NYIMBO ZA ZAMA/ KWAYA ZA ZAMANI OLDSCHOOL GOSPEL SONGS. BEST SWAHILI GOSPEL SONGS BY DANIEL SIFUNA.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 มิ.ย. 2024
- NYIMBO ZA MAABUDU/KUABUDU NA KUMTUKUZA MUNGU
NYIMBO ZA KUKUFARIJI NA KUKUTULIZA MOYO
ILI UENDELEE MBELE NA KUMWANI MUNGU LICHA YA YOTE UNAYOPITIA.
#Alone with God.
#relaxing worship songs
#relaxing Tenzi za rohoni
#Tenzi za rohoni mix
#nyimbo za wokovu mix
#Kenya Tanzania best praise and worship songs
peaceful Tenzi za rohoni
#Daniel Sifuna
Facebook Daniel Sifuna
Tiktok Daniel Sifuna
Instagram Daniel Sifuna
CALL/ SUPPORT 0746298853
GOD BLESS YOU
MUNGU AWABARIKI SANA NA AKUTANE NA MAHITAJI YA MIOYO YENU KWA KUSIMAMA NAMI KATIKA HUDUMA HII.
NI MAOMBI YANGU KWAMBA UNAPOSIKIZA NYIMBO HIZI MUNGU AKUGUSE NA AKUOKOE KWA YOTE UNAYOYAPITIA.. LICHA YA KUWA NI MAGUMU TUJIPE MOYO TUTASHINDA MAANA MUNGU AKO UPANDE WETU.
❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏
Amen 🙏
Amen Amen Amen pia kwako
Please, mtumishi Daniel nitafutie hii wimbo
Nuhu aka,kaijenga Safina
Kaingia,nawanyumba yake
Kachukua ,Aina za wanyama
Wawili Wawili ndani ya Safina
Ndipo mvua ikaanza kunyesha
Kafunika ,inchi yote
Kamaliza watu na wanyama
Isipokuwa Nuhu na wanyumbaaaa yake
Pls nitafutie siijui vizuri bt hunikumbusha mbali sana,Asante na ubarikiwe pamoja na nyumba yako🙏🙏🙏
Amen
Nyimbo zako zinatupa moyo kwa mambo tunayopitia huku nchi za gulf 😢😢
Kweli kabisa zake zinatuliza moyo mimi wakati ninapitia changa moto hua naingia page yake ilinitulize moyo na nyimbo zake🙏🏾🥰🙌
Aaamen
Wow amen amen
God bless you mtumishi wa mungu napalikiwa nikiwa
Saudi 🇸🇦
Aamen.
Mungu akulinde na akujalie neeema..🙏🙏❤
Amen Amen nashukuru Mungu kwa hizi nyimbo mzuri barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏
Amen amen
Nyimbo nzuri sana zenye kumtukuza Bwana Yesu
Hizi wimbo nlikuwa naskia kitambo aki nice one 🙏🙏🙏
Hizi nyimbo zinaguza moyo wangu, Hadi nikitendewa mabaya na mtu nakumbuka songs of Daniel sifuna ziko TH-cam na nikizifungua moyo unasafishwa and i smile ☺ ☺ again and again ,Thanks alot mtumishi 16:43
Woow amen amen 🙏 🙏 🙏 🙏
Amen amen nyimbo nzuri sana za rohoni barikiwa sana mtumishi wa mungu amina
This nyimbo inanifanya nikaribie Mungu sana, be bless sana unapoendelea na kazi ya Mungu
Nafurahia kusikia nyimbo zako mungu akubariki na akuinue zaidi na zaidi
Brother my God bless you all the time ukuzidichie miaka mingi yenye amani Dunia
Am blessed this morning with this wise song bro be blessed more nimeiinuliwa sn barikiwa sn
Oh Lord JESUS CHRIST remember me in your kingdom may my labour in you not be in vain 😢😢. Hear my prayer oh Lord
Asante sana kwa nyimbo safi ubarikiwe Sana
Mungu akufungulie njia ya fedha uendeleshe hii kazi njema unanikuza sana be blessed mtumish wa mungu
Hallelujah 🙌 🙌 🙌 hallelujah 🙌 🙏 hallelujah 🥰🥰💃💃💃💃💃💃
Amen amen amen 🙏🙏❤
May God give you abundant graces for you to continue serving Him in Jesus Christ name.
Amen amen
Barikiwa sana kwanyimbozako hakika najikuta sehemu nyingine
Keep blessing us bro your songs are such blessing 🔥🔥🔥🌟🌟they have been truly a blessing to me🌟🔥💯and many others🎉
We call them end times sings❤❤❤...
Nyimbo zako nzuri zanibariki kweli
Barikiwa sana mtumishi nyimbo zako ua Zina nitia nguvu🙏🙏🙏🙏
Be blessed man of God ❤ 🙏 🙏
Amen amen
Barikiwa sana mtumishi kwa nyimbo zako nzuri
Wimbo huu unanikumbush a Bwiru boys Mwanza tuliiomba sana Casfeta
Nyimbo za upako may God bless you
Thank you so much man of God,love this it inspires me when am down in terms of faith
Thank you for the songs nimebarikiwa sana
Aaaamen
Asante kwa nyimbo za faraja 😢 Mungu azidi kutukumbuka katika ichi hii 💪🙏🙏🙏
Hizi wimbo safanya moyo wangu kupata utulivu wakati wa dhuruba la uduma God bless you so much man of God.
Amen amen
Amina,,,May God continue bless you man of God
Amen 🙏 🙏
Thanks for being a blessing
Be blessed man of God❤❤❤Glory to God❤❤❤
Aaaamen amen amen
AMINA 🙏Aky hizi nyimbo huni kumbusha kitambo kwaya ilikua moto moto 🔥🔥🔥🔥💞💞💞🎺🎺
Very true 🙏❤❤❤
Ubarikiwe Sana mtumishi
Ubarikiwe zaidi ya hapo mtumishi wa Mungu nyimbo zako hunibariki sana 🙌🙌🙏🏾
Aaamen amsn
Am really blessed with your songs, may God bless you.
Aamen amen🙏🙏🙏❤❤❤❤❤
Quite encouraging, God bless you 🙏 🙏🙏
God bless you more and more my brother 🙏
Aaaamen my lovely siz ❤ 🙏
❤❤❤Aminaa izi wimbo zina nikumbusha nikiwa mdogo sana be blessed mtumishi w mungu
Wow amen amen
Am blessed by this song Amen 🙏
Aaaaamen
Nimetafuta huu wimbo sana...be blessed
Amen amen be blessed too 🙏
Barikiwa shalom shalom Daniel sifuna
Amen amen
Amen mutumishi mungu akuinue zaidi❤
Nashukuru kwa kutuletea nyimbo zazama
Mungu asifiwe kila siku.
aki mungu hakubariki sana mtumishi ya mungu I love this song
Amen amen 🙏🙏🙏❤❤❤
Barikiwa sana ndugu.nyimbo zako Kwa hakika zanibariki
Aaaaamen amen
Mungu ukubariki sana ndugu kwa nyimbo zako zina niguza moyo wangu
Amen amen
Amen 🙏 mtumishi Mungu akubariki sana enjoying grace of God here in Saudi Arabia 🇸🇦
Aaaamen amen
Ameeen
Ubarikiwe sana mtumishi na mungu azidi kukupa hiyo neema Kwa maana hizi nyimbo ukisikiza hata kama ilikuwa na stress inaondoka
Aaamen Asante sana sana
Kazi pouh bro
Amen my brother ❤
Blessing man of God you always inspire me ❤
Amen amen amen❤❤❤🙏 and be blessed too
Amen
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
Amen
Huwa nabarikiwa sana
Amen glory to the Lord
Amen and Amen
Aamen amen
Thank for song
Amen
Mungu azidi kukubarki mtumishi
Aaaamen amen ❤❤❤
Nyimbo zako zinabariki ,zinafunza na zinafariji moyo be blessed man of God 🙏🙏🙏
Amen amen
@@danielsifuna7377 🙏🙏🙏🙏
Nyimbo zako zemekuwa za baraka ktk maisha yangu. Barikiwa sana kakangu
Aaamen amen🙏🙏🙏❤❤❤
Amen 🙏🙌 mungu aliyekupa yo ufunuo azidi kukupa ufunuo siku zote na ukae katika njia zake damu ya yesu kristo ikusunguke wakati wote na family Yako uparikiwe shalom ❤
Amen amen amen.
Asante sana sana 🙏🙏🙏❤❤❤
Ubarikiwe sana
Amen amen
Hizi nyimbo zina ubako sana,,huwa zikiniguza kila siku..Ubarikiwe kaka
Amen amen
Amen 🙏🙌🙏
Amen amen ❤
God bless you
Aamen amen
Neema ya BWANA Yesu izidi kuongezeka❤
Amen amen mtu wa Mungu🙏🙏🙏🙏❤
Amen
Amen 🙏🙏
Amen amen 🙏❤❤❤🙏
Asante.nimeparikiwa sana na hisi nyimbo
Amen amen
wow bro I love how the views are shooting.. 2263 views in 6hrs... thanks for uploading sane content. May God bless you
Aaaamen amen 🙏
Barikiwa sana bro,kwa kutoa Album ya praise and worship🙏🙏🙏🙏💯💯💯💯🧎🧎🧎🧎🧎👌👌👌👌
Amen amen🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤
Amen 🙏
Nyimbo ziko na upako ubarikiwe mtumishi hapa sipanduki n'go!!!!!!
Aaaaaaamen
Daniel sifuna ulitumwa kwangu nasikiza nyimbo zako usiku na mchana barikiwa sana
Aaamen amen
🙏🙏🙏🥰
Amen❤❤❤❤🙏
Neema ya bwana iwenawe Sikh sote nyimbo zako zinanibariki sana
Wow amen amen
Good
Kazi safii mtumishi.......Nikiskiza hizi nyimbo moyo wangu upona juu huku gulf vikwazo😢, Naomba mnikumbuke kimaombi
Aamen nitakuombea.
Mungu Awe kinga yako kwa yote unayopitia
❤❤❤❤🙏🙏💃
Aaamen amen
@@danielsifuna7377 I love you
❤❤❤❤
Tuliuimba
BE BLESSED MAN OF GOD
Amen amen my brother ❤
@@danielsifuna7377 Asante sana pia Ndugu yangu.
Wimbo wa yonah haujaonekana vidmate bado
Haki nimependa hizi nyimbo zinanibariki ubarikiwe sana, hadi ume add a subcribe for free
Wow amen amen amen 🙏🙏🙏❤❤❤❤
Great compilation, keep it up, drop phone number for a soda
Amen amen amen.
Be blessed for your support
0746298853
Be blessed man of God ❤ 🙏 🙏
Aaamen amen
Be blessed man of God ❤ 🙏 🙏
Amen amen