายเดือนก่อน +2

    dogo mchaga amemshikilia sana mzee wa kudere humu ndani 😂

  • @tinotyno679
    @tinotyno679 หลายเดือนก่อน

    Ndo maana mnaambiwa redio ya ndugu

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 หลายเดือนก่อน

    Hahahaaa dah, jamaa amemkamia momo balaaa

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n หลายเดือนก่อน

    Mtaka mbele mpishe bora umempisha kaka utapata mke mwema mke mkeo

  • @RizikiPonsiano
    @RizikiPonsiano หลายเดือนก่อน

    Huyu mtangazaji Bado ni mtoto,hajaoa Bado,hajui challenges za ndoa especially ndoa ikiwa na mtoto.Wanawake wakiwa kwenye ndoa baadhi ni mwiba, especially wakiwa au kupata umaarufu.

  • @user-mt3cg6iv6d
    @user-mt3cg6iv6d หลายเดือนก่อน

    Mchaga anamaswali ya kukera ningekua Mimi kashakula mikono mingi hapohapo 😂😂

  • @NM-yl2uw
    @NM-yl2uw หลายเดือนก่อน

    eti mtoto wa kslamu, kwan wakristo ndo wanaruhusu

  • @gloryassey3962
    @gloryassey3962 หลายเดือนก่อน

    Mapenzi peke yake hayatoshi kuishikilia ndoa kuna sacrifice uvumilivu nk

  • @rubbymusa1971
    @rubbymusa1971 หลายเดือนก่อน

    Mwanamke alifika hatua hakuwa anamuheshimu tena mumewe, Pole dada hana hofu na chochote yupo busy na urembo

  • @malikamohammed6641
    @malikamohammed6641 หลายเดือนก่อน

    Hii family ya kina diamond ukiwachana nao tu lazima wakuseme vibaya kama wao niwakamilifu ili hali wao ndio Wanaongoza kwa skendo siwapendi

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 หลายเดือนก่อน

    4:59 pumbavu😂😂

  • @Zenny89
    @Zenny89 หลายเดือนก่อน

    Masheheee!!! Huwa wanakwama pabaya…usichezeee misambwanda🤣

  • @Maryam-vj1rb
    @Maryam-vj1rb หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 amekukomesha kwa majibu yake Rigal Naam

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 หลายเดือนก่อน

    Jibu sahihi umejibu,ndomana nmemuacha finish😂😂😂

  • @EvaWaziri-so3gi
    @EvaWaziri-so3gi หลายเดือนก่อน

    Wadada wa mjini wana mambo yao na wanaume wa mjini wana mambo yao

  • @samchris1914
    @samchris1914 หลายเดือนก่อน

    Watoto wazuri wote ni malaika muulize Ricardo momo😂

  • @wardawarda6535
    @wardawarda6535 หลายเดือนก่อน +1

    Momo ukitaka mke mwengne miye nipo mwaya@Warda wa Momo 😂😂

    • @husnathabiti4114
      @husnathabiti4114 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅

    • @wardawarda6535
      @wardawarda6535 หลายเดือนก่อน

      @@husnathabiti4114 nipo Hapa Bi Warda wa Momo akee

  • @user-zw4tf5os8b
    @user-zw4tf5os8b หลายเดือนก่อน

    Li momo dini linajua lkn dogo lake linampoteza Allah atuongoze sote

  • @abdulrahimomar8554
    @abdulrahimomar8554 หลายเดือนก่อน

    Maaalim kapatikana leo😅

  • @khamisisuedi1056
    @khamisisuedi1056 หลายเดือนก่อน

    Umpe ushauri nduguyo ni mzinifu mkubwa na kuzalisha kila aina ya wanawake nje ya ndoa

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo malaika sijui shetani surgery ikijakubuma ndia atajua hajui

  • @MichaelLukindo-ix4qz
    @MichaelLukindo-ix4qz หลายเดือนก่อน

    Hizi ndio kero za kuweka mahusiano Public..

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 หลายเดือนก่อน

    Bora mumeachana mwanamke anathamini makalio kuliko ndoa

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n หลายเดือนก่อน +1

    Momo njoo unioe mie
    Lkn naogopa mkirudiana na Malaika je. Ukiniona Malaika haiingii hata robo😂😂😂😂😂😂cku hiz wanaume Hakuna. Malaika ataka KUDANGA. Sie twataka kustiriwaaa. Ila atakuja kumbuka shuka kumekuchaaaa😂😂😂😂

  • @kibirigeahamed7557
    @kibirigeahamed7557 หลายเดือนก่อน

    pvbav kwan boss wako anafanye😂😂😂

  • @user-kg8dn6qr8o
    @user-kg8dn6qr8o หลายเดือนก่อน

    Mzee wakudele ulikosea Sana huyu Dada heshima isipotee ulitakiwa utie mimba akuzalie mtoto paka Leo angekua anakueshimu hawa ukiwa change hivi hivi wana dhalau sana

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 หลายเดือนก่อน

      mtot gan amezaa nae watot 2 mbon

    • @trice_yanga
      @trice_yanga หลายเดือนก่อน

      saivi hata mzae watoto 10 km mtu kashaamua lake anafanya tu mbona mtoto wanae sema huyu dada baad y kupata umaarufu kaona momo wa kazi gani

  • @nehemia397
    @nehemia397 หลายเดือนก่อน

    wakuu huyu dem nampataje

    • @nehemia397
      @nehemia397 หลายเดือนก่อน

      mtangazaji huyo

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th หลายเดือนก่อน +2

    huyu nae siasa nyingi malaika kakuacha wew ulipambana sanaa kurekebisha ukashindwa

    • @jut1161
      @jut1161 หลายเดือนก่อน

      Sasa kwani kuna shida gani.
      Si kakubali kushindwa ndio akaamua kumpa talaka ili Aishi Maisha anayoyapenda

  • @SalminiSamama
    @SalminiSamama หลายเดือนก่อน +2

    😂😂

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z หลายเดือนก่อน

    ATA MWANZO ULIMSHUPALIA TU,,SIJUI TAKO LILE,,,,SIO JAMII YA MWANAMKE UTAKAYEMUWEKA NDANI AKAFATA MISINGI YAKO,,,WE UNA HOFU,,MWENZIO HAJUI HATA HOFU YA MUNGU NI NN,,,

  • @Igauf3
    @Igauf3 หลายเดือนก่อน

    Let’s see what are you going to do with that “one” next to you. Africa is watching.

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 หลายเดือนก่อน

    Hivi hizi tv hazina mambo ya maana kuwahabalisha watanzania huu ni upuuzi , huyo malaika ndio Nani Na huyo momo ndio nani wengine hatumjui na

    • @Hassan-ot1mc
      @Hassan-ot1mc หลายเดือนก่อน

      Sasa unakunya nini

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc หลายเดือนก่อน

    Mchaga alikua ywambamiza MOMO tuu!!!! Momo alimkataa Malaika sababu za ustar

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 หลายเดือนก่อน

    Momo Malaika ni bomu bora mlivyoachan ungekufa umesimama

  • @joshua.o.makundi3079
    @joshua.o.makundi3079 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣 ZA NDAAAAANI , NIMESKIA UJANA PLUS HAIFANYI KAZI.
    ZA NDANIIII LEO ZIMEHAMIA KWAKE HAHAHAHAHAHAHA

  • @josephkiwale374
    @josephkiwale374 หลายเดือนก่อน

    Momo anafanana xana na mama dangote,na RJ hapa kuna kitu chakuchukua

  • @EvaWaziri-so3gi
    @EvaWaziri-so3gi หลายเดือนก่อน

    Alafu uyo engel zamani ndyo alikuwa mnzuri syo now,ameenda kujiaribu tyu

    • @mwanamisiali5712
      @mwanamisiali5712 หลายเดือนก่อน

      Umeonaeeh juzi niliona akihojiwa anaongea km mzee

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 หลายเดือนก่อน +1

      @@mwanamisiali5712 hilo dom kachemkaa😂

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 หลายเดือนก่อน

    duuh watu wawili wawili kweli..huyu wanaimuinterview anaufanano na Daimond hivi..

  • @khelefmatelephone9653
    @khelefmatelephone9653 หลายเดือนก่อน

    Sasa huo mdomo umeufanya nn mzee au unataka ufanane na kaka😅😅

    • @saadabakar7750
      @saadabakar7750 หลายเดือนก่อน

      😂anazuia kigugumizi

    • @aishabakari8040
      @aishabakari8040 หลายเดือนก่อน

      Anaongea kigugumizi

  • @marrykigabimk
    @marrykigabimk หลายเดือนก่อน

    𝚁𝚒𝚌𝚊𝚛𝚍𝚘😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @trice_yanga
    @trice_yanga หลายเดือนก่อน

    huyu manzi umaarufu ndo umemponza

  • @coolson2925
    @coolson2925 หลายเดือนก่อน +2

    jamaa analamba lamba domo ananikera kinomaaa

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th หลายเดือนก่อน

    wewe na malaika mnamtoto mmoja tu yule wa pili ulimkuta kwa malaika sio wako acha uongo

    • @MinskBelarus-il2tl
      @MinskBelarus-il2tl หลายเดือนก่อน +1

      Sio Muongo Dada mdogo.....ila ni Hekima katumia. Huyo mtoto bila Shaka anamchukulia Momo kama BABA yake,na anaishi na kusoma na Mdogo wake. Busara imetumika kutokumkana kwenye Social Media.Ujue hii interview haitofutika iko siku huyo mwanae wa kumzaa anaweza kumwambia BABA.....mbona ulimkana ndugu yangu???? Halafu acha kumwita mwenzio "MUONGO" Unamjua kiundani??

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n หลายเดือนก่อน +1

    Lkn ukinioa msije pasha viporo na Malaika NTAUA😂😂😂😂NINA WIVU BALAHA. SHEM WANGU WA UKWEEE ATAKUA DAIMOND❤😂NAMI NIWE SUPERSTAR😂😂😂😂😂

  • @user-td8bp9kz8d
    @user-td8bp9kz8d หลายเดือนก่อน

    Usijitetee ulikosea kuoa wewe ustadh mvaa kanzu kaoe wavaa majuba wenzio sio kuoa shangingi la mji kisha useme status ilifuata ndoa kwa nn msiikemee 😂tatizo hamfuati miongozo ya dini ktk kutafuta mke huo ndo ukweli sheikh isemwe hata kama inauma stahamili sheikh😂

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi momo mpaka arambe rambe lips 😅

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa kwa yule manz alicjochola

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa หลายเดือนก่อน

      Tatiz wanawake ,,, kubla ya kuolewa ni wema sana ngoja sasa umuoe

  • @khelefmatelephone9653
    @khelefmatelephone9653 หลายเดือนก่อน

    Momooo mbna unauvuta sana huo mdomo shda nn😢😢

  • @Bashitetako
    @Bashitetako หลายเดือนก่อน +1

    Kajilamba midomo mara 112

    • @analisacecy
      @analisacecy หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @chimamilion
    @chimamilion หลายเดือนก่อน

    Cjui analambaje midomo km ndan nae yn liulim lote nje

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 หลายเดือนก่อน

    Wewe mchaga unamlazimisha mwenzio km kashindwa kumtunza. Mbona waliishi mpaka wamezaa wtt wawili?

  • @jumalihumbo5314
    @jumalihumbo5314 หลายเดือนก่อน

    Leo ndio nimeelewa ndoa sio lelemama😅😅😅

    • @user-uo8xw9kr4b
      @user-uo8xw9kr4b หลายเดือนก่อน

      Ni kweli unaeza pata mke balaa na mwanmke ukapata mume kisanga ni kuomba Mungu atusaidie tu

  • @SalminiSamama
    @SalminiSamama หลายเดือนก่อน

    😂😂