Part 5_SINTOSAHAU KUZIMU-USHUHUDA WA KWELI WA KATRINA ALIYEKUWA JINI MTU MLA WATU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • JIUNGE NA MAGROUP YETU YA WASAP KAMA UNGEPENDA KUWA MCHANGIAJI WA KILA MWEZI KAMA IFUATAVYO:-
    1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp....
    3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
    Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
    #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

ความคิดเห็น • 77

  • @hashimuchambuso9741
    @hashimuchambuso9741 3 ปีที่แล้ว +12

    Jina la Bwana lihimidiwe kwa wokovu huu mkuu wa Catarina...🙏🏻 Baki imara ktk imani, wewe ni chombo mkononi mwa Mungu. Lazima shetani ajute kukufahamu..... Barikiwa..🙏🏻

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Mungu wetu ni mwaminifu sana barikiwa sana Mtumishi wa Bwana

  • @alafsakisinda4886
    @alafsakisinda4886 3 ปีที่แล้ว +2

    Ushuhuda unatujenga sana, na unamafundisho mengi sana, barikiwa kwa hilo,but, acha kujipodoa, baki kama Mungu alivyokuumba.ubarikiwr sana dada

  • @fatumaminyeko1875
    @fatumaminyeko1875 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa ubadilike mwili na roho asha kujiremba nausivae maheleni lasivyo izoroho zitakufuata tena mungu akuonekanie akuoneshekweli uwe mkristo wakweli ubarikiwe sana

  • @nellynellyy3167
    @nellynellyy3167 3 ปีที่แล้ว +1

    Waislamu mutafute yesu ndie njia tu🙏🏼

  • @alnordngonyani164
    @alnordngonyani164 3 ปีที่แล้ว +4

    Ameen nabarikiwa Sanaa najifunza Sana mtumishi wa Mungu Jaktan msafiri, nilipenda nikuulize wewe mtumishi unahabudu kanisa gani na unapatikana wapi?

  • @jossyayielo7576
    @jossyayielo7576 3 ปีที่แล้ว +3

    Ushuhuda huu umenibariki........Jacktan endelea kutuletea mafunzo kama haya....Baraka

    • @josephinepetet122
      @josephinepetet122 3 ปีที่แล้ว +1

      Nimebarikiwa mno pia ushuhuda huu umeninga kiimani

  • @henryosoro7696
    @henryosoro7696 3 ปีที่แล้ว +4

    Ukiwa mukristo, tafuta Mukristo mwenzako akuoe. Ushuhuda huu ni wa kujengea sana.

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 2 ปีที่แล้ว +2

    Kuna watumishi wa Mungu wanadai mwanamke kujiremba, e.g. kuvaa wigi, Ni dhambi na wanawake wanaojipamba wakifa uhukumiwa kwenda jehanamu ya moto kwa adhabu ya milele. Dada huyu anashuhudia namna Bwana Yesu Kristo alivyomwokoa, lakini Ona, mbona kavaa wigi?! Yaani kwa ushuhuda wake mzito huu ina maana hakupatiwa maelekezo na Bwana Yesu Kristo juu ya mwanamke kujipamba kwa nje?
    Watumishi wa Mungu, mnatuchanganya washirika.

    • @barakaelias1116
      @barakaelias1116 4 หลายเดือนก่อน

      Na mim ndo najiuliza mbon wanawake wengine wanaoshuhudia hawako Kam yeye

  • @favouredbygod4163
    @favouredbygod4163 3 ปีที่แล้ว +8

    Katika shuhuda zote za promover hii ni kiboko huyu dada kwa sasa anafanya nini naguswa kumtia moyo kwa chochote Mungu atakachonibariki

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว

      Ni Mwinjilist,amejieleza kwenye sehemu ya mwisho

    • @favouredbygod4163
      @favouredbygod4163 3 ปีที่แล้ว

      @@PromovertvTz natamani kumtia moyo sana

    • @mchjohnmasegese8193
      @mchjohnmasegese8193 3 ปีที่แล้ว

      Mtumishi naomba namba zake huyu Dada kwa ajili ya huduma.

  • @mutabirwakashasha5428
    @mutabirwakashasha5428 3 ปีที่แล้ว +3

    Ushuhuda mkubwa sana Mungu ni mwema sana

  • @rehemamasauna4915
    @rehemamasauna4915 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbona umesuka nywele wanja lipstick rangi vidoleni vipi hapo???

  • @annacharles2842
    @annacharles2842 3 ปีที่แล้ว +1

    Ushuhuda mzuri unajenga.hongera mtumishi

  • @hekimasandet5332
    @hekimasandet5332 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atupiganie mpaka tuingie mbinguni kwani safari hii ina raha na changamoto zake

  • @kennethogonda4370
    @kennethogonda4370 3 ปีที่แล้ว +2

    Ni ushuhuda mzuri sana. Ila dadangu naona bado unatumia vitu vyao. Achana na make ups, wacha kuvaa longi au suruali fupi.

  • @tamaraeliz7114
    @tamaraeliz7114 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana Mtumishi Wa Mungu dada Catherine nimejifunza mambo mengi sana. Jacktan Barikiwa

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @reginaruta3249
      @reginaruta3249 2 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe mtumishi wa Mungu. Naomba utuwekee namba za huyo dada.

  • @happytz6190
    @happytz6190 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana dada usimuache Yesu amekutoa mbali sana nimejifunza mengi

  • @eliethjulius1290
    @eliethjulius1290 3 ปีที่แล้ว +1

    Balikiwa San mtumishi wa mungu akika nimejifunza mengi

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 3 ปีที่แล้ว +2

    Ushuhuda huu ni mzito sana, huyu Dada yupo wapi na anafanya shughuli gani, Kama itampendeza aseme anapatikana vipi nimeguswa kumtia moyo kwa chochote.

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu uko jamani tutulie kwake kweli

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwanaume hope mpaka leo amemushikilia Mungu mpaka leo coz mauti yalimkosa

  • @evelynlehnard3928
    @evelynlehnard3928 3 ปีที่แล้ว +5

    Dada ningependa unijibu swali - kuzimu hukuona viwanda vya kutengeneza lipstick( vipodozi) weave on na wigs na mavazi?

    • @millicentayangokunting3728
      @millicentayangokunting3728 3 ปีที่แล้ว +1

      Good point

    • @hopealoyce3678
      @hopealoyce3678 3 ปีที่แล้ว

      Is it real relevant ???

    • @evelynlehnard3928
      @evelynlehnard3928 3 ปีที่แล้ว

      @@hopealoyce3678 very ! If one has been in underworld should definitely know what is holy and unholy. God created us beautifully and He wants us to keep our natural look. If you want I will give you scriptures to support it.

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว +1

    Hicho kiti ulichokalia nimekpenda bure mke wa mfalme ,,,, 🤣 but umetoka mbali hata km history haijaisha mungu Ni mkubwa Sana haya mambo yapo jamn ila uislam ulaaniwe vikali

  • @annewanjiku52
    @annewanjiku52 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii dini ya upande ule mwingine huwa mnaandikiana mukingia Islam maana kutoka huku inakua nikama kifo bali ukristo wawenza kuingia na utoke pasipo vita my sister jitie nguvu Safari ya wokovu sio rahisi maana ndio njia kamili ya kukufikisha kwa mungu wana wa yesu Lazima tupitie magumu natuyashinde majaribu maana aliye ndani yetu yesu kristo ni mkuu kuliko aliye nduniani yani shetani

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว +2

      Umetisha ase wengi hudhani ukija kwa yesu raha burudani kumbe ndo Vita umeyakanyaga Yani lkn wachungj ndo wanaodanganya watu lkn ukristo Ni Vita piga nikupge ila Sasa ukifanikiwa kuhimili mbngu Ni yako

  • @myself4128
    @myself4128 3 ปีที่แล้ว +1

    Maombi mwaka mzima maana yake ulikuwa hujakombolewa bado ulikuwa na vitu unaficha!inawezekana maagano ulokuwa nayo kuzimu na Lazima kuna connections ulikuwa nazo kama pete,mavazi au Chochote ulichopewa na huyo Jini bwanaako au kuzimu!

  • @myself4128
    @myself4128 3 ปีที่แล้ว +1

    Ukiokoka unampa Yesu maisha yako yooote,akili zako zoooote na nguvu zako zoooote,pia kuvunja maagano na kuteketeza pete,mavazi na kila ulichopewa kuzimu kama zawadi na kufanya maombi ya nyumba nzima unayoishi na chumba na kitanda unacholala na unatakiwa ubatizwe kwa maji na kwa roho na unaanza Kufunga na kuomba kwa speed kama zote,

  • @yukundapetershayo5105
    @yukundapetershayo5105 3 ปีที่แล้ว +2

    Ukisha2bu uckumbuke tens mambo ya nyuma sahau ila shuhudia ili 2pone

  • @gratianmugumya1952
    @gratianmugumya1952 3 ปีที่แล้ว +2

    Dada umeokoka na mwenyezi MUNGU amekupenda na amekuitaji sana.Ila dada angu nakushauli na nakuomba ubadilike kuhusu mavazi ili mwenyezi MUNGU na bwana YESU wakuelewe vizuri,naongelea mawigi heleni,cheni,nguo za kubana,ili usimkwaze mtu manake unayaelewa yote hayo kuwa ni Mali za shetani,yakiwemo mafuta ya upako,vitambaa,maji.Bwana YESU alivyowatuma wanafunzi wake akuwahagiza haya.

  • @upendojuliassanga3663
    @upendojuliassanga3663 3 ปีที่แล้ว +1

    Da! Ushuhuda huu ni kiboko nimejifunza mengi balikiwa sana dada sema nasi tupone.umenigusa sana

  • @mariajili6319
    @mariajili6319 3 ปีที่แล้ว

    Mungu hakubariki ❤️❤️

  • @nicholaskiragu2797
    @nicholaskiragu2797 2 ปีที่แล้ว

    Jini hufariki?

  • @nicholaskiragu2797
    @nicholaskiragu2797 2 ปีที่แล้ว

    Msukule Ni nini? God bless you sister.

    • @blessings1930
      @blessings1930 2 ปีที่แล้ว

      Mutu anayeuliwa kabla ya wakati na roho kuchukuliwa kuzimu kufanya kazi .wengine wanakuwa wazimu ama kupotea hata nyumbani kwao kabisa kumbe walishapelekwa kuzimu.

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 ปีที่แล้ว +1

    Ooh God😭😭😭

  • @salmakiyabosiriyamachoziha8756
    @salmakiyabosiriyamachoziha8756 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe sasa tumejua kumbe makanisa yana nguvu kuliko amiskit milika hamuendi kiaribu ibad huko ebu tuambie

  • @daddysalha5883
    @daddysalha5883 ปีที่แล้ว

    Ungelikuwa kuzimu usinge vaa nywele fake na aya mapambo uko awakupeleka sehemu ya yezebeli?ukapaone

  • @esaumahundi5076
    @esaumahundi5076 3 ปีที่แล้ว

    Tumia kauli tulikuwa tunatumia kwa SS we ni kiumbe mpya

  • @uwitonzefelicite1013
    @uwitonzefelicite1013 3 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU mkubwa

  • @emmykawinga8598
    @emmykawinga8598 3 ปีที่แล้ว +1

    .
    La

  • @maryamayitsa6181
    @maryamayitsa6181 3 ปีที่แล้ว +1

    Sasa huo ukimwi wa kishetani tiba yake nini?

  • @mchjohnmasegese8193
    @mchjohnmasegese8193 3 ปีที่แล้ว

    Naomba namba zake kwa ajili ya huduma

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 3 ปีที่แล้ว

    Ukutokwa shetani

  • @mudulorukuyana3722
    @mudulorukuyana3722 3 ปีที่แล้ว

    Kuna sehemu aligusiya ju ya mababu ao mizimu tunataka kujuwa je mizimu ninini na mashetani ao je?

    • @myself4128
      @myself4128 3 ปีที่แล้ว

      Mizimu ni Majini au mapepo yaliyo na maagano na ukoo wenu Tangu kizazi na kizazi na yana hatimiliki,akifa mrithi mmoja anarithishwa mwingine ili aendelee kuyaabudu kwa kuyatolea kafara za damu,vyakula n.k ni mapepo ila haya yanaumiliki ukoo mzima kwa miaka mingi ndio maana yanakuwa na Nguvu kubwa sababu kuna maagano ya mababu na mababu!

    • @myself4128
      @myself4128 3 ปีที่แล้ว

      Mizimu ni Majini au mapepo yaliyo na maagano na ukoo wenu Tangu kizazi na kizazi na yana hatimiliki,akifa mrithi mmoja anarithishwa mwingine ili aendelee kuyaabudu kwa kuyatolea kafara za damu,vyakula n.k ni mapepo ila haya yanaumiliki ukoo mzima kwa miaka mingi ndio maana yanakuwa na Nguvu kubwa sababu kuna maagano ya mababu na mababu!

    • @myself4128
      @myself4128 3 ปีที่แล้ว +1

      Mashetani ni malaika walioasi kwa pamoja ni mashetani,

    • @mudulorukuyana3722
      @mudulorukuyana3722 3 ปีที่แล้ว

      Ok asante saaana

    • @jasonandjesuschrist4172
      @jasonandjesuschrist4172 3 ปีที่แล้ว

      @@mudulorukuyana3722 mashetani ni sifa. Ambayo inamaanisha anae fanya kinyume na ukweli mtupu KWA HIVYO ata binandamu anaweza itwa shetani KWA kwenda kinyume na ukweli mtupu,
      KWA HIVYO jina halisi ya mashetani katika DINI ni MAJINI 👿 ukitaka kuyachoma yahame na kazi yao chafu isabaratike, UNATUMIA JINA LA MFALME YESU KRISTO ❣️
      KWA NJINA LA YESU KRISTO UNAFUKUZA MASHETANI ( MAJINI 👿 ) UTAPONA NA UTACHOMA NA KUSABARATISHA WACHAWI