UNAKUMBUKA HII? SASA VINGOROGOJO (VITOROLI) KIGOMA FURSA KWA WATOTO WAKATI HUU WA LIKIZO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 มิ.ย. 2021
  • Karibu kigoma karibu Wilayani kasulu,hapa ni katika Kijiji bugaga Moja ya Furaha ya watoto walio wengi katika michezo hasa kipindi Cha Likizo,nikuchezea hivi vitoroli kwa jina maarufu kwa kigoma inaitwa Vingorogojo.
    Inawezekana nikawa nimekukumbusha mbali Sana inawezekana pia hata wewe unaetazama video hii ulishawahi kutumia vitu hivi,Sasa pamoja na kuongezeka kwa Vingorogojo hivi hasa katika vijiji kwa kigoma kwa kuchezea watoto,Kuna watu walikua na mitazamo tofauti kua watoto wakichezea hivi hawafany vizuri Darasani.
    Ayo TV imezungumza na baadhi wa Wazazi katika Kijiji Cha Bugaga waneleza faida ya michezo hii na utengenezaji wa Vingorogojo kwa watoto

ความคิดเห็น • 47

  • @rizikivincent5255
    @rizikivincent5255 ปีที่แล้ว +1

    Huuuuuuu beskeli zetu za kiasili mwenyezi Mungu tuongezee maarifa waafrika ili fisa zako na ukuu wa waafrika utukuke zaidi

  • @jemamhagama4978
    @jemamhagama4978 3 ปีที่แล้ว +4

    Long time kifanya village enzi zangu nilikuwa bonge LA FUNDI hapo. Siioni yakufananisha hata. Moja zinaitwa DINGARA/BAGADU du zipo za tairi tatu kama bajaji

    • @NellyWaKidato
      @NellyWaKidato ปีที่แล้ว +1

      Kwa kiha Hizo za taili Tatu zinaitwa KUYEKA 🤣🤣

  • @levocatusgatu4295
    @levocatusgatu4295 3 ปีที่แล้ว +1

    Unanikumbushaa mbaliii broooo

  • @fintanmkesha1077
    @fintanmkesha1077 2 ปีที่แล้ว +1

    Hyo nimepga Sana mpaka kuyeka zitafte zipo it's looking like car

  • @blueeyes5952
    @blueeyes5952 3 ปีที่แล้ว +1

    Ivo ata mpaka leo Congo wanatumia sana zaidi wakubwa katika mji wa Goma.

  • @abdulsiyo2431
    @abdulsiyo2431 3 ปีที่แล้ว +1

    Bingwa wa kutengeneza vitololi enzi zetu alikuwa anaitwa Nasibu kiromba,Cherabulo Kakonko.

    • @lissacosmas6978
      @lissacosmas6978 3 ปีที่แล้ว

      Hahaha ila vinakula nguo kudadeki

  • @jefrineliaselias691
    @jefrineliaselias691 7 วันที่ผ่านมา

    Da hatari sana

  • @ahimidiwejohn4447
    @ahimidiwejohn4447 6 หลายเดือนก่อน

    Shatumia sanaa adi nkapata ela ya kununua baiskel

  • @johnzege209
    @johnzege209 3 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo ndio asili yetu mzee, haipatikani mkoa wowote Tanzania zaidi ya KIGOMA( RUSESA-KASULU)

    • @michaelgilbeth3594
      @michaelgilbeth3594 3 ปีที่แล้ว +1

      Hata Dodoma ipo hiyo asikudanganye mtu

    • @mgedzirpm1541
      @mgedzirpm1541 3 ปีที่แล้ว +1

      Hata njombe, kawaida sana, zinaitwa bagado

  • @gapablessgadison6863
    @gapablessgadison6863 2 ปีที่แล้ว

    Asili yetu fahari yetu, KIGOMA 🔥🇹🇿

  • @user-pm5ij3zb4n
    @user-pm5ij3zb4n 3 หลายเดือนก่อน

    Gari langu hili niliyamiliki sanaaa

  • @BetraniaErnest
    @BetraniaErnest 7 หลายเดือนก่อน

    Long time sana

  • @Mrkigoma
    @Mrkigoma ปีที่แล้ว

    Dah kweli huko tumepitia sana

  • @newjesusntambamulugamba1493
    @newjesusntambamulugamba1493 ปีที่แล้ว

    daaaa rkn millady sawa unatisha

  • @nelsonnewika1138
    @nelsonnewika1138 3 ปีที่แล้ว +1

    Kibondo kifura jamaa alikuw anaitwa ndigeza alikuw na toroli lilikuw linatembea mbaya siku 1 tulikuw timebebwa tukapitia mlevi mmoja akiwa barabarani hadi sasa sijui hali yake 15 years ago

  • @alexbenedict5378
    @alexbenedict5378 3 ปีที่แล้ว

    Dah

    • @andrewmathew2063
      @andrewmathew2063 3 ปีที่แล้ว

      Du inanikumbusha mbali Sana na tumetokea mbali mwaka 1995 mpka 2000 du

  • @rugaya_tz
    @rugaya_tz 8 หลายเดือนก่อน

    nikitu ha wajui hizo zina uzwa pia mm nilikua fundi wa kutengeza na kuuza kabisa kwetu ni buholo kasulu pale

  • @kidomgozi3800
    @kidomgozi3800 ปีที่แล้ว

    From NYUMBIGWA NIMEENDESHASANA NAHUWA ZINAUMIZA KAMA PIKIPIKI

  • @maxcharles5436
    @maxcharles5436 3 ปีที่แล้ว

    si kwa watoto tu mi mwenyewe nimecheza sana marumba ksl

  • @neemaneema9969
    @neemaneema9969 2 ปีที่แล้ว

    Mmenikumbusha Nyumbani KWAGA

  • @abuialmarjibi979
    @abuialmarjibi979 3 ปีที่แล้ว

    Kiguluguju Enzi izooo

  • @sembuakimbosho3319
    @sembuakimbosho3319 ปีที่แล้ว

    Kigoma

  • @tousihhhh6765
    @tousihhhh6765 3 ปีที่แล้ว

    nomependa san

  • @user-uj3hk1vj2l
    @user-uj3hk1vj2l 4 หลายเดือนก่อน

    Ngorongoj inaathir

  • @aidancosmas5597
    @aidancosmas5597 2 ปีที่แล้ว +1

    Tisha sana

  • @user-fo5tf1zx3l
    @user-fo5tf1zx3l 8 หลายเดือนก่อน

    Kg atufelig kiukweli

  • @edumind2252
    @edumind2252 3 ปีที่แล้ว

    NixhawAw xana hay mamb

  • @vicklessa9662
    @vicklessa9662 3 ปีที่แล้ว

    Bagadu

  • @musagodfrey5729
    @musagodfrey5729 3 ปีที่แล้ว

    Hahahahaaaaaaaa Aise

  • @jimsonjimmy9232
    @jimsonjimmy9232 3 ปีที่แล้ว

    Duu nakumbuka mwka 1994

  • @immakulatandewitso2301
    @immakulatandewitso2301 3 ปีที่แล้ว

    Hata huku Amerika watoto wanazitumia hizo tena huenda wamekopi kwetu. Watoto wao wamazitumia ingawaje zao zimeboreshwa. Badala ya miti wametumia chuma lakini korogojo kabisaaa. Zinawafanya watoto kuwa wachangamfu. Mtoto wankiume asipochezea korogojo ujue hata ujanani kutakuwa na tatizo katika ubunifu wa mabmbo kadha wa kadha.

    • @csato9415
      @csato9415 3 ปีที่แล้ว +1

      Wanaita Scooter.

  • @abdulsiyo2431
    @abdulsiyo2431 3 ปีที่แล้ว

    Ikitololi Kakonko ndivyo tunaviitaga sisi

  • @juliankamugisha9886
    @juliankamugisha9886 3 ปีที่แล้ว

    Kwetu tunaita ebigabeli....

  • @emanuelbugalama2898
    @emanuelbugalama2898 2 ปีที่แล้ว

    V

  • @fatumakassim64
    @fatumakassim64 3 ปีที่แล้ว

    Duuh hikali

  • @donc6317
    @donc6317 3 ปีที่แล้ว

    Kipakala🤣

  • @maxcharles5436
    @maxcharles5436 3 ปีที่แล้ว

    si kwa watoto tu mi mwenyewe nimecheza sana marumba ksl