Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatano 08/01/2025

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 54

  • @Laluma2023
    @Laluma2023 15 วันที่ผ่านมา +7

    Mabadiliko Tundu Lisu. Tundu Lisu mabadiliko. Mbowe must go

  • @wilsonwafulachebokati4933
    @wilsonwafulachebokati4933 14 วันที่ผ่านมา +2

    Mbowe ni mnafiki sana mchaga mjinga sijawahi ona kama huyo anaabisha wachaga

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 14 วันที่ผ่านมา +1

    Tundu lisu Anatosha kbs

  • @charlesmurimi765
    @charlesmurimi765 15 วันที่ผ่านมา +4

    Mbowe ni msaliti🎉 akalee wajukuu tu

  • @musadaudi985
    @musadaudi985 15 วันที่ผ่านมา +5

    Jamaa ni kichwa sana

  • @mjunikiobya
    @mjunikiobya 14 วันที่ผ่านมา +2

    Dah huyu Mwamba hakufa kwa risasi 16 kwa sababu maalum. Huenda huyu ndo mkombozi wa Watanzania huyu. Huu Ujasiri hauna tofauti na wazee wetu waliopigania uhuru miaka ya zamani.

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 15 วันที่ผ่านมา +6

    Tupeni Kenya uyu lisu

  • @TemboKaijage-kg2mm
    @TemboKaijage-kg2mm 15 วันที่ผ่านมา +3

    Lisu nitahama nae maana lisu ndio ataikomboa nchi kupitia upinzani naipenda chadema

  • @josephmarole5159
    @josephmarole5159 15 วันที่ผ่านมา +3

    Nanukuu"mwenyekiti aliyeenda gerezani,siyo aliyetoka gerezani"

  • @goodluckypaul-d3s
    @goodluckypaul-d3s 15 วันที่ผ่านมา +3

    Jamaa anamisimamo mikali kweli

  • @IndalesioHenery
    @IndalesioHenery 15 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana ila muludieni Mungu mpate wokovu

  • @mariamumechara3398
    @mariamumechara3398 15 วันที่ผ่านมา +3

    😮mboe karee wajukuu tu

  • @johannmaloda6027
    @johannmaloda6027 15 วันที่ผ่านมา +2

    Good👍

  • @mwalimurobsontarimo7491
    @mwalimurobsontarimo7491 15 วันที่ผ่านมา +7

    Lisuu ni kimbunga ni ngumu kupambana nacho ni ngumu kukikwepa

  • @ELIAMbise-sy5ue
    @ELIAMbise-sy5ue 15 วันที่ผ่านมา +1

    LISSU hoeeeeeeee 🔥🔥

  • @MichaelMgudula
    @MichaelMgudula 15 วันที่ผ่านมา +1

    Tunaenda nalisu

  • @carlosyona8729
    @carlosyona8729 15 วันที่ผ่านมา

    Lissu for rever and ever

  • @MutulaSafari-y6p
    @MutulaSafari-y6p 15 วันที่ผ่านมา +1

    Bbc Rwanda

  • @HusenYusuph
    @HusenYusuph 15 วันที่ผ่านมา +2

    uyu Jama ana akili nyingi sana

  • @FadhilVuaa
    @FadhilVuaa 15 วันที่ผ่านมา +2

    Tupo na lissu

  • @ElinaMbura-h7w
    @ElinaMbura-h7w 15 วันที่ผ่านมา +4

    Ni Lissu tu kw sasa na Heche hawa ni watu seriously

  • @leonardmrope9528
    @leonardmrope9528 15 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuli

  • @erickaaya7433
    @erickaaya7433 15 วันที่ผ่านมา +2

    Tundu anakosea sana!

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 14 วันที่ผ่านมา

    No ritiriti No sarenda.mapambano yanaendelea

  • @robinilomo2887
    @robinilomo2887 15 วันที่ผ่านมา +3

    Kanyooka sana Mwamba na yupo na akili nyingi

  • @AbdullahAhmed-t7p6l
    @AbdullahAhmed-t7p6l 15 วันที่ผ่านมา +2

    If tundulisu win chadema election chadema is lntact but if freeman mbowe win chadema election end of chadema political party even if freeman mbowe left chadema lncass chadema will be end of chadema but if lisu leave chadema will be end of chadema let we predict what we know about Tanzania politics because of chadema national commitee we hope thing will be OK we hope so

  • @ELIAMbise-sy5ue
    @ELIAMbise-sy5ue 15 วันที่ผ่านมา

    Uo moto ingekuwa Tanzania Zima moto wangekuja baada ya saa 12

  • @MutulaSafari-y6p
    @MutulaSafari-y6p 15 วันที่ผ่านมา +1

    Bbc ninyi waongo sana

  • @YohanaSanga-t8d
    @YohanaSanga-t8d 14 วันที่ผ่านมา

    Niyeye risu

  • @mahmoudally6044
    @mahmoudally6044 14 วันที่ผ่านมา

    Hayo ni malipo ya jinai zenu huko Ghaza Mwenyezimungu awazidishie adhabu juu ya adhabu

  • @vanessastafford6426
    @vanessastafford6426 14 วันที่ผ่านมา

    Hakika mabadiliko ni muhimu

  • @erickaaya7433
    @erickaaya7433 15 วันที่ผ่านมา

    Chama kinaaminiwa na kupendwa sana tu

  • @ELIAMbise-sy5ue
    @ELIAMbise-sy5ue 15 วันที่ผ่านมา

    Bilashaka Taifa limeskia haya

  • @oskamsafiri2814
    @oskamsafiri2814 15 วันที่ผ่านมา

    Champ mmwaaa

  • @erickaaya7433
    @erickaaya7433 15 วันที่ผ่านมา +1

    Ataondoka na Aibu apungunze kuongea sana

  • @KamalaBuchwa
    @KamalaBuchwa 15 วันที่ผ่านมา

    Naona iki chama kinaenda kupasuka

  • @MichaelKiuya
    @MichaelKiuya 15 วันที่ผ่านมา

    AMIDA NAOMBA NAMBA YAKO MAMIIIIIIII

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 15 วันที่ผ่านมา +1

    Tumeshafungua, group tutamuadiii,mugabe, musevenii, muboweee, kagameee, lipumba,cheyoo,😅😅😅

  • @frankmsai7461
    @frankmsai7461 15 วันที่ผ่านมา

    L4C

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 15 วันที่ผ่านมา

    Lissu acha upuuzi wako huna hadhi ya kuwa mwenyekiti wa chadema

  • @scoutpwanimchangani6711
    @scoutpwanimchangani6711 15 วันที่ผ่านมา

    Muulize nini Hatma ya Chama chao. Endapo kila mtu atalazimisha kuhombea nafasi hiyo? Pia muulize je nani kati yake na Mhe Mbowe amehamia kwetu?

  • @onesmoamon345
    @onesmoamon345 15 วันที่ผ่านมา

    Lissu umenikumbusha Zitto Alivyoondoka Chadema.
    :

  • @samwelkayanda5204
    @samwelkayanda5204 14 วันที่ผ่านมา

    Hii ni kuwapoteza maboya hauwez kuweka attention ndogo ya kugombania uwenyekiti ndani ya chama msimu kama huu ambao walitak8wq wawekeze kwny msimu wa uchaguz mkuu wa taifa ni kupoteza maboya wasiojielewa wanaoamin sana ktk siasa

  • @festobenn1096
    @festobenn1096 15 วันที่ผ่านมา

    Chadema wana akili sana hapo mbowe anataka chadema irudi kweny raman asilimia kubwa amefanikiwa asee ,ccm hii hawaiwezi kabsa

  • @wilsonwafulachebokati4933
    @wilsonwafulachebokati4933 14 วันที่ผ่านมา

    Tunamtaka lisu Kenya tupambane na kasongo yeye