KATIKA MAMBO YOTE UNAYOYAPITIA USIRUDI NYUMA, KAZA MWENDO. JAPO YANAUMIZA, TUNAYE MUNGU ANAYETUTIA NGUVU YA KUZIDI KUENDELEA MBELE. HATA WEWE AMBAYE UMECHUKUA HATUA YA KUOKOKA, USIRUDI NYUMA KWA SABABU YA WALE WANAOKUONGOLELEA VIBAYA. KAZA MWENDO. NAYE MUNGU ATAKUREJESHEA YOTE YALIYOLIWA NA NZIGE. SHALOM 🙏🙏🙏❤️
Mungu akubarikiwe,ninaposikiliza hizi Nyimbo za sifa zinanijaza Nguvu kwa maombi.Fadhili na Uwepo wa Mungu uwe nawe Milele na Milele.Mawazo nilikuwa nayo ya magonjwa kwa wanangu.Nina Imani mungu amewaponya sahi kwa mapenzi yake.
MUNGU WEEE!!!! Namu heshimia mungu mwenye alikuumba pamoja na wazazi wako. I already listen to the song 3times in my car, 2hours after is out. I will keep listening to it at this afternoon with my family. MAY GOD KEEP BLESSING YOU AND YOUR TALENT. Love from Canada ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Be blessed 🙏 Mtumishi kwa hizi nyimbo za upako,tamanio la moyo wangu siku ya mwisho ningie mbinguni🙏😭
KATIKA MAMBO YOTE UNAYOYAPITIA USIRUDI NYUMA, KAZA MWENDO.
JAPO YANAUMIZA, TUNAYE MUNGU ANAYETUTIA NGUVU YA KUZIDI KUENDELEA MBELE.
HATA WEWE AMBAYE UMECHUKUA HATUA YA KUOKOKA, USIRUDI NYUMA KWA SABABU YA WALE WANAOKUONGOLELEA VIBAYA.
KAZA MWENDO. NAYE MUNGU ATAKUREJESHEA YOTE YALIYOLIWA NA NZIGE.
SHALOM 🙏🙏🙏❤️
Amina
@@danielsifuna7377 amen mm kusema hukweli Jana nilikuwa nimeumizwa Sn Kwa moyo nilipo hingia TH-cam nikakutana Na huwo wimbo nikapata Amani
@@danielsifuna7377 amina
Barikiwa sana
AMEN 🙏🙏🎉
Nyimbo zako hunibariki Sana sana
Nyuma kamwe 😭 nushike mkono nisonge mbele
sitaarudi nyuma tena barikiwa sana Amen
Barikiwa sana unatukumbusha mengi AMINA
Tanzania we love u MUNGU azid kukuinua
Ubarikiwe sana dan mungu azidi kukutumia ili wengine wabarikiwe kupitia hizi nyimbo
barikiwa sana
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu ni kazi njema ya kuliinua JINA lake .Watu wataokolewa kupitia nyimbo za sifa , Amina.
God bless you man of God and protect you uendelee kutubariki na nyimbo zako za injili ❤❤❤
Am truly blessed by your inspirational songs, may God bless you as continue lifting the spiritual banner.
Sendikalukha enyuma … !
God bless you. Your songs made me want to know more about God. They are a blessing
Awuuuuuuuuwi!!!!🎉🎉🎉❤❤❤❤ Halelihya❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉haya haya.❤❤❤❤ Hakika starudi nyuma. Milele ni amina amina🎉🎉🎉🎉🎉❤
Barikiwa sana ndugu mungu azidi kukutumia wengi wataokoka kupitia nyimbo zako
Amen amen ❤
Katika jina la Yesu kristo,BWANA akujalie neema kibali na anointing ❤❤❤❤
Blessings ndugu yetu you're more than a blessing to us, Mungu akuneemeshe umfanyie kazi kwa moyo wako wote in Jesus Name Amen
Mungu akubarikiwe,ninaposikiliza hizi Nyimbo za sifa zinanijaza Nguvu kwa maombi.Fadhili na Uwepo wa Mungu uwe nawe Milele na Milele.Mawazo nilikuwa nayo ya magonjwa kwa wanangu.Nina Imani mungu amewaponya sahi kwa mapenzi yake.
You bless my heart so much my brother.God bless you and meet the desires of your heart.
Amen
Haleluya Amina Ubarikiwe sana mtumishi nyimbo zako zanibariki sana
Amina mtu wa Mungu, Neema ya Mungu iwe nawe ili uzidi kutimiza mapenzi ya Mungu...wanibariki sanaaa
Aaaamen❤❤
Barikiwa amina
Mungu azidi kukupa neema na kibali...nazidi kubarikiwa Kwa nyimbo zako...be blessed brother 🙏🙏🙏
Neema ya BWANA Yesu izidi kunguza mioyo mingi kupitia nyimbo zako brother Dan
Amen amen Mtu WA Mungu❤❤
Ubarikiwe mtumishi
👏👏👏Amina 👏👏👏Amina👏👏👏👏⭐️
Amen NI wimbo wakutia moyo be bless brother
Amen my dear brother hakuna kurudi nyuma tena lazima tujikaze be blessed in Jesus mighty name🙏🙏🙏🙏🙏
Aaamen amen amen ❤❤❤❤❤
Aminaaa, you never fail whenever unatoa wimbo Kila mara ni wa kubariki wengi na kurejesha tumaini Kwa wale wamepoteza. Barikiwa sana Ndugu....
Amen amen amen❤❤❤
Amen Amen more grace Mtumishi♥️🙏🙏
Aamen❤❤❤
Thanks a lot my spirit is elevated
❤❤❤❤❤ amina amina nisha tumia hii song 🎵 tiktok bana pale nime toka aki ni mungu too
Amen and Amen more grace servant of God 🙏🙏🥰
Amen
Amen and Amen more grace brother
Sitarudi nyuma licha ya yote ninayoyapitia
Be blessed 🙏🙏🙏
Mungu alikutuma kufanya kazi ya uimbaji na sababu zake dr brother barikiwa sana na mungu akapanue huduma yako zaidi
AMINA AMINA .Sitarudi nyuma
🎉🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🎧🎧🎧🎧 Hallelujah hallelujah hallelujah, whoever remember this song primary school naomba like zifike 50.
Powerful song
Aaamen 🙏🙏❤️🙏
Amen
Hallelujah. Sitarudi Nyuma. AMINA AMINA❤❤❤❤❤❤❤
Amen be blessed kwa kazi njema mtumishi wa MUNGU 🙏
Hizi nyimbo zimejaa ujazo wa rohoni mtakatifu
Amina mtumishi wa mungu
Barikiwa Sana, Man of God,kanisa iko side kani nifiko huko ,
Amen amen
Nairobi
Nairobi wapi@@danielsifuna7377
MUNGU WEEE!!!! Namu heshimia mungu mwenye alikuumba pamoja na wazazi wako. I already listen to the song 3times in my car, 2hours after is out. I will keep listening to it at this afternoon with my family. MAY GOD KEEP BLESSING YOU AND YOUR TALENT. Love from Canada ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Aaaaaaamen❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hallelujah. Glory be to God
Amen 🎉🙏🙏
Wow I love the song
Napenda Sana nyimbo zako ndugu,barikiwa zaidi
Amen amen sylivia ❤
Amen ❤❤❤🙏🙏🙏
Your song are inspired by Holly spirit God bless you
I'm blessed
Amen 🙏🙏 niombe pamoja nafamilia yangu kupitia kwa hizi nyimbo za kumtukuza Mungu asikie kilo yetu hakika hakuna kurudi nyuma
Amen
Amina
Amen❤❤
Nice one you realy inspire me....with your songs
Amen amen my brother ❤️🙏🙏
I love that song so much bro God bless you so much
Aamen❤❤❤
So inspiring
Amen amen
Amen amen amen ❤
Amen be blessed
Amina Aminaaa
Aaamen❤❤
Be blessed brother
Amen ❤❤❤
@@danielsifuna7377Amina brother am your biggest fan. 🎉
Amen 🙏
Amen amen 💖💖🙏🙏
Amen ❤❤❤❤
Amina ameeen!
Aaamen❤❤❤
@@danielsifuna7377 nyimbo zako zinanibariki sana
Every time,each songs are coming amazing. God bless you.
Actually God bless you my brother all the time your songs it's returning my soul from where it was again ifill ok in the name of jesus
Amina Amina
I will not look back for what have been undergoing. Just pressing on for we have the Lord on our side❤❤❤.
❤❤
AMEN
Hallelujah
Aminah aminah 🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏
Aamen my sister ❤❤❤
Asate mungu 2:19
Nihisi tu nishaa ingia mbinguni
Amen amen God bless you.. could you send the song of LIKOLANGO MOJA WAZi otherwise we find it in compilation mode.. please it's brother André from DRC
Amen I will❤❤
Hizo nyimbo napata wapi kweli
Amina Amina Amina
Amen, Amen