Kikundi cha Ngoma cha Wabondo Sembe Safi kutoka Kigoma

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 23

  • @cocogenie542
    @cocogenie542 4 ปีที่แล้ว +3

    Asante saaana voilà l'histoire vivante, il faut soutenir ça ba bembe babondo que notre Dieu demeure votre réussite.

  • @alphincealex9112
    @alphincealex9112 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana ndugu zangu tukihona ivi japo tuka America lakin tunakumbuka kwetu🙏🙏🙏🙏love mbondo

  • @margueritamfaume3854
    @margueritamfaume3854 4 ปีที่แล้ว +3

    Proud to be mbondo kweli tangazeni asili yetu popote tuendapo Hapaka huku ulayani tuta tangaza asili yetu 💪❤️❤️😍

  • @jennifermmanyema6693
    @jennifermmanyema6693 2 ปีที่แล้ว

    Weeee mashaallah hongeren san wabondo wenzangu

  • @mashakalonka7767
    @mashakalonka7767 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice🇹🇿

  • @hassanmaulidi8068
    @hassanmaulidi8068 4 ปีที่แล้ว

    hongera sana ngoma kali saana

  • @daniellusembe2914
    @daniellusembe2914 4 ปีที่แล้ว +2

    Ubembe wangu urithi wangu

  • @officiallohiwilass1990
    @officiallohiwilass1990 4 ปีที่แล้ว +4

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 👍👍👍👍👍

  • @msemajaffar453
    @msemajaffar453 4 ปีที่แล้ว +5

    Wabembe wanahistoria kubwa Tanzania nanchinyingi zaa afirica . kwa anaetaka kufahamu hilo afatilie historia yamakabila .kilamkoa naujiowao .pia wapo watu wakubwa akabila lakibembe wamewekwa kwenye sehem zakihistoria nchini Tanzania .mfano wasanam LA askari aliopo posts dar es salm.nasehem zingine.

  • @delinedjuma1639
    @delinedjuma1639 3 ปีที่แล้ว +1

    Proud to be Mubembe 💪

  • @princeuzieri4548
    @princeuzieri4548 11 หลายเดือนก่อน

    👏👏👏👏👏

  • @uwimanauwimana7303
    @uwimanauwimana7303 4 ปีที่แล้ว +3

    wa bwari ndio wa lipoteza asili yao hapa tanzania. waka chukuwa makabila mengine. 🤣🤣

  • @ayububilaka1725
    @ayububilaka1725 4 ปีที่แล้ว +2

    Ninajisikia saana raha saaana kuwa mbembe

  • @uwimanauwimana7303
    @uwimanauwimana7303 4 ปีที่แล้ว +3

    na warundi . walipoteza makabila yao waka jita waha. japo ni watu wa burundi 🇧🇮 🤣🤣

  • @malengafataki1228
    @malengafataki1228 3 ปีที่แล้ว

    💥💥💥💥💥💥💥💝💝🙏🙏🙏🙏

  • @jeanneluhabanya1252
    @jeanneluhabanya1252 4 ปีที่แล้ว

    My background ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @daniellusembe2914
    @daniellusembe2914 4 ปีที่แล้ว +1

    hii poa sana

  • @aminaathumani6832
    @aminaathumani6832 3 ปีที่แล้ว

    Shikamoniii eeee wazazii wetu kutoka kigoma

  • @uwimanauwimana7303
    @uwimanauwimana7303 4 ปีที่แล้ว +1

    wa mbembe ndo hawa kupoteza asili y’a kwao. hapa tanzania. 🤣🤣🤣

  • @bintimbuto5740
    @bintimbuto5740 5 ปีที่แล้ว +1

    Ikovizuri ila amkutupa ile yetu esoba chito nalonge chito