Hizo likes mnazoomba mnazifanyia nn? acheni ulimbukeni mcomment kwa kupongeza walipofanya vizuri na kukosoa pale walipoteleza ili kuwafanya wawe bora watuletee vitu vyenye viwango vya kimataifa. Kicheche na wenzio mnaupiga mwingi, kazi nzuri sana👏👏
Mke wa kicheche kachana mbuga....tafazali kicheche usimalize hili show....naskia snake boy anatrend ila sijatizama episode hata moja....kicheche kwanza...Chelsea wa pili...mke wangu anafata
Kicheche si wa Congo hatu ikubali iyo tuna subiri familia ya mzee kicheche kwa Nini ume amua kui anja iyo ile hali yakua hatuja malizia familia ya mzee kicheche yani mimi kwa upande wangu mi si kubaliane na wewe kwa iyi lamba lamba 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦
MKE WA MGANGA KICHECHEEEEE😂
😂😂😂
BABA MKE WA MGANGA KICHECHE KALA MBIO NYINGI SANA NA MTUME JUU😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 NIMECHEKA SANA DAAAH😂
Anafanya makeke #Disconnect 🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Kayatimba
Ahahahhaha
Leo birthday yangu naomba mnipe like 100 tuu
Happy birthday 🎂
Hbd,rafiki🎂🍷🍾
Hbd dear
HBD 🎂 but like za nn🤔🤔
Hbd 🎉
Nimekua wa 691 kutoka Arusha embu nipeni japo like 6 tu❤
mimi wa kwnza kutoka kenya naomba like zenu😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😅
Kicheche fany ue unatoa mapema paka tunakata tamaa ya kukuangali au nimekosea jamani❤🎉🎉🎉
Umepatia anazingua
Mwandishi kapanga akapangilia story inaelewekeka makofi tafadhari Kwa kicheche mabibi na mabwanaa
Wa Tano kutoka Burundi munipe izo like basi
Ur mu Burundi majahe?
Wakwanza leo wallah kutokea Burundi woye ngonga like apo 😂😂🎉🎉❤❤
Hy guys leo harusi ya pacha wangu ,karibu nyote mashabiki , kesho twafata mke wetu inshallah ❤❤❤ alafu bdo yngu ss 🎉🎉 msikose jamani❤❤❤
Mimi wakwanza kutoka Burundi nipe like zangu namkubali kicheche na vailette ❤❤
Wapi like za Vai😂😂😂😂katupa Hadi kibuyu chenyewe😂😂😂😂 haya mambo sii POA🔥🔥🔥🔥
Kumekucha,Vai kawa mganga tena tunaomkubali tigonge like❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Hii ndio maaana halisi ya mke kumpambania mumewe😅😅
Kama unamkubali kicheche gonga like hapa
Nani kamuona Dee wa dibwela dakika za mwishoo🎉🎉🎉 gonga like kama umefurahia ujio wake❤❤❤
Ebwana wee hii ngoma inachezajwe mana inasisimua kabisa nini kitafaaata mana yule bibi amesbuka na jeneza ni noma kabisa
😢
Wakwanza kutoka USA ❤❤
Lala
vipi maisha huko
Niaj sas bro PlayStation4 ukoo ngapi bei tafadhali
safi
@@user-cj3rt7eb1c700$
Ndohuu mimi nipeee like zangu nimechelewa kidogo❤❤❤ndabakunda kandi ndaje mwamba kicheche kazi nzuli
Wakwanzaaa from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Dakika 5 tuu
Comment 80
Mimi wamwisho leo from burund
Kuwa makini sana kicheche kuhusu ndevu huwa mara ingine hawuna
Hizo likes mnazoomba mnazifanyia nn? acheni ulimbukeni mcomment kwa kupongeza walipofanya vizuri na kukosoa pale walipoteleza ili kuwafanya wawe bora watuletee vitu vyenye viwango vya kimataifa.
Kicheche na wenzio mnaupiga mwingi, kazi nzuri sana👏👏
Hawa watu wanakera sana na hawajielewi mbwa hao
Docta akayatimba wanae amini kicheche tujuane
Nyie vaii mpaka kanisisimua yani nimeogopa kaonyesha ujasir wahali yajuu 🎉🎉❤❤😂😂😂
Sana yn😂😂
Kila mtu anadai like naona kama na we ni mfuatiliaji wa lamba lamba gonga makopa kopa kama yote
Me nwakwanza leo kicheche naomba zawadi yangu
Kutok Burundi❤❤❤❤ kicheche Pole xana kaka yangu kichech
Nakupenda Mke Wa Kicheche😂😂😂
Kwahiyo ukiwa wa mia hupati likes😂😂😂
Mwenye kiti anajua tena anajua sanaaa hongera kaka
Kwaukweli nimeluya sana na niliceka kwa ukweli mnafuraisha sana mungu awabariki
Jamani vai kaniliza😢😢😢😢😂😂😂 nakupenda bule dada
Hahahaha vaii Leo kajua kutusupriseee😂😂😂😂😂
daaah semaa uyu dada atarii anajua snaa kuigizaaaa
Mwenyeki napenda sana kiswaili yako yakiuni naielewa moja miyeyusho mbili jau😂😂😂😂😂
Mke wa kicheche🤣🤣🤣🤣🤣🤣vailette🔥🔥🔥
Wakwanza kutoka Tanzania mwanza😂like zenu jamani nawapenda mno ❤🎉
❤❤❤❤❤
@@MaryClementh 🙏
😂😂😂😂😂😂 mke wa mganga kichechee kataja mtume subhannauallah 😂😂😂😂
We huogopi😂😂😂
Kicheche number one 💪💪💪
Mimi wakwanza Leo kutoka kigoma
Wachuu
Hahaha mkee wa mganga kicheche anaendak kuyayafany makeke
Lamba lamba na kicheche gonga like kwa namba 1
Wa kwanza tokea Kenya wapi zangu laikisi😂😂😂😂😂
Kicheche champion 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪 nipeni likes zangu kama unamupenda kicheche
Kivumbi Leo mm wa kwanza tokea Kenya tuonane kwa likes ❤❤❤❤❤
Mwenyekiti ni mtu mnoooma
Wa kwanza Kutoka afghanistan...nipe like...kicheche number one
Mke wa Commando ni Commando 😂😂😂😂❤
😂😂😂😂😂😂😂😂
Wakenya walove ovyo mpooo, semeni tupo baba pumbavu zenyu 😂😂😂😂😂🤗🤗🤗🤗🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😋😋😋
Aliecheza nafas ya mwenyekit kacheza vzur
Namkubali King of the new generation from Spain 🇪🇦
😂😂😂😂ila vai bhana ety mtume
Huyu mzee mwenye mvi sjuh mnamuitaje anajua sana 🙌🙌🙌🙌
mogadishu
Kubababake kichech leo umechemka mpa mama kizmkaz kaingilia kat ii😅😅sema muwe mnawahish episod maan mna mbwera sana mpaka mudi inaisha😅😅😅😅
WA kwanza..nipeni likes jamani..kenya
🎉🎉🎉🎉 vizuri kwa mwendelezo huu,,all the way from kenya
10min late jmn. Naomben maua yang🎉
😂😂😂😂nimechekaaa mtumeee mbio nyingi😂😂😂
Mcheshi mkubwa wa Afrika mashariki mzee wa mitulinga
Retour😊
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲, leo nimechelewa ila samahani naomba ata like 10
Sijapenda kabisa tabia ya mwenye kiti
Mwenykt mmbea
@@Carlos_furaha mumbea sana khaa😆
🤙🤙🤙🤙
Pumbavu zangu mie hahaha kicheche bwana😂😂
Hahaahah ILaaaah Vaileth daah♥️♥️♥️
Vaileth kamulilia mtume😂😂😂
Ata kama nimechelewa form Kenya jaman naomben like please 🙏🥺
Sema nini naboeka sana sijui mnachangamoto gani ila sijapenda uchelewaji wenu wakutoa season lakin kwayote nawapenda sana❤❤❤
Kazi maridadi kabisa
Kicheche hii episode kali
😂😂😅 mke wako kicheche hawezani...mbwa walioba....
Wakwanza❤🎉
Nipewe likes zangu mbwa mmm❤😅😅😅😅
nimecheka kiboyaaa apoo mwisho😂😂😂😂
Nime kuwa wakwanza kutoka palestina naomba like 😢😢🇵🇸🇵🇸
Palestina uko kuko poa na huwa mnaongea kiswahili kumbe😂😂
Ety kutoka wap😅😅😅
Mimi wakwanza kicheche unasemaje🎉🎉🎉
Safi san Vai nmeipenda iyo n umepndez san kua mganga aki😂😂🇰🇪🇸🇦
Eeeh vai hongeraa sanaa mpenzi
Wakwanza from Congo
Watu mko chapu duh ay wamwshoo😂😂😂😂
Mnaopenda ako kamziki hapo pembeni kwa mbaaali gonga like hapa ❤
Suis là mes chers même 10likes from DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩✅
Wa Kwanza Mwenyew nipeni Likes Zangu
Kubabake mna roho mbaya nyiee🔥🔥❤❤
Mnachelewesha aa sanaa ad keroo😢😢
Mke wa kicheche kachana mbuga....tafazali kicheche usimalize hili show....naskia snake boy anatrend ila sijatizama episode hata moja....kicheche kwanza...Chelsea wa pili...mke wangu anafata
Akusate Sana kwakasi groupe ya kicheche, na munye kiti ni msani Kali. Anafwanya kazi Yuri mu i épisode.
Jamani wa Kwanza leo kutoka Congo nipeni like zangu jamani
❤
Wa kwanza ni mwenyezi
Nice
Kula like Kama ni chakula
Mimi apa wanza kutoka kuzimu naitaji kafara yangu
Mke wa mganga siyo kwambiyo hizo duu 🤣🤣🤣🤣
Kicheche na clamo vevo kaz nzur❤❤
Big up bro
On est ensemble depuis 🇨🇩🇨🇩
🎉mganga kicheche🎉
Wakwnza mimi nijazieni mi like
Kichecheeeeeee gonga like apaaaa
Pumbavu zngu mke wa mganga kicheche mamaeeh 😂😂😂😂😂😂
Nime penda msemo wa inzi mchafu lakini ana ishara zake 👌
KAMA UMEMUONA TOMBOY BHAS JUA MOVIE NDIO LIMEANZA LIKE HAPA
Noma Sana big up lamba lamba juu
Kicheche si wa Congo hatu ikubali iyo tuna subiri familia ya mzee kicheche kwa Nini ume amua kui anja iyo ile hali yakua hatuja malizia familia ya mzee kicheche yani mimi kwa upande wangu mi si kubaliane na wewe kwa iyi lamba lamba 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦
Duh saiz wakulungwa mmechelewa sana
😂😂😂😂 so impressive shikilia hapo Vai na String makoti😢😢🎉🎉😅😅
Kuna sehemu tumepigwa hapa kipande kicheche amezimia usiku na alipokutwa asbh ni sehemu mbili tofaut