CASSIAN ATOA MANENO MAZITO MSIBANI KWA MAREM DIDA EV PASCHAL CASSIAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 86

  • @KilembeAtuganile
    @KilembeAtuganile 12 วันที่ผ่านมา +2

    Napenda nyimbo zako mtumishi wa Mungu sana Mungu akulinde

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 14 วันที่ผ่านมา +12

    Poleni sana kwa kuondokewa na mtangazaji maharufu sana.
    Ameenda mahali alipojichangulia akiwa hapa duniani. Ndio amefurahisha watu lakini kama matendo yake hayakufurahisha Bwana hata tukalia ni bure ameenda. Tujifunze kutengeneza na Mungu maana unapoondoka hapa duniani ukiwa mwenye haki basi kulia ni kujisumbua tu maana alipoenda ni pazuri kuliko hapa duniani. Lakini ukifa mwenye dhambi nafsi yako itateseka milele. hivyo basi tengeneza moyo wako ukawe safi.
    Amen Mtumishi ubarikiwe na Mungu sana. Kila aliyekufa akiwa ndani ya kristo haujafa huwa umelala tu! Maana siku Bwana wa mabwana atakaporudi wote waliolala wataamshwa. Lakini ukifa bila kristo ni bure hata tukalia damu Yeye Yesu ndiye LANGO.

    • @ElineMmari-cp7je
      @ElineMmari-cp7je 14 วันที่ผ่านมา +1

      Aminaaa

    • @SnhZjhz
      @SnhZjhz 13 วันที่ผ่านมา +2

      Kweli kabisa

    • @lilianndete1735
      @lilianndete1735 11 วันที่ผ่านมา +1

      AMINA KWELI KABISA

  • @protasdmassawe
    @protasdmassawe 12 วันที่ผ่านมา +1

    Ana heri yule alie liamini na kulishika NENO LA MUNGU.🙏👏 Asante mtumish kwa kutukumbusha NENO la uzima wetu katika KRISTO

  • @SylviaKageha-ww6wl
    @SylviaKageha-ww6wl 10 วันที่ผ่านมา +1

    Siku ya leo nimeguzwa na maneno yako, huwa nakufuatilia sana ila leo imenibidi nisikize neno lako, tunaomba mungu atukumbuke😢 saana, nakufuatilia nikiwa Riyadh Saudi Arabia, nikiweza skiza haya maneno kila siku naamini nitakua karibu na mungu 😢 Eeh mungu wa mbinguni utukumbuke🤲🤲

  • @benjaminwafula
    @benjaminwafula 13 วันที่ผ่านมา +4

    Nimekusikiliza vzr papaa cassian asanti kwa mahubiri mazuri mungu akutunze milele daima

  • @WozifonOberd
    @WozifonOberd 13 วันที่ผ่านมา +4

    Kwakweli Mungu atujalie kupendana sisi kwasisi yaani Jua,Dunia,vyakula,na vingine vingi nikukodishwa na Mungu,basi tutende mema ilisiku hiyo itakapofika tuwe na ujasiri,kwani kifo niMungu anadai kodi yake,Amina

  • @remigioushofa2817
    @remigioushofa2817 13 วันที่ผ่านมา +1

    Bwana Yesu asifiwe sana Mtumishi nimekuwa nikikutafuta sana kwenye simu sijafanikiwa kukupata kabisa

  • @monicaawino3916
    @monicaawino3916 13 วันที่ผ่านมา +4

    Makiwa kwa family na marafiki nenda salama Dada ni njia yetu 🙏 tuombe Mungu atupe mwisho mema

  • @modestamakoye9319
    @modestamakoye9319 12 วันที่ผ่านมา +2

    ❤❤ tuombe Mungu atujaalie mwisho mwema

  • @sofiarugoye7929
    @sofiarugoye7929 10 วันที่ผ่านมา

    Napenda nyimbo zako mtumish

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 14 วันที่ผ่านมา +9

    Poleni kwa msiba.
    Hivi mimi nikifa, nani atanililia kama Tabitha, matendo yangu yatafanya wanililie au hawapo? Mungu nisaidie nikuamini wewe ili nikilala upande wako nisipotee milele na nifufuliwe siku ya ufufuo.

  • @Deboraclementgm
    @Deboraclementgm 10 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana

  • @janethEmmanuel-n8h
    @janethEmmanuel-n8h 14 วันที่ผ่านมา +7

    Huyu mtumishi jau kweli kila taharifa yeye tu anaitolea maelezo.jitahidi kufundisha vinavyo tuhusu wakristo khaaa kwani lazima kila tukio uongee

    • @MGALILAYABillionaire
      @MGALILAYABillionaire 14 วันที่ผ่านมา +2

      @@janethEmmanuel-n8h Ameeleza Neno la Bwana tena kwa kina sana ni vile hampendi sikiliza mpaka mwisho.

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 13 วันที่ผ่านมา +1

      Kwani kosa lake liko wapi?

    • @FestoJemsi-lr8pw
      @FestoJemsi-lr8pw 13 วันที่ผ่านมา

      @@janethEmmanuel-n8h utasema kwakumtusi utachoka

    • @Katembo_Official
      @Katembo_Official 13 วันที่ผ่านมา

      Matatizo unayo wewe ambaye hupendi injili

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 13 วันที่ผ่านมา

      @@Katembo_Official watu mnajua kujichotea dhambi ya bure,we umetokea wapi?he nimecomentije?saa nyingine uwe unatuliza komwe lako vizuri unasoma unaelewa

  • @alicejuma9155
    @alicejuma9155 12 วันที่ผ่านมา

    Amen amen❤❤👏👏👏

  • @michaelalulambo9181
    @michaelalulambo9181 10 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @alicejuma9155
    @alicejuma9155 12 วันที่ผ่านมา

    Pole nisana niyatari😭😭😭😭

  • @sifaRejoice
    @sifaRejoice 12 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi una nijenga sana

  • @HabilyTech
    @HabilyTech 14 วันที่ผ่านมา +4

    Kama kawaida yako mzee wa kwenda na upepo

    • @FestoJemsi-lr8pw
      @FestoJemsi-lr8pw 13 วันที่ผ่านมา +1

      Unasikiliza kidogo ndomana

    • @FestoJemsi-lr8pw
      @FestoJemsi-lr8pw 11 วันที่ผ่านมา

      @@HabilyTech UTAMSEMA HAD UWE CHIZI MBELE UTAMUELEWA2

  • @hoseamwambambale3503
    @hoseamwambambale3503 13 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubalik sana mtumishi wa mungu na mungu akubaliki sana na akuongezee wingi wa siku za kuishi apa dunia

  • @VeronikaMatheo
    @VeronikaMatheo 13 วันที่ผ่านมา

    kaka kazi yako ni njema San.mana yesu hakuja kw wakristo tu hvo sauti yako itaskiwa na kila mwenye uhai mungu azidi kuktunza uendlee kuifnya kazi yake usiogpe ww ni shujaa.

    • @LeahAmani-yz9wh
      @LeahAmani-yz9wh 13 วันที่ผ่านมา

      @@VeronikaMatheo ubarikiwe sana kwakutambua kuwa kristo alikuja kutafuta kilichopotea na kuokoa! Na ukweli ni kwamba Kuna kanisa lisiloonekana Hilo analijua YESU mwenyewe kazi Yetu ni kutendgeneza Kila saa Kila siku Kila sekunde tusingoje wakati wa kulala

  • @Robarthmapolu
    @Robarthmapolu 14 วันที่ผ่านมา +1

    Amina mtumishi wa mungu

  • @marieakili3005
    @marieakili3005 13 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen 🙏🙏🙏

  • @namungolubala1788
    @namungolubala1788 14 วันที่ผ่านมา +3

    PASTOR WATUWENGI WANASEMA MBINA SHATIYAKO NI FILMASON NAWEWE NJO UNAKEMEA FILMASON??

    • @hbwayesuphilibert-lv1kg
      @hbwayesuphilibert-lv1kg 13 วันที่ผ่านมา

      Sijaelewa sms yako mpendwa

    • @EllyjTengeneza
      @EllyjTengeneza 13 วันที่ผ่านมา

      Jifunze kuandika vizuri watu waelewe siyo bora liende

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 14 วันที่ผ่านมา +2

    Hivi nani anakuandikiaga vichwa vya habari?

    • @MaryShirima-yw3kp
      @MaryShirima-yw3kp 13 วันที่ผ่านมา

      Mwenyenye nashindwaga kuelewa,, ila vumilia tu😁😁

    • @FestoJemsi-lr8pw
      @FestoJemsi-lr8pw 13 วันที่ผ่านมา

      @@daudimichael7338 mtamsema had ukome mwenyewe

  • @jovettedenise2591
    @jovettedenise2591 14 วันที่ผ่านมา

    Pole sana kwa musiba RIP

  • @LeahAmani-yz9wh
    @LeahAmani-yz9wh 13 วันที่ผ่านมา

    Nimefanya nae Interview zaidi ya mara mbili alikuwa sababu ya umaarufu wangu kabla ya Mimi kumrudia Mungu😢 mwisho juzi tuu amenitafuta na kutaka kujua nipo wapi mbona sionekani watu wanataka kujua mmmmmh hapana

  • @JoyceMkini
    @JoyceMkini 14 วันที่ผ่านมา

    Dorikasi mtumishi jina lake

  • @sarahmwadime850
    @sarahmwadime850 13 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi nakupenda sana na mafundisho yako lakini hilo shati umevaa leo lina mchoro na chapa "yao" nadhani wanielewa kua makini sana mavazi yetu yasilingane na ya wadunia penda nguo plain sana... Thats verserce (medusa

  • @rsfdzxzx2274
    @rsfdzxzx2274 14 วันที่ผ่านมา

    😢sema mpapa

  • @PhebiElias-rw9ns
    @PhebiElias-rw9ns 13 วันที่ผ่านมา

    Polen sana

  • @jeturdasimon4851
    @jeturdasimon4851 14 วันที่ผ่านมา

    Dorikasi

  • @FeristaKoku-it9nx
    @FeristaKoku-it9nx 14 วันที่ผ่านมา +1

    Bilashaka ulitaka kumsemea dolikas

  • @NjitiMohamedmzee
    @NjitiMohamedmzee 12 วันที่ผ่านมา

    Ulikwenda msibani au ndio wale Mano tafuta content tiu

  • @FRANKMSUYA-j9u
    @FRANKMSUYA-j9u 14 วันที่ผ่านมา

    Haleluya

  • @benjaminwafula
    @benjaminwafula 13 วันที่ผ่านมา

    Naeza okoka mtumishi

  • @YohanaMaswaga-p4z
    @YohanaMaswaga-p4z 14 วันที่ผ่านมา

    Tuwe na hekima sababu hakuna anaye jua mwisho wake 😢😢😢

    • @MGALILAYABillionaire
      @MGALILAYABillionaire 14 วันที่ผ่านมา +2

      Walio wa kristo hawaondoki bila kujua wakati wao. Usindaganyike kaka Mungu ujulisha wanawe

  • @magrethedward5635
    @magrethedward5635 14 วันที่ผ่านมา

    Sawa ....., lakini mbona hilo shati lako silielewiiii....., samahani lakini mtumishi we nieleweshe tu

    • @EvahCassian
      @EvahCassian 14 วันที่ผ่านมา +1

      Kwaiyo wewe kazi Yako kuchunguza mashati ya watu😅😅😅

    • @mariachuhila9518
      @mariachuhila9518 13 วันที่ผ่านมา

      Kweli Bwana napenda huduma yake Ila hilo shati mmh

    • @hbwayesuphilibert-lv1kg
      @hbwayesuphilibert-lv1kg 13 วันที่ผ่านมา

      ​@maryaiachuhila9518 Yani wewe unavituko unachunguza Hadi nguo😅😂😂😂

  • @ClassicUsed-jg6ri
    @ClassicUsed-jg6ri 14 วันที่ผ่านมา

    Mbona kama hujapiga mswaki

  • @janethEmmanuel-n8h
    @janethEmmanuel-n8h 14 วันที่ผ่านมา

    Watumishi wa MUNGU wengi hawana vitu kama hivi sijawai ona pastor yoyote taharifa ikitoka anakuwa anaongelea ila huyu tu 😡

    • @MGALILAYABillionaire
      @MGALILAYABillionaire 14 วันที่ผ่านมา +3

      @@janethEmmanuel-n8h vidole vyote havitoshani kila mmoja na kazi yake. Kuna mwalimu anayefundisha kwa kutumia mifano na kuna mwingine hatumii. Hivyo basi hatuwezi wote kufanana au kufanya jambo la kufanana

  • @ClassicUsed-jg6ri
    @ClassicUsed-jg6ri 14 วันที่ผ่านมา

    Mbona unatumia kitanda cha Chuma

    • @FestoJemsi-lr8pw
      @FestoJemsi-lr8pw 13 วันที่ผ่านมา

      @@ClassicUsed-jg6ri utachoka mwenyewe

    • @SharyMary-s8t
      @SharyMary-s8t 12 วันที่ผ่านมา

      Hapo lodge yupo safarini

    • @FestoJemsi-lr8pw
      @FestoJemsi-lr8pw 10 วันที่ผ่านมา

      @@ClassicUsed-jg6ri UNATABU UMBEYA WAKO?!

  • @janethEmmanuel-n8h
    @janethEmmanuel-n8h 14 วันที่ผ่านมา +3

    sasa ulimfata wasafi ukamuhubiria akashindwa kuokoka na sitaki mtu.ajibu comment yangu

    • @rachelwilly863
      @rachelwilly863 14 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @MGALILAYABillionaire
      @MGALILAYABillionaire 14 วันที่ผ่านมา +5

      @janethEmmanuel-n8h mbona ukauliza swali? Sio lazima amfuate uko aliko kuwa injili aliipata hapa hapa mtandaoni... wewe ulipokuwa ukimsikiliza Dida alikuwa anakuja kwako nyumbani au ulikuwa unaenda msikiliza kituoni.
      Hapa ukitoa comment kuwa tayari kurudishwa na wewe usituwekee mipaka eti no one should comment! You have to expect a reply it might be positive or negative.

    • @FestoJemsi-lr8pw
      @FestoJemsi-lr8pw 13 วันที่ผ่านมา

      UTAKOMA MWENYE WE

    • @hbwayesuphilibert-lv1kg
      @hbwayesuphilibert-lv1kg 13 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@MGALILAYABillionairepoint

    • @janethEmmanuel-n8h
      @janethEmmanuel-n8h 13 วันที่ผ่านมา

      @@FestoJemsi-lr8pw mjinga wewe

  • @KilembeAtuganile
    @KilembeAtuganile 12 วันที่ผ่านมา

    Napenda nyimbo zako mtumishi wa Mungu sana Mungu akulinde

  • @FelistarMagige
    @FelistarMagige 13 วันที่ผ่านมา +1

    Ee mungu nisaidie nikujue zaidi amina

  • @ClaudetteByamungu-co8yk
    @ClaudetteByamungu-co8yk 12 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @WozifonOberd
    @WozifonOberd 13 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana

  • @neemamarko176
    @neemamarko176 14 วันที่ผ่านมา

    Amen